NIMESTAHILISHWA - ANNA YOTHAM (New Official Audio lyrics)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- #Nimestahilishwa#gospelmusic #gospel #trendingsong#AnnaYotham#injili#trendingsong #4k#4kfullscreenstatus
FOR BOOKING:
Whtsap : +255625023051
Email : annayotham92@gmail.com
Instagram. : Anna Yotham
Facebook. : Anna Yotham
TikTok. : Anna Yotham
Shalom Mtoto wa MUNGU
Zaburi 34:19
"Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana humponya nayo yote"
Kwa neema ya Mungu nimekuletea wimbo huu you tube uitwao "NIMESTAHILISHWA"
Karibu kusikiliza upate kuimarika, kujengwa na kuinuliwa
Usisahau ku subscribe, ku comment ku Like & ku Share
Barikiwa sana
Amen🙏🏾
Amina
Wewe ni Baraka kubwa sana, ufike mbali sana mpendwa wetu😇🙏
hakika nimestahilishwa pamoja na yote niliyopitia ,Baba amenivusha
AMEEN ❤️🙏❤️
Barikiwa
Amen, nimebarikiwa sana
Kazi safii 🙏🙏
Mungu ni muweza hongera dada ake kwa wimbo wenye uvuvio wa roho mtajatifu
Amina
Ameni mpendwa
Barikiwa sana
Hakika nimestahilishwa na Bwana, amefuta machozi , amefuta aibu, amenistahilisha,, nimebarikiwa sana na wimbo huu NIMESTAHILISHWA😢
Mungu akukumbuke, akufute machozi
❤❤❤Amennnn.
Powerful, hakika nimestahilishwa mwenzenu😭😭😭
Mungu akukumbuke zaidi
Amen mtumishi 🎉
Barikiwa
Awesome.The intro is nice
❤❤❤
Nice 👍
Glory & honour to God 🙏🏾
Roho Mtakatifu akutiye mafuta zaidi na zaidi
Amina Baba yangu, napokea mibaraka kutoka kwako mteule wa Bwana 🙏🏾🙏🏾
Amen saaana dada ang Amenipa Amani huyu MUNGU🙌🙌
Hakika, ubarikiwe sana
Ukumbukwe na Baba 🙏🏾
God bless you servant of God for this sweetest song here Kigali we love your songs more
Courage🎉
The people in Kigali Rwanda, you're my blessing indeed , keep on supporting 🙏🏾
Hakika ni stahirishwa hongera kwa ujumbe mzur dadaangu ❤❤❤❤
Utukufu Kwa Mungu mwenyewe juu
Barikiwa sana Annah
Amina mtumishi wa Mungu
Wow🎉🎉🎉🎉
🙏🏾🙏🏾
😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏
Haleluyaaa ongera sana
Utukufu Kwa Mungu mwenyewe juu
Barikiwa sana
Amna
Hongera Sana madam. Anna wimbo mzuri zidi kuinuliwa
Amina, barikiwa pia
Binafsi nimeguswa
Mungu akujqlie uishi umo juuu ya ushuuda huo....Ubalikiwe sana🙏
Amina Amina Amina, napokea, iwe hivyo kwangu 🙏🏾
Mungu akutendee mema pia
Ametuponya huyu Yesu
Hakika ,Yesu wetu ni mzuri sana
Barikiwa mno dada ake
Amina mtumishi
🎉
Be blessed madam 🙏🏾
Nice one
Glory be to God 🙏🏾
Nice
@@isanando088 Amen
Vizuri sqna
Glory to God
❤❤❤❤
🙏🏾