Kweli siku zinaenda haraka sana Maana hizi nyimbo zilitolewa enzi hizo mi ni mtoto na sasa nina watoto Namshukuru Mungu kwa kunipa neema ya kuwa miongoni mwa walio hai siku hii ya leo
Mwaka 2004 nakumbuka kwenye mikesha ya pasaka kirsimas na mikesha mingine tofauti tofauti nakumbuka na sinema ile muvie ya yesu kwenye lile tambala hakika maisha haya tunatoka mbali sana
Will reunite you again. The enemy use to scater those who are important in the Light kingdom of The admirable Son Jesus Christ . I like this song too much and could sing it many days adding something to its initial text.
Watching this on 1’st january 2025🙏🏽
Niko ndan ya yesu🙏2023 bwana ndie mchungaji siku zote 🙏
Sitapungukiwa na kitu chochote Zab:23
Kweli siku zinaenda haraka sana
Maana hizi nyimbo zilitolewa enzi hizo mi ni mtoto na sasa nina watoto
Namshukuru Mungu kwa kunipa neema ya kuwa miongoni mwa walio hai siku hii ya leo
Mikesha ya harusi miaka hiyo na sherehe za harusi tulipenda na tunapenda sana nyimbo hizi
Yani wimbo huuu unanipeleka mbaaali mno...kiaka hiyo
Hakika niko ndani ya Yesu siku zote za maisha yangu
Nice flashback... Hawa jamaa walikuwa wanaimba sana. Nyimbo zao hazijawahi kuchuja.
hata 2024!!! still powerful!!
Mwaka 2004 nakumbuka kwenye mikesha ya pasaka kirsimas na mikesha mingine tofauti tofauti nakumbuka na sinema ile muvie ya yesu kwenye lile tambala hakika maisha haya tunatoka mbali sana
Hii wimbo nanikumbusha mbali tulipokuwa na DVD Mara ya kwanza
Na wote tulio chini ya mwamba Yesu tuseme Amen🙏💗✝️
Niko chini ya mwamba 2023 Mungu mkubwa
Everyday i must listen to this song , it's message make me stronger
Reconnecting 2024
Nipo Chini ya Mwamba 2023
I like this song
Will reunite you again. The enemy use to scater those who are important in the Light kingdom of The admirable Son Jesus Christ .
I like this song too much and could sing it many days adding something to its initial text.
Amen
TBT zenye nguvu sana hizi my favourite song
Ameen❤❤
❤❤🎉Asante Bwana YESU
Niko chini ya mwamba YESU
Many blessings ❤️🎉👍🇹🇿💯🙏👊
🥰🥰🔥
Nimekumbuka Mbali siku nimepata sakramenti ya komunyio ya kwanza
Napenda san
Wow🥰
Baraks tele
2️⃣0️⃣2️⃣4️⃣🎉🎉
Aisee hakuna zile za neema singers Nyimbo inaitwa Asante yesu
Ameni 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
2024❤❤
2022 and still here
2️⃣0️⃣2️⃣3️⃣🥀
❤❤2023
Amen