mungu awazidishie nyinyi vijana mue naur mref kwamwenye kujua skakufaham nimemaanisha nn dunia inaita broken new nahii no broken new yakiswahili ila siku taifa liwahitaji ili muliongoze.
Binadamu wameanza kuelewa crypto ,, mwanzoni kila mmoja anasema ni utapeli sasa matokeo hayo yanakuja🎉🎉 haya vijana crypto sio ya kuacha kikubwa tafuta elimu kuhusu hilo🎉 love crypto
dj sma na wewe umeanza kubahatisha habar ulisema islael ime lipua nyuklia inge kua ni kwa mala ya pili malekan na islael wa pili mbona kama hiyo habar ime pigwa na upemo
Bila kusahau muimbaji wa gospel, mtumishi wa Mungu Nathaniel Bassey
Na mchungaji
🎉🎉🎉
Uchambuzi wa maana kabisa nawakubali sana haswa mnapokuwa mnataja jina MUNGU kwenye chambuzi zenu zoteeee 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@djsma Ndizi kua kiharage 😅😅
Huyu mwamba hatareee sana
Dj sma leo umeongea point kubwa sanaa 🎉
Nyinyi vijana mmebalikiwa sana nainjoi sana maana nyinyi ni wakweli sana hampendei upande mmoja
Nyie SNS bwana sometimes mna maneno ya kihuni kweli *ETI ANAPUMULIWA KICHOGONI* Wahuni tuu ndio wanaojua maana ya msemo huo. 😂
mungu awazidishie nyinyi vijana mue naur mref kwamwenye kujua skakufaham nimemaanisha nn dunia inaita broken new nahii no broken new yakiswahili ila siku taifa liwahitaji ili muliongoze.
❤❤❤❤❤big hugs from zanzibar sns
Big up sana wana sns
Dj sma upo sahihi sana kulazimishana ujinga ndio kitu nakikataaa
Alafu dj sma. Huongea kwa kujingata ngata kama hana uhakika na anacho kiongea
Miye nawakubali sana
Pesa Za Elon Musk Ndo Zimemfanya Awe Na Sauti Kubwa kwenye Serikali Ya Trump Hakuna La Zaidi
❤❤❤❤❤❤
DJ SMHA mbona hatupate FUSE siku izi ?
😂😂😂😂😂😂😂 mabaliliko fasta kazi kwenu Nato na Mmoja wa Ulaya
Binadamu wameanza kuelewa crypto ,, mwanzoni kila mmoja anasema ni utapeli sasa matokeo hayo yanakuja🎉🎉 haya vijana crypto sio ya kuacha kikubwa tafuta elimu kuhusu hilo🎉 love crypto
🇪🇸🇪🇸🤔👍👍👍🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴❤️❤️❤️❤️
Na bora nato ife tu haina faida
oya mbona masudi analalaa😂😂
Wengi waliopambana na Putin wataanguka
Dj sma
Ndugu nilikua naomba mujadili na mkutano wa rais wa Iran na Putin
Kule Russia
noma
Mfano kwenye football wachezaji ote wanawalazimisha kuva jezi wanaweka rangi za LGBT ni ushenzi kabisa
dj sma na wewe umeanza kubahatisha habar ulisema islael ime lipua nyuklia inge kua ni kwa mala ya pili malekan na islael wa pili mbona kama hiyo habar ime pigwa na upemo
Muda utaongea
Nawezaje ku wezesha vipindi vyenu?
Jamba ushuzi
Kwa ku support