HALI ILIVYOKUWA BUNGENI JPM AKIWASILI/ GWARIDE LAPIGWA/HELIKOPTA ZIKITANDA ENEO LA BUNGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @safmagumwageni2559
    @safmagumwageni2559 3 ปีที่แล้ว

    Duuh wa makelele wamsha potea

  • @davidlevy6398
    @davidlevy6398 ปีที่แล้ว

    mungu alimpenda atumkie mbinguni.

  • @godifreypaul9409
    @godifreypaul9409 4 ปีที่แล้ว +9

    Hili ni jeshi tu,la Rais.Watu macho yote kwao,sasa,kuna jeshi la mbinguni,sijui itakuwaje siku hiyo.Hongera JPM.Tumenyooka.

    • @wiliadchaula7737
      @wiliadchaula7737 4 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂 motio utawaakaa🔥🔥🔥

  • @edwardsamson7951
    @edwardsamson7951 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna Kitu kinanipa Hisia kali Kama NATIONAL ANTHEM ani nikiusikiaga huo Wimbo huwa Nafeel Utanzania wangu mpaka kwenye Blood Vessels.
    Mungu Ibariki Tanzania,
    Mungu Ibariki Afrika..

  • @franciskwaslema412
    @franciskwaslema412 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyo cameraman anamakusudi sana. Eti anamvuta yule mrembo 😂😂😂

  • @gwamakahumphrey754
    @gwamakahumphrey754 4 ปีที่แล้ว +1

    Ssp Mwangosi daaaa nice!💪

  • @jacksonmkwashapi3872
    @jacksonmkwashapi3872 4 ปีที่แล้ว +4

    I love you mama Tanzania. .may the Lord expand your boundaries in all aspects. Viva my president Dr JPM

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว +5

    Magufuli has changed Tanzania in so many ways. A true Leader. We pray for you our President

  • @martinignasious
    @martinignasious 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwangos ssp we love you

  • @alexanderedimundi8213
    @alexanderedimundi8213 4 ปีที่แล้ว +4

    Remind me of my days 😂😂

  • @HASASON
    @HASASON 4 ปีที่แล้ว +6

    Vivaa JPM
    Vivaa Tanzania 👍🇹🇿

  • @gracejohn886
    @gracejohn886 4 ปีที่แล้ว +5

    Leo nchi ipo idodomia heko Rais wetu naiona Tanzania mpyaaaa 🇹🇿

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 4 ปีที่แล้ว +1

    0:41 kuna wamama wanacheza wimbo wa band ya Polisi 😀😀😀

  • @einorthmollel8636
    @einorthmollel8636 4 ปีที่แล้ว

    Viva le Great Tanzanian President Dr. John Joseph Pombe Magufuli. Your the most peculiar genius President ever to be in a millennium ago. Watanzania wazalendo na wasema kweli wenye kuona uliyoyafanya tuko nyuma yako... Mungu akutunze na akulinde kwa faida ya wanyonge.. We love youuuuuu

  • @salimzaidi9203
    @salimzaidi9203 4 ปีที่แล้ว +8

    MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MMBARIKI RAIS WETU MPENDWA

  • @williamsongolo4217
    @williamsongolo4217 4 ปีที่แล้ว

    Hicho kimlio cha bendi tu no hatar

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 ปีที่แล้ว +3

    Wataweza kweéeeeeliii

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 4 ปีที่แล้ว +2

    Raha ya paredy wanaoifaham ni watazamaji ila inakufanya uringe ukiwa unatembea isee heko vijana

  • @amoucierpoul904
    @amoucierpoul904 4 ปีที่แล้ว +2

    Mr presida be blessed
    indeed

  • @delvojr5034
    @delvojr5034 4 ปีที่แล้ว +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +14

    Huyu ndiye kiongozi wetu mpendwa was Taifa letu la Tanzania. Nae ni Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว +3

    Simba wa nyika Magufuli baba lao

  • @asiaokelay8421
    @asiaokelay8421 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @iddisheshambo9944
    @iddisheshambo9944 4 ปีที่แล้ว +3

    Good job makamanda wetu

  • @elineemamsuya8057
    @elineemamsuya8057 4 ปีที่แล้ว

    Nimeona wp hapo daaa safi sana

  • @edwardmhadisa7972
    @edwardmhadisa7972 4 ปีที่แล้ว +1

    Kamaulaya yan

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 ปีที่แล้ว +9

    Hawa wajomba walonyuka Vyutii wanavotoa maelezoo nimewaelewaaa... Afu kuna mmoja nimemuona hapo anajifanyaga hana kazi anauzaga Matundaa Mtaani kweetyuu daaah maisha hayaaa

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +7

    MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MBARIKI RAIS WETU NA UMLINDE RAIS WETU SIKU ZOTE inshaalah

  • @neemahamisi4302
    @neemahamisi4302 4 ปีที่แล้ว +2

    J P M anaingia

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +9

    Alhamdulillah Allah kareem siku zote GOD BLESS U RAIS WETU JPM AMEEN

  • @friminrogasian6159
    @friminrogasian6159 4 ปีที่แล้ว +2

    Mr.president

  • @afrikanslooktz224
    @afrikanslooktz224 4 ปีที่แล้ว

    Gwaride safi kabisaaa, Ila pia ujue ukiwa na mtaji mdogo na hujui ufanye biashara gani
    ikutoe njoo upate mbinu mbalimbali kujikwamua kiuchumi, Karibu sana sana
    Follow me insta @mapishi_zona @mapishi_zona

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna lolote kama anapedwa sana mbona ulinzi mara tatu ya ulinzi wa Mwinyi, Mkapa, na Kikwete. Watu hawajionyeshi maana ukijulikana Tanzania humpendi Magufuli lazima akuue tu kwa kuwatumia Polisi. Katika Rais hapedwi kabisa Tanzania ni Magufuli na kama hamuamini mwaka huu inabidi CCM waibe kura kuliko Mwaka 2015. Sababu kubwa zinamfanya asipendwe kabisa ni hizi zifuatazo. Kwanza aliwafukuza wafanyakazi 15,008 bila kuwalipa stahiki zao. Pili aliwatumbua wakuu mbali mbali wa nchi kwa visingizio mbali mbali. Tatu aliwafilisi Matajiri wengi sana ambao walilazimika kufukuza pia wafanyakazi wao. Nnne alikamata fedha za watu walizokuwa wamewekeza kwenye maduka ya kubadili fedha za kigeni. Hawa wote pamoja na familia zao, Wafanyakazi wao, na Marafiki zao hawatampigia kura Magufuli. Lazima CCM mjipange sana kuiba kura vinginevyo Magufuli hapiti uchaguzi mkuu 2020. Anao viongozi wa upinzani wenye sifa sana akiwepo Mbatia, Tundu Lisu, na pengine Nyalandu. Wapinzani wote hawa wanajua sana madhaifu ya Magufuli tangia akiwa Waziri wa ujenzi kwa miaka 20. Magufuli amefanya manunuzi na baadhi ya Mikataba ya ujenzi bila kuhusicha Bunge. Hapa kuna upotevu mkubwa sana wa fedha na ndio maana unamkuta kwenye misafara yake anazo fedha kwenye mikoba za kuwapa hovyo Watanzania wanaomlilia shida. Hizi fedha anazowapa watu zinaandikwa wapi au mnataka kutudanganya kuwa ni fedha za mshahara wake. Hizi ni fedha za walipa kodi lazima zijulikane zinatoka kwenye Wizara ipi. Madhaifu yake yote yatawekwa hadharani na Wapinzani wakati wa Kampeni.

    • @arnoldluwibwakila3458
      @arnoldluwibwakila3458 4 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo analindwa sana ili wapinzani wasilipize kisasi au? Umechemka ulikuwa unaingia na kutoka katika mada 3 tofauti be specific