Carymastory safi sana kwakuona kaz mchungaji wetu wa kiroho katusaidia kwakweli machufuko ni mengi mjini na uchawi usiombe urogweeee utawatafuta wachungaji
Eee mungu wa mbinguni naomba unisaidie katika maisha yangu napigana Sana katika utafutaji lakini siendelei biashara nafanya lakini hela siioni yaan kila siku nimekuwa mtu wa kuongeza mtaji tu biashara haikui
YESU KRISTO wa KUHANI MUSA BABA naomba tenda nakwangu baba niponye namagonjwa yoyote yanayo nisumbuwa nifunguwe nakila vifungo vilivyo ktk mwili wangu YESU kristo naomba nisadie🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿
Baba baba nalia kwauchungubaba makuomba niombee namuombee mumewangu nataka nije kanisanisani ngomeni lakini mumewangu hataki baba nakuomba naitajimaombi
Bwana yesu asifiwe parster...naomba uombeye family yangu mtumishi ....hii majina ya ndungu zangu mwanaidi /Muhammad na night everline na mama wangu mukwana naomba uwafufuwe mtumishi wote walikufa vivo via gafula naomba nehema ya ukombozi kwa kwa family yangu wafufuke kwa jina la yesu
@@nancynangila2267 pole sana yesu atajibu kupitia madhabahu ya kuhani ila nikushauri kwa shida kama hiyo ungefunga safari ukapate uponyaji uchukuwe mafuta na maji watakuelekeza uende ukafanyie nini
Mungu abariki kuhani musa, na umupe nguvu kilasiku na maisha marefu baba.
Bwana yesu kristo wa ngomeni na mimi ni kumbuke kamaunavyo kumbuka wengine
Mungu akupe maisha marefu baba kuhani musa
Mungu akupe maisha marefu kuhani musa..
Carymastory safi sana kwakuona kaz mchungaji wetu wa kiroho katusaidia kwakweli machufuko ni mengi mjini na uchawi usiombe urogweeee utawatafuta wachungaji
Ameeeen barikiwa yesu
Bakiwa Tena
Pasta. Wangu naguchukuru.
Mungu awabariki mtumishi kuhani Musa ni kweli tunatamani tv yako isambae na visimbusi vingine km starimes n.k
Sasa anapatikana kwenye startmes, inaitwa Jehova Jire tv
Mungu kupitia maombi ya kuwani Musa naomba unilinde Mimi pamoja
Na familia yangu
Asante Mungu Kwa kila kitu
Mungu. Nimungu. Ameeen
Mungu atusaidie sana
Hakika Mungu anarudi sha kilichoibiwa na shetani Ameen
Aminaaaaa baba lao
Yesu kupitia shuhuda hii mama awetu fufuka Kwa jina la yesu amka huko mochwari kisarawe 🙏
Mungu nisaidie unifufue nilikowekwa na watesi wangu
Kupitia maombi yakuhani musa mungu naomba unitetena Mim na familia yangu
Mungu wa Kuhani Musa anisaidie pamoja na familia yangu, aponye mtoto wetu ana ugonjwa wa kisukari
Kupitia ushuuda huu nami nitendeye Mungu
Mungu kweli ni Mumba,kama hupea mifupa mikivu uhai ,hakuna atakacho shindwa ,namuamini %
Mungu tunakushukuru kwa uwezo wako Amina
Eee mungu wa mbinguni naomba unisaidie katika maisha yangu napigana Sana katika utafutaji lakini siendelei biashara nafanya lakini hela siioni yaan kila siku nimekuwa mtu wa kuongeza mtaji tu biashara haikui
Naomba Mungu wa kuhani Musa anikumbuke mimi na familia yangu ni mengi tunapitia
Naamini na Mimi mpenzi Wang atarudi TU
Kwa jina la yesu
Balikiwatena akwani Musa
Lichard mwacha
Amina baba
na mm baba naoba unidaidie mmewagu alifaliki kwakifo chakutata nixha usiku waga ananitokea akisema nimusaidie naoba baba unidsidie nateseka sana baba
Kupitia ushuhuda huu namimi na familia yangu tutapona uchumi wetu na roho za mauti
Kuhani Musa Mungu amuinue
Najiungamanisha nangome yayesu kristo naamini Mungu wangomeni amfungue matatizo ambayo imenisumbua Kwa muda murefu
Aaaminaaa
Jaman naomba kuhani musa utende na kwangu piah
Ninaomba namba za kuhani ninashida kama ya huyo baba
Zidi kunikumbuka na familia yangu yote amen amen 🙏
YESU KRISTO wa KUHANI MUSA BABA naomba tenda nakwangu baba niponye namagonjwa yoyote yanayo nisumbuwa nifunguwe nakila vifungo vilivyo ktk mwili wangu YESU kristo naomba nisadie🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿
Kupitia shuda hii namm napokewa kufunguriwa nauponyaji ktk jina la YESU KRISTO🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Unapo amini mungu anatenda 😢
Mungu kupitia maombi ya kuhani Musa naomba niajiriwe
Amen
Naombeni namba ya mtumishi baba angu amefariki mwezi wa Tisa kafa kifo Cha kutatanisha naombeni mawasiliano aweze nisaidia
Amina
Mmmh haya Mungu mkubwa.
Baba baba nalia kwauchungubaba makuomba niombee namuombee mumewangu nataka nije kanisanisani ngomeni lakini mumewangu hataki baba nakuomba naitajimaombi
Papa Mwalimu Richard mwacha mutumishi wamungu nahomba kupitia maombi Yako nifunguwe izi shida ambazo zimenisumbua Kwa muda murefu
naoba baba unisaidie
Na Mimi niko pamoja namwe
🙏
Naomba mungu asaidie kupitia huu ushuhuda jophrey akafufuke nayeye aweze kukutana na ndugu zake
😭😭🙏🙏🙏
YESU AZIDI KUKUHINUWA KUHANI
Nikumbuke na Mimi baba
Namwàmini sana kuhani musa kanisaidia sana kupitia salà za mtandàoñ ninaamini kila linalonenwa ya kwamba ni kuhani katenda amina
Bwana yesu asifiwe parster...naomba uombeye family yangu mtumishi ....hii majina ya ndungu zangu mwanaidi /Muhammad na night everline na mama wangu mukwana naomba uwafufuwe mtumishi wote walikufa vivo via gafula naomba nehema ya ukombozi kwa kwa family yangu wafufuke kwa jina la yesu
bwana yesu asifiwe pastor
mutezi wangu apikwe na upanga wa yesu wachawi wangu wakufu wote in the name of Jesus
@@nancynangila2267 pole sana yesu atajibu kupitia madhabahu ya kuhani ila nikushauri kwa shida kama hiyo ungefunga safari ukapate uponyaji uchukuwe mafuta na maji watakuelekeza uende ukafanyie nini
Mi