Kila Muhadhiri Amekua Mganga /Kisa kilichonitokea Kwenye Ndege South Africa/ Sheikh Hilali Kipoozeo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2022
  • Kila Muhadhiri Amekua Mganga / Kisa kilichonitokea Kwenye Ndege South Africa / Sheikh Hilali Shaweji Kipoozeo
    Mashaa ALLAH Sheikh Hilali Kipoozeo akieleza kwa uzuri na ubora wa hali ya juu kabisa juu Ya Umuhimu Kuwasomesha watoto Elimu ya Dini tizama video zetu mpaka mwisho usisahau kushare
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks

ความคิดเห็น • 102

  • @jumannemrisho3517
    @jumannemrisho3517 2 ปีที่แล้ว +9

    Kweli nawafaham wahadhir kama watatu apo kabla hawajawa wahadhir hawakuwa waganga sasa hivi wote waganga

  • @halyberryrahmeyadams3335
    @halyberryrahmeyadams3335 2 ปีที่แล้ว +8

    mashallah shekhe kipozeo Allah akubariki sana kwa mawaidha zako nakupenda na namwomba Allah akulipe mema duniani na akhera....amiin

  • @sadickgrace9
    @sadickgrace9 2 ปีที่แล้ว +4

    Ijumaa na sikia unakuja mbande sheikh karb sana

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว +8

    Shukran Sheikh kwa kutuelimisha mengi kwa mda mchache. Allah akuongoze njia ya salama. Umeeleza umuhimu wa kusoma elimu zote mbili. Tujiulizeni sisi Waislamu wa Afrika mashariki je tangu imeteremshwa Qur'an hadi sasa, zaidi ya miaka 1400, kwa nini wengi wetu hawaelewi umuhimu wa jambo hilo....? Tuweni wakweli. Tazama utaona baadhi ya viongozi ndio wanadhoofisha uwezekano wa vijana kusoma kwa kuwa wanaandaa masomo kwa watoto pekee. Wakifikia kuitwa vijana masomo ya Dini yanakatishwa

  • @mursalmrisho1538
    @mursalmrisho1538 2 ปีที่แล้ว +7

    Shukran sana sheikh wetu

  • @sumisumi8181
    @sumisumi8181 2 ปีที่แล้ว +4

    Sheikh wetu Allah akulipe kheri zake na akuifadhi in shaa Allah

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mashaallah Allah akulinde kwa kila sekunde 🤲🙏

  • @mohakelly4195

    One year still watching Allah akuzidishie elimu maana unatuelimisha sana sheikh wangu nakupenda sana kwa ajili ya Allah naitwa Mohamed kutoka Nairobi.

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah tabarakaallah

  • @fathmaoman1186
    @fathmaoman1186 2 ปีที่แล้ว +2

    Ma Shaa Allah. Allah atujaalie tuwe wenye kuitafuta elim

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 2 ปีที่แล้ว +8

    Mwenyezi Mungu amjaalie awe katika waja wema huyu Sheikh

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah shelkh yetu Mungu hakuifadhi

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 2 ปีที่แล้ว +4

    Ameen

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 2 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah shukran sheikh

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 2 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah

  • @ahmadzubeir2605
    @ahmadzubeir2605 2 ปีที่แล้ว +3

    Subhaanallaah!! Subhaanallaah! Kila Muhaadhir mganga siku hizi!hizi!

  • @mussamtupa
    @mussamtupa 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 ปีที่แล้ว +2

    Allahu mma.swalli wasallim wabarik alayhi

  • @mariammsemakweli7904
    @mariammsemakweli7904 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli shelkh watu kabisa kwakupenda coz you talk reality shukran 🙏👍👌❤️🙏🙏

  • @omaryteddy535
    @omaryteddy535 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah