Mbarikiwa amwangukia MAKONDA. Nimetumwa nikuletee ujumbe huu wewe na serikali kwa ujumla

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 137

  • @isaacsanga9707
    @isaacsanga9707 3 หลายเดือนก่อน +4

    Haki huinua taifa baba. Mungu akubariki sana sana sana.
    Kama hujakutana na masaibu ya mahakamani na gerezani sio rahisi kujua moyo alionao mchungaji huyu tena bora unyamaze kuliko kumkejeli.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tatizo la hii nchi ni katiba tu wakiongea chadema tunawaona kama wanachuki binafsi, ikirekebishwa katiba basi mambo mengi yatakuwa sawa,,,,but hongera mtumishi kwa kujilipua

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ubarikiwe sana Mtumishi! Neno lako ni jema kabisa!

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu azidi kukulinda kaka maana kiukweli inauma maana uwonefu nimwengi kuliko haki

  • @danielmwampeta3338
    @danielmwampeta3338 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana Mtumishi wa MUNGU kwa kuwatetea wafungwa na maabusu,
    Hivyo ninakuomba mh.Rais Samia pamoja na serikali yako msikikilize kilio hicho cha Mtumishi wa MUNGU nanyi mkitendee kazi kwa harakaka....,MUNGU atawabariki.

  • @Stanley-vh6nz
    @Stanley-vh6nz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa hili umenena vyema pastor...Mwenye masikio nadhani wamesikia

  • @rogersjoseph7363
    @rogersjoseph7363 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana toka nikusikie Leo umenena vyema sana Mungu akutiye nguvu sana

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzito mno, waswahili wanasema ukweli unauma lakini niwaambie kusingiziwa kunauma hatari Mbarikiwa nimekuelewa

  • @user-bq6jv2mh1e
    @user-bq6jv2mh1e 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikiwa ndio maana ulifungwa si kwa kukuonea kivile ni Mpango wa Mungu uhende uko huone yanayotendeka Magerezani Sio hiyo tu ya Mbeya ni kote Tanzania .Kwa ujumla Magereza yote ya Dunia ya tatu ni mbaya zaidi.
    Wamekuomba uwasemee kwa kuwa wewe umeshuhudia huozo wa Maabusu.Mungu anakuona unavyo sema kwa uchungu jinsi wafungwa wanavyofanyiwa. Lakini wanasahau kuwa Mungu atawalipa kwa kazi zao.Mungu alali watalipwa.Ubarikiwe sana.Yesu alisema kipimo kile kile mnacho mpimia mtu Mtalipwa vile vile

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 3 หลายเดือนก่อน

    Dah kwakweli Mchungaji Mungu akubariki sana ni roho ya pekee kuwajali wengine hakika ni wachache sana hapa dunian tunaomba mfanyie kazi ujumbe huu hakika tunaamin 😢

  • @user-qy7he6cl8w
    @user-qy7he6cl8w 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika hii ni sauti ya mtu aliaye nyikani....😭😭😭😭😭 Utumwa bado upoo hatujawa huru bado Africa ,,,,.Mbarikiwa Siku akifa Nchi itazizima,,,, Bwana Yesu azidi kukupa uzima Baba Yetu...

    • @cathelinematondo3992
      @cathelinematondo3992 3 หลายเดือนก่อน

      Daaaaaah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @BarackyMgenimgeni
    @BarackyMgenimgeni 3 หลายเดือนก่อน

    Wacha watese kwa zamu nao hawata songea sana katika Dunia Mungu yupo!!!elewa tu hivo

  • @janepatrickmesso7487
    @janepatrickmesso7487 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pastor nimekuota unanisimamia mitihani yangu ya chuo (japo nilishamalizaga chuo pale IFM toka 2019), halafu nikaaga kwenda washroom, ile natoka nikakuta mtihan wangu umeibiwa😢, haupo, nikakufata kukuelezea kwamba sion mtihani wangu, ukanijibu USIJALI mwanangu, mm namjua mama yako anamtumikia Mungu, utafauru haijarishi 😊

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 3 หลายเดือนก่อน

    Cha Kufanya Ufanye Maombi Aje Kuwa Raisi Kwasababu Yeye Anafanya Kazi Ndani Ya Mkoa Lakini Ndani Ya Mkoa Nilazima Iko Mipaka Kwenye Baazi Ya Mambo Cha Kufanya Wewe Kama Mwana Maombi Muombee Na Mungu Kama Atajibu Maombi Yake Basi Makonda Awe Raisi Akiwa Raisi Apo Sasa Afya Za Watu Zitasimama Na Akili Zitakua Imara Pia

  • @S.F.SCompany-vb1md
    @S.F.SCompany-vb1md 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel mpaka machozi mungu akutie nguvu

  • @sevelinmax-vi8yw
    @sevelinmax-vi8yw 3 หลายเดือนก่อน +2

    nisamehe baba mwanna mpotevu nami yalinikuta nakuja nimesaidika sana unayoongea ni kweli baba mama wa shinyanga

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 หลายเดือนก่อน +1

    Da! Umenigusa sana. Ubarukiwe Mbarikiwa

  • @shigongoshuli6320
    @shigongoshuli6320 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mtumishi kwa kujitoa mhanga kutetea wanaoonewa🙏

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ww una ujasir akina Daniel mungu akubark sn

  • @maryhando227
    @maryhando227 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda saidia kweli magereza hiyo ni sauti ya Mungu.

  • @leonardjamson-tb4jj
    @leonardjamson-tb4jj 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mchungaji hata Kwa kujitokeza hazalani

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 หลายเดือนก่อน

    Nimeumia nawaza asingejilipua tungejuaje ndugu zangu tuombe kwaajili ya wenzetu

  • @RICHARDMWASEMELE
    @RICHARDMWASEMELE 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen baba nadhani sauti hii imefika

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +1

    aiii jmni mtu huyu amelilialia mno jmni kuhusu wafungwa. jmni serikali yetu nzuri hebu mumsikiize mukande huko magerezani kuskia kero za watu wetu. maana kuna watu huko wanamiaka na miaka mpaka wamekosa matumani. hebu jmni basi mkasuluishe kwa haraka kawasaidieni na vilio vyao tafadhalini

  • @RobertMmole
    @RobertMmole 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie Baba katika haya !

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 3 หลายเดือนก่อน

    Naimn kaka umesikia iki mimi pia nilifanyiWa fitina nikafungwa naomb mdikilize uyu baba

  • @winifridaelias819
    @winifridaelias819 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji naamini unaemuomba ww akusaidie au awasaidie wengine ni mwanadamu,nakushauri muombe Mungu afanye jambo hilo,mlilie Mungu tu

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa nimejua kilicho kupeleka gerezani kweli TUNAPASWA KUMKIRI MUNGU wakati wote. Akili zake sio akili zetu uwezo wake upo juu sana. Sifa na utukufu ni zako wewe MUNGu. Tunaomba utusaidie kuishi Kwa haki ndani ya taifa letu.

  • @alunekyusa4905
    @alunekyusa4905 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kamanda

  • @sevelinmax-vi8yw
    @sevelinmax-vi8yw 3 หลายเดือนก่อน +5

    kweli Makonda yuko safi

  • @ShinjeMackenzie
    @ShinjeMackenzie 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mtumishi

  • @DavidJairosi-uw8ex
    @DavidJairosi-uw8ex 3 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana kaka

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sina lugha ya kusema but wewe ni kinywa cha Mungu ole wa Tanzania isiposikia haya na kukutendea kazi laana itaitafuna Tanzania.

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda ckia kilio Cha mtumishi huyu wa mungu makonda makonda makonda ckia kilio hiki

  • @AgnessMloka
    @AgnessMloka 3 หลายเดือนก่อน +1

    😢 mtetezi WA wenye Haki , wewe yesu KRISTO BWANA wetu , sifa NI unastahili

  • @adonaiastoni1703
    @adonaiastoni1703 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen baba na iwe hivyo!! umfikie ujumbe huu!

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatzo ni la mifumo ya nchi yaan watu wakiwa serikalini bas wanakua kama miungu watu😮

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 3 หลายเดือนก่อน

    Nimesikitika nilivyosikia mtu anazomewa kuwa ni chizi kumbe anaakili timamu nilisikia stori kama hiyo huyo dada alikuwa anaombewa wakusema ni chizi Kila akijaribu kusema mm ni mzima wanakemea mpaka dada Kawa chizi kweli hii sio nzuri

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubar sana mbalikiwa

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hii sautii isikike tz nzima

  • @LameckLameck-v9r
    @LameckLameck-v9r 3 หลายเดือนก่อน

    Wazee wetu walikosea kuwafukuza wakoloni watu wanabambikizwa kesi

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Mwakipesile

  • @HenryKasaje-on4xq
    @HenryKasaje-on4xq 3 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana mmbalikiwa kweli umebalikuwa kweli nakweli mahakama hazifanyi kazi kiukweli wapo kimasilai wakipigwa na Hela wanaachiwa

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubaliii sanaaaa

  • @MnyamaTolu-kd5ct
    @MnyamaTolu-kd5ct 3 หลายเดือนก่อน

    Unaloliongea pengne baazi waskuelewa ila mm nakuelewa mana nilkuwa huko Ubarikiwe

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi wa Mungu Mungu akutie nguvu sana na nakupenda sana mtumishi

  • @annesmatemu4264
    @annesmatemu4264 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka nimelia jamani uwiiii Makonda Makonda mtete,zi

  • @omanqqwe4061
    @omanqqwe4061 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu 😢😢

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 3 หลายเดือนก่อน

    NAAMIN NAAMIN WALA SINA SHAKA MUESHIMIWA AKIION HII CLIP NAAAMI ATAKUJA ON THE SPOT

  • @user-qy7he6cl8w
    @user-qy7he6cl8w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mahakimu Mahakimu Mahakimu....nimewaita Mala 3 Mnatumia Nafasi zenu vibaya Malipo Yenu yapo yanawasubili

  • @BahatiMwangoka-b1g
    @BahatiMwangoka-b1g 3 หลายเดือนก่อน

    .NENO LIKIRUHUSU MIMI MWANA MFALME WA UFALME WA TETE MIMI MTU MWEMA NENO LIKIRUHUSU VILEVILE MTU ASIYE FAHAMU CHOCHOTE KUHUSU TETE (BABA) ANA HATALI KUBWA SANA AKIKUSIKILIZA VILEVILE AKIKUTAZAMA#UTU UKO JUU YA SHERIA

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 👏 🙏 👏

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wafungwa hawana hatia hao vuongonzi wa CCM ndio walitakiwa kuwa gerezani Magufuli alicho kosea ni kuto kuwafunga hao wezi wanao iba mali za wana Nchi. Ndo walio muuwa ili waendelea kuiba.

  • @Hapomwanzo
    @Hapomwanzo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuuu! Mungu anamaMIAMBA, nani anayeweza kuyasema haya, wengi walioingia huko walitoka na wakawa kimyaaaaaa, ila huyu mwamba mmmmmm!.

    • @user-vo6fu3pp1p
      @user-vo6fu3pp1p 3 หลายเดือนก่อน

      HAKIKAAAAA! Umenena VYEMA MUNGU AKUTIE NGUVU TU BABA YETU ULILETWA DUNIANI KWA KAZI HII YA KULETA UTU NA HAKI DUNIANI.

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 3 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mahakama kwenye haki pawepo na ngazi nyingine zaidi yao.

  • @maryhando227
    @maryhando227 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @thimoteslangay2010
    @thimoteslangay2010 3 หลายเดือนก่อน +1

    Makondo huu ni ujumbe uliotoka kw mungu

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji Mbarikiwa umenitoa machozi......!!!

  • @JeniferMazengo
    @JeniferMazengo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 หลายเดือนก่อน

    Amanaloli mputii uchala akulidee

  • @DavidJairosi-uw8ex
    @DavidJairosi-uw8ex 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mbarikiwa unaanza kuwa mchungaji, naomba hicho kitabu

  • @Wiittole
    @Wiittole 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nitaomba kupata kitabu chako,nina kitabu kingine cha mtumishi kama wewe cha siku 1888 gerezani.kuna mambo ya ajabu sana.

  • @simumbaken4902
    @simumbaken4902 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉

  • @EdwinYustin
    @EdwinYustin 3 หลายเดือนก่อน

    Hii nchii ngumu sana

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 3 หลายเดือนก่อน

    Kwann hukusema wakati ulipitoka ??? maana Makonda kipindi hicho alikuwa bado ni Katibu Mwenezi CCM.

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 3 หลายเดือนก่อน

    Alafu aya magereza tulijengewa cc wanyonge maana waliopo magerezani ni masikini tu hawa wanaoiba mabilioni yetu kodi zetu wanateteana kwa nguvu zote kusema kweli sio poa

  • @user-oo3kc2cj8n
    @user-oo3kc2cj8n 3 หลายเดือนก่อน

    Tupate soft copy ya kitabu hicho baba mchungaji kwa sababu umegusa penyewe

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 2 หลายเดือนก่อน

    Umeongea fact

  • @MussaMadumba
    @MussaMadumba 3 หลายเดือนก่อน

    NAKUOMBA SANA NDG MAKONDA MUNGU HUYU AKULINDE UTOKAPO NA UINGIAPO,

  • @user-fw6dp9iy4i
    @user-fw6dp9iy4i 3 หลายเดือนก่อน

    Katika hili ,,kama mungu aishivyo Israel na iseme SASA,,,
    Hapa nauona ulokole original,,namuona Roho mtakatifu original,, nauona wito,Naiona sauti ya MTU aliaye nyikani,,,,

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji naomba share hii video kwa mamlaka husika💔💔💔🙏🙏🙏

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 หลายเดือนก่อน +1

    duh ebn ww mchungaji kweli Noma Bado unaongea tena huogopi hahaaaaaaa dah ningekua mimi ninge kaakimya

    • @user-vo6fu3pp1p
      @user-vo6fu3pp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa kwa WEWE USIYEJALI MAUMIVU YA BINADAMU MWINGINE DUUUUUUUUH INASIKITISHA SANA. ETI ANYAMAZE!!!!!!!!! KWA KWELI UTU UMEONDOKA DUNIANI

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 3 หลายเดือนก่อน

      Ww uwwzi uyu mwanaume anaweza

  • @JonhYusuph
    @JonhYusuph 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna ktu kkubwa nyuma ya 41:13 mateso ya mbarikiwa, mwe 😢😢😢!!

  • @hansmkumba3774
    @hansmkumba3774 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona mchungaji anajistukia nani kamzua kuongea

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi4380 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mungu sianakusikia zaidi ya makonda baba mweleze bwana atafanya tu

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 หลายเดือนก่อน

    ni kweli watu wengi hawana hatia

  • @-ef3wr1087
    @-ef3wr1087 3 หลายเดือนก่อน

    Correct

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 3 หลายเดือนก่อน

    Acha ushetani

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 3 หลายเดือนก่อน

      We nimalaya et siutafuta mashoga wenzio mzungumze uyu baba anatoa shida zawatu alafu unaingiza ushetani we ni choko nini

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 หลายเดือนก่อน

    Nisibrieni niwe rais mm kitaereweka kwa wanyonyaji makafiri hawa

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 3 หลายเดือนก่อน

    Haya maneno ndo ninayo yapenda mbalikiwa wanakushambulia sn ila mm nakuelewa sn uwa unapenda sn haki bro ila viongozi wetu walio wengi ni shida sn

  • @FloraErasto-ld1kd
    @FloraErasto-ld1kd 3 หลายเดือนก่อน

    Mwe umwe, Kyala mwe😢

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio maana Uliitwa ULIYEBARIKIWA

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli Mh Makonda Mungu anakusudi na ww

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 3 หลายเดือนก่อน

    Pambana makonda

  • @AgnessMloka
    @AgnessMloka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunawakusanya watetezi WA wenye Haki...RC makonda yesu akutie ujasiri ingia kwenye time ya BWANA yesu kutetea walioonewa

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 3 หลายเดือนก่อน +2

      Utetezi wa mazingaombwe

    • @clemencelisonga8261
      @clemencelisonga8261 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu hadhihakiwi utakipata unachokitafuta huwezi mjibu hivyo mtu anafumbua​@@eliajimmy95 uovu jambazi mkubwa wee

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 3 หลายเดือนก่อน

      @eliajimmy 😂😂😂 acha wivu ww

    • @AgnessMloka
      @AgnessMloka 3 หลายเดือนก่อน

      @@eliajimmy95 ina maana wewe ni mzingaombwe au unakataa wewe si mtetea Haki?

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 3 หลายเดือนก่อน

      Unafiki ndo umekujaa! Hao Nyumbu zenu walishamtetea nani?​@@eliajimmy95

  • @user-qv3gm4yo4r
    @user-qv3gm4yo4r 3 หลายเดือนก่อน

    Mbon kama anasug mikonon kama anajichubua

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu kwani lazima ukomment?

    • @user-vo6fu3pp1p
      @user-vo6fu3pp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe hujasikiliza hata UJUMBE ILA UPO KWA AJILI YA KUONA SURA YAKE? KWA KWELI HII DUNIA WANYONGE NDIO WENYE MAUMIVU. UNAMALIZA MB ZAKO KWA AJILI YA KUANGALIA MIKONO YA MCHUNGAJI? DUUUUUUUH INASIKITISHA SANAAAAAA

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 หลายเดือนก่อน

    Wee nae comedy, muda wrote leo ndio unasema, Acha comedy

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 3 หลายเดือนก่อน

      Mmm pole

    • @paullazaro3127
      @paullazaro3127 3 หลายเดือนก่อน

      Kila jambo na wakati wake.

    • @user-du8kk6xd7t
      @user-du8kk6xd7t 3 หลายเดือนก่อน

      kila jambo na wakati wake haukurupuki kila jambo latokea kwa wakati

  • @froma3732
    @froma3732 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona umechelewa kutowa salamu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน

    Nahisi Mbarikiwa kama hauko sawa

    • @goodluckjackson5564
      @goodluckjackson5564 3 หลายเดือนก่อน

      Acha kupayuka kwa usiyoyajua

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu atakurekebsh tuu

    • @goodluckjackson5564
      @goodluckjackson5564 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa lipi?

    • @JohnMakongo-tg3ms
      @JohnMakongo-tg3ms 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa lipi mtu wa Mungu!mbona haujaongea kutetea mtu

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe ndugu unashida ganj kichwani??, mbarikiwa kakosea nini hapo, kutetea watu amekosea, naamini bado upo duniani, utakuja kuelewa umaana wa anachokisema.

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 3 หลายเดือนก่อน

    Hamna mtu hapo

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 3 หลายเดือนก่อน

      Unaelewa unachokifanya?,,

    • @paullazaro3127
      @paullazaro3127 3 หลายเดือนก่อน

      Mambo hayo yanaweza kukupata hata wewe ilimaadam upo hai, usibeze Kila kitu ndg.

    • @user-vo6fu3pp1p
      @user-vo6fu3pp1p 3 หลายเดือนก่อน

      Jitokeze wewe MTU BASI TUKUONE!!! IVI MTU NI NANI? Ivi kati yako wewe na HUYO unaesema SIO MTU nani ni mtu KAMILI? KWA SISI WAJINGA TUNAONA HUYU NDIYE BINADAMU KAMILI.

    • @davidmalisa8043
      @davidmalisa8043 3 หลายเดือนก่อน

      Achen makasiriko hamna mtu hapo Kama! We unamuabudu ni ww

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 3 หลายเดือนก่อน

      @@davidmalisa8043 Unahitilafu kwenye akili, Pole sana.

  • @BarackyMgenimgeni
    @BarackyMgenimgeni 3 หลายเดือนก่อน

    Wacha watese kwa zamu nao hawata songea sana katika Dunia Mungu yupo!!!elewa tu hivo