I found this song like 3 months ago. Mum was sick , I could wake up play it before I pray. Unfortunately she passed away this month after battle with Lung cancer. I still play it everyday because I feel she's already a saint and she's listening to it somewhere too in heaven. This song connect me soo deep with my Maker.
Amina sifa na utukufu zirudi kwake yeye anayetupa nguvu na maarifa tukayafanya haya yote nakushukuru pia kwakuifatilia Chanel yetu Mungu awabariki nyote tuendelee kusifu na kumwabudu Mungu wetu aliye mkuu wa yote
Kwa mwili na damu ya yesu ikaizunguke Nyumba yangu kama ishara ya ulinzi juu uzao wangu mashariki kasikazini magaribi na kusini damu ya Yesu ikailinde familia yangu
Asante sana, Mungu akubariki sana na kukuongoza vyema ili uzidi kutuhubiria neno lake, naomba utuwekekee wimbo wa "pokea moyo wangu eeh Mungu wangu, niweze kukupenda kwa pendo kuu" ni maara ya pili naomba huu wimbo natumai utafanyia kazi ombi langu
Ee Yesu wa ekaristi kayaangaze maisha ya ujana wangu na vijana wenzangu..Amina
Eee Yesu Kristo nakuomba umponye mamangu na uiokoe familia yangu yote pamoja na mwanangu kupitia Sakramenti yako Takatifu 🙏🙏🙏
I found this song like 3 months ago. Mum was sick , I could wake up play it before I pray. Unfortunately she passed away this month after battle with Lung cancer. I still play it everyday because I feel she's already a saint and she's listening to it somewhere too in heaven. This song connect me soo deep with my Maker.
Pole sana we pray for her 🙏
Ohh. I have no words. Blessings to you. Kindly follow me page. Pamoja ndugu.
Asante Yesu wa Ekaristi kwa kila hatua ya maisha yangu nakusukuru sana
Mtungaki wa nyimbo Mungu akubariki sana.
Ndio Sakrament kuu mwili damu ya Yesu
Amina.
Ndiyo sakramenti kuu mwili damu ya Yesu.
Hakika hizi nyimbo zina rudisha moyo ulio vunjika nazipenda sana
amina
Ee Yesu wa Ekaristi tunaomba utuokoe na janga hili lililoingia duniani
AMEN!
Ndiyo Sakramenti kuu/ mwili damu ya Yesu
Hakika najivunia kuwa Roman catholic. Asante Mungu kwa hili.
Tumshukuru Mungu
Tumshukuru Mungu
🙏🙏🙏🙏
Amen
Please GOD with my komunyo
NDIYO SAKRAMENT KUU, MWILI, DAMU YA YESU 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hakika mwenyezi Mungu akubariki
Help and guide me always my dear God
mungu yumwema kila wakati Amina
Ee Yesu utuokoe sisi waja wako
Fumbo kuu kwa anae amini. Asanteni sana. Ndio sakramenti kuu
Nzuri saana...mungu akubariki
Amina
Praise the Lord Jesus Christ in the most Holy Eucharist
Jesus we invite you in our hearts especially during this covid-19 pandemic
Hii ndiyo sakramenti kuu
Wimbo unaskiliza hadi rohoni Unafika😊
Amina Mungu akubariki tuendelee kusikiliza kwa kupitia Chanel hii
Ehee viumbe karibunu Mungu wetu tumsifuni, ndiyeee...... Akika mnanikosha sana
Tumshukuru Mungu
Naomba uzidi kutuletea nyimbo nzuri za zamani
Amina kwa msaada wa Mungu azidi kutuimrisha na kutujalia nguvu zaidi ili tuziweke nyingi zaidi
Ndiyo SAKRAMENTI kuu, mwili na damu ya Yesu Kristo... Ubarikiwe sana John Maja....
Amina sifa na utukufu zirudi kwake yeye anayetupa nguvu na maarifa tukayafanya haya yote nakushukuru pia kwakuifatilia Chanel yetu Mungu awabariki nyote tuendelee kusifu na kumwabudu Mungu wetu aliye mkuu wa yote
Anastahili Kuabudiwa daima na milele yote, AMINA
@@reitebarhey amina karibu tumsifu Mungu na Tumtukuze zaidi endelea kuiangalia Chanel yetu
Aksanti sana kwa wimbo huu
bwana anakuona usichoke kuhubiri, nami na family yangu napata baraka kupitia nyimbo hizi bwana atubariki sote
Amina tumshukuru Mungu na tumuombee zaidi atuzidishie nguvu ya kulitangaza neno lake.nakushukuru pia kwa kuifatilia Chanel yetu
Amina tumuombe Mungu
Naweza pata cd ya hizi nyimbo
Ee sakramenti kuu ukaikomboe familia yangu.
Kwa mwili na damu ya yesu ikaizunguke Nyumba yangu kama ishara ya ulinzi juu uzao wangu mashariki kasikazini magaribi na kusini damu ya Yesu ikailinde familia yangu
😍 😍 Mwili Damu ya YESU.
Itutakase karibu uendelee kuifatilia Chanel yetu.kusifu na kuabudu
Wimbo mzuri ualeta uhalisia wa kuabudu EKARISTI TAKATIFU hata kwa kusikiliza
Amina
Asante sana, Mungu akubariki sana na kukuongoza vyema ili uzidi kutuhubiria neno lake, naomba utuwekekee wimbo wa "pokea moyo wangu eeh Mungu wangu, niweze kukupenda kwa pendo kuu" ni maara ya pili naomba huu wimbo natumai utafanyia kazi ombi langu
Asante nitauweka ndugu yangu
Ikipita pasaka nitauweka usijali ni miongoni ya Nazi mpya itakayotoka baada ya pasaka
@@JohnMaja tumsifu yesu kristu tuweke nyimbo za kuabudu ekaristi ninakuabudu kifudi fudi
Amina nitajihidi mpendwa wangu
Milele amina nitaziweka mkuu wangu
Asante Yesu wa Ekaristi
Amina
wimbo huu unatuleta kwenye uhalisia wa uwepo wa Yesu wa Ekaristi Takatifu tunapomuabudu katika roho na kweli
Kabisa mpedwa. 🙏
Moyo mt wa yesu .ufalme wako ufike .asante John maja
Tumshukuru Mungu hongera kwa 2020
Ndio sakrament kuu mwili damu ya Yesu.
Nakwabia kua napata faraja tele tele kupitia nyimbo hizi. Asante sana mwalimu John
Amina Sifa kwa Mungu
Amin
Wow.. Tumsifu Yesu Kristu..
Milele amina
Milele amina
Tumsifu yesu kristu
Milele Amina
Mungu akubariki sanaa ila kuna wimbo wako mmojà wa bikira maria humu siuoni na naupenda sañaa
Amina tumshukuru Mungu
Eeh mungu nijalie nipat mtaji
Amina Mungu Abariki zaidi juhudi zako
Wimbo mzuri sana
Tumshukuru Mungu
mwili n.a. damu ya Yesuu
Vituokoe na kutubadiri
Amen and Amen and Amen 🙏🙏
Amina
Sun ☀ worshipping
Amina
Very nice....inspiring
Thanks
Mwimbaji ubarikiwe
Amina
Ndio Sakrament Kuu mwili na Damu ya Yesu
Amina
Asante Johana kwa kazi nzuri. Tuongezee nyingine zaidi
Amina Mungu Aniongoze zaidi kwa hili nitafanya hivyo
am feeling blessed
Ameen
Amen
Nice job
Thank you
Safi sana
Amina.
Upewe sifa milele Yesu
Amina mtumishi
Nyimbo za zamani nazipenda na zinatafakati nzuri.mfano Nitajongea Altare yako ee Bwana fahari yangu na heri yangu siku zote.
Ee Yesu wa ekaristi tusaidie, tukuehishimu na kukuabudu katika roho na kweli
Nahis Niko mbinguni yan
Mungu akubariki
Amen