Aliyepoteza baba mzazi ajali ya kiwanda cha Mtibwa afunguka kwa uchungu "alifanya kazi kwa miaka 35"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Jodack Majaliwa, ambaye amempoteza baba yake mzazi kwenye ajali ya mlipuko wa bomba la kusafirishia mvuke wa umeme katika Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa, Mkoa wa Morogoro jana Alhamisi, Mei 23, 2024, amezungunza na Mwananchi Digital na kueleza machungu wanayopitia baada ya baba yao kufariki dunia.
    Jodack anasema baba yake alifanya kazi kwenye kiwanda hicho kwa miaka 35 ambapo mpaka umauti unamkuta alikuwa fundi wa mtambo wa kuzarisha umeme.
    Ajali hiyo imesababisha vifo vya watu 11 akiwemo baba yake mzazi Jodack.

ความคิดเห็น • 17

  • @JohnsonWazaza
    @JohnsonWazaza 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndgu zetu mungu awape nguvu

  • @Nadia-vn5dg
    @Nadia-vn5dg 4 หลายเดือนก่อน

    Nimepoteza kakaangu kipenz juma

  • @GadaphyHamidu
    @GadaphyHamidu 3 หลายเดือนก่อน

    Daaaah walazw mahali pem

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk 4 หลายเดือนก่อน

    Polen sana ndugu zetu🤲🙏🙏🙏🙏

  • @LightnesJamess
    @LightnesJamess 4 หลายเดือนก่อน

    ""Inauma sana, Kwakweli.Hakika kifo hakina huruma "Kwakweli Madizini tunamajonzi sana kuwapoteza ndg zetu!Laiti kifo kungekuwa kinabisha hodi!😢

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndug zetu

  • @VeronicaSarafin-vl9wh
    @VeronicaSarafin-vl9wh 4 หลายเดือนก่อน

    Polen sana wanafamilia

  • @amina3925
    @amina3925 4 หลายเดือนก่อน

    Pole san wanafamiliya

  • @CrepinaKatundu-uj7xk
    @CrepinaKatundu-uj7xk 4 หลายเดือนก่อน

    R.I.P.Poleni Wafiwa.

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 4 หลายเดือนก่อน

    We wa mwisho kuongea nimekuelewa

    • @singelimorogoro
      @singelimorogoro 2 หลายเดือนก่อน

      Wamwisho ndio mkubwa

  • @LimbuNationBuildersCoLts-hi3em
    @LimbuNationBuildersCoLts-hi3em 4 หลายเดือนก่อน +2

    Rafiki yangu ni miongoni mwa walio kufa katika hiyo idadi ya watu 11. Ina una sana 😭 😭😭😭

    • @aminajuma1156
      @aminajuma1156 4 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana Mungu akutie nguvu

  • @DorotheaLukas
    @DorotheaLukas 4 หลายเดือนก่อน

    Ukute mitambo yenyewe yuzid 😢😢😢😢 hawajanunua mipya

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ila hio mitambo inahitaji kukaguliwa na OSHA kwa usalama zaidi

  • @engraita5059
    @engraita5059 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ndugu zetu. Kila jambo linakuwa imepangwa na Allah.