MOTO UTAWAKA! MZEE MSUMI, KASONSO WATINGA NA KATIBA, KADI ZA YANGA/WAMKANA MAGOMA/WAONESHA VIELELEZO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 54

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wazee wa yanga ndio hao❤

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 หลายเดือนก่อน +2

    uko vizuri baba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @georgepewa9624
    @georgepewa9624 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hawa ndiyo wazee tunaowajua

  • @chambalafrankdaniel397
    @chambalafrankdaniel397 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hawa ndo wazee wa Yanga tunaowajua huyo mwingine ni kibalaka hongera sana mzee 🎉🎉

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 3 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu ndo Mzee wa Yanga sasa huyu Magoma akae kimya

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 3 หลายเดือนก่อน +9

    Salute mzee wetu ✔️✔️💚

  • @mwl_bennehemiah
    @mwl_bennehemiah 3 หลายเดือนก่อน +5

    HAWA NDIO WAZEE WA YANGA... Yule magoma mhuni tu

  • @DeboraGeorge-ut3lb
    @DeboraGeorge-ut3lb 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @issabakari2085
    @issabakari2085 3 หลายเดือนก่อน +1

  • @pauloegbert515
    @pauloegbert515 3 หลายเดือนก่อน +4

    Simba ndio wanaoleta chokochoko

  • @msamiseleman4255
    @msamiseleman4255 2 หลายเดือนก่อน

    Uyukashapewaeraa😂😂😂

  • @IbrahimAli-hh6dr
    @IbrahimAli-hh6dr 3 หลายเดือนก่อน +3

    Huna kazi www mnaa njaaa tu lakini mnachokitaka mtakipata

  • @mirzah117
    @mirzah117 2 หลายเดือนก่อน +1

    Badala ya kujenga hoja unaleta kadi
    Njooeni na hoja zenu ilikupangua hoja zake ..sasa hapo umefanya nini sasa

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 3 หลายเดือนก่อน +4

    Magoma watu wamemkalia kooni😂😂😂

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi. Kama. Mwanachama. Wa. YANGA. Naomba. Viongozi. Waloko. Madarakani. Waangalie. Sana. Magoma. Anapata. Nguvu. Kutoka. Kwa. Baadhi. Ya. Viongozi. Mamuluki. Humo. Humo. Kati. Yenu. Na. Ndo. Maana. Anavimba. Kichwa. Niaminini. Hayo. Ninayoyasema

  • @paulsanga7591
    @paulsanga7591 3 หลายเดือนก่อน +2

    Saw mm ni Yanga lkn hoja ya magoma na sehem ya kumshind ni RITA... Je hio ktb ipo Rita au ? Ili kumshinda hio ktb inbd isajiliwe Rita , hp magoma hawez chomok Rita ndy uthibitisho tosha

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 2 หลายเดือนก่อน

    Magoma oyeeee, jeshi la mtu mmoja, ila kuna siku mtamuelewa

  • @AugustinoMateru
    @AugustinoMateru 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wana tuchanganya hao wazee wababaishaj tu

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kila mmoja analilia ubwabwa wake😂😂😂 ila mzee magoma jeshi la m2 mmoja😂

    • @FatumaIssa-w1s
      @FatumaIssa-w1s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na akunagaa mafanikio ya mtu 1 😂😂😂😂

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa huko mahakamani mmeshindwaje

  • @inspirationmessages8420
    @inspirationmessages8420 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hakusema kama haikurudi
    Ila kasema ilirudi ikiwa tayar imeshagongwa muhuri yaani imesajiliwa tayari

    • @FatumaIssa-w1s
      @FatumaIssa-w1s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa alitaka afatwe kakwee ye kama nani jambo limefanyika wazi jangwan

    • @IdrisuMabuda
      @IdrisuMabuda 2 หลายเดือนก่อน

      Ina maana mahakama ilihukumu vipi

  • @RashidJumanne-hb1lm
    @RashidJumanne-hb1lm 3 หลายเดือนก่อน +2

    Na huyo Kasonso nae mzee tangu lini hao wengine sawa lkn yeye hapana

  • @hamisimapalala7709
    @hamisimapalala7709 2 หลายเดือนก่อน

    78 mwaka mmoja kabla sijazaliwa

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 2 หลายเดือนก่อน

    Kadi nyingi za yanga umetunza 😂😂😂halafu hela huna

  • @ChristopherKisarika
    @ChristopherKisarika 3 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeeeee Mwenyezi Mungu
    Tunakuomba uondoe huu mtafaruku

  • @issaally8817
    @issaally8817 2 หลายเดือนก่อน

    mwandishi ulitakiwa utusomee hiyo kadi ni mali harali upande gani sio unakusanya tu

  • @costajoram2246
    @costajoram2246 3 หลายเดือนก่อน +1

    Km dar wanakodisha watu kwaajili ya kulia msibani je, hawa wa sasa hawajakodishwa kweli 😂😂😂😂😂

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂ilo nalo neno

  • @hajially4527
    @hajially4527 3 หลายเดือนก่อน +1

    🤣huyu magoma mkundu unamwasha pakaa hana analilia timu hivi ataweza ata kumlipa kibwana shomari tu akipewa

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 2 หลายเดือนก่อน

    Awa sasa ndo wazee tunao wajua sio kire kirus kinacho jiita ngoma kwanza kikatafute tim yakushabikia sisi yanga atumtambui mangoma

  • @IbrahimMakonga
    @IbrahimMakonga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni wazee wa gsm bwana wanakula mshahala

    • @BakariHassan-b1k
      @BakariHassan-b1k 3 หลายเดือนก่อน +1

      hata kama Wana kula msha hara shida yetu ni furaha na ina patikana

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 2 หลายเดือนก่อน

    Yan nyinyi wote mna upungufu sasa kama mna ushahid angeshindaje yule mzee hapo ni mahakamani?

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 หลายเดือนก่อน

      Wanakurupuka tu ili wale pesa za GSM

  • @SULEIMAN-l8v
    @SULEIMAN-l8v 2 หลายเดือนก่อน

    NYIE PAMBENI JENEZA LKN JUENI NDANI KUNA MZOGA .MAGOMA KAWASHIKA NDIPO

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon 2 หลายเดือนก่อน

    Munguwangu wazee mkipewa posho amtetei maslai yayanga,mzeemagomayukosahihi lazimaklabu iwenamwenyekiti,Sasa wanachama wanaenda kusaemea wap

  • @FaustineEmmanuel-g7j
    @FaustineEmmanuel-g7j 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati wa kugombea uraisi ulikuwa wapi au ulikuwa hujapata wakukutuma

  • @manyallarashid7498
    @manyallarashid7498 3 หลายเดือนก่อน +1

    Magoma anatumika na simba wala siyo yanga ,simba walikuwa wameparanganyika kwa sass wamejikusanya wanataka walete choko choko yanga ili waonekane wamefanikiwa mwakani ,kwani wanajuwa kuwa kama yanga wako watulivu na mwakani hakuna kitu na usajili wao

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anachuki binafsi.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wamekodishwa kwenye msiba wa familia yako?.

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wazee mnahangaikanini wakati mahakama imeshatoahukumu ni vyema mrudi mahakamani mkaterufaa

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani Yanga imefanya je ! Au bando linakusumbua!?

  • @DJzedyBoy-vx2zb
    @DJzedyBoy-vx2zb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ujinga tu hii nchi ngumu sana

  • @barakamwantolwa4336
    @barakamwantolwa4336 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga tumieni akiri...Magoma hajaenda kwenye Media..kaenda mahakamani... Nendeni mahakamani huko ndio kwny haki

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 3 หลายเดือนก่อน

    Baada ya kupeleka mahakamani vielelezo unapelekea studio 😂😂😂😂 akili kisoda

    • @Shebbytvs
      @Shebbytvs 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan yy ndo mshtakiwa???

  • @saidmansoury1526
    @saidmansoury1526 3 หลายเดือนก่อน

    Magoma ana hoja kweli wanakurukupa wanashindwa hoja wanaropoka tu katiba aijasajiliwa hiyo ndio oja

    • @briangodfrey5621
      @briangodfrey5621 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama haijasajiliwa iweje bmc na tff wa ukubali uongoz?

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 2 หลายเดือนก่อน

      @@briangodfrey5621mahakama ndiyo iliyosema kwa mujibu wa RITA. Sasa wakathibitishe mahakamani