Kuna kitabu kinaitwa Outwitting the Devil, Kinaeleza vizuri sana kuhusu hiki anachokisema mlumbi.Makanisa, misikiti na Mifumo ya Elimu inaua Uwezo wa asili wa Binadamu kukabiliana na Changamoto yeyote
Hiyo tafiti imeelemea upande wa shule pekee badala ya maisha kwa ujumla. Wamesahau kuwa mtoto anajifunza kwa kiasi kikubwa kwenye mazingira anayoishi. Basi wangetenga kati ya hao watoto wasiende shule ndio wangepata makadirio mazuri zaidi kwenye utafiti wao
Mifumo ya elimu husasani yetu hii ni ile ya mwenye kumbukumbu kuitwa anaakili na baadae hicho alichokikumbuka akafaulu hawezi kukikumbuka tena , ni mifumo flani hivi ambayo unaona kabisa si yakufanya makubwa imeandaliwa mtu atoke akaajiriwe
Kuhusu hiyo tafiti hao watoto walilelewa mashuleni kwa miaka yote tano ya tafiti ???? Na vipi mwingiliano wa kimazingira, shughuli zingine za kijamii, magonjwa na hata hathar za malez na vyakula lishe vilihusishwa ???? Na vipi ktk umri huo wa miaka 5 hawakupewa elimu yeyote hadi wakabaini njia za kutatua hzo changamoto ???
Acha kuongea ujinga wako. Wananzuoni wanapatikanaje? Hujui wananzuoni ndiyo shule? Kuna mbumbumbu anajua kutafiti? Kuna utafiti mwingine ulifanyika kwa majinias wengine ambao hawakwenda shule na matokeo yake yalikuwaje?
Wanatafuta warajuzi.
Genius.....Mrajuzi.
Bro unatema uketo sana😊
Dah ni kweli kabisa
safi sana Mr.Joram nkumbi
Fantastic 🙏
You are so much talented brother 👏👏 so great.
Nzuri mno
..
❤❤❤❤
Pa1 kama Joram kazi nzuri 🎉🎉🎉
"...unasema Joe 'nazungumza kitu gani..." 😅😅
We msimuliaji mzuri sana
Kuna kitabu kinaitwa Outwitting the Devil, Kinaeleza vizuri sana kuhusu hiki anachokisema mlumbi.Makanisa, misikiti na Mifumo ya Elimu inaua Uwezo wa asili wa Binadamu kukabiliana na Changamoto yeyote
Ukweli mtupu. Mifumo yetu ya elimu ni duni haimpi mtu ujuzi ila maarifa mengi tu na nadharia zisizo na uhalisia wowote katika hali ya maisha.
Hivi mifumo siyo wàtu? Kwa nini hawabadiliki?
Mwalimu Joramu UMEME a Vyema mnooo , mifumo inatutoa Kabsa . Je tufanyeje.?
Hii hutokea katika nchi nyingi duniani. Watoto hawafundishwi kuwa wabunifu bali hufunzwa wawe wanakunjwa na watu kama jani.
Hiyo tafiti imeelemea upande wa shule pekee badala ya maisha kwa ujumla. Wamesahau kuwa mtoto anajifunza kwa kiasi kikubwa kwenye mazingira anayoishi. Basi wangetenga kati ya hao watoto wasiende shule ndio wangepata makadirio mazuri zaidi kwenye utafiti wao
Dah watu wangejua bando zao zingekuw zinaisha kwa kukutazama clip zako ,Mim naomba mawasiliano nawe.
Mifumo ya elimu husasani yetu hii ni ile ya mwenye kumbukumbu kuitwa anaakili na baadae hicho alichokikumbuka akafaulu hawezi kukikumbuka tena , ni mifumo flani hivi ambayo unaona kabisa si yakufanya makubwa imeandaliwa mtu atoke akaajiriwe
Unaulizwa na mtoto, "Kwa nini wewe siyo rais?" Unamlamba kofi😢
mimi ninakuelewa kuna kitoto cha miaka 11 china kimebuni rocket
Ishi miaka mingi tukijifunza kiswahili sanifu
Kuhusu hiyo tafiti hao watoto walilelewa mashuleni kwa miaka yote tano ya tafiti ???? Na vipi mwingiliano wa kimazingira, shughuli zingine za kijamii, magonjwa na hata hathar za malez na vyakula lishe vilihusishwa ???? Na vipi ktk umri huo wa miaka 5 hawakupewa elimu yeyote hadi wakabaini njia za kutatua hzo changamoto ???
Joramu Nkumbi naamini wewe ni Geneous na unachofanya hujakipata shule
Acha kuongea ujinga wako. Wananzuoni wanapatikanaje? Hujui wananzuoni ndiyo shule? Kuna mbumbumbu anajua kutafiti?
Kuna utafiti mwingine ulifanyika kwa majinias wengine ambao hawakwenda shule na matokeo yake yalikuwaje?