Salvation Gospel Choir - Umetamalaki ( Official Video)4k

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 118

  • @naomimatayo2456
    @naomimatayo2456 10 หลายเดือนก่อน +1

    amen mbarikiwe xn🙏🙏💯

  • @EagerMars-vz8sp
    @EagerMars-vz8sp 10 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤ nimependa sana hongereni

  • @athumanally6550
    @athumanally6550 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzur

  • @Msmanning
    @Msmanning 10 หลายเดือนก่อน +7

    Tabasamu lenu tu 😊❤

  • @barakamapasa2947
    @barakamapasa2947 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kila nikisikiliza napata mahubiri ndani yake, Yes kila mmoja amekuja mbele yako Mungu wetu, onekana na ukuu wako
    🕺🕺🕺🕺🕺

  • @elviamaniofficieltv3859
    @elviamaniofficieltv3859 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akubariki sana tumebarikiwa sana Mungu azidi kukuinua zaidi ❤❤❤❤
    ELVI AMANI OFFICIEL TV DRC 🇨🇩 Jah bless

    • @salvationgospelchoir9173
      @salvationgospelchoir9173  10 หลายเดือนก่อน

      Ameen, tunashukuru sana MUNGU awabariki pia na karibuni Tanzania

  • @rachelkatale
    @rachelkatale 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sifa na utukufu tunamrudishia Mungu. Neema ya Mungu iwafunike!!

  • @subjugator5991
    @subjugator5991 10 หลายเดือนก่อน +5

    Pokea haja ya Moyo wangu Bwana😭🙇‍♀️

  • @ValerianaMwakijele
    @ValerianaMwakijele 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah 🙌 it's a blessing

  • @NadraSalum-z1k
    @NadraSalum-z1k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuriii

  • @itotekachristopher4044
    @itotekachristopher4044 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hallelujah, so much Blessings 🙏

  • @barakamapasa2947
    @barakamapasa2947 10 หลายเดือนก่อน +4

    🌹🌺🌻🌷🌷🌺🥀🌺 maua yenu, video ipo quality

  • @BeulaEphraim
    @BeulaEphraim 10 หลายเดือนก่อน +2

    Happy to see Jackline Talleys❤, God Bless you people🙏🏾

  • @Kitalimafuraha
    @Kitalimafuraha 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni Sana kitu Kiko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gedinaedomu64
    @gedinaedomu64 10 หลายเดือนก่อน +3

    Umetamalaki Bwana🎉

  • @IhalulaTraders
    @IhalulaTraders 10 หลายเดือนก่อน +3

    Umetalaki bwanaaaaa utukufuwako twauonaaaaaaa nasi tupo tayari kupokea pokea AMENIII @PEACE CHRISTOPHER MWENISONGOLE

  • @phrases_lyrics
    @phrases_lyrics 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah it's blessing

  • @HappyMtongwa-kp7hg
    @HappyMtongwa-kp7hg 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wowowoo !!!Tenda sawa na Uhitaji wetu Bwana.Mungu wa Mbinguni awainue sanaa

  • @SuzanAyubu
    @SuzanAyubu 10 หลายเดือนก่อน +4

    Waooohhh MUNGU awainue zaidi

  • @FrestersRecords
    @FrestersRecords 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wimbo mtamu sana...... - So sweet 👍👍👍👍👍👍👍👍👍

    • @salvationgospelchoir9173
      @salvationgospelchoir9173  8 หลายเดือนก่อน

      Ameeni, MUNGU akubariki sana,
      hakika umefanyika baraka sana kwenye hii kazi yetu na mkono wako unaongea kwenye hii nyimbo
      MUNGU akubariki sana fresters records ( Masanja)

  • @SalumuMlaponi
    @SalumuMlaponi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi makini kaka

  • @Farajamwakalinga
    @Farajamwakalinga 10 หลายเดือนก่อน +2

    Halelujaaah utukufu kwa Bwana

  • @AgnesNyivaTV
    @AgnesNyivaTV 10 หลายเดือนก่อน +2

    Woohoo nice, mbarikiweni choir, congratulations 👍

  • @brightmwakalindile3793
    @brightmwakalindile3793 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana vijana wa Yesu.
    Clement nitafute umenifurahisha zao la ndugu yangu

    • @clementasajile2381
      @clementasajile2381 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 sawa brother nakutafuta hahahahaa 😂😂😂

  • @barakamapasa2947
    @barakamapasa2947 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wow wow, Huu ni wimbo wangu wakurudisha sifa kwa Mungu wangu, Mungu umetamalaki maishani mwangu, Utukufu wako ni mkuu kuliko ule wa ulimwengu huu, pokea maombi yetu Mungu wetu......
    Mungu awabariki sana watumishi wake, hakika kila neno limebeba maombi Mbani yake.
    🤩

  • @BrunoGwiye
    @BrunoGwiye 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good song from mbeya

  • @JACKLINECHARLES
    @JACKLINECHARLES 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mkainuliwe kwa viwango vingineeeee
    MUNGU AWABARIKI SANAA🔥

  • @witnesswilliammwakilasa6890
    @witnesswilliammwakilasa6890 10 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤
    Amazing work. Go baby sis

  • @suzanshomary7126
    @suzanshomary7126 10 หลายเดือนก่อน

    Mefurah kukuona mdogo angu jack ukimtukuza Mungu na saut nzur be blessed ❤❤❤❤❤

  • @davidmwambebhule8733
    @davidmwambebhule8733 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana Salvation Gospel choir
    Kazi yenu nzuri, inavutia sana
    Mmependeza sana, Wimbo mzuri na umejaa sifa telee za kumtukuza Mungu, Mungu aendelee kuwabariki sana, na wimbo huu ukafanyike baraka Kwa watu wote watakao pata kibari Cha kuangalia na kusikiliza pia❤❤❤❤

  • @ClaireHappy
    @ClaireHappy 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sololist 😂❤❤❤❤

  • @rachelkatale
    @rachelkatale 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awainue kwa viwango vya juu watoto wangu. Tumebarikiwa sana na huduma Yenu! Tunawaombea sana!!

  • @stelacharles8867
    @stelacharles8867 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana umetamaliaki .tupo tayari kupokea.pokea haja za mioyo yetu Bwana.

  • @tupilikejoseph6218
    @tupilikejoseph6218 10 หลายเดือนก่อน +1

    Utukufu KWA Mungu🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️

  • @jobydavid2500
    @jobydavid2500 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki sana

  • @hopearon3473
    @hopearon3473 10 หลายเดือนก่อน +2

    Haleluya 🎉 hongereni sana wa tumishi kwa wimbo mzuri sana unatubariki kwa kweli

  • @Penny-tb7rd
    @Penny-tb7rd 10 หลายเดือนก่อน +2

    Happy to see Matilda going on praising the lord ❤ May God bless you all 🙏🏾

  • @ninaaron4227
    @ninaaron4227 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kutuinua viwango na viwango🔥🙏

  • @EstherMwakilema
    @EstherMwakilema 10 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤🙌🏻

  • @sweetbertcharles6285
    @sweetbertcharles6285 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe Sana Wana wa Mungu, Nyimbo hii kwakweli imenibariki Sana, Kila mmoja Ana haja yake mbele za Mungu❤❤❤Mungu pokea haja ya Moyo wangu

  • @edinahmwakasege319
    @edinahmwakasege319 10 หลายเดือนก่อน +3

    We glorify your name Papaa🙌🙌🙌

  • @peninaemmanuel3660
    @peninaemmanuel3660 10 หลายเดือนก่อน

    Hakika umetamalaki Bwana ♥️🔥🙏

  • @GradisZephania-ih4co
    @GradisZephania-ih4co 10 หลายเดือนก่อน

    Wow Mungu awabariki sanaa kwa kazi nzuri mnayofanya🙏🙏 Tupo tayali kupokea 🙏🙏

  • @KelvinKabuka
    @KelvinKabuka 9 หลายเดือนก่อน +1

    Together my favorite choir salvation Mabibo Moravian 🎉❤

  • @manningjasson7290
    @manningjasson7290 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana
    Kazi nzuri sana

  • @davidmwambebhule8733
    @davidmwambebhule8733 10 หลายเดือนก่อน

    Bado mnaendelea kunibariki sana❤❤❤

  • @rachelkatale
    @rachelkatale 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu awatunze na kuwainua kwa viwango vya juu watoto wangu. Neema ya Mungu iwafunike. Mmetubariki sana!!

  • @kajuni0141
    @kajuni0141 10 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha Sana 🎉🎉🎉

  • @KICHWA_25
    @KICHWA_25 10 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri watumishi 🙏

  • @ntungamihayo749
    @ntungamihayo749 9 หลายเดือนก่อน

    Mmetish sana..Mungu awabariki

  • @nancylusana8253
    @nancylusana8253 10 หลายเดือนก่อน

    nawapenda sana , Mungu azid kuwatunza wapendwa

  • @sweetbertcharles6285
    @sweetbertcharles6285 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nahitaji albamu ya huu wimbo
    Naomba namna ya kupata

  • @ntungamihayo749
    @ntungamihayo749 9 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda...❤❤🎉🎉🎉

  • @clementasajile2381
    @clementasajile2381 10 หลายเดือนก่อน

    Utukufu apewe MUNGU mbarikiwe sana vijana wangu

  • @ELIMINAMAZYAI
    @ELIMINAMAZYAI 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana,nimefurahi kumuona David

  • @tafsirizarohoni
    @tafsirizarohoni 10 หลายเดือนก่อน +3

    💥🙌

  • @AbrahamKitoboli
    @AbrahamKitoboli 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki mno kwa mjumbe mzuri be blessed sana

  • @happinesswilliam9045
    @happinesswilliam9045 10 หลายเดือนก่อน

    Utukufu juu ya utukufu 🎉

  • @sweetbertcharles6285
    @sweetbertcharles6285 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabari Sana,nimewapenda Sana, huu wimbo narudia Tena kuungalia
    Nikitaji kubata albam ya Nyimbo zenu napatajee...?

  • @shabanpaschal5582
    @shabanpaschal5582 10 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu Gaby on thiz😊...

  • @AinehartSiwale
    @AinehartSiwale 10 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana,wimbo mzuri sanaa
    Nmemuona brother D hapo

  • @CONSOLATHAKALENZI
    @CONSOLATHAKALENZI 10 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana salvation wimbo mzuri, video inaquality nzuri. Endeleeni kutumika shambani mwa BWANA nawapenda sana❤🌺💐💐💐💐💐

  • @Leoniabada
    @Leoniabada 10 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana watu wa Mungu❤

  • @Astonminer
    @Astonminer 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi Nzuri Mtumishi ❤

  • @davidmwambebhule8733
    @davidmwambebhule8733 10 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤

  • @Makolokocho59
    @Makolokocho59 10 หลายเดือนก่อน

    Glory to GOD🙏

  • @Minister_mpokiminga
    @Minister_mpokiminga 10 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe kwa utumishi 🙌🏾🙌🏾

  • @Tusekile255
    @Tusekile255 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kuwainua zaidi...hongereni kwa ujumbe mzuri MMEBARIKIWA

  • @mpeliibrahim398
    @mpeliibrahim398 10 หลายเดือนก่อน

    My song niupendao🥰❤️

  • @Richard_Kilimba
    @Richard_Kilimba 10 หลายเดือนก่อน

    Umetamalaki

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 10 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @janethgibson8677
    @janethgibson8677 10 หลายเดือนก่อน

    Nice❤❤❤❤❤❤

  • @davidmwambebhule8733
    @davidmwambebhule8733 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mbona muda haufiki

  • @gabrielswata7840
    @gabrielswata7840 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika utukufu wa Mungu unaonekana

  • @salomekayanda4348
    @salomekayanda4348 10 หลายเดือนก่อน +1

    🌹🌹🌹

  • @skylarshebby8235
    @skylarshebby8235 10 หลายเดือนก่อน

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 10 หลายเดือนก่อน

    Woww

  • @EmmyEmmanuel-e8n
    @EmmyEmmanuel-e8n 10 หลายเดือนก่อน +1

    🥰💯

  • @chriskinoti5699
    @chriskinoti5699 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi Nzuri

  • @JrGdgae..
    @JrGdgae.. 10 หลายเดือนก่อน

    🔥

  • @MamaWema-o3l
    @MamaWema-o3l 10 หลายเดือนก่อน

    Amen wanangu

    • @salvationgospelchoir9173
      @salvationgospelchoir9173  10 หลายเดือนก่อน

      Ameen mama yetu, MUNGU aendelee kukutunza mama maana umefanyika baraka sana kwetu

  • @ghadhalnkrumah8859
    @ghadhalnkrumah8859 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤✨

  • @sikitumbukwa5316
    @sikitumbukwa5316 10 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana dears

  • @upendogidion5167
    @upendogidion5167 10 หลายเดือนก่อน

    Kwakweliii mmeimba na ujumbe wa waimbo upo perfect I love my song but solorist hii n ujumbe wa kila mtu na mnamuwakilisha Mungu napendekeza nguo vaeni zisiwe fupi saana tunajua n vijana wabichi ziwe wastan kwa nyimbo zitazofuata ili Mungu ajitukuze zaidi n wazo tuu! Aiseee madg mmeimbaaa ❤❤❤❤❤

    • @salvationgospelchoir9173
      @salvationgospelchoir9173  10 หลายเดือนก่อน

      Ameeni mtumishi, tunashukuru kwa ushaur wako mzuri na tutafanyia kazi

    • @upendogidion5167
      @upendogidion5167 6 หลายเดือนก่อน

      Ntashukuruu na Ahsanteee for replying ​@@salvationgospelchoir9173

  • @Makolokocho59
    @Makolokocho59 10 หลายเดือนก่อน +1

    🤔

  • @paulzacharia2985
    @paulzacharia2985 10 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @EmmyEmmanuel-e8n
    @EmmyEmmanuel-e8n 10 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰💯

  • @MariaPemba-c9o
    @MariaPemba-c9o 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @jacquelinechriss4071
    @jacquelinechriss4071 10 หลายเดือนก่อน

    ❤️❤️❤️

  • @elizabethmahena853
    @elizabethmahena853 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @Amon442
    @Amon442 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @navyoagrey7523
    @navyoagrey7523 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤