BANDARI YA DSM: KINACHOENDELEA CHINI YA DP WORLD/ MKURUGENZI ATOA SOMO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • BANDARI YA DSM: KINACHOENDELEA CHINI YA DP WORLD/ MKURUGENZI ATOA SOMO

ความคิดเห็น • 39

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 3 หลายเดือนก่อน +5

    kweli kazi inafanyika, Hongera sana Mama Samia

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 3 หลายเดือนก่อน +5

    Safi Sana Mama Samia suluhu Hassan 🙌

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 2 หลายเดือนก่อน

      Chaw

  • @Ba63828
    @Ba63828 3 หลายเดือนก่อน +3

    Fantistic developments asante kwa taarifa

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 หลายเดือนก่อน +2

    Angalia jitu jinga kama hili eti linawakaza watanzania wasiwape ushitikiano wawekezaji mhuuu

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ni uhuni mbona vinatajwa havionekani 😂😂😂😂😂😂

  • @josephkmarwa7425
    @josephkmarwa7425 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa .meli..tumeiinna...umepunguza. ugumu..wa..maisha.. je..mpina..kila. kitu..bei..iko..juu..hayo..maneno..sio..maisha.👣👣👣👣👣

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna ujinga hapo Bali wewe unaesema wewe ndio mpumbavu unachuki binafsi na mama

  • @MukhtarBurah
    @MukhtarBurah 2 หลายเดือนก่อน

    HAO DPW HAWANA DILI KABISA NI WEZI WAKUBWA MBONI WATANZANIA HATUKOMI MBUGA YA WANYAMA MMEMPA MWARABU VIPI NYINYI VIONGOZI WETU TUMELONGWA NA NANI...PUMBAVU ZENU..

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wataelewa tu piga kazi Mama wenye akili timamu na wazalendo wa hili taifa tunakuelewa

    • @mwalimumstaafu8529
      @mwalimumstaafu8529 3 หลายเดือนก่อน

      Tuache uchawa. Anayeongea hapa ni Mkurugenzi mpeni maua yake.

    • @Misheckkazilist-cv2hb
      @Misheckkazilist-cv2hb 3 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe unahakili timamu kweli ama m aise

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 หลายเดือนก่อน

    Nakusudia miladi alioicha magufuli yote kaimalizia halafu yule mama pale kwenye nafasi kawekwa mungu yeye hata ikieneza chuki ili watu wsmchukie ni bure Tu jambo alolipanga mungu binadamu hawezi kulipsngua mtamsikia Mtu mzima Tena kiongozi wa Kiroho anatangaza upumbavu wake oo samia kakataliwa na mungu wewe Nani mbele ya mungu mpaka uyajua hayo ?wewe hata ukichukia Yule mama ndio kashakua raisi wako unataka hutaki ni hivyo hivyo

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 3 หลายเดือนก่อน

    Apo niujinga 2 hakuna jipya washenzi ninyi sioni mabadiliko mimi hapo

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 2 หลายเดือนก่อน

    Viva Burkina Faso kwa kukata utumwa wa kizungu

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ni upuuzi, kama serikali ili weza kutengeneza gati kwanini ishindwe kununua mitambo? Kwani DP world ana nunua wapi hiyo mitambo kama sio kwa wachina. Tatizo serikali yetu ina viongozi wasio taka kufikiria Tanzania yakesho matokeo yake wana fikiria majawabu ya leo ili wafaidike kipindi wako madarakani matokeo yake wanao umia ni watanzania wengi

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 3 หลายเดือนก่อน +3

      Najua watu kama ninyi hamkosekani, mitambo mingapi imekuwa ikinunuliwa na ikiharibiwa makusudi na watendaji bandarini, unataka kila siku kodi za wananchi ziwe zinaenda kununua mitambo ambayo haina faida kwa wananchi na kodi zao

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 3 หลายเดือนก่อน

      @@soudmoshmnyika5813 Kwasabu anae hujumu ni mfanyakazi wa serikali na si mtu binafsi, kwahiyo unacho sema ni kwamba serikali imeshindwa kusimamia bandari. Kama imeshindwa kusimamia bandari basi inabidi iachie ngazi wengine wachukue nchi.

    • @killy_hoffman2698
      @killy_hoffman2698 3 หลายเดือนก่อน +2

      chochote kile cha serikali huwa lazima kuwe na uzembe na rushwa za hovyo....private sector wanapokuja kusaidia kwny management inaipunguzia serikali hasara kubwa

    • @deohaule8161
      @deohaule8161 3 หลายเดือนก่อน

      @@killy_hoffman2698 huo ni uzembe, wezi ni hao hao viongozi. sasa kama private sector inasaidia kwenye management kwanini makampuni ya wazawa yasipewe hizo nafasi kwenye kusimamia management ya bandari? Kwani Tanzania haina makampuni makubwa yenye international exposure ambazo zingeweza kusaidia kupunguza au kuondoa ubazilifu.
      Kwanini nchi nyingine ziweze kusimamia bandari zao sisi tushindwe?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo huna akili bali unaendeshwa na chuki dhidi ya Samia,toa ujinga wako humu.

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli hayo yanayoongelewa au?

  • @RaphaelHhari
    @RaphaelHhari 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa pole mambo hayo yalipaswa kuwa yameshashulikiwa miaka thalathini yaliyopita

    • @Beauthoms
      @Beauthoms 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo mjinga unaeponda kila kitu kana kwamba amna kinachofanyika nchi hii

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน +1

    KUNAWATU WALISEMA BANDAR IMEUZWA KWAN VIP TENA AU ZILIKUWA N SIASA 😂😂😂 SAMIA MITANO TENA IMEISHA IYO😂😂

    • @lucymsheshi5871
      @lucymsheshi5871 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wautoe mkataba yaonekane yaliokubalika katika mkataba

    • @jekoniarubeni4609
      @jekoniarubeni4609 3 หลายเดือนก่อน

      Alisema mwenyewe imeuzwa

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 หลายเดือนก่อน

      Hata ukiuoneshwa huo mkataba unaweza kusoma au ni kihererhere tu choko wewe?​@@lucymsheshi5871

  • @yusufurhobi9678
    @yusufurhobi9678 3 หลายเดือนก่อน

    Mama kasema bandari inaweza kulisha nchi nashangaa mnatafuta kiki ya picha za meli badala ya kutafuta kiki ya maokoto yaliyoletwa serikalini.

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wana akili ya watu wa libiya Gadafi aliwafanyia kila kitu lakini bado wakamuona hafai matokeo yake ndio yale mama samia anapambana sana Kazi yake inabezwa kwachuki binafsi Tu miladi alioacha yote kaimalizia kaanzisha mingine mingi nayo inaendelea nyinyi unataka Afanye nini jamani mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 3 หลายเดือนก่อน

    Tumeisha anza kuingiza au bado?

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 หลายเดือนก่อน

      Tayari asilimia 15 ya gawio limetolewa kwa serikali.Vipi bado una jingine la kupotosha?Maana mlitaka kutuaminisha bandari imeuzwa.

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 3 หลายเดือนก่อน +1

      Baada ya kutolewa gawio hilo wapingaji wakasema sio DP World, ni TPA wala hatuna haraka nao ngoja mda utaongea

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 3 หลายเดือนก่อน

      @@soudmoshmnyika5813 ww ndio mpingaji mmojawapo.Wapingaji huwa wapo kila sehemu.Na hao mara nyingi ni mawakala wa shetani

  • @mvunge7108
    @mvunge7108 3 หลายเดือนก่อน

    Watz msiwape ushirikiano hao

    • @suleimanh1826
      @suleimanh1826 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hatukupi ushirikiano wewe unayetaka kutugombanisha. Tulia uangalie maendeleo yetu. Tz one love

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 3 หลายเดือนก่อน

      Utawapa wewe kazi, mbona mwehu kiasi hicho, hivi serikali inaweza kumpa mtu uwekezaji bila kupa faida, huu ni ushindani wa kibiashara, kama ni mfuatiliaji mzuri angalia Kenya wana bandari moja tu na nusu tatu wamiliki ni Marekani, Tanzania ina bandari karibu kila pande ya nchi, mfano Lindi, mtwara, kilwa,Tanga, Bagamoyo, pangani, na sehumu nyengine nyingi mno zinaweza kuanzishwa bandari, hivyo hawa jamaa wakienda kinyume itakula kwao. Mfano Tanga ina asili ya kina kirefu bila kuchimbwa au kuongezwa na pia meli zonafika Tanga, hivyo serikali kufanya hivyo ni sehemu ya kupunguza majukumu ya uendeshwaji kwao lakini huku wakipata faida na wàtanzania wakipata ajira, si kitu rahisi Tanzania ya sasa inakuwa kwa kasi sana na watu huongezeka mno, tumepata uhuru tukiwa watu milioni nane mpaka kumi na mbili milioni, leo hii tupo milioni zaidi ya sitini na tano, baada ya miaka sita kuanzia sasa dar es salaam peke yake itafikia watu milioni kumi hiyo ilikuwa idadi ya watu wa nchi nzima, dodoma nayo inaanza kujaa taratibu hayo yote ni majukumu ya serikali kupeleka miundo mbinu ikiwemo bara bara reli mahospitali ya hadhi ya kimataifa ongezeko ya vyuo vikuu na mashule, hivyo msichukulie kawaida. Twendeni na muda tuache kulalamika tuiachieni serikali ifanye kazi yake na tuipe sapoti kwa ajili ya kesho ya vizazi vyetu, watakuja kufanya mabadiliko hata ya kwatoa hawa wawekezaji tunaowaona hawatufai mikataba yao ikikapo kikomo. Hata kama ni miaka hamsini watoto wanaozaliwa sasa na watakaozaliwa miaka kumi ijayo ndio watayoitoa Tanzania kimaso maso, maendeleo hutaka uvulimivu na wakati mwengime pia kujivalisha mabomu si kutaka kufa ila tu ni sehemu ya kutaka mabadiliko ya lazima.

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@suleimanh1826mpigaji mmoja wapo