SIMANZI: BODABODA ALIYETEKWA NA ABIRIA NA KUUAWA AZIKWA, ATELEKEZWA PORINI SIKU TISA, POLISI WALAANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 26 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani vijana tafuteni pesa Kwa jasho lenu mbona manawaua vijana wadogo Mungu waondoe wote waliohusika poleni wafiwa

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 26 วันที่ผ่านมา +1

    Emungu matukio yamerudi kwa kasi sana duu kila siku unyama

  • @AshaMwamba-g3l
    @AshaMwamba-g3l 26 วันที่ผ่านมา

    Polenii sanaa

  • @EsterMwalongo-ox2sk
    @EsterMwalongo-ox2sk 26 วันที่ผ่านมา +1

    Dunia ya sasa bora ukutane na mnyama sio binadamu mwenzako kiufupi ukiona mtu anakuja nyuma yako unakimbia kwa hofu

  • @dancerboy2686
    @dancerboy2686 26 วันที่ผ่านมา +1

    nachukia haya matukio kwa kipindi hiki ukifa ni kama mbwa tu ata wakikamatwa wanaachiwa RIP MAGU

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 26 วันที่ผ่านมา

    Daaah

  • @RichardKunambi-e5v
    @RichardKunambi-e5v 26 วันที่ผ่านมา

    Tg Leo vip mbona hamna kitu

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 26 วันที่ผ่านมา

    Duuu😢😢😢😢