ooh mahaba mpenzi wangu ananipa tele si kwa dawa wala ndumba nishampa siti ya mbele ye ndo wangu dakitari ninapo ugua tiba napata ah kwenye hii safari sitaota mbawa nikamuacha Ona mwanamwali ananipa pendo hatari sitamwacha mniroge kwake siendi mbali Ona mwanamwali ananipa pendo hatari sitamwacha mniroge kwake siendi mbali Umenifuga umenifuga umenifuga
Kali sana ❤❤🎉🎉
Kali
ooh mahaba mpenzi wangu ananipa tele
si kwa dawa wala ndumba nishampa siti ya mbele
ye ndo wangu dakitari ninapo ugua tiba napata
ah kwenye hii safari sitaota mbawa nikamuacha
Ona mwanamwali ananipa pendo hatari
sitamwacha mniroge kwake siendi mbali
Ona mwanamwali ananipa pendo hatari
sitamwacha mniroge kwake siendi mbali
Umenifuga
umenifuga
umenifuga