- 446
- 632 293
Radio Safina Ministry
เข้าร่วมเมื่อ 27 มี.ค. 2023
MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJIN ARUSHA
SEMINAR YA SIKU 7 YA MAOMBI YA KUMPOKONYA SHETANI MILKI ZETU NA FAHARI ZAKE NI TAR:13-19/01/ 2025
MAFUNDISHO YA NENO LA KRISTO NDANI YA UKUMBI WA MAOMBI NA MAOMBEZI WA RADIO SAFINA ULIOPO MBAUDA JIJINI ARUSHA
มุมมอง: 431
วีดีโอ
SEMINAR YA SIKU 7 YA MAOMBI YA KUMPOKONYA SHETANI MILKI ZETU NA FAHARI ZAKE NI TAR:13-19/01/ 2025
มุมมอง 40121 วันที่ผ่านมา
SEMINAR YA SIKU 7 YA MAOMBI YA KUMPOKONYA SHETANI MILKI ZETU NA FAHARI ZAKE NI TAR:13-19/01/ 2025
KONGAMANO KUBWA JIJINI ARUSHA LA SIKU TATU ZA MGEUKO WA KIHISTORIA.
มุมมอง 5712 หลายเดือนก่อน
KONGAMANO KUBWA JIJINI ARUSHA LA SIKU TATU ZA MGEUKO WA KIHISTORIA.
KONGAMANO KUBWA JIJINI ARUSHA LA SIKU TATU ZA MGEUKO WA KIHISTORIA.
มุมมอง 4652 หลายเดือนก่อน
KONGAMANO KUBWA JIJINI ARUSHA LA SIKU TATU ZA MGEUKO WA KIHISTORIA.
USHUUDA WA DADA ALITOKWA NA DAMU MIAKA MINNE, HADI IKAMLETEA SHIDA KWENYE NDOA YAKE.
มุมมอง 6402 หลายเดือนก่อน
USHUUDA WA DADA ALITOKWA NA DAMU MIAKA MINNE, HADI IKAMLETEA SHIDA KWENYE NDOA YAKE.
NENO LA MSINGI KATIKA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU NDANI YA UKUMBI WA SAFINA RADIO
มุมมอง 9864 หลายเดือนก่อน
NENO LA MSINGI KATIKA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU NDANI YA UKUMBI WA SAFINA RADIO
USHUHUDA WA MAMA MKURUGENZI WA HUDUMA YA SAFINA RADIO
มุมมอง 1.7K4 หลายเดือนก่อน
USHUHUDA WA MAMA MKURUGENZI WA HUDUMA YA SAFINA RADIO
KONGAMANO KUBWA LA KISHINDO CHA KUKOMESHA MADHARA YA UCHAWI, MIZIMU, NA JINI MAHABA
มุมมอง 1.3K7 หลายเดือนก่อน
KONGAMANO KUBWA LA KISHINDO CHA KUKOMESHA MADHARA YA UCHAWI, MIZIMU, NA JINI MAHABA
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MUNGU PAMOJA NASI (EMMANUEL) VOL.3 - TAR:05/04/2023
มุมมอง 3619 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MUNGU PAMOJA NASI (EMMANUEL) VOL.3 - TAR:05/04/2023
MTUMISHI LUDOVIC MANGOWI - VITA YA KIBALI VOL.2 - TAR:02/04/2023
มุมมอง 4599 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI LUDOVIC MANGOWI - VITA YA KIBALI VOL.2 - TAR:02/04/2023
MTUMISHI OMBENI NYARI - NGUVU YA UPENDO - TAR:28/03/2023
มุมมอง 31310 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI OMBENI NYARI - NGUVU YA UPENDO - TAR:28/03/2023
MTUMISHI JULIANA STEVEN - NGUVU YA NENO LA MUNGU (KUISHINDA HOFU) VOL.3 - TAR:27/03/2024
มุมมอง 41710 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI JULIANA STEVEN - NGUVU YA NENO LA MUNGU (KUISHINDA HOFU) VOL.3 - TAR:27/03/2024
MTUMISHI LUDOVIC MANGOWI - KUREJESHA KIBALI KATIKA MAISHA YAKO - TAR:22/03/2023
มุมมอง 35410 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI LUDOVIC MANGOWI - KUREJESHA KIBALI KATIKA MAISHA YAKO - TAR:22/03/2023
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MUNGU PAMOJA NASI (EMMANUEL) VOL.2 - TAR:08/03/2023
มุมมอง 23910 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MUNGU PAMOJA NASI (EMMANUEL) VOL.2 - TAR:08/03/2023
MTUMISHI JULIANA STEVEN - NGUVU YA NENO LA MUNGU (KUISHINDA HOFU) VOL.2 - TAR:06/03/2024
มุมมอง 40910 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI JULIANA STEVEN - NGUVU YA NENO LA MUNGU (KUISHINDA HOFU) VOL.2 - TAR:06/03/2024
MTUMISHI OMBENI NYARI - KUONDOA MAUTI KWENYE MAISHA YAKO - TAR:04/03/2023
มุมมอง 36110 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI OMBENI NYARI - KUONDOA MAUTI KWENYE MAISHA YAKO - TAR:04/03/2023
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MUNGU PAMOJA NASI (EMMANUEL)
มุมมอง 18511 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MUNGU PAMOJA NASI (EMMANUEL)
MTUMISHI JULIANA STEVEN - NGUVU YA NENO LA MUNGU (KUISHINDA HOFU)
มุมมอง 56211 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI JULIANA STEVEN - NGUVU YA NENO LA MUNGU (KUISHINDA HOFU)
MTUMISHI GOODLUCK DEOGRATIUS - UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA NA MWANAMKE WANAOGOMBANIWA NA MIZIMU
มุมมอง 72811 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI GOODLUCK DEOGRATIUS - UKOMBOZI WA MZALIWA WA KWANZA NA MWANAMKE WANAOGOMBANIWA NA MIZIMU
MTUMISHI SOLOMON M SOLOMON - UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO - TAR:05/02/2024
มุมมอง 31511 หลายเดือนก่อน
MTUMISHI SOLOMON M SOLOMON - UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO - TAR:05/02/2024
MTUMISHI LUDOVICK MANGOWI - ROHO YA KUKATALIWA - TAR:29/01/2024
มุมมอง 548ปีที่แล้ว
MTUMISHI LUDOVICK MANGOWI - ROHO YA KUKATALIWA - TAR:29/01/2024
USHUHUDA WA DADA KUTOKA KENYA ALIEPONYWA KUTOKA KWENYE ROHO YA MAUTI WAKATIWA KUJIFUNGUA
มุมมอง 1.7Kปีที่แล้ว
USHUHUDA WA DADA KUTOKA KENYA ALIEPONYWA KUTOKA KWENYE ROHO YA MAUTI WAKATIWA KUJIFUNGUA
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - KUONDOA KILA KIZUIZI KINACHO SABABISHA USIVUKE NG"AMBO YA PILI YA MAFANIKIO
มุมมอง 677ปีที่แล้ว
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - KUONDOA KILA KIZUIZI KINACHO SABABISHA USIVUKE NG"AMBO YA PILI YA MAFANIKIO
MTUMISHI HIMIDI FRANCIS - KUKATA KITOVU AU CHANZO KILICHOUNGANISHWA NA NYUMBA YA UTUMWA
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
MTUMISHI HIMIDI FRANCIS - KUKATA KITOVU AU CHANZO KILICHOUNGANISHWA NA NYUMBA YA UTUMWA
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MAOMBI YA KUVUKA UPANDE WA PILI NA KUYAENDEA MAFANIKIO YAKO
มุมมอง 598ปีที่แล้ว
MTUMISHI RIZIKI MGAYA - MAOMBI YA KUVUKA UPANDE WA PILI NA KUYAENDEA MAFANIKIO YAKO
MTUMISHI LUDOVICK MANGOWI - KUREJESHA YALEYOTE AMBAYO ULINYANG"ANYWA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
MTUMISHI LUDOVICK MANGOWI - KUREJESHA YALEYOTE AMBAYO ULINYANG"ANYWA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO
SAFINA RADIO NDANI YA VIWANJA VYA NANE NANE THEMI NJIRO ARUSHA
มุมมอง 1.3Kปีที่แล้ว
SAFINA RADIO NDANI YA VIWANJA VYA NANE NANE THEMI NJIRO ARUSHA
Ameen
Ameen Mtumishi wa Mungu Mungu akupe maono zaidi
Naamini nitatoka nikiwa salama
Ee Mungu uliye hai naomba uendelee kuikuza huduma ya safina siku hadi siku
kuzalauliwa ndio kabisa
Mtumishi pascal kama mungu akubariki sana
Mungu nisaidie nikuabudu ktk roho nakweli niachee dhambi
Mungu tunakuhitaji usitupite usiku huu wa leo
Mungu ninaomb iyo nguvu ya dam yako ipite kweny maishn yangu, familia, na kazin kwangu
Naungana na madhabahu haya nikiwa dsm kwa jina la yesu
Eeh mwenyenzi Mungu naomba ukanisaidie Katika nahusiano yangu na katika kaz yangu
Eh mwenyenzi Mungu naomba umponye mdogo angu NATALIE
MUNGU nakuomba afya njema mimi na watoto wangu elimu yao pamoja ndoa yangu na uchumi wangu usitupite
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙌🙌🙏
Amina papaaaa
Amen
nahitaji maombi kwa ajili ya biashara
Nakataa roho ya kukataliwa katika jina la yesu na uchawi ukasambae katika maisha yangu
Aminaa watumis
mungu awabariki watumishi mnatufundisha vitu adimu ❤
najiunganisha namaombiya leo mungu usinipite namalango yaachie baraka zangu zote
Wachawi wangu wote na wa wanangu waokoke leo ama wakufe leo kwa jina la yesu
Amen
Wana safn nawapenda San mungu awabarik
Amen Amen Amen
Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏
🙏🙏🙏🙏
Nahitaji kupata maombi Niko dare salaam nitapataje huduma
Napokea na Mimi kwa iman kiwanja
Mungu awabariki san
Nawapenda sana❤❤❤❤Mbungu zizid kuwainua
Aaaaamein
Keshoo iliyopangwa na mungu
Amani napata ya kutosha niwapo chomboni Safina Radio,wanasafina tunaendelea kustawi japo uadui ni mwingi tunavushwa na Kristo katikati yao!!!.Ameen
Pigana na wanaopigana nami yesu wangu nisaidie mwokozi wangu yesu.
🙏🙏🙏🙏
Aminaa
Ameen
Ee mungu nitolee roho ya waswas na hofu nponye kifua na kichwa pia npe roho mpya maombi ameen❤❤
Yesu naenda jikoni me naomb nisifanyishw kz nying kw jina la yesu kristo Amen
Yesu yesu tambua me mtoto wako nipo nchi za watu eeee mungu wangu wa mbinguni linda me mng kuwa nami mungu sina mwengn zaid yk mung kimbilio langu ni wew mng pekeee
Yesu naomb kupitia hii madhabau naomba nipone kuumwa jino 🦷 na kichwa kila siku kwa jina la YESU kristo amen
Eee yesu naomba nisipewe kszi ngumu yesu na haw waarabu yesu naomba waishi na me km mtoto wao kw jina la yesu kristo
Kila madhabahu za Giza, zivunjikeeeeeee
Yesu ponya maisha yng na me nimechok yesu kuumwa jino kila siku naomb leo iwe mwish kwa jina la yesu kristo Amen
Namuomba mungu afanye kitu kwngu pia mungu wabariki watumishi wa safina
Nahitaji kupata Kaz ya serikari imekuwa ni miaka mingi Sasa nimaliza chuo ila sijapata,
Yesu Sasa ivi