Furaha ya Simba ilishabakia wakati wa dirisha la usajili,ligi ikianza mikono inarudi shavuni kwa kuwa mwekezaji alishawaona wanasimba ni mazezeta na kama wanavyoitwa ni mbumbumbu.Leo nimeamini kutokana na Manteno ya Mzee Masatu maana anafuraha wakati huu wa dirisha la usajili.
Ngoma vyuma mwili mzima
Jio ngopeeni hivyo hivyo hamna kitu hapo
Yee mwenye Hana aman
We Mzee utalia subili kipigo
Ana faa
Hankawii kung, oa viti
Uongo mtupu, mzee mzima anaongea uongo mchana kweupe.
Unaomba mechilewo mbere mukuawapi??maneno yamukosaji acana n'a Chamewewe kajishindirie mwenyewe🤪🤪🤪🤪🤪
labda mkacheze na Yanga Queens ndyo size yenu mzee
KUNA SIMBA QUEENS SIO YANGA UTOPOLO MACHOGO FC WEWE
Ngoja tuwape tano zingine ili tusimuliane vizuri 😂😂
Furaha ya Simba ilishabakia wakati wa dirisha la usajili,ligi ikianza mikono inarudi shavuni kwa kuwa mwekezaji alishawaona wanasimba ni mazezeta na kama wanavyoitwa ni mbumbumbu.Leo nimeamini kutokana na Manteno ya Mzee Masatu maana anafuraha wakati huu wa dirisha la usajili.
ENDELEA KUAMINI MACHOGO FC WEWE MACHOGOOOOOOOOO 😂😂😂😂
Acha kudanganya watu ww mzee,Et Unataka mechi leo
Ana ushahidi gani, Wacha kuongea pumba kuntwa kahawa ukalee wajukuu huko huna jipya
Duuuuu ngoja tuone Ngoma inako elekea
Jipeni moyo, shida ipo.pale2
Huyu mzee kweli ni mku**** ndugu yangu msikilize anayoongea
Fala tu! Hajui anaongea nini!
NA WEWE NI MAVI TU
Kaz kung'anniana mchezaji na kost mzee huyu naye anaumwa
Utaona yanga ni kubwa
MWAMBIE UYO MZEE NTAMTAFTA GAO YA JAMII SIMBA VS YANGA .WEZI WA NANE
We mzee chunga na maneno yako utakuja kukimbia camera we mzee
AKIMBIE CAMERA KWANI YEYE ALI KAMWE?? MACHOGO FC NYIE
Afya ya akili ni tatizo kubwa
KWELI NYANI 😂😂😂
Kuongea rahisi,anaongea Nosense tupu! Hawanajasajili mchezaji hata mmoja ,hawana kocha😂😂😂😂! Ronaldo ana miaka mingapi! Chama anawaumiza roho🤣🤣
VP UTOPOLO MMEMKOSA CHAMA DUH POLENI 😂😂