ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ndo nn sasa hiki kwenye mambo ya msingi
Mkono wangu wa tahania kwako Joramu. Kutoka vile umenimotisha kuongeza jitihada kumarisha lugha hadi kuzungumza lugha na mswano,ninakupa hadhi kubwa zaidi. Tafadhali tembelea Kenya mara kwa maraa ili kuwarai kupambaja lugha hii yetu adhimu.
Napenda sana kazi zako, ila sikupenda jinsi Crown media walivyoweka matangazo wakati unazungumza. So disrespectful.
Nazingua sana Joram anaongea afu mnapitisha matangazo sio poa,yani Joramu na matangazo sauti zinaingiliana nyie ni Bata Wahed kabisa sio poa yani
Matangazo yanaboa
Mmezingua Bure kabisa
Hatusikii interview tunasikia makelele yenu
Itumwe upya
Mlumbi.
Poor😳😳