Jinsi nilivyotibu uvimbe kwenye kizazi kwa kiungo Kimoja tu kutoka jikoni kwako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @NeemasakuKiselya-p1p
    @NeemasakuKiselya-p1p 3 หลายเดือนก่อน

    jina jingine La uwatu

  • @TotoToto-cj7zj
    @TotoToto-cj7zj 9 หลายเดือนก่อน

    Halafu ninaswali ninaweza kutumia uwatu pia ninapo ingia kwenye siku zangu naweza kutumia tangawizi na asali pamoja na uwatu?

  • @TesileaiaNestoly
    @TesileaiaNestoly 6 หลายเดือนก่อน

    Uwo uwatu unapatikana wapi

  • @HalimaOmarHambal
    @HalimaOmarHambal ปีที่แล้ว

    Na je unaweza kuchemsha ukaweka kwenye chupa ya chai ukanywa kidogodogo

  • @leilahaji-w7h
    @leilahaji-w7h ปีที่แล้ว

    Je mjamzito mweny uvimbe anaweza kutumia

    • @Sadedimples
      @Sadedimples  ปีที่แล้ว

      Hapana mjamzito usitumie mpaka utakapojifungua

  • @CosetteNiyinkuru
    @CosetteNiyinkuru 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko na uvimbe kwenye kizazi kinapima 7cm , sasa nifanje

  • @rattypattyfromikea
    @rattypattyfromikea ปีที่แล้ว

    Explain in English

    • @hassanfaqih5081
      @hassanfaqih5081 ปีที่แล้ว

      She says that fenugreek helps to heal fibroids in the uterus.

  • @fatumamwabutu131
    @fatumamwabutu131 ปีที่แล้ว

    Hii nikweli jaman?? Maana Uvimbe wanitesa jamani si masihara

    • @Sadedimples
      @Sadedimples  ปีที่แล้ว

      Ndio. Una uvimbe gani ?Uvimbe maji Na ni saizi gani?

    • @doreenraymond8574
      @doreenraymond8574 ปีที่แล้ว

      Na mm nna uvmbe maji c mkubwa San 2.4

    • @Sadedimples
      @Sadedimples  ปีที่แล้ว

      @@doreenraymond8574 Tumia Tangawizi na asali . Pindi unapoingia kwenye hedhi mpaka unapomaliza hedhi yako.

    • @Sadedimples
      @Sadedimples  ปีที่แล้ว

      @@doreenraymond8574 Angalia hii 👇
      th-cam.com/video/vJ3QdVky-H8/w-d-xo.htmlsi=Cf9ARWtiKIfzWN-9

  • @DorcasMwanyalo
    @DorcasMwanyalo 3 หลายเดือนก่อน

    Uwatu ni ngano ama nn

  • @HalimaOmarHambal
    @HalimaOmarHambal ปีที่แล้ว

    Kwa muda gan mamy unatumia hyo dawa yan ck ngap?

  • @ElizabethyMaona
    @ElizabethyMaona ปีที่แล้ว

    Hii ni ngano maana mmenichanganya

    • @Sadedimples
      @Sadedimples  ปีที่แล้ว

      Huo ni uwatu. Uwatu ni Moja ya viungo vya jikoni. Kama vile ukisema pilipilmanga ,iliki .

  • @monicalaizer7596
    @monicalaizer7596 ปีที่แล้ว

    Uwatu nini?

    • @Sadedimples
      @Sadedimples  ปีที่แล้ว

      Uwatu ni Moja ya viungo vya jikoni. Kama vile ukisema pilipilmanga ,Hiliki .

  • @TotoToto-cj7zj
    @TotoToto-cj7zj 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninauvimbe size 4 je naweza tumia hii na nikapona kabisa

  • @MarthaGeogre
    @MarthaGeogre 5 หลายเดือนก่อน

    Uwatu naweza kutumia wa UNGA

    • @MaryDaniel-dj1hv
      @MaryDaniel-dj1hv 3 หลายเดือนก่อน

      Xamahau uwatu unapatkana xokon au

  • @TotoToto-cj7zj
    @TotoToto-cj7zj 9 หลายเดือนก่อน

    Halafu ninaswali ninaweza kutumia uwatu pia ninapo ingia kwenye siku zangu naweza kutumia tangawizi na asali pamoja na uwatu?

  • @TotoToto-cj7zj
    @TotoToto-cj7zj 9 หลายเดือนก่อน

    Halafu ninaswali ninaweza kutumia uwatu pia ninapo ingia kwenye siku zangu naweza kutumia tangawizi na asali pamoja na uwatu?

  • @TotoToto-cj7zj
    @TotoToto-cj7zj 9 หลายเดือนก่อน

    Halafu ninaswali ninaweza kutumia uwatu pia ninapo ingia kwenye siku zangu naweza kutumia tangawizi na asali pamoja na uwatu?

  • @TotoToto-cj7zj
    @TotoToto-cj7zj 9 หลายเดือนก่อน

    Halafu ninaswali ninaweza kutumia uwatu pia ninapo ingia kwenye siku zangu naweza kutumia tangawizi na asali pamoja na uwatu?