Marafiki zangu wa Chuo cha Mtakuja Imani Vocational Training Center. Ester Bernard Membe, Rehema Exaud Ngalo, Priska John Matere, Merystlla Dominick Mboya, Mwalimu Mary David, Mwalimu Veronika Medadi.
Jaman nawapenda mnoooo. fanyeni mtoe wimbo huu tena maana hauchuji.nikikumbuka mie enzi hizo ni kibint kidogo nachipukia vijana walikuwa hawakauki nje kwetu.😂😂😂😂
Mungu niwema siku zote za maisha yetu uhuu wimbo nakupenda Sana sijuw unanini ndan yake nakumbuka kipind natoka kwenye mafundisho ya komunio ya kwanza miaka iyoo mungu awalonde sana
Esther anajua kuimba kabsa--much love to you Esther❤
Nakumbuka 2003 nilipousikiliza huu wimbo kwa mara ya kwanza na marafiki zangu
Marafiki zangu wa Chuo cha Mtakuja Imani Vocational Training Center. Ester Bernard Membe, Rehema Exaud Ngalo, Priska John Matere, Merystlla Dominick Mboya, Mwalimu Mary David, Mwalimu Veronika Medadi.
Mwaka 2002-2004 nilikuwa bado sija okoka lakin nyimbo hizi ziligusa maisha yangu. Nitakuja kijito nyama siku moja Mimi Ni matunda ya huduma hii.
It feels like yesterday ukisikiliza hizi nyimbo. Mungu ni mwema sana.
Nyimbo poa sana ,mungu bariki Tz gospel choirs
Jaman nawapenda mnoooo. fanyeni mtoe wimbo huu tena maana hauchuji.nikikumbuka mie enzi hizo ni kibint kidogo nachipukia vijana walikuwa hawakauki nje kwetu.😂😂😂😂
Sahivi Mungu kakuponya 🤲🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Hongera kama ulishinda vita hiyo kwa uaminifu mbele za Mungu wako. Ubarikiwe sana
Wangeurudia aiseee huuu wimbo ulikuwa mzuri sana.....sema kundi lenyewe lilisha sambaaa
Hii wimbo inanikumbusha mbali sana.
Mungu niwema siku zote za maisha yetu uhuu wimbo nakupenda Sana sijuw unanini ndan yake nakumbuka kipind natoka kwenye mafundisho ya komunio ya kwanza miaka iyoo mungu awalonde sana
Nyimbo hizi kweli zinaongeza Iman Mungu awabariki sana huyo solo sauti inamtoa ngoja pangoni.😅😅😅
😢rip dada Esther aliyeimba hii chorus ya huu wimbo
💔😭🙏
Amen. ❤
Jaman😢😢
May God bless this team we need more songs
Halleluya 🙏✝️💗
Safi sana💯☑️
Wibo huu mi nkubali sana unanikusha mbali sana ,, mbalikiwe
Nakumbuka enzi hizooo. Mungu awabariki watumishi
Very nice choir 🙏🙏🙏
One of my best🥰
Lazima nitacheza wimbo huu kwa harusi yangu
Its in my list
Amen.
Apumzike kwa amani Mbinguni Dada Esther Castory.
Ni yupi.hapo?
@@emmanuelkaitabatz556 anayeimba kiitikizano
Mungu amrehemu
@@emmanuelkaitabatz556
Uyo anae soro apo
Uyo wa suti nyeusi au 😢@@lucylucas9658
HALELUYA 2023❤❤
Wimbo wangu pendwa
Hatari sanaa..dah back in the days
🔥🔥🔥🔥☄️
Reminds me of those days🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
hellejah