Safi kabisaa ,Na kama wao wanaona makomda anatafuta kiki basi kuanzia leo viongozi wote wafanye kazi ili waipate iyo kiki ili wananchi wafaidike na kazi zao.
Magufuli alisema akiwaambia wakuu wa mikoa Tz kwanini wasijifunze Kwa Makonda!!? Harafu akamwambia chapa KAZI Makonda.Namimi nasema Makonda chapa KAZI we love you Brother Barikiwa sanaaaa
Tz mama ingewezekana mim kama kocha tungechua makonda na wz jerr sila idala moja hapo kama ni tm tunauwezo wa kushinda lakini kwa kapasti ya ukubwa wa kichwa cha makonda hata ulais atkuja kuongoza tz mugu ikimpendeza mungu tuombe sana TZ kwa huku zambia wote waTZ ukifungua mtandaon hbali kubwa ni MKONDA Tuuuuuuuuu
Ahsante sana wewe Baba alitaka asikosolewe kisa mwanamke huyo Chatanda katumwa na mahasidi wasiompenda Makonda na wala hatafanikiwa kamwe Ccm inashinda kwa kishindo Arusha
Makonda ni hatari hatari msingi mkuu duniani Cha kwanza utu pili heshima tatu haki haki haki busara baadae ya kupata gambo alifanya vizuri Kwa uwezo wake makonda mwisho wa matatizo
Ni kweli ni zaidi ya mikoa yote yaani hakuna wakumfananisha ila tunamfananisha na hayati magufuli jamani tuamini magufuli hajafa yeleuwiiiii hakuna kamammh makonda niko dar nakuja kumpa maua yake na nitamletea na bibilia aisome kabla ya kuamka na kabla ya kulala ndiyo zawadi yangu k
Mwandishi tumia taaluma vizuri hiyo style ya kuuliza maswali kama haulewi unachofanya ndo maana mwisho tunaambiwa wachochezi. Mwandishi unatakiwa kuweka jamii pamoja kumbuka misingi ya KAZI YAKO. Kahabarisha, kuelimisha na kuburudisha. Jitafuten waandishi
Kada wa ccm nimekupata nilishawambia watu huku kwetu iringa kuwa makonda akiwa rc dar alikuwa rc wa mikoa yote tanzania na leo makonda ni rc arusha amekuwa ni dira ya mikoa yote tanzania unamuona na chalamila naye anaigiza eti kero za wananchi
Mama kuna watu huko wanasema wanasema wanamtaka mikoani mwao, usije kumtoa makonda arusha amegusa mahitaji ya watu wa arusha haswa kulikuwa ni uozo hakuna kazi inayofanyika watu wanakula hela tu mabarabara yamelala magomvi ya ardhi ni mengi mnoo ila kwa kiasi yatapungua
Ni kweli kabisa... Kila siku napitia Habari za Arusha... Kuhusu Makonda...
Hongera kwa maneno mazuri mkuu
Duhuuu
Makonda mungu akubark San, makonda ni noma San gamboo mbali san
Safi sana tunamfuatilia sana makonda Niko marekani
Much Respect
MAKONDA MAKONDA HE IS SENT FROM GOD AS GOD'S WORKER ✌️
Tuzidi kumuombea Makonda Mungu amwongezee hekima katika ufanyaji wa kazi zake.
Wote ni Majembe ila Makonda ana kitu extra ordinary.
Kweli makonda ni levo nyingine
🎉🎉🎉🎉 maua yake mkuu wa mkoa wa arusha
Safi kabisaa ,Na kama wao wanaona makomda anatafuta kiki basi kuanzia leo viongozi wote wafanye kazi ili waipate iyo kiki ili wananchi wafaidike na kazi zao.
Chapka kazi baba makonda tunamwomba mama Samia akulete kigoma Kuna uozo mwingi hasa wilaya ya buhigwe natunaamini atakuleta tuna Imani naye
Kenyan we love Makonda sana # Makonda my cousin from sukuma tribe @ abagusii,kuria ,meru and sukuma jamii moja
Wala hujakosea mzee.
Makondaaa ni chombo ya kaziiiii daima 🎉🎉🎉🎉🎉
Safi sana kada wrtu
Nchini Kenya tunamtambua Makonda na kazi yake njema
Makknda ni moto wakuotea mbali Mungu amsaidie
Habari ya mjini makonda hakuna kama yeye wengine wanaiga tu ila kwa makonda inatoka ndani zaidi
Asante mzee kama Kuna cheo Cha mkuu wa mikoa Apewe makonda
Mungu amtunze Makonda amzungushie ukuta wa moto adui wasimukute hao wauaji wakubwa wa Tanzania
Ni kweli ndugu
BMakonda hoyeeeeeeee❤❤❤❤🎉
Kweli uchaguzi unaokuja wa ccm makonda ataokoa kura za mama sana tofauti na hapo kura zitaenda chadema kiukweli
I'm from Kenya but for now niko sehemu ya uwarabuni. I love makonda so much God bless you makonda
Gambo too is good. so they are all unique in theire ways
Ni kweli mzee Nasisi uku tunamfatilia saaaana
Akwepeshii huyo.. mbn watakaaa kwenye laini tu
Magufuli alisema akiwaambia wakuu wa mikoa Tz kwanini wasijifunze Kwa Makonda!!? Harafu akamwambia chapa KAZI Makonda.Namimi nasema Makonda chapa KAZI we love you Brother Barikiwa sanaaaa
Ameen
Mzee safi
Wa Kenya tuko Qatar lakini twafuatalia Makonda, kazi safi ❤
asante sana baba. Mungu akubariki na abariki kazi ya mikono yako. tuendlee kuombeana nchi zetu hizi mbili..Kenya/Tanzania na Africa nzima
Basi gambo alikuwa vizuri kama wanamfanamisha namakonda makonda niatari sana niabari nyingine yule jamaa
Ni kweli mzee kaja kutumalizia kiu chetu kwa jpm makonda anaweza
Unasema kweli mzee wangu. Makonda anafanya kazi nzuri ,wapiga dili hawawezi kufuraia utumishi wake.
Makonda🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Makonda asifananishwe kabsaa na mtuu yeyotee
Tz mama ingewezekana mim kama kocha tungechua makonda na wz jerr sila idala moja hapo kama ni tm tunauwezo wa kushinda lakini kwa kapasti ya ukubwa wa kichwa cha makonda hata ulais atkuja kuongoza tz mugu ikimpendeza mungu tuombe sana TZ kwa huku zambia wote waTZ ukifungua mtandaon hbali kubwa ni MKONDA Tuuuuuuuuu
Makonda❤❤❤
Ahsante sana wewe Baba alitaka asikosolewe kisa mwanamke huyo Chatanda katumwa na mahasidi wasiompenda Makonda na wala hatafanikiwa kamwe Ccm inashinda kwa kishindo Arusha
Ni aibu sana Kuona Viongozi wengine hawajifunzi... Makonda ni Modal🎉🎉🎉
Makonda tuliisha sema hicheokinamupwaya mambo maovuhayafanywikijinsia haowanahalakati haowanahalakati wakikewasuangushe mamartiwanawake waachwewavulugetu bilakuguswa.
Makonda ni hatari hatari msingi mkuu duniani Cha kwanza utu pili heshima tatu haki haki haki busara baadae ya kupata gambo alifanya vizuri Kwa uwezo wake makonda mwisho wa matatizo
Ni zaidi ya mkuu wa mkoa, haina ubishi jamani
Makonda Ni gegedu chukua maua🎉🎉🎉
Ni kweli huyu ni zaidi ya wakuuu wa mikoa
Viva makonda
Silaa na makonda Bashe na Ali Hapy inafurahisha
Makonda safi sanaaa
Umeongea sanaaaa ukweli sahihi
Rais Samia ampe unaibu Makonda ashirikiane na waziri Jerry Salaa waziri wa ardhi wizara hii itakuwa ishakamilika
Makonda ni habari ingine jamen
Ni kweli ni zaidi ya mikoa yote yaani hakuna wakumfananisha ila tunamfananisha na hayati magufuli jamani tuamini magufuli hajafa yeleuwiiiii hakuna kamammh makonda niko dar nakuja kumpa maua yake na nitamletea na bibilia aisome kabla ya kuamka na kabla ya kulala ndiyo zawadi yangu k
Nikweli usiofichika makonda anamalza mb zetu
Hapana makonda achukue fomu yakugombea uraisi
Makonda hafananishwi
Ni kweli hata mimi naweka bando ili nifatilie makonda
Makonda yuko safi
hujakoseya mzee mimi niko burundi ila bando langu makonda analimaliza kila kujicha makonda oye
We acha makonda nianga nyingine
jumapili hapo umenena
tangu nimekufahamu ujawahi sema ukweli ila leo ndiyo umesema UKWELI
Kabisa makonda NI zaidi ya mkuu WA mkoa huyo NI rais WA mkoa jembe letu na rais ajae
Kiongozi Na Cheo Chake Mbio Kwenda Kukamata Makahaba Makonda Ni Mkombozi Wa Maendeleo
Kama ccm wakimpa ugombea urais mwaka 2025 atazoa KURA nyingi kuliko mgombea yoyote aliyepo ccm
Makonda Ana wakumlinganisha
Makonda ni mwamba! Haina namna.
Mwandishi tumia taaluma vizuri hiyo style ya kuuliza maswali kama haulewi unachofanya ndo maana mwisho tunaambiwa wachochezi.
Mwandishi unatakiwa kuweka jamii pamoja kumbuka misingi ya KAZI YAKO. Kahabarisha, kuelimisha na kuburudisha. Jitafuten waandishi
Mwongo gambo hajafanya chochote makonda yuko juuuuuuuuuuu sana magufuli kila kitu awe rais. Tu
Makonda anamsaidia , Rais, Chama na Serikali
Giving nyie Sisi ni Vipofu matizo wasababishe wao tena watatue wao....
Nimfano wa kuigwa na marc wote tz
Huyu baba ana akili sana
Makonda balaaa kweli sio utani tuna mtamani aje hata kwetu huku mkoa wa ....
HIYO NI MKUU WA MIKOWA YOTE YA TANZ
Mnipeye ongera saaaaqna
Fanya kazi makonda usiogope mtu
Waandishi wa habari mmeanza sikuhizi hakuna kabisa ubunifu juu ya habari zenye tija kazi yenu saivi kuchonganisha tu,
Jerry slaa uje arusha jamani uungane kidogo na makonda tutapona majeraha ya ardhi 😢
Makonda kila mtanzani mwenye akili ana mtazama makonda
Pamoja
Makonda anafanya vizr aendelee kchapa kaz
Wote ni watu makini sana
acha unafiki makonda 1
Mrisho hafui daf Kwa RC Makonnda.Makonda kawashinda mikoa yote Tanzania .
Usimfananishe makonda na huyo sariboko bhana makonda mpango mnzima
Watanzania wote wanamtazama makonda tu
Huyu jamaa aachane na ccm aachane na chadema,makonda sio wa vyama ni wa wanainchi
Makonda ni mkuu wa mkoa wa mikoa yote
Kada wa ccm nimekupata nilishawambia watu huku kwetu iringa kuwa makonda akiwa rc dar alikuwa rc wa mikoa yote tanzania na leo makonda ni rc arusha amekuwa ni dira ya mikoa yote tanzania unamuona na chalamila naye anaigiza eti kero za wananchi
Makonda nirato nyie anawafukua wasenge
Makonda tunamgonja kule mbele mama akimaliza tam yake yaurais makonda aendelee pia kama rais watanzania awamu ya saba
Achen unafik kulinganisha viongoz
Mama kuna watu huko wanasema wanasema wanamtaka mikoani mwao, usije kumtoa makonda arusha amegusa mahitaji ya watu wa arusha haswa kulikuwa ni uozo hakuna kazi inayofanyika watu wanakula hela tu mabarabara yamelala magomvi ya ardhi ni mengi mnoo ila kwa kiasi yatapungua
Why umemhoji mtu mmoja tu
Weee unamfananisha makonda na mrisho gambo makoda yuko juuzaid wewe acha
.tangazqj8 hilo sio swala la kuuliza hiyo ni fitna unataks kugswa watu. Elizabeth maswali yasio vhonganishi.
John mongera na wewe acha ushamba hata viongozi waliopita huwajui
Atafuti kiki bali ni mtetezi wa wa Tanzania
Mimi Nadhan wanaojua watufahamishe nini maana ya Kiki.anachokifanya makonda hii sio kiki anatekeleza ilan ya chama na yanayo mendoza mungu sio kiki.
Km yule wa KAGERA BORA ASTAAFU TUUU AU AONDOKE TUBAK8 NA KATIBU KATA
Wote Majembe
acha ujinga wewe makond 1
Kabisa
S