KIMENUKA ACT WAJIBU NDANI YA BARAZA WAO HAWATAKI MAKAMU WANATAKA RAIS WA ZANZIBAR 2025
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2024
- TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
Baraza likiwa na wapinzani inakuwa rahaa
Allah anatupa adhabu kw kutupa viongz waovu, angalia thulma tupu hadi hatjuibcha kufany ata uyoRaisi hajui afanye nn.?
Ajira kwa ujamaa sikuhizi
Njaa mbaya
Jambo jema kua kimya na kujibiwa siku ingine lazima ajitambue huyo mzee anatamaaa 😂 ya umakamo hahaha akili Hana jitu Zima ovyooooooo
Huyu jamaa yupo sahihi..
Act mungu awajalie
MWARABU Alikuja Zanzibar special kumuondoa mreno lakn atuambiwi dhambi la mreno lilikua nini ?
kwa suala la kubaguliwa kwenye ajira sema tuu wapemba hawaajiriwi hilo lipo wazi
Zanzibar nikutu ya ng'ombe😢
MRENO NI MTAKTIFU KAMA JISI ALIVYO KUA KAMBARAGE NYERERE (SIJUWI MTAKUBALI AMA VIPI ) ?