Mungu wewe ni wa haki Linda watu wa Gaza,,Quds,westbank,na misikiti mtukufu wa baitul maqdis. Asanteni. Sana Dj sma. Ali masubi. Kwa uchambuzi. Mm kutoka mombasa kenya. Nawategea
Ally masubi Sasa amekuwa Bora Sana mbeleni atakuwa Atari kwenye uchambuzi ❤ djsma anamwachia muda wa kumwaga Sera Ally masubi tunaendelea kupata vitu vya hatari Sana Asante kwa sky bundura kwa kuwa na mvuto kwa voko
Bora vita imeisha waarabu weusi na waisraeli weusi nao wapoe kutofautiana waangalie ya nchini mwao sasa.. ila big up sana one of the best channel kwenye maswala ya uchambuzi wa siasa za nnje 🙌🙌
😅Wapalastine wamepigana ki haki hawatesi mateka wala kuuwa watoto wala wazee lakini mayahudi wametaka kuwauwa wote kwa urithi wa nchi dhulma haifainikiwi nchi 38 na matajiri wote wa America wamesaidia kuwauwa lakini mwenyezi mungu mkubwa jamasi peke yao wamewanyima maji chakula dawa laki mwenyezi mungu ashukuriwe moto unawasubiri
Wala hawazidishiwi madhwalim ispokua hasara, free palestine❤Hamas ndio jeshi Bora duniani, km Kuna miujiza bs na huu ndio muujiza mkubwa wa Karne hii, Hy jiulize Hamas wameisha au nd bado mnaendelea kuliombea taifa la mungu???
@@raymrashvita ni malengo wewe! Malengo ya hamasi ni kuhakikisha mateka wooote wanarudi Gaza ila malengo ya Israel ilikuwa ni kurudisha mateka Kwa nguvu na kuiangamiza hamasi yooote! Sasa nikuulize swali moja tu kama wwe una akili timamu Je! Mateka wa Israel walipatikana Kwa vita?? Mbili ,je hamasi wameisha?? Ukitoka jibu basi ujue vita ilikuwa ngumu sana na Israel wameshindwa vita coz malengo yao hayajatimia! Kuwauwa hamasi wooote na kuwarudisha mateka Kwa nguvu(kijeshi)
Marekani anapata hasara kwa vita vya Israel na Ukraine, lakini ukiangalia Marekani anapata faida kutoka saudia arabia trump ni mfanyabiashara hataweza kukubali hasara kwa vita ambavyo havina maana
Tuna omba uwe ndio mwisho wa vita na Palestina wapewe ardhi yao na uhuru wao In Shaa Allah. From river to the sea, Palestina will be free ❤❤❤❤❤❤ soon In shaa Allah.
SnS 🎉🎉🎉 juu # HAMASI 🚨 wamehesimisha wale wote wapigania ukombozi na uhuru . bila damu hakuna kinachokuja kwa mdomo ! marekani na nduguze wamehangaika kazi ilikuwa kuua raia2
@zainabzanzibar1518 sio kujitoa data ... Elewa kuwa HAMAS waliteka raia wasio na hatia, Israel alikamata wahalifu wanaoshukiwa kwa ugaidi na kuwafunga kwenye magereza yake...kwa hiyo tofautisha mwenyewe kati ya magaidi na raia wasio na hatia.
@raymrash ukisema ugaidi wanaoongoza ugaidi duniani wanaeleweka sasa mtu akidai uhuru anaitwa gaidi katika nchi yake hakiingii kitu chochote bila wao kukagua kila kitu mpaka wakague na wengine walikuwa wanapigwa ndani ya misikiti ila yalikuwa yayatangazwi na vyombo Fulani hivi kwasababu ni wenzao ila walipolipiza Hammas kwakuona dhulma imezidi ndio wanaonekana wabaya ila ata hivyo wapalestana wamechoshwa na wanachofanyiwa na waisrael ambao mbaosema ni taifa la Mungu ila sijui mataifa yetu sijui ya nani
UKITAKA UKOMBOZI LAZIMA DAMU IMWAGIKE, KTK WATU WAPO STRONG KTK IMANI ZAO HAWAOGOPI ARE PALESTINIANS NAISHI NA MPALESTINE SO THEY ARE MORE THAN STRONGER PEOPLE
Inabidi siku moja dj Sma uje na makala ya kutafautisha wa zayuni na wa yahudi wenye kufata taurati ya Moussa na tufaham kuwatafautisha kimavazi itakuwa jambo la mana sana dj Sma
Wew ndo ubaki na yesu wako ili uishi milele apa dunia usipatwe na umauti😅 tuache cc waislam tuteseke hatuwezi kuachia ardhi ya manabii ichukuliwe na mashoga wenu
Ebu hiyo akili iweke kwenye uelewa basi ujuwe Yesu anajulikana na kila mtu hapo ulipo Yesu humjuwi ukiulizwa Yesu ni nani humjuwi tukikuuliza Nini maana ya gaidi hujuwi alafu unaropokwa asa wewe ndio huyo shetani
Ukuta wa kuegemea na glasi ya maji inamaana kubwa kuliko unacho kisikia Nionavyo Mimi hakumaanisha ukuta tunaoujua sisi Wala glasi hii ya maji tuijuayo sisi
Middle east inaelekea ukingoni kujiondoa kwenye mitafaruku ya vurugu zenye kusababishwa na mitazamo ya kidini zaidi, jamii hiyo inaelekea kufukia tofauti hizo kwa ajili ya mwanzo mpya Wa waarabu na waebrania kuishi pamoja kwa amani ya utulivu ukiwemo utulivu wa kidini, Syria inatulia...
Sijaelewa vizuri Uchambuzi wa Asma Kwamba Hamas ipo imara sana na wanashangilia zaidi ila nachojua Wanaoumia zaidi ni raia wasio na hatia haasa wanawake,watoto&wazee ,Hiyo ni hatari sana
Hii imeipa ushindi HAMASI hata kwenye vyombo vya Israel wanasema hivyo maana lengo la neta nyahu nikuuwa HAMASI wote kwahiyo mpaka Leo hamasi wameonaka Bado ni wengi sana kana kwamba hawakupigwa na makombora mazito mazito
Sasa ww unakataa Nini ebu weka ufafanuzi wako.ss tunajua mateka hawakupatikana tangia mwanzo mpaka ss wamepo simamisha vita walikuwa hawajapatikani.hay hamas Bado ipo na wanaonesha wao dhahili kuwa wapo imara.pia hamas imeonesha dhahili Bado wanaushawishi mkubwa san ndani ya Gaza na palestina na mwisho Israel imekubali matakwa ya hamas.kwhy hapo lazm umpe ushindi japo ndio hvyo hauwez kusamin kw 7bb roho inauma san😅😅😅
@@Robert-t3f8p Akili zako haziko sawa ,Mimi ni maoni yangu sasa kwanini unajibu kwa Jazba hivyo? Toa maoni Yako hata bila matusi utaeleweka acha hizo ni ujinga huo
Ukweli ni kwamba mshindi ni HAMAS Kwa sababu Israel aliingia GAZA Kwa malengo makuu mawili kwanza kuwakomboa mateka pili ni kuimaliza HAMAS Sasa MATEKA hajawapata na HAMAS wapo kama hawakuwahi kupigana 🙌
Mna zungumza vizuri kuhusu hamasi ila sasa wagaza waki gombana wana tumia kinga yakusema wanao uwawa ni raia siyo hamasi vipi hapo pame kaa vipi sindiyo ita mpa IDF fursa ya kuuwa wote awamu hii ya pili ya vita ita kapo anza??
Mna ongea kwa kuhuzunisha et nipate glass ya maji na ukuta mwingine arudi kuzika watoto wake Duh! HALAFU NYUMBU MOJA INASEMA HAMASI NI VIDUME kima huyo hajui kitu na hali iliyopo gaza
@@raymrashSasa wewe GAZA imezingirwa Kwa zaidi ya mwaka tujiulize vyakula vilikua vinapitaje ? Silaha zilikua zinapitaje? 😂dah ! Haya ni maajabu ya Karne katika Vita 🙌
@@raymrashVyombo vipi vya habari unavyosema vinadanganya? Vyombo vya habari vya Marekani, Uingereza, Ujerumani, na Israel au? Maana habari za vita ya Hamas na Israel tunazipata kupitia vyombo vya habari ambavyo ni pro-Israel?
Wachambuzi wetu huwa mnajiahaulisha Sana kuusu Israel mm nawaambieni ktk hao mateka wanaoludishwa gaza wapo wanaokwenda kufanya kazi ya Israel msimalize maneno kwa Israel wakati mnawajua wanachokitaka
Tujiulizeni watu wangapi wakufa Gaza mali kiasigani zimealibiwa malengo miundo mbinu unasemaje wameshinda watu awa hii ni kuwapumbaza tu waparestina waendelee kuisapot hamas mateka 30, watu kiasi gani wamepotea Gaza au hamuoni ninyi, tunapoizungumzia Israel na parestina jamani ni tubakishe maneno
Sasa kumbe hamas bado wapo na hadi wanashangiliwa eee kwani hawa jamaa wananini yani hata raia wapale wajutii kuhusu kilicho tokea.au ndio ile kama ya lebanon😅😅
Hakuna amani n makafiri mpaka pale kafiri atakapo Toka toka Kwa ardhi za waislamu n kufanya ardhi za waislamu kua twahara yaani kuondoa najis kw ardhi za waislamu haijalishi tutaisha wote
Hao wajinga wasirudie Tena maana Wana garimu Wana nchi wasio na hatia halafu wao Wana jichimbia kwenye maandaki huku wanawake na watoto wanakufa bila hatia
Najiuliza Waslam ndio akili zipo matakoni au ni warabu?? Israel ilivyo ichakaza Gaza, watu wao walivyo uwawa, viongz wote wameuwawa, badae naskia et Hamas imeshinda vita 😂😂😂😂😂
Yaan kila post ya SNS natizama comment yako kitoto cha shetani wewe uhakika ni mtoto wa nje ya ndoa pia mzazi wako mmoja humjuwi au la umelelewa na mzazi mmoja ndio maana akili yako haifanyi kazi nyongeza wewe huna marinda nyum* na mbele
Vibaraka wa America bila America wangechapwa mngeshangaaa tena hawangechkua ata miezi 5 wangemalizika hao mashoga wenu ndomana mungu kawawashia moto kule marekani washenzi sana magaidi wakubwa hayatokaa kwa amani mtaona😅😅😅😅
Kufanikiw Kwa Jambo ni kukamilisha Yale Malengo uliojiwekea, Israel iliingia pale kw malengo makuu ma3 nadhn mpaka sas hawakufanikiw hata 1 ktk hyo Lkn ukiongelea lengo lao la Siri ambalo halikutangazwa la Mauaji ya Raia bs hili wamefanikiw 💯
Nimeona mateka wa Israel wale wanawake watatu wameachiwa wanafurahi na wana afya nzuri na wamepewa zawadi juu. Hapo ndio utaona Hamas walivyo na ubinadamu, utu na kujali hisia za binadamu. Smaa tunaomba utujulishe ni zawadi gani zile?
Kupeleka misaada Gaza nikama kumlisha shetani...Acha Mateka wote warudi halafu Netanyahu akiwakishe tena... kufanya dili na Hamas ni sawa na signing a deal with the Devil....🇮🇱🇮🇱💪
Hashindi hata siku moja miaka 70 kashindwa sasa ataweza si mali zakw wala nchi yake atahangaika saaana nchi 38 na matajiri wote wamesaidia lakini hamasi kasimama na mwenyezi mungu peke yake safari hii wamewanyima maji dawa chakula lakini mwenyezi mungu mkubwa moto umewawakia wao LA na nyie mnaeshangilia ubaya mtakipata
@asmaalghafri449 Hamas kashinda nini wakati adui amemfuata mpaka kwake nakuchafua kila kitu wakati wao wako mashimoni wamejificha ...miaka 70 wanasema watachukuwa Jerusalem lakini mpaka Leo Nani anayeimiliki Jerusalem? hata Westbank wapalestina wanafukuzwa kila siku...hiyo ndoto yenu mtaendelea Kuota Sana .. Israel Forever 🇮🇱🇮🇱💪
Duh unaroho ngum kama ya paka yaan bado unahngaika na hamasi hali mpaka taifa la mungu wko limeshindwa kumuondoa gaza pamoj na kuwa na baba yenu na vibarak wake ifike pahala ukubal ukweli huo ndio ujasir
Mungu wewe ni wa haki Linda watu wa Gaza,,Quds,westbank,na misikiti mtukufu wa baitul maqdis. Asanteni. Sana Dj sma. Ali masubi. Kwa uchambuzi. Mm kutoka mombasa kenya. Nawategea
🙏
Kaka Ally masubi umezidi kuimarika kwenye uchambuzi wa siasa za kimataifa... i wish you all the best
Leo GPS ni ya tofauti😊 sana ila ipo siku Palestine itasimama tena inshaallah ❤
Nawaenda sana mola awalinde ‘ nipo Toronto Canada✌️
Alhamdulillah 😢😢waliokufa mungu hawapunguzie adhabu ya kaburi😢😢😢😢
Kipenzi changu hujambo
Nashukru mungu kwa kuwaona mkosalam napia kua na afya nzuri, nawakubali sana nawatazam nikiwa mwanza tanzania.
Mungu awape maisha malefu mnafanya kazi kubwa sana
Dj smaa 👏Gps🔥🔥🔥
Kubali mno dj smaa... big up
Alhamdulillah kwa kweli
Ally masubi Sasa amekuwa Bora Sana mbeleni atakuwa Atari kwenye uchambuzi ❤ djsma anamwachia muda wa kumwaga Sera Ally masubi tunaendelea kupata vitu vya hatari Sana Asante kwa sky bundura kwa kuwa na mvuto kwa voko
Asanteni sana kwa ufahamu wenu mungu awabariki
Mungu awabariki sana... Allahadullillah!! 🙏🙌
Haki ni haki ila ukweli hauzami mungu aijale hii dunia iwe na amani
Wanwaji damu huwa hawachoki isipokuwa Mungu ana mipango yake🇯🇴🇯🇴🇯🇴
Bora vita imeisha waarabu weusi na waisraeli weusi nao wapoe kutofautiana waangalie ya nchini mwao sasa.. ila big up sana one of the best channel kwenye maswala ya uchambuzi wa siasa za nnje 🙌🙌
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Nawakubali kwa kuteletea habari nzuri za Palestine
Good
Shukran wamkuu
Viva Gaza vivaaa 🎉
Smaa, Ali na bundara nawafuatilia sana Mimi GPS nawakubali sana
Good 👍
Nimeona mateka Wa Israel wako na Hali nzuri sana
😅Wapalastine wamepigana ki haki hawatesi mateka wala kuuwa watoto wala wazee lakini mayahudi wametaka kuwauwa wote kwa urithi wa nchi dhulma haifainikiwi nchi 38 na matajiri wote wa America wamesaidia kuwauwa lakini mwenyezi mungu mkubwa jamasi peke yao wamewanyima maji chakula dawa laki mwenyezi mungu ashukuriwe moto unawasubiri
@@asmaalghafri449October 7 waliua wanajeshi pekee au waliua wote
Una ongea Nini na wewe hauna sera Nini??
Gps 🔥🔥
Pamoja sns🎉
Mungu ajalie usitaji wavita uwe wenye kudumu na uwe wamda mrefu
Kila siku nilikuwa nawaombea duwa kwa mungu vita visimame
Amiin ALLAH amepokea Dua zenu
@NikrahAyubu kweli ni duwa za watu wegi
Léo mmecelewa sana
Goodjob guys
Allah Akbar/ mungu mkubwa.
Wakwende uko Allah ndo mwenye hii dunia 😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Wakwende ndo mungu aka wakata 😢😢😢😢😢kwa vitabu zake huyo nyeta nyau akwende uko laanatullah 😢😢😢😢😢
Smaa kaongea point leo sababu yuko nje
😂😂😂yaan nasoma comments ata cckii
Yaani sky mpaka kiarabu unaanza kuzungumza sasa 😂😂
❤❤❤❤
Tumeisubiri sana
Wala hawazidishiwi madhwalim ispokua hasara, free palestine❤Hamas ndio jeshi Bora duniani, km Kuna miujiza bs na huu ndio muujiza mkubwa wa Karne hii, Hy jiulize Hamas wameisha au nd bado mnaendelea kuliombea taifa la mungu???
Hoja rahisi,UKIANZISHA VITA HARAFU UKAOMBA VITA IISHE AU SURUHU TAFASIRI RAHISI NI KUWA UMESHINDWA VITA
@@Khatib-iv9pb muujiza wa kupoteza wanawake na watoto na majengo! Kweli ninyi mna shida🤨🤨😹
@@KhalidiBoaz Bora wewe muislamu mmoja Mwenye akili
@@raymrashvita ni malengo wewe! Malengo ya hamasi ni kuhakikisha mateka wooote wanarudi Gaza ila malengo ya Israel ilikuwa ni kurudisha mateka Kwa nguvu na kuiangamiza hamasi yooote! Sasa nikuulize swali moja tu kama wwe una akili timamu
Je! Mateka wa Israel walipatikana Kwa vita??
Mbili ,je hamasi wameisha??
Ukitoka jibu basi ujue vita ilikuwa ngumu sana na Israel wameshindwa vita coz malengo yao hayajatimia! Kuwauwa hamasi wooote na kuwarudisha mateka Kwa nguvu(kijeshi)
Marekani anapata hasara kwa vita vya Israel na Ukraine, lakini ukiangalia Marekani anapata faida kutoka saudia arabia trump ni mfanyabiashara hataweza kukubali hasara kwa vita ambavyo havina maana
Daaaa!! nimesubir kwa hamu zote tokaa saa 1 nimekuwa niki chungulia tu 😂🎉
Tuna omba uwe ndio mwisho wa vita na Palestina wapewe ardhi yao na uhuru wao In Shaa Allah.
From river to the sea, Palestina will be free ❤❤❤❤❤❤ soon In shaa Allah.
In Shaa Allah Palestina itakuwa huru, kila lenye mwanzo lina mwisho na baada ta dhiki ni faraja.
Viva Palestina! Viva Palestina ❤❤❤❤❤❤
Allah akbar
Ben Giver mwizitu Hawezi kuto boa bila wizi wa ardhi😂😂😂😂😂
⭐⭐⭐⭐⭐
Nawakubari sio waongo
Hi. Nawafata nikiwa France
🇪🇸🇪🇸🤔👍👍👍👍👍🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴❤️❤️
Ali 😂usifananishe amas na sisi wa Africa ukionahivo juwa kuna msaliti aliosaliti uganda ndo maana walijuwa mapema
Anaitwa naftal benet
Thnx
Ni huruma tu kola siku watu mia wanakufa makubaliano ni muhimu
Nyie Vita siyo poa
Nawapenda tuu hamas
SnS 🎉🎉🎉 juu #
HAMASI 🚨 wamehesimisha wale wote wapigania ukombozi na uhuru .
bila damu hakuna kinachokuja kwa mdomo !
marekani na nduguze wamehangaika kazi ilikuwa kuua raia2
Kabisa mungu azidi kuwapa nguvu
@@SAYMOEKARIM raia akishika silaha huyo sio raia tena! Ni mwanamgambo
UN wapeleka Upelelezi huko si msaada TU tunajua UN ndio wako nyuma ya Israel
Hawa wa Sasa walifichwa haijulishi kilometa ngapi kufichwa ni jambo gumu
Kuanzisha vita na mwisho kuomba isimame; ni KUSHINDWA VITA!
Watu wanomba amani wewe unaomba upuuzi .sasa kama kushindwa ndio nn sasa wewe kweri mwehu.
Leo uchambuzi wenu haujawa fresh,,,
Tupe wako kijana
@Robert-t3f8p 😁
Mungu awenao nakufuta kumbukumbu mbaya zote za kivita ,,,zilizo waharibu kisaikolojia
@@AFRICA_D669 wasirudie tena kuchokoza Israel
@@raymrashsasa aleanza kumteka mwenzie ni nani mbona mnajitoa data nyinyi ndugu zetu
@zainabzanzibar1518 sio kujitoa data ... Elewa kuwa HAMAS waliteka raia wasio na hatia, Israel alikamata wahalifu wanaoshukiwa kwa ugaidi na kuwafunga kwenye magereza yake...kwa hiyo tofautisha mwenyewe kati ya magaidi na raia wasio na hatia.
@raymrash ukisema ugaidi wanaoongoza ugaidi duniani wanaeleweka sasa mtu akidai uhuru anaitwa gaidi katika nchi yake hakiingii kitu chochote bila wao kukagua kila kitu mpaka wakague na wengine walikuwa wanapigwa ndani ya misikiti ila yalikuwa yayatangazwi na vyombo Fulani hivi kwasababu ni wenzao ila walipolipiza Hammas kwakuona dhulma imezidi ndio wanaonekana wabaya ila ata hivyo wapalestana wamechoshwa na wanachofanyiwa na waisrael ambao mbaosema ni taifa la Mungu ila sijui mataifa yetu sijui ya nani
@@raymrash hujui husemalo
Ni hivi kaka zangu wale walopelekwa Uganda hawakufichhm
Huyo bwana Myemeni hajui anachoongea maana hayo yanatokea yangetokea kwake ,sijui kama angesema hayo
Nawapongeza mno watu wa Gaza kwa Subra walionesha na ushindi mkubwa kwa wapalestina na mashujaa wasiopgika na mazayun Hamas
Team mashoga awaamini macho yao hii ndio islamic power 😂😂 33 kwa 1000 😂😂
Usisahau watu wa Gaza wameuawa zaidi ya 50 thousand,Sasa hapo utajua ni wapi Kuna hasara zaidi
Iko hivi mateka watatu raia wa ISRAELI sawasawa na mateka 30 wa KIPALESTINE, MATEKA MMOJA WA KIISRAEL MWANAJESHI, NI sawasawa na wapalestine 50.
UKITAKA UKOMBOZI LAZIMA DAMU IMWAGIKE, KTK WATU WAPO STRONG KTK IMANI ZAO HAWAOGOPI ARE PALESTINIANS NAISHI NA MPALESTINE SO THEY ARE MORE THAN STRONGER PEOPLE
Si hata hatuna fujo 😂😂😂😂😂 kaa utulie si ata mukae miaka mia hiyo iko kila kwa kila kitabu😢😢😢😢😢😢
@@BarakaKusalulajee na wewe unajua majeshi ya Israel wamekufa wangapi?au unasema kuhusu palestina tu
Bro unapwsa kuweka watu wenye mitazamo rofaytinkuchangia mada SIO kuweka wote wanaopendelea hamas
Leo mpo jikoni kabisa
HAMAS N WAZO WAZO HUWA HALIFI
Inabidi siku moja dj Sma uje na makala ya kutafautisha wa zayuni na wa yahudi wenye kufata taurati ya Moussa na tufaham kuwatafautisha kimavazi itakuwa jambo la mana sana dj Sma
@@abrahamhabarugira2483 ili iweje
Tayari nikoshaifanya na ipo sns
Kwanza KABISA torati ya Musa inasema mwanamke asivae mavazi ya KIUME Sasa ona wazayuni wa kike wanavyovaa suruali za kubana matako 🚮
Trump ndy chanzo Cha hii vita na kaa ukijua kama vita ikirudi tena Trump ataongeza nguvu zaidi ya hii iliyotumika awali
@@djsma255 inaitwa aje Dj Sma
Hawa mateka ni mbinu ,tyu ,,watajua pia ni wapi huwa wanawaficha
Waislamu mnajipa moyo sana hakka shetan ndo anawaongoza ili mzid kupotea mtaisha mpokeen YESU ili mjiepushe na ugaid huo!!!
ugaidiupi unaouwonaww
Wew ndo ubaki na yesu wako ili uishi milele apa dunia usipatwe na umauti😅 tuache cc waislam tuteseke hatuwezi kuachia ardhi ya manabii ichukuliwe na mashoga wenu
Ebu hiyo akili iweke kwenye uelewa basi ujuwe Yesu anajulikana na kila mtu hapo ulipo Yesu humjuwi ukiulizwa Yesu ni nani humjuwi tukikuuliza Nini maana ya gaidi hujuwi alafu unaropokwa asa wewe ndio huyo shetani
Kaa kwa kutulia nani alikwambia waislam hawamjui Yesu tafuta kazi ufanye upunguze ufukara wa akili na mawazo mabovu
@@selemaniigosha kabisa Uislamu ni dini ya shetani mwenyewe kabisa.
Kpnd ongeza muda jmn
We sky me sikujui but naona upendi amani we juwa dunia imeisha kama ulifanya mambo yako ya siri fanya tobaa 😅😅😅😅😅😅
Sio waparestina tu na waisraeli pia
Ukuta wa kuegemea na glasi ya maji inamaana kubwa kuliko unacho kisikia
Nionavyo Mimi hakumaanisha ukuta tunaoujua sisi Wala glasi hii ya maji tuijuayo sisi
Hamas hawana nguvu yoyote ni Mola tu anawasaidia
Mashoga wameshindw vita,yani mateka3 wapelestina 901 ,vip wamerudi na mimba au walisema hamasi ni wabakaji.mbona wamerudi na afya njema
Mungu ni mwema wapalestina wapo na amani. Big up Trump kwa mkumshinikiza Netanyau kumaliza Vita
UKIANZISHA VITA THEN UKAOMBA VITA VISITISHWE MAANA YAKE UMESHINDWA VITA TOTALLY
Alieanzisha vita ni nani sasa
Si walisema hawaongei na magaidi imekuaje tena!
😅😅😅magaidi wamewashika madakoni mwao
Middle east inaelekea ukingoni kujiondoa kwenye mitafaruku ya vurugu zenye kusababishwa na mitazamo ya kidini zaidi, jamii hiyo inaelekea kufukia tofauti hizo kwa ajili ya mwanzo mpya Wa waarabu na waebrania kuishi pamoja kwa amani ya utulivu ukiwemo utulivu wa kidini, Syria inatulia...
Sijaelewa vizuri Uchambuzi wa Asma Kwamba Hamas ipo imara sana na wanashangilia zaidi ila nachojua Wanaoumia zaidi ni raia wasio na hatia haasa wanawake,watoto&wazee ,Hiyo ni hatari sana
Hii imeipa ushindi HAMASI hata kwenye vyombo vya Israel wanasema hivyo maana lengo la neta nyahu nikuuwa HAMASI wote kwahiyo mpaka Leo hamasi wameonaka Bado ni wengi sana kana kwamba hawakupigwa na makombora mazito mazito
Sasa ww unakataa Nini ebu weka ufafanuzi wako.ss tunajua mateka hawakupatikana tangia mwanzo mpaka ss wamepo simamisha vita walikuwa hawajapatikani.hay hamas Bado ipo na wanaonesha wao dhahili kuwa wapo imara.pia hamas imeonesha dhahili Bado wanaushawishi mkubwa san ndani ya Gaza na palestina na mwisho Israel imekubali matakwa ya hamas.kwhy hapo lazm umpe ushindi japo ndio hvyo hauwez kusamin kw 7bb roho inauma san😅😅😅
Ww mshenzi sana Yani umeona watoto,wanawake na wazee haujaona vijana wenzako na wababa akili za pumba hzo
@@Robert-t3f8p Akili zako haziko sawa ,Mimi ni maoni yangu sasa kwanini unajibu kwa Jazba hivyo? Toa maoni Yako hata bila matusi utaeleweka acha hizo ni ujinga huo
Tupe tathimini ya vita je nani mshindi au nani mshindwa katika vita hiiii
@@OmarSongoro-bp9pn mwenyewe..."ukianzisha ugomvi, ukaona unalemewa, ukaomba ugomvi uishe maana yake nini, umeshinda au umeshindwa!?
@raymrash tusaidiane tufahamishane nani aliyeanzisha ugomvii katika hawaaa maana hii vita wengi wameingia katika ushabikii bila kujua kitu
@OmarSongoro-bp9pn kuwa specific Ugomvi upi
Ukweli ni kwamba mshindi ni HAMAS Kwa sababu Israel aliingia GAZA Kwa malengo makuu mawili kwanza kuwakomboa mateka pili ni kuimaliza HAMAS Sasa MATEKA hajawapata na HAMAS wapo kama hawakuwahi kupigana 🙌
@@raymrashMbona Putin anasema anataka mazungumzo ili vita iishe kwahyo Urusi ndio imeshindwa?
Mna zungumza vizuri kuhusu hamasi ila sasa wagaza waki gombana wana tumia kinga yakusema wanao uwawa ni raia siyo hamasi vipi hapo pame kaa vipi sindiyo ita mpa IDF fursa ya kuuwa wote awamu hii ya pili ya vita ita kapo anza??
Nani anawalipa Hamas
Mna ongea kwa kuhuzunisha et nipate glass ya maji na ukuta mwingine arudi kuzika watoto wake Duh! HALAFU NYUMBU MOJA INASEMA HAMASI NI VIDUME kima huyo hajui kitu na hali iliyopo gaza
Hao mateka walikua wapi
Walikuwepo pale pale unapo pajua
Netanyahu amefanya kosa la kimkakati kwa kuruhusu magaidi yajipange upya
Sawa mke wa netanyahu
Wayahudi wameshaa njia walifunga zote ila wameshangaa mateka wapo mulemule hhhhhh
@@ayshasaid1547 sio kwamba hawajui walipo sema Hawa Hamasi ni wajanja? Wamewachanganya mateka kwenye makazi ya raia
@@raymrashhakuna kitu kama hicho Israel ni DHAIFU na mafala TU 🚮
@@raymrashsasa ci wangewachukua
Huyu jamaa mwenyekipara na tshirt nyeusi anaakirisana ya kuona ukweli wamambo 😮😮😮 washikaji inaonesha walijificha muisrael akajipigia raiaaaa mpaka kachoka kisha hao wamejaa mtaani wanataka kuzaanaupya
Sasa hapa si raia ndo wameponzwa
😅😅😅😅
Mateka wa Amasi wana afya nzuri tu, sasa subiri tuone wanaotoka jahanamu ya duniani
😂😂😂nmecheka ka mazur bn aah
@@abdalahngozi5455😂😂😂😂🤩
HAMAS WANAONEKANA NI WAMBA KWELI ISRAEL NI DHAIFU SANA BILA USA
@@doubleymkuu4267 kwani HAMAS wako peke yao!?
@@raymrashSasa wewe GAZA imezingirwa Kwa zaidi ya mwaka tujiulize vyakula vilikua vinapitaje ? Silaha zilikua zinapitaje? 😂dah ! Haya ni maajabu ya Karne katika Vita 🙌
@paschalcharles3617 vyakula vilikuwa vinapita kaka sema vyombo vya habari vinadanganya sana
@@raymrashVyombo vipi vya habari unavyosema vinadanganya? Vyombo vya habari vya Marekani, Uingereza, Ujerumani, na Israel au? Maana habari za vita ya Hamas na Israel tunazipata kupitia vyombo vya habari ambavyo ni pro-Israel?
@@raymrashHy habari ilikuwa inamponda Israel ni ya channel gan au website gan???
Ila ieleweke tu kuwa pamoja na yote aliyoyasema Dj hata Hamas pia wameogopa Ujio wa Trump maana alishasema kabla kuwa atateketeza Gaza.
Yale ni maneno sio Kila lisemwalo ni taarifa
Wachambuzi wetu huwa mnajiahaulisha Sana kuusu Israel mm nawaambieni ktk hao mateka wanaoludishwa gaza wapo wanaokwenda kufanya kazi ya Israel msimalize maneno kwa Israel wakati mnawajua wanachokitaka
😅😅😅😅😅
Wawape nchi yao uone watakajenga nchi yao na uchumi wao utaimalika
Tujiulizeni watu wangapi wakufa Gaza mali kiasigani zimealibiwa malengo miundo mbinu unasemaje wameshinda watu awa hii ni kuwapumbaza tu waparestina waendelee kuisapot hamas mateka 30, watu kiasi gani wamepotea Gaza au hamuoni ninyi, tunapoizungumzia Israel na parestina jamani ni tubakishe maneno
Ushindi wa Vita sio kuuwa wazee na watoto na kubomoa majengo, ushindi wa Vita ni kumdhoofisha ADUI na kuuwa wanajeshi
+254
😅😅 ivii hawa HAMAS walikua wameingia wap
Izraelii gaza walikua wanapigana na nani siku 400 hizo 😂😂 Kwa nini hawakupata matekaa Ujiulizi 😂
Sasa kumbe hamas bado wapo na hadi wanashangiliwa eee kwani hawa jamaa wananini yani hata raia wapale wajutii kuhusu kilicho tokea.au ndio ile kama ya lebanon😅😅
Wapalestina mjifunze ...tumieni njia ya Amani...msichokoze tena Israel
Hakuna amani n makafiri mpaka pale kafiri atakapo Toka toka Kwa ardhi za waislamu n kufanya ardhi za waislamu kua twahara yaani kuondoa najis kw ardhi za waislamu haijalishi tutaisha wote
@AmusedCatfish-hd8wo na mtakufa sana kama mbwa! Kwa hiyo kumbe ni udini ndo unawaosumbua? Haya mmepata faida gani kwenye hii vita ?!
Kamwambiie nyerere maneno hayo uko kaburini
@@yusuphrashidi-dr1kb Shida nyie ni watu wa mihemuko hamna facts
Unaota nini
Hao wajinga wasirudie Tena maana Wana garimu Wana nchi wasio na hatia halafu wao Wana jichimbia kwenye maandaki huku wanawake na watoto wanakufa bila hatia
Najiuliza Waslam ndio akili zipo matakoni au ni warabu?? Israel ilivyo ichakaza Gaza, watu wao walivyo uwawa, viongz wote wameuwawa, badae naskia et Hamas imeshinda vita 😂😂😂😂😂
Waislam watabaki kuwa washindi hata wawe Wamekufa wote hiyo ndio idiology ya dini yetu hakuna kukata tamaa na kifo sio mwisho wa maisha
Yaan kila post ya SNS natizama comment yako kitoto cha shetani wewe uhakika ni mtoto wa nje ya ndoa pia mzazi wako mmoja humjuwi au la umelelewa na mzazi mmoja ndio maana akili yako haifanyi kazi nyongeza wewe huna marinda nyum* na mbele
Vibaraka wa America bila America wangechapwa mngeshangaaa tena hawangechkua ata miezi 5 wangemalizika hao mashoga wenu ndomana mungu kawawashia moto kule marekani washenzi sana magaidi wakubwa hayatokaa kwa amani mtaona😅😅😅😅
Kufanikiw Kwa Jambo ni kukamilisha Yale Malengo uliojiwekea, Israel iliingia pale kw malengo makuu ma3 nadhn mpaka sas hawakufanikiw hata 1 ktk hyo
Lkn ukiongelea lengo lao la Siri ambalo halikutangazwa la Mauaji ya Raia bs hili wamefanikiw 💯
C tunajua wakristo wa Tanganyika mna roho mbaya ndomana c zanzibar hatuwapendi na mfumo wenu kristo kumamaaayooo
Panya wametoka shimoni 😂😂😂
Mzee naona umechok maan taifa la mungu halijafikia malengo ya kukomboa wafungwa wa kiyahid
@natual7572 vipi malengo ya Palestina kuichukua Jerusalem from the river to the sea...? Miaka mingapi sasa ...
Hamas wamepigana na dunia Ni vidume
@yassinhamza1969 jamaa walipoona wanalemewa ikabidi wakimbilie mafichoni na kuwaacha watoto na wanawake wakilipia gharama
@@yassinhamza1969
Kwel hamas kapgan na dunia
Nimeona mateka wa Israel wale wanawake watatu wameachiwa wanafurahi na wana afya nzuri na wamepewa zawadi juu.
Hapo ndio utaona Hamas walivyo na ubinadamu, utu na kujali hisia za binadamu. Smaa tunaomba utujulishe ni zawadi gani zile?
HAMAS Wameua watu 1200,sasa huo ni ustarabu😂😂😂
Hamas wana haki ya kujilinda na haki kulinda nchi yao. Ungekuwa wewe umevamiwa na adui, je ungembusu adui yako au ungempa mauwa? Tafakari ndugu!
@@KhalidiBoaztupe fact usibwabwaje usijielewa
Kupeleka misaada Gaza nikama kumlisha shetani...Acha Mateka wote warudi halafu Netanyahu akiwakishe tena... kufanya dili na Hamas ni sawa na signing a deal with the Devil....🇮🇱🇮🇱💪
Hashindi hata siku moja miaka 70 kashindwa sasa ataweza si mali zakw wala nchi yake atahangaika saaana nchi 38 na matajiri wote wamesaidia lakini hamasi kasimama na mwenyezi mungu peke yake safari hii wamewanyima maji dawa chakula lakini mwenyezi mungu mkubwa moto umewawakia wao LA na nyie mnaeshangilia ubaya mtakipata
@asmaalghafri449 Hamas kashinda nini wakati adui amemfuata mpaka kwake nakuchafua kila kitu wakati wao wako mashimoni wamejificha ...miaka 70 wanasema watachukuwa Jerusalem lakini mpaka Leo Nani anayeimiliki Jerusalem? hata Westbank wapalestina wanafukuzwa kila siku...hiyo ndoto yenu mtaendelea Kuota Sana .. Israel Forever 🇮🇱🇮🇱💪
@@omondiowino7875😂😂😂😂😊Tafuta kazi ufanye upunguze ufukara wa akili na mawazo mabovu adui weye dhwalimu basi kama imekuuma nenda ukaolewe na netanyau
@Awatee njoo nikuajiri bro...Mimi nachotaka ni Hamas wajichanganye tena warudie walichokifanya Oct7. ..ili wapewe show round 2 🤣
Duh unaroho ngum kama ya paka yaan bado unahngaika na hamasi hali mpaka taifa la mungu wko limeshindwa kumuondoa gaza pamoj na kuwa na baba yenu na vibarak wake ifike pahala ukubal ukweli huo ndio ujasir
Ndio shida ya kutegemeya majirani viva Hamas