Maa Shaa Allah Ustadh kwa kusilimu mwaka 2004 na kuweza kuhifadhi Kitabu cha Allah kwa muda wa miaka 2 na nusu tu. Allah akujaalie kila la kheyr fil Dduniyyah wal Akhiyra, Aamiin. Pia Allah akupe Pepo ya Firdaws, Aamiin kwa kuifundisha Qur'an. Mtume Muhammad Swalallahu 'Alayhi Wasalaam amesema "Mbora wenu ni yule aliyesoma Qur'an na Kuifundisha.
masha allah jazakumu llahu khayra,,,mungu awakuze na awalinde vijana wetu kwa kazi kubwa waliofanya kwa kuhifadhi kitab kitukufu cha Allah sw,,, kwa kadiri wawezavyo,,,kwa uwezo wa allah dini yetu ya uislaam itazidi kukua na kuenea katika kila kabila ulimwenguni inshallah,,,,
MashaAllah...nawaombeeni wasirudi watoto hawa wa jamii ya kimasai katika dini ya uislam na wawe miongoni mwa mashekhe siku za usoni IshaAllah wenye wataeneza dini ya Allah... Jazakallah heir shekhe Nooreedin Kishiki kwa juhudi zako.
Shehe wangu Kishki Mimi no kijana msomali nime furahishwa na vile MnA sambaza Dini . Somalia has failed so please You Waswahili, Continue calling people for the right path Inshaaallah we are rebuilding and we shall stand by you
Alhamdullilah,Masha Allah.Allah awaongoze na awaongoe zaidi .Kuna watu hawajui hâta Alif.lakini wanajua nyimbo mpya zote na za zamani ... Hakika Uislam Raha ALLAH akuhifadhi sheikh wetu.
Sheikh kishk madhali watoto wote ni wamasai basi huna haja yakulitumia hilo jina la kabila hiyo kila mara ungesema mwanafunzi aliehifadhi qur an aje mbele
Kazi mnayifanya kwa kabila la Masai ni nzuri sana,ukizingatia waislam wamasai ni wachache mno hivyo nimefurahi sana kuona watoto wa kimasai wanahifadhi qoroan,Hiyo itasababisha uislam kukua katika kabila hilo,nawaombea kwa mungu awape uvumilivu,hekhima,elimu,ufahamu na awaepushe na njama za makafili mbaka kiama INSHAALLAH
Mashaallah kher na Baraka nyingi ziwe nawe Nurdin kishk pamoja na ma sheikh wetu wote ndugu zetu wakimasai Mola awepe mapipo mema hapa dunian na kesho mbele ya Haki. Wenu Omar from Zanzibar
Maa Shaa Allah Ustadh kwa kusilimu mwaka 2004 na kuweza kuhifadhi Kitabu cha Allah kwa muda wa miaka 2 na nusu tu.
Allah akujaalie kila la kheyr fil Dduniyyah wal Akhiyra, Aamiin.
Pia Allah akupe Pepo ya Firdaws, Aamiin kwa kuifundisha Qur'an. Mtume Muhammad Swalallahu 'Alayhi Wasalaam amesema "Mbora wenu ni yule aliyesoma Qur'an na Kuifundisha.
mashallah umeslimu mda mfupi ulopita umehifadhi juu30 mashallah Allah akuzidishie
Mashallha Mashallha Mashallha jazaka Allah kher mungu awaangoze waisalm wote duniani
Allahum aminiiiiiii 🙏
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin
Allahumma aameen
Wallahi uislamu ni raha sana
Ninamshikuru Allah kwa kua mm muislamu Alhamdulillah
Mashallah jmn ustadh kafanya kazi kweli kubadilisha lafudhi ya kimasai na kuweza kuisoma qur,ani si mchezo. Allah akupe ujira mkubwa ustadh
Manshalah MwenyeziMungu Awahifadhi
Allah amewapenda sana nyinyi mlio ingiya kwenye dini yake
Mansha Allah wallah Allah atwekey wepes piy awazidishe elm wot 🙏🙏
mashallah Allah akupe Kila la kheri Shekh nurdin kishki pia akupe mwisho mwema
Maa shaa Allah tabarakallah Alhamdulillah! !!SHKH wetu Allah akulipe kheri nyingi duniani na akhera
Tahiya Ally
Amiin
Amiin
mashallah
Allah akupe iman subra na mwisho ulio mwema tunakukubal sheikh wetu na tunakuombea dua Allah akusameh utakapo teleza
Hadi natetema, jamani hicho kitu sio kido ni kikubwa kuliko tunavyozania mashallah.
Hakika
Kabisa
Yero subai mashaAllah 💖🌹🙋👍👍👍👍
😂😂😂 jamani
Masha,Allah sheikh Nurdin kishki Allah akulipe kwa juhudi zako insha,Allah
masha allah jazakumu llahu khayra,,,mungu awakuze na awalinde vijana wetu kwa kazi kubwa waliofanya kwa kuhifadhi kitab kitukufu cha Allah sw,,, kwa kadiri wawezavyo,,,kwa uwezo wa allah dini yetu ya uislaam itazidi kukua na kuenea katika kila kabila ulimwenguni inshallah,,,,
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatul
InshaAllah wajazakallah kheira jazaa
MashaAllah...nawaombeeni wasirudi watoto hawa wa jamii ya kimasai katika dini ya uislam na wawe miongoni mwa mashekhe siku za usoni IshaAllah wenye wataeneza dini ya Allah... Jazakallah heir shekhe Nooreedin Kishiki kwa juhudi zako.
Allah awalipea pepo ya darja lajuuu aaamiyn duh nimelia kwa furaha uislamu kumfikia masai
Wamasai natural Yao ni waislamu mashaAllah wakarimu na sauti zao Katika wanatakamka lafidh Kamili na nzuri MashaAllah
Mmasai na uislam wapi na wapi,mnawarubuni kwa zawadi wakati huko kwenu masikini wa kutupwa
Masha Allah masha Allah uislam ni dini iliyolingania walah. Namshukur Allah kwa kuw muislam hskika uislam ni dini pekee
Mashallah Allah akulipe sheikh Kishk akupe umri mrefu
Mashaallah allah awaongeze zaidi in shaallah 🤲
MashaAllah MashaAllah 🥰🧡🧡
Shehe wangu Kishki Mimi no kijana msomali nime furahishwa na vile MnA sambaza Dini . Somalia has failed so please You Waswahili, Continue calling people for the right path Inshaaallah we are rebuilding and we shall stand by you
Alhamdullilah,Masha Allah.Allah awaongoze na awaongoe zaidi .Kuna watu hawajui hâta Alif.lakini wanajua nyimbo mpya zote na za zamani ... Hakika Uislam Raha ALLAH akuhifadhi sheikh wetu.
Mashaallah watt wazur m.mungu awajalie mkue ivo ivo mnavyo mjua mungu
Mashallah mugu akuzidishie kila lenye heri amiin
Masha Allah, MUNGU awaongoze mdumu katika jamii ya waisilamu🤲🤲🇰🇪
Ndg zng nawapenda kwa ajili ya Allah
Mashallah. .sheikh mungu akubariki na waislam wote inshallah
Mashaallah!! Allah upe nguvu uislam
sura zao zinaonyesha km wamasai mungu awangoze na sie pia ishaa llah tabbaraka llah
Kazi nzuri sana Allah awabiriki nyote na shk kishki
Mashaalah
Takbriiiiiiiiiiii Alhamdulillah uislam mpakaa kiyamaa
AllahAkbar
Allah Akbar
AllahAkbar
Allah Akbar
Masha Allah sheikh nurdin kishki na sheikh masai
Jamani hady raha natamani hata nije kuwaona uso kwa Macho na hao ndugu zetu MAASHALAH.
Allah tujaalie waislam tuongezeke siku zote dunia itambue hii ni dini ya kweli
Mashaallah shekhe kishiki ALLAH akupe umri mrefu
Sheikh kishk madhali watoto wote ni wamasai basi huna haja yakulitumia hilo jina la kabila hiyo kila mara ungesema mwanafunzi aliehifadhi qur an aje mbele
Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh,, ALLAHU AKBARU
Maa shaa Allah tabarakallah Alhamdulillah. Allah s. w akulipe kheri nyingi
Maa shaa Allah tabarakallah kama anamke mmoja naomba niwe wapili nipo Iraq 🇮🇶narudi mwakani ln shaa Allah ♥
Masha,Allah Allah awaongoze na awazidishie elimu
Mashallah; m/mungu azidi kutia uwepes,waslmu wote.
Kazi mnayifanya kwa kabila la Masai ni nzuri sana,ukizingatia waislam wamasai ni wachache mno hivyo nimefurahi sana kuona watoto wa kimasai wanahifadhi qoroan,Hiyo itasababisha uislam kukua katika kabila hilo,nawaombea kwa mungu awape uvumilivu,hekhima,elimu,ufahamu na awaepushe na njama za makafili mbaka kiama INSHAALLAH
Maashaallah mungu awazidishie
Masha Allah nimewapenda wote Allah awajaalie afya njema
MashaAllah may Allah bless you sheikh and your family
Allah awape mwisho mwema na wanafunzi wote kwa jumla
@@bibimasoud4813 ccçcccccc
Hiheeii92hh9fih9ihih2ih2i2i9ih9iji9i9i9i29i292
Hiheeii92hh9fih9ihih2ih2i2i9ih9iji9i9i9i29i292
Masha Allah shekh nurdin kishki
Maashaallah
mashallah mashallah madalaka mashallah mashallah mashallah
Mashaallah Mashaallah Mashaallah. Jazaka Allah Kheir in sha Allah. Twakupenda kwa ajili ya Allah sheikh
Maa Shaa Allah
laa Quwwata Ilaa billah
Allahu Akbar
Subhaanallah
Alhamdulilah
Mashaallah waallahy uislam raha sanaa
MashaAllah MashaAllah
MaashaAllah alhamdulillah
Mashaa Allah.. M. Mungu awalipe zaid na zaid
Mashaallah kher na Baraka nyingi ziwe nawe Nurdin kishk pamoja na ma sheikh wetu wote ndugu zetu wakimasai Mola awepe mapipo mema hapa dunian na kesho mbele ya Haki. Wenu Omar from Zanzibar
Inshallah Tanzania iwe sababu ya east Afrika na Afrika nzima kuwa waislam.....Inshallah Ameen
Allahumma amiiiin 🤲
Mashaalah Allah akuhifade
Mashallah Wamasai wakivaa hivo kaa mbae wasomali
Mashaallah mashaallah tabaraka allah
.allah akbar
MashaaAllah jaamanii adiraha Allah azidii kuwapaa ufahamu
Mashaallah takabamina waminkum
maa shaallah juzuu are mungu awape kauli thabit mashekh pamoja wanafuzi
Mashallah mpaka nimeona wivu anavyosoma
mashaallah allah awakuze vyema inshaallah
Masha ALLAH masha ALLAH masha ALLAH
Aamiin,,waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh
Mashaallah mungu awaongoze
Ma Shaa Allah
Jazakallahu khayran
Allah atupe Salama kwa Dunia na kesho Akhera.
Mashaallah allah azidi wapa nguvu waiendeleze kalima yaallah
Masha Allah hongereni Allah awaongoze muwe waumin wema
MashaAllah,MashaAllah,MashaAllah tabarakallah
ماشاءالله تبرك اللهZakhiem from Namanga border Assalam Alaykum wajazakaAllah khair
Masha Allah Allah awape nguvu wazidi kujua dini ya haki
Nijambo zuri na lakheir ktk ulimwengu wa kiislamu,,ALWAH awaongoze zaidi nyinyi pamoja na sisi.
,MashaAllah Allah awaheed
Màshaalh Allah
Allah wape Moyo wa kupenda Allah zaidi
MASHA ALLAH...
MASHA ALLAH...ALLAHU AKBAR 🤲 ☝️ 🙏 ♥️ ❤️ 💖 ALLAHU AKBAR ❣️
ManshaAllah sheikh M mungu awazidishie
Subhaana rabbial a,ãlaa
Najima
Mashallah amenipa mtikhani ya kurudi nadrasa
Maashallah mungu awaongoze ,na shekhe wetu mungu akulipe kila LA kheir
Mashaallah hd rahaaa
Allah awape umri mrefu wote wa Masai walo ingia Dina
Mashallah Mashallah mungu awaongoze
Subhanaallah 🤔
Shekhe huyo masai naomba anioe na km anamke bac sio mbaya kuwa hata mke wa 2 maana daaaaaah,
Asmha Tanzania Wazo zuri dada angu, lkn kweli ww hujastirika kindoa?
@@suleimanhamad2242 bado kaka angu
Kwa hio bado hujampata huyo ustadh Dada angu?
@@suleimanhamad2242 bado my brother
Una umri gani dada?
Mashaalah ika nimeona wivu kweli msemo wa ustadhi tumezaliwa katika uislam lakini hakuns tunachokijua
Allah Akbar jaaria uislam uzidi songs mbele
Manshallah tabarak Allah.
Yassin Hamis ft
Takbriiiii Mashaallh
mashaallaah
MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan 🙏 Allah awaongoze MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah
Maa shaa Allah tabarakaallah
Masha Allah. MUNGU akujalie kheir shekhe wetu
Mashaallh adi na sikia raha
"Masha allah,Allah awaongoze nasi pia Allah Atujalie tuwe wenye kuhifadh inshaallah.
MaashaaAllah Hii ndo ddaawaa
Mashallah hkk hakuna Dini ya hak ila Uislam Allahu Akbar 😘😘
Sowamasai wote mwachukua watoto wwtu ilimuwalee mwawabadili din alafu mwajisifu
Fikira zako hizo hamna wa kumbabaisha
MaashaAllah Tabarakallah
Mahshaa allah allah awalipe kila lilijema
Waalaykum salaam warahmatullahi wabarakatuh