Jifunze Kutengeneza Beat Sebene Na Kbd Msafi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @TimothyElius-no5lb
    @TimothyElius-no5lb ปีที่แล้ว +1

    Brooo ni penda sanaaaaaaaaaaaa

  • @modawa3446
    @modawa3446 5 ปีที่แล้ว +2

    Bro upo speed sana kimaelezo sijakpata fresh

    • @kbdmsafi_tz8094
      @kbdmsafi_tz8094  5 ปีที่แล้ว +3

      Fuatilia Zaid Kama Hujaelewa Wenzio Wamwelewa Rudia Kuangalia

  • @churchboyofficial762
    @churchboyofficial762 2 ปีที่แล้ว +1

    Unatisha bro

  • @alexsimoni4277
    @alexsimoni4277 4 ปีที่แล้ว +1

    Hayo mambo nayapenda saana kujifunza inakuwaje mkuu

    • @kbdmsafi_tz8094
      @kbdmsafi_tz8094  4 ปีที่แล้ว +1

      Jifunze Kuimba Kupiga Music Tukuandikie Nyimbo Zenye Ubora Na Kbd Msafi Boresha Kipaji Chako Kwa Kujifunza Nasi Karibu Tupo Tayari Kukuhudumia Tunapatikana Kwa Jina Moja Tuu Instagram & You Tube Kbd Msafi Tz Au Piga No +255763488266 +255683177188 +254778566221
      Karibu Tuku hudumie Tunatoa Mafunzo Kwa Njia Ya You Tube Bure Lakini Kwa Wale Wanaotaka Masomo Binafsi Tunatoa Masomo Kwa Whatsapp Uwapo Upo Nchi Yoyote Tunakufikia Kuna Gharama Utatozwa Kwakila Dakika Moja Ya Somo Na Kama Utahitaji Kujifunza Na Mwalimu Live Utatoa Gharama Za Usafiri Mpaka Ulipo Kula Na Kulala Na Gharama Kidogo Za Siku Zile Utajifunza Tunapatikana Muda Wowote Karibu Tukuhudumie Namba Zetu Ni Hizo Hapo Juu

    • @alexsimoni4277
      @alexsimoni4277 4 ปีที่แล้ว

      Ok pw

  • @JecoSimkonda
    @JecoSimkonda 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba na hii biti iwe loop dakika kumi naiomba ipo vizuri

  • @lusungukitago9000
    @lusungukitago9000 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi piga sebene za aina zote kaka

  • @adoniasjosepjjj4039
    @adoniasjosepjjj4039 3 ปีที่แล้ว +1

    Freshi iyo nimependa m mwenyewe natengeneza sana kama VP tukutane WhatsApp mwamba

  • @francehyera5979
    @francehyera5979 4 ปีที่แล้ว

    Nakupata vizuri mkubwa kazi nzuri Mungu akubariki

  • @elibarickmsoko7547
    @elibarickmsoko7547 3 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri kaka

  • @emmanuelmzila8120
    @emmanuelmzila8120 4 ปีที่แล้ว

    sawa mkalii kbd mashineeeeeeeeeeeeee

  • @elibarickmsoko7547
    @elibarickmsoko7547 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeitaman sana hiyo

  • @enockmigenda52
    @enockmigenda52 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka hila nlikua naomba unisaidie namna ya kupiga snaer ya seben kwenye kyboard na kutengeneza rooll

  • @joshualazaro9721
    @joshualazaro9721 5 ปีที่แล้ว +2

    vzr sana mwalim

  • @joshuajosephswai5639
    @joshuajosephswai5639 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur mwalimu ila tunaomba ujaribu kuwa taratibu unavyo fundisha

  • @theophiluszhou7233
    @theophiluszhou7233 5 ปีที่แล้ว +5

    thanks for the tutorial,especially on creating beats,,,,Some more please.

  • @lugprostudio
    @lugprostudio 4 ปีที่แล้ว +2

    shukrani sana bro Kbd msafi mungu akubariki sana mafunzo yako nimeyapenda sana me ni producer mchanga sana katika mziki wa gospel nimenunua MIDI PIANO kwa ajili ya kujifunzia lakini pia kutengeneza beat kwa FL STUDIO 20 ila naomba tutorial ya wimbo wa tenzi nisalama rohoni mwangu ntashukuru sana. Nakutakia kazi njema

  • @victorrogers2587
    @victorrogers2587 2 ปีที่แล้ว

    Iko vizuri

  • @gospeltz4899
    @gospeltz4899 5 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante Mwalimu

  • @shemurusekwa2985
    @shemurusekwa2985 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mwlm umeniongezea kitu asanteeeee

  • @joshuasumaye4699
    @joshuasumaye4699 5 ปีที่แล้ว +4

    Kamanda Wew Balaa

  • @victorizack997
    @victorizack997 3 ปีที่แล้ว

    Brother good

  • @elishajoseph1572
    @elishajoseph1572 5 ปีที่แล้ว +1

    uko vizuri sana

  • @shuldosmt9048
    @shuldosmt9048 4 ปีที่แล้ว

    Big up kwasana bro

  • @jerusalemfpctbabatimjini3221
    @jerusalemfpctbabatimjini3221 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi Sana Kijana Wetu

  • @martinwachira3276
    @martinwachira3276 4 ปีที่แล้ว

    Kazi mzuri ,nafuata masomo yako

  • @jamesmbalamwezi740
    @jamesmbalamwezi740 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka nakibody 650 nachoo kutengeneza by cikina uwezo

  • @jifunzemuzikinauimbaji590
    @jifunzemuzikinauimbaji590 4 ปีที่แล้ว +1

    Vp kaka unapatikana mkoa gani

  • @FarajaMawazo-eq1tm
    @FarajaMawazo-eq1tm ปีที่แล้ว +1

    Unifunze Nina keyboard psr a3000

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh kwa sis tunao jifunza tuna enjoy kuona unafanya inakaa poa lkn kuelewa ni aslimia 5 coz uko speed xn pia cameraman wako yuko mbali MTU aon unabonyeza vitufe araka araka xn ila uko vizur kwenye music

  • @g.p.ubandusa7564
    @g.p.ubandusa7564 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante br natamni nijuw ku make beat on keyboard

  • @normankarwa1204
    @normankarwa1204 4 ปีที่แล้ว +1

    thanx for lesson

  • @AICTmalampaka
    @AICTmalampaka 2 ปีที่แล้ว +1

    Namna ya kutambua k ya muimbaji na mimi huwaga napiga ki c

  • @AbeliObed-mi6fo
    @AbeliObed-mi6fo ปีที่แล้ว +1

    Asante San Brother kbd Sasa Mimi Shida yangu nikwamba najaribu kudownload lakin inashindikan kwahiyo nilikuwa naomba Namba yako ili unirushie WhatsApp

  • @lucky360studios7
    @lucky360studios7 5 ปีที่แล้ว

    Naomba utafute piano psr650

  • @ahadijoel1408
    @ahadijoel1408 4 ปีที่แล้ว +2

    0713753339 nakuomba tafadhali ninashida na hivi vitu sana sana nipo

  • @modawa3446
    @modawa3446 5 ปีที่แล้ว +1

    Na vp namna ya kuliweka beat kwenye flash yan kulihamisha kutoka kwenye keybord

  • @emmybruce7301
    @emmybruce7301 4 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @libertembarikiwa2585
    @libertembarikiwa2585 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo ndugu ila kwenye piano ya Prs 670 utafanyaje sasa !??

  • @lukamungure4321
    @lukamungure4321 4 ปีที่แล้ว +1

    Unapatikana mkoa gani?

    • @kbdmsafi_tz8094
      @kbdmsafi_tz8094  4 ปีที่แล้ว +1

      Jifunze Kuimba Kupiga Music Tukuandikie Nyimbo Zenye Ubora Na Kbd Msafi Boresha Kipaji Chako Kwa Kujifunza Nasi Karibu Tupo Tayari Kukuhudumia Tunapatikana Kwa Jina Moja Tuu Instagram & You Tube Kbd Msafi Tz Au Piga No +255763488266 +255683177188 +254778566221
      Karibu Tuku hudumie Tunatoa Mafunzo Kwa Njia Ya You Tube Bure Lakini Kwa Wale Wanaotaka Masomo Binafsi Tunatoa Masomo Kwa Whatsapp Uwapo Upo Nchi Yoyote Tunakufikia Kuna Gharama Utatozwa Kwakila Dakika Moja Ya Somo Na Kama Utahitaji Kujifunza Na Mwalimu Live Utatoa Gharama Za Usafiri Mpaka Ulipo Kula Na Kulala Na Gharama Kidogo Za Siku Zile Utajifunza Tunapatikana Muda Wowote Karibu Tukuhudumie Namba Zetu Ni Hizo Hapo Juu
      #Osiah_Kasanga #Kbd_Msafi

  • @jackknig7437
    @jackknig7437 4 ปีที่แล้ว +1

    My name is a lot of people who are you a lot of people who are you a lot of people who are you a lot of people who want the whole world is the first to write you an

  • @Boazmosses8204
    @Boazmosses8204 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa psr 550 inakuwaje bro

  • @g.p.ubandusa7564
    @g.p.ubandusa7564 4 ปีที่แล้ว

    Bona keyboard ya ni psr- s950 yamaha lakin aina menu tu nifanye nini kwa msaada