Hapo umecheza mkubwa fella,I salute you coz nyumba Ndio mpango mzima hongereni sana Ya moto band na mumshukuru sana mkubwa Fella kwa bidii yake na fikra nzuri kwenu
MashaaAllah ama kweli kitu ni utu...mfano mkubwa wa kuigwa watanzania ila kwa hao vijana waishi kukuheshimu daima dawama , ujenzi msingi daima sio magari , warembo na kiki kila kukicha. I salute u bro ,Mola akuongezee milele +254
hongera mkubwa fella kwa yote ambayo umetenda mola akubariki kwawema unaowatendea yamoto band na ao wenzao may the almighty god guide you on the right path .and respect fella the way you respect your dad ,God be with you ,LOVE YOU GUYS kutoka kwangu kestine
Huwa nakuwaza sana mkubwa fella ukijiangalia hapa huwa unawaambia mini hao watoto(ya moto band kweli mmekuwa wanangu na kama wanawake ndio wagombanishi basi kweli walipata wanawake haswa)
Mkubwa Fella Mungu akujaalie akuzidishie kila lenye Kheri katkamaisha yako Wallah unajitahidi kuwafanya vijana wako wawe bora, nibinadam wadogo sana wenye Moyo kama huo.🙏
hongera sana fela we ni zaidi ya mwanaume upo vizuri ungekuwa ulaya ungeitwa mark zuga baji au bliget
Hapo umecheza mkubwa fella,I salute you coz nyumba Ndio mpango mzima hongereni sana Ya moto band na mumshukuru sana mkubwa Fella kwa bidii yake na fikra nzuri kwenu
Mkubwa Fella, wewe ni mfano wa kuigwa, sidhani kama kuna mfano wako kwa sasa, ndio maana unafanikiwa kwa Roho yako nzuri, keep it up
Hongera sana wazo nzuri inayounganisha
MashaaAllah ama kweli kitu ni utu...mfano mkubwa wa kuigwa watanzania ila kwa hao vijana waishi kukuheshimu daima dawama , ujenzi msingi daima sio magari , warembo na kiki kila kukicha. I salute u bro ,Mola akuongezee milele +254
MASHAALLAH....BIG UP SANA MR.FELLA KWA KUFANYA IVO
Wow I like the idea and action, I wish you a happy life in your new homes Yamoto Band
Umefanya vzr sana Baraka yakubadisha magar kila cku wamepata cha kurithi
mungu akubariki sana baba endelea na moyoyo huwo huwo mungu atakubari mno..
Umetisha broo dats good
respect to u mkubwa Fella! what kind of love,duhhhh
Hata nasi tunasupport game yenu.Nasi pia Bado twajipanga baadaye tutaonyesha ustaajili.bado zogo mingi.kazi njema nyimbo zenu ustaarabu
God bless you mkubwa fella salut sana nahisi wewe ni wa Kwanza tanzania kufanya kitu kama iki kwa wasanii wako mungu akuzidishie by totoo zebingwa
Mungu asikuache fella ulipotoa uliposaidia Mungu akupe zaidi
hongera mkubwa fella kwa yote ambayo umetenda mola akubariki kwawema unaowatendea yamoto band na ao wenzao may the almighty god guide you on the right path .and respect fella the way you respect your dad ,God be with you ,LOVE YOU GUYS kutoka kwangu kestine
safi sana big fella,
nyumba ndio kuliko ungewapa pesa uwenda bdae wangekulaumu
lakn kwa nyumba hapo nmekupa 100%.hawatojuta maishan
Mkubwa fella rudisha yamoto banaaaa unawest vijana haoo
much respect mkubwa. we lack this kind of leadership in Kenya
umeonesha njia nzuri na ajira kwa vijana
wenye uwezo kma wako wajitokeze zaidi kuinua vipaji
Mungu akuongoze daima ubarikiwe!
U are the best Mkubwa Fella umechangia mabadiliko ubarikiwe
nieipenda hii.... one in a million...
MashaAllah broo uko vzur
Huwa nakuwaza sana mkubwa fella ukijiangalia hapa huwa unawaambia mini hao watoto(ya moto band kweli mmekuwa wanangu na kama wanawake ndio wagombanishi basi kweli walipata wanawake haswa)
Good job man. God bless you
duuuu,mkubwa nawanae kweli.salut kwako,walie dislike wataje manager kama yeye
awesome nice nice mzee
dah! leo wametengana😭
Uko vizuri mzee
MASHALLAH ALLAH AKUZIDISHIE KIDOGO KIWE KIKUBWA KATIKA KUTAFUTA KWAKO MKUBWA FELLA
unamuombea dua njema katika kuwaelekeza watoto wa wengine motoni!?
hongera sana na uendelee na moyo huo huo was kusaidia watu
heshima kwako mzee kwa busara NA utu uliouonyesha juu ya vijana wako mungu akuzidishie
Duuuuuuuuu wachache xna wenye moyo kama huo...mungu akupe Maisha marefuuuuuuu Mkubwa Fela
hakuna meneja atakaye kuwa kama wewe saidi fella uko kipekeee sanaa tanzania kaka
A man and a half i adore you Fella.👍n God bleSS
Nyumba sio jengo tu tunahitaji hati zionyeshe
Big up Sana bro
Hongera kaka
Mungu azidi kukupa na azidi kukusimamia vizuri ktk kazi zako... Inshallah
xafi xana broo
Upo vizur sana bro fella yaan umenigusa sana
big father fella god bless you
Mkubwa kaka Mungu akuweke kwakweli unamchango mkubwa sana kwnye hii tasnia ya bongo flv
MashaALLAH bro unauthamini sanaaaaaaaaaaaaaaaa utu wa mtu ALLAH akuzidishie una roho ya kipekeo Yaani kumfanyia mtu kitu cha maana katika maisha
good idea, good implementation,good man
Kumbukumbu hii, endelea kumkumbuka Ruge
Nyumba,ya Kayumba ndo tunataka kuiona. Tetesi kuwa wewe na Madam Rita mmekula fuba lake la ushindi wa BSS 😎🤣🤣🤣🤣
Mkubwa Fella Mungu akujaalie akuzidishie kila lenye Kheri katkamaisha yako Wallah unajitahidi kuwafanya vijana wako wawe bora, nibinadam wadogo sana wenye Moyo kama huo.🙏
Sifa Cycy_Bby
Mung akupe maisha marefu,una moyo saf.
Baba hongera kwa kuwafanyia kitu kizuri
ubarikiwe saana mkubwa
umetisha mkuu kiasi chake
safi sana mkubwa fella hongeraaa
woowh your the best, Good father
Wow so nice haki God blessing
hongera sana umefanya vizur...
hongera kwao yamotto, ila kwel ww ni mkubwa fella og.
Hahahahahahaa eti mark zuga baji au bliget. nimefurahi sana ahahahhaaaa
honger san mkubwa na wanae
Masha Allah mungu akujaalie moyo uwouwo
hongera mkubwa fella...
Wow amazing house mashallah
Mashallah Allah azidi. kukupa imanii
hongera hiv ndivyoinavyotakiwa
safi sana mkubwa tena safi sanaaaaaaaa
duuuh kujifagilia had inaboaa sure cjawah kukukubali fella
hongera sana kma kweli
wooooowo hogera sana god bless you
jaman namm naombeni kushirikishw nayamoto band ninasaut nzr ykuimb
Nice work @fella
hongera sana mkubwa Fella
Ruge aligusa kila sehemu rip ruge
hongera sana fella
vizuli sana sio kuwapa magalitu
daaa kaka hapo sawa
safiii sana mkubwa fella
Nyumba nzur
asee iyo iko ppa saaanaaa
hongera sana mkubwa
ubarikiwe sana kaka
DUU UNAONGEA SANA
LAKINI
ILA HONGERA... SANA
ALLAH atakulipa zaidi ya hayo
Kubwa Fela hongera...
hongera mno
hongera sna
MashaAllah tabarak Allah...
Hongera
tunamtaka bib Cheka pia onyeshaa naye ulivomsaidiaaaa .achaaa unaa
Hongera sana Mkubwa fella
pongezi mkubwa fella mungu akubariki
hongela sana sana fellaa
umesema kweli sasa hv imebaki story
Big Up kwako.
real great fella
mungu akubariki baba
Mungu akubariki
Hapo ndo dawa fela nyumba1.
big up yamoto band
2003 au 2013 jamani bosi jamaani
Be blessed mkubwa Fella
MashaAllah..,be blessed
GOOD JOB MR FELA