Amen Amen Mungu ni mwema anafanya njia pasipo na njia ni mwingi wa rehema hakuna linalomshinda,hakika naamin kwa moyo wangu wote kila kifungo kilichofunga maisha kwa namna moja au nyingine leo ni mwisho ,natumia damu ya Yesu kristo wa mnazareth kuharibu na kuteketeza kila aina ya uchawi juu yangu roho ya nyoka haitokaa kwangu kwa damu ya yesu nateketeza roho zote za nyoka na sumu nateketeza kwa damu ya yesu kristo.🙏nafungua visigino vyangu na miguu yangu na visafisha kwa damu ya yesu kristo 🙏
Kupitia kongamano hili naamini Binti yangu ameshafunguliwe vifungo vyote vya nyoka alivyokuwa anaota , na kijana wangu was kwanza atapata mwenzi Toka Kwa Mungu familia yangu yote uzao wangu umefinguliwa

Mungu ni mungu tu asubuhi mungu akatutendee ya lio mema
Mungu nisaidie ,niokoe mikononi mwa maadui zangu na katika afya yangu,maisha yangu yote
Roho ya nyoka kwa maisha yangu naipiga radi kwa jina la yesu
Eeh Mungu najiunganisha na ii madhabau naunganisha watoto wangu 3 suzy lovena fei Mungu nawatenganisha na magonjwa kwanzia sasa
Amen amen amen
Mungu akatushangaze
Kupitia kongamano hili napiga roho ya nyoka na ninaenda kufunga ndoa na mchumba wangu na Mungu kutujalia mtto
Amina
Bwana.yesu.asifiwe.naombo.kupitiya.kongpmano.nifunguliwe
Aminaa
Kupitia kongamano hili naamini Binti yangu ameshafunguliwe vifungo vyote vya nyoka alivyokuwa anaota , na kijana wangu was kwanza atapata mwenzi Toka Kwa Mungu familia yangu yote uzao wangu umefinguliwa
ni mungu tu
Naamini Mungu atatenda kitu katika kazi yangu makataa pepo na nyonga
Naomb Mungu anisaidie nipate ujauzito ndani ya mwezi huu wa nane
Nashukur Mungu na hongera sana mtumishi paskali kwa huduma hii njema. Mungu akubariki
Kupitia kongamano hili nifunguliwe nami pia nipo Masasi mahitaji vifaa vya kiroho