Wabunge Walivyofunikana Kuimba Mlimani City

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • BUNGE limesheheni vipaji katika fani ya Sanaa na burudani!Hivyo ndivyo unavoweza kuelezea baada ya wabunge kutoka majimbo mbalimbali kuonesha umahiri wao katika fani hiyo.
    Wabunge hao wamedhihirisha hili jana usiku kwenye ukumbi wa Mliman City jijini Dar es Salaam wakati wa harambee ya kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa choo cha mfano.
    Hivyo kabla ya kuanza kwa shughuli ya harambee hivyo, wabunge waliamua kuteka sekta ya Sanaa na burudani kwa kuonesha umahiri wao.
    Wapo wabunge ambao wameonesha umahiri katika mchezo wa sarakasi huku wengine wakishindana kucheza Singeli.
    Pia wabunge wengine walishiriki kuimba nyimbo maalum kwa ajili ya harambee hiyo na wapo walioimba kwaya pamoja na kucheza nyimbo za kabila la Wanyamwezi.
    Hata hivyo baada ya burudani hiyo kupamba moto jukwaa likatawaliwa na ushindani mkali kati ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Profesa Jay.
    Wakati Nape ameamua kuimba nyimbo za zamani(Zilipendwa) Profesa Jay yeye aliamua kuimba muziki wa kizazi kipya.
    Hata hivyo hakukuwa na mshindi kwani kila mmoja alionesha umahiri mkubwa wa kushika kipaza sauti na kuteka mashabiki ambao wengi wao walikuwa wabunge wenyewe pamoja na wageni waalikwa.
    Haikushia hapo kwani wabunge hao katika kuthibitisha hakuna ambacho hawakijui wapo ambao wao walionesha umahiri wa kulitawala jukwaa kwa kuonesha mitindo ya mavazi.
    Mbunge Geita Vicky Kamata na Mbunge Mathar Mlata wao walithibitisha ubora wa sauti zao walipokuwa wanongoza wabunge wengine kuimba.
    Naibu Spika Dk.Tulia Akson yeye alipanda jukwani kuimba wimbo wa Subalkere Mpenzi akiwa mtoto wake(Gudlucky Mlinga) aliyekuwa anaendesha kigari .
    Baadhi ya wageni waalikwa ambao wamezungumzia namna ambavyo wamebunge hao wameonesha umahiri katika eneo la burani wamesema wanastahili kupongzwa.
    kwani wamethibiwa Viti Maalum Mkoa wa Samua kutoa na kuchezea , kucutoa buruWABUNGE mbalimbali wameonesha.

ความคิดเห็น • 38

  • @daudinassary3578
    @daudinassary3578 6 ปีที่แล้ว +3

    safi sana wabunge wetu ,sasa mkiwa kule bungne muache kelele,mkubaliane vitu vyenye mantick kwa pamoja asnte

  • @amandamapunda6201
    @amandamapunda6201 6 ปีที่แล้ว

    mmmmh hongeraaa sana bunge letu tukufu, inaonyesha amani tuliyonayo na furaha nafurahi kuwa Mtanzania, Mungu ibariki Tanzania, Africa

  • @suzanmaswatu3814
    @suzanmaswatu3814 6 ปีที่แล้ว +4

    Mmetisha wabunge wa nchi yangu

  • @abellabv
    @abellabv 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana. Mmependeza sana Waheshimiwa wetu. Mungu Awabariki sana.

  • @elizabethmwandu9899
    @elizabethmwandu9899 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni wabunge wetu hakika mmependeza sana

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 6 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ibariki Tanzania👏🏻👏🏻👏🏻, nimependa, tushikane kama super glue!

  • @michaelmusyoka1951
    @michaelmusyoka1951 6 ปีที่แล้ว

    Lo! wabunge wakitanzania staying young.its a good thing badala ya mzozo

  • @sembosayenda7182
    @sembosayenda7182 6 ปีที่แล้ว

    Nimewapenda sana mmeonyesha utanzania

  • @adobelameckmhagama2393
    @adobelameckmhagama2393 6 ปีที่แล้ว +2

    waooooo nimewaona had walimu wangu hapo mh.mwalongo

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 6 ปีที่แล้ว

    safi sana

  • @evelynmon6491
    @evelynmon6491 6 ปีที่แล้ว

    Raha jipe mwenyewe babu wee siku moja moja sio mbaya kujiachia kidogo sio kila siku uheshimiwa tunauweka kando kidogo hongereni sana

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimependa sana wapenzi wangu

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 6 ปีที่แล้ว +2

    Aloshiba hamjui mwenye njaa

  • @josephgaitan989
    @josephgaitan989 6 ปีที่แล้ว +1

    Saf sanaaa

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmependeza

  • @betinamahenge3387
    @betinamahenge3387 6 ปีที่แล้ว

    Wabunge wetu

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ni moto

  • @ladybilionaire379
    @ladybilionaire379 6 ปีที่แล้ว +1

    Mmh ilinoga saana iysee

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 6 ปีที่แล้ว

    imetulia sana hii kitu. na hasa huo wimbo wa Tanzania.

  • @sembosayenda7182
    @sembosayenda7182 6 ปีที่แล้ว

    Bonge LA nyimbo

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 6 ปีที่แล้ว

    Kiongozi anayeimba ni nani .ana sauti nzuri

  • @musamasika3630
    @musamasika3630 6 ปีที่แล้ว +1

    mmejitahidii jamani

  • @dominicmakungu3958
    @dominicmakungu3958 6 ปีที่แล้ว +1

    nawapongeza

  • @mosesmangasin8416
    @mosesmangasin8416 6 ปีที่แล้ว

    umoja ni nguvu

  • @mrttitus6781
    @mrttitus6781 6 ปีที่แล้ว +4

    mbona simuoni Msukuma😂😂😂

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 6 ปีที่แล้ว

    Mara 1x2 sio mby tena kwa jambo muhmu

  • @michaelmusyoka1951
    @michaelmusyoka1951 6 ปีที่แล้ว

    Lakini solo nguo kukubana nayo jameni

  • @sembosayenda7182
    @sembosayenda7182 6 ปีที่แล้ว

    Si wapatii picha kule kwenye magari wakiyakuta yametolewa upepo hahahaa mbona bajaj zitageuka kuwa vogue

  • @bibianamapunda8123
    @bibianamapunda8123 6 ปีที่แล้ว

    .

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

    kamata bdo mbunge.????

  • @missmalindikenya6204
    @missmalindikenya6204 6 ปีที่แล้ว +1

    H0ngera

  • @peterjames8171
    @peterjames8171 6 ปีที่แล้ว +1

    hizo kiki za kumfurahisha mzee maana hiyo haina bajeti

  • @NajmahassanMunezero
    @NajmahassanMunezero 6 ปีที่แล้ว +2

    Iyo ni Shibe

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 6 ปีที่แล้ว

      Huna adabu

    • @simonhanno8193
      @simonhanno8193 6 ปีที่แล้ว +1

      Sio shibe tu, bali ulevi wa nafasi walizo nazo, mambo mangapi wameonesha kufeli halafu leo mtu unawapongeza eti wamependeza, wameshindwa kufanya kazi zao za msingi wanataka kushindana na wasanii !!?.

  • @daudinassary3578
    @daudinassary3578 6 ปีที่แล้ว

    safi sana wabunge wetu ,sasa mkiwa kule bungne muache kelele,mkubaliane vitu vyenye mantick kwa pamoja asnte

  • @fantsonmpango7742
    @fantsonmpango7742 6 ปีที่แล้ว +2

    Aloshiba hamjui mwenye njaa