*Amina!* *Hiyo sehemu ya maji si bahari au ziwa bali ni tawi la Mto Hudson linaloitwa East River.* *Mto wa Hudson unapokaribia jiji la New York, unajigawa katika matawi mawili na kuifanya sehemu ya katikati ya jiji kuwa kisiwa cha Manhattan.* *Kuna pia tawi la Mto Hudson, linalotenganisha New York na New Jersey. Matawi yote mawili yanaingia Bahari ya Atlantiki.*
God bless you brother, keep going 🔥 🔥
God bless you Bro.
Na dua hio, jalia asikilize.
*Amina!*
*Hiyo sehemu ya maji si bahari au ziwa bali ni tawi la Mto Hudson linaloitwa East River.*
*Mto wa Hudson unapokaribia jiji la New York, unajigawa katika matawi mawili na kuifanya sehemu ya katikati ya jiji kuwa kisiwa cha Manhattan.*
*Kuna pia tawi la Mto Hudson, linalotenganisha New York na New Jersey. Matawi yote mawili yanaingia Bahari ya Atlantiki.*
Asante kwa Ufafanuzi Ndugu yangu
Amen
Mungu akulinde mwanetu, nakupenda sana.
Hongera kaka
Naamin dua imesikiwa
Bro... nitumie namba yako
Amen