Acheni kuwaweka wachezaji kwenye mijadala ( spot light). Kwanza unawapa pressure isiyo ya lazima! Umemharibu vibaya sana joshua mutale, kama usingekuwa unamuongelea na kumpamba ovyoovyo kila wakati mbele ya vyombo vya habari asingeingia kwenye pressure na panick kubwa hivyo. Punguza mdomo. Tuwe watu wa kumshukuru na kumuomba Mungu pekee aisaidie club yetu na awalinde wachezaji, benchi la ufundi na viongozi/wafadhili/wadhamini/wawekezaji. Mungu atusaidie. Amen
Ubaya ubwelaaaa I love you simbaa forever ❤
Leo fanyeni mtupostie mazoezi ya Leo ya team yetu sisi wengine hatuwezi kuvumilia cku mbili bila kuiona simba
Kwer 👍
kabsa😊❤
Uhakika
Yaani Simba isipocheza naisi kuumwa cjui kwanini inanikuta ivo
Kamaa Mimi nishaanzaaa kuumwa tayar❤😂
Acheni kuwaweka wachezaji kwenye mijadala ( spot light). Kwanza unawapa pressure isiyo ya lazima! Umemharibu vibaya sana joshua mutale, kama usingekuwa unamuongelea na kumpamba ovyoovyo kila wakati mbele ya vyombo vya habari asingeingia kwenye pressure na panick kubwa hivyo. Punguza mdomo.
Tuwe watu wa kumshukuru na kumuomba Mungu pekee aisaidie club yetu na awalinde wachezaji, benchi la ufundi na viongozi/wafadhili/wadhamini/wawekezaji.
Mungu atusaidie. Amen
❤simba nguvu moja ule kauli. Mbiu ya ubaya ubwela umerudii lazima kazi ionekane ❤ pokeenii poindii 3 safiii ushindi wetu nawapenda ❤
Ubayaaa ubwela🔥🔥🔥
Ubaya ubwela simba nguvu moja mungu barik ushindi simba
Kweli Simba ya sasa ni ubaya ubwelaaaaaaa ❤❤🔥🔥🔥🔥
Semaji hata huchoshiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Kama wewe
Kila la kheri simbaaaa hiyoo kesho 🔥🔥🔥🔥
Mm simba yangu ikipita siku 3 bila kucheza napenda kuwangalia marudio I love Simba 🦁🦁🦁❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Naitakia kila la heri Chama langu Simba mungu ibariki simba
Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤❤❤
Tatizo huyu memaji wetu anawaponza sana wachezaji anawasifia kupita kiasi ajuwe mahasidi wanatuchezeya sana kwenye peach
𝖓𝖎 𝖐𝖜𝖊𝖑𝖎 𝖐𝖆𝖇𝖎𝖘𝖆 𝖐𝖎𝖔𝖓𝖌𝖔𝖟𝖎
𝖍𝖆𝖘𝖆𝖉𝖎 𝖟𝖎𝖕𝖔 𝖏𝖆𝖒𝖆𝖓𝖎
Upo sawa mkuu msemaji anachangia sana wachezaji wetu kupigwa misumali,hata kwako mwanao ukimsifia sana kwa majirani atapigwa tu kombora
Ubaya ubwela unaendelea 🦁💪
Semaji hupokeii cm zangu
I LOVE SIMBA ALWAYS.
Tunawanisi hakika
❤❤
Mnyama
Mashaallah
Ubaya ubwela❤❤❤
🦁🦁🦁⚽⚽⚽⚽
Semaji la masemaj
Yanga uwanja wamipaka mvu tukumbuke kuusafisha kiimani au kiswaili utopolo wanga sana
Mpanzu abadilishiwe jez namba 34 avai mchezaj bora
Tunaitakia kila.la kheri timu yetu.
Mpanzu hatari
Kesho niubaya ubwela
Ila Joshua kumbe mzembe mazoezin ndio mana mipra huwa inamruka miguun😅
Nakesho Kunakono kcm ubaya ubwelaaaaaaa
Kila la kheri mnyama
Kesho ni ubaya ubwela unatembea tunawapg 7 hao kesho wasije kichwa kichwa
Ubaya ubwela unaendelea
Ubaya ubwela
Semaji punguza kuwasifia Wachezaji
We ally kamwe kuma shoga
Shoga bb akoooo
Hapo sawa
Hata kwa mtale ulituitasana lakini ikawa tofauti nahuyo tumpe mechi 7 kwanza ndio tumsifie baada yahappo
Kama.inawezekana dirisha dogo tusihangaike na wachezaji kutoka nje ila tuendelee kuwaboresha na kuwasisitiza tulionao hawa watatupa kitu kikubwa.
ni ubaya ubwera h😢😢😢😢😢😢
Kibu Denis haonekani mazoezini why
Kibu yupo South Africa kwenye majalibio
👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
💪💪💪💪💥💥
Kesho ubaya ubwela unatembea tena kwa jkt
Kesho ubaya ubwela unatembea tena kwa jkt