TAZAMA KIFUSI KIKIONDOLEWA JENGO LA GHOROFA KARIAKOO LILILOPOROMOKA, SIKU YA NANE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 21

  • @CelalinKahanda
    @CelalinKahanda หลายเดือนก่อน

    Kazi njema

  • @NeemaNicodem-d9z
    @NeemaNicodem-d9z หลายเดือนก่อน +8

    Natamani nione kuna watu bdo wazima huko

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo หลายเดือนก่อน +1

    Kazi iendelee vp hakuna mtu tena chini

  • @FaniaHassani
    @FaniaHassani หลายเดือนก่อน +5

    Eeh mungu wangu,naomba watu waangalie humo kwenyechanga kama kama Kunq mabaki ya watu yahifadhiwe

    • @WahuBoth
      @WahuBoth หลายเดือนก่อน +2

      Itakua kifusi kimechambuliwa kwanza

    • @noreenlema5457
      @noreenlema5457 หลายเดือนก่อน

      Sidhani kama walichambua chote maana duuh

  • @ImanMwashitete
    @ImanMwashitete หลายเดือนก่อน +3

    Emungu ht walio baking tunatamani tuwazike ndugu zetu Mungu tusaidie wapstiksne

  • @CatherinedanieliMasenga
    @CatherinedanieliMasenga หลายเดือนก่อน +3

    Jamani hakuna watu kweli😢😢

    • @WahuBoth
      @WahuBoth หลายเดือนก่อน

      Itakua kifusi kimechambuliwa kwanza

  • @HappyFania-ry2ch
    @HappyFania-ry2ch หลายเดือนก่อน +5

    Nahisi kabisa humo kuna watu

  • @hekimamgute6182
    @hekimamgute6182 หลายเดือนก่อน

    Dah masikini. Hivi watakuta watu humo😢

  • @ifonlyiknew619
    @ifonlyiknew619 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kwa Garama za nani Kuondoa Hiyo Kifusi..Nimejikuta Nauliza tu Hivyo Maaana Uzembe wa Mtu wengine hasara🤔Maana Bila shaka Hapo ni serikali ndio inafanya Hio kazi

  • @maryNdakidemi
    @maryNdakidemi หลายเดือนก่อน

    Jamani😢😢

  • @mimasaady5638
    @mimasaady5638 หลายเดือนก่อน

    Daah allah awape pumzi la aman watu wamekufa huku wanajiona🥹🥹🥹🥹

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mkubwa

  • @JudithMasanje
    @JudithMasanje หลายเดือนก่อน

    😭😭

  • @irenemichael
    @irenemichael หลายเดือนก่อน

    Simtachota nandugu zetu

    • @WahuBoth
      @WahuBoth หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Iko kifusi kimechambuliwa

  • @aminaajuma8250
    @aminaajuma8250 หลายเดือนก่อน

    😥😭

  • @vinny.morales
    @vinny.morales หลายเดือนก่อน

    Greda moja tu? Ile Mil700 waliyopewa Taifa Star ingesaidia sana kuongea walau magreda mengine hata ya kukodi