DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 27...LEO NDIO MTAJUA MPONJI NI NANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 280

  • @darzone1020
    @darzone1020  หลายเดือนก่อน +65

    ACHENI CHOYO WALE WENYE CHOYO LEO M LIKE,M COMMENT,M.SHARE NA M SUBSCRIBE NASI TUENDELEE KUPATA MOYO NA NGUVU WAKUWALETEA VITU VIZURI NA VYENYE MAUDHUI MAKUBWA KAMA HIVI

    • @AminaNdugai
      @AminaNdugai หลายเดือนก่อน

      Kazi zako Mponji ni nzuri sana Mshukuru sana Mungu kwa kipaji alichokujalia

    • @LeticiaCalderon-nr6hh
      @LeticiaCalderon-nr6hh หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa Mponji wangu ❤❤❤❤

    • @Arafa-dt9sh
      @Arafa-dt9sh หลายเดือนก่อน

      Dah! Hongera sana mponj mungu akubarrk ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Arafa-dt9sh
      @Arafa-dt9sh หลายเดือนก่อน

      Tutolee kesho mponj dah! Kimeumana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MarthaAlly-y7s
      @MarthaAlly-y7s หลายเดือนก่อน +2

      Naiomba nikushauri mponji upon vizuri sana ila unapoanza episode nyingine usianzie mbali unaanza mbali sana mliishia ulipokuwa unapiga kelele ila umeanza tangu wanavutana tena gesti unapoteza muda lifanyie kazi

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei หลายเดือนก่อน +32

    Mponji kila siku unapatana na mapya hila huo mtiani tu utaupita be strong 💪 💪💪💪from Kenya 🇰🇪 like zenu hapa jamani

  • @ShamimAbdul-tf3fw
    @ShamimAbdul-tf3fw หลายเดือนก่อน +17

    Hajira kweli hakun kitu twajifunz kutoka kwako unashidwa kujifunza inga mange anavyoshi mauwa kw mange🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @basimisemusafiri4856
    @basimisemusafiri4856 หลายเดือนก่อน +4

    Wow kazi zuri sana tuna wapedasana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ajira kinaedakumuramba sumufukuze jamani uyosio mwana mke

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori หลายเดือนก่อน +7

    Mponji jameni akuna siku utakuwa n furaha duuh pole sana kaka hila jikaze kiume mmbo yako jiani mazito sasa y ukweli kbsa leta next plz jioni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hii n 🔥 fire 🔥 gonga like apo twende nalo❤❤❤❤❤❤

  • @Lucywanjirukagonye
    @Lucywanjirukagonye หลายเดือนก่อน +27

    Teem strong wapi like za mponji🎉🎉🎉

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo หลายเดือนก่อน +3

    Ak Mponji pole.Mage aki wewe ni mwanamke na nusu.Mama Shadya we ni mpuzi sana.Umetaka vyote ukakosa vyote.Congratulations to you all.❤

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik หลายเดือนก่อน +8

    Jmn mbn hii move moto sana usichezee hasira zamtu.mpole atakuuwa hajra dada kubali matokeo mipango yote imefeli

  • @rahmamamy4034
    @rahmamamy4034 หลายเดือนก่อน +9

    Nimechelewa ilinimefika..hongeren saana kwa kaz nzur nakujali mashabik zenu.mwenyez mungu azid kuwapa marifa zaid maana siorahis

  • @Sharifahussein-e6q
    @Sharifahussein-e6q 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa kazi yenu ni nzuri sana nimeipenda yaani iko so mwaaaa ila mama Shadya ni hatari hafai hata kwa kafara duuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MaryWayuuwa
    @MaryWayuuwa หลายเดือนก่อน +3

    Mponjo kawaka whaaa 😂😂😂😂😂ajira nae kila kitu unaumbuka ssa hitakuaje kali sana leo

  • @lilianmwadunje5328
    @lilianmwadunje5328 หลายเดือนก่อน +2

    Hii leo nimoto nawapenda bure mwaaaa❤❤❤

  • @GodilahArohzyne-yv1ev
    @GodilahArohzyne-yv1ev หลายเดือนก่อน +2

    Waaa leo ni kubaya mponji pole🎉🎉🎉🎉from Kenya 🇰🇪 😍

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂hajra wasema kimeumana leo😮😮😮mashaallah ❤ 😍only

  • @Winjoy-y2p
    @Winjoy-y2p หลายเดือนก่อน

    Maggie ungemuacha mponji amfunze anjera adabu. Aq leo nimefurahia sana walai ❤❤ hongera mponji🎉❤❤🎉🎉❤

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 หลายเดือนก่อน +5

    Mwanzoni nirisema kua Mponji kazmia nasiku muona kumbe kweri Pole sana Kaka Mponji kwaja libu kutoka kwa Mtalakia Mama Shadia

  • @PetronilaYaa
    @PetronilaYaa หลายเดือนก่อน +4

    Jaman huyu make shadhy ni zaidi ya muchawi. Pole sana mponji kwa majaribu unayo pitia.

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤😂😂😂 next plz

  • @mulumbademulu7028
    @mulumbademulu7028 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mbonji

  • @Anitajoseph792
    @Anitajoseph792 หลายเดือนก่อน +5

    Mponji ❤❤❤❤ hongera sana yaani unakaa unaangalia movie unaelimika na unaburudika vyakutosha

  • @TuhumaMuhidini
    @TuhumaMuhidini หลายเดือนก่อน +1

    Baraka friji lako harigandishi

  • @AntyBy
    @AntyBy หลายเดือนก่อน +1

    Baraka hushauri mzuri kwa mponji

  • @jonmgonja3153
    @jonmgonja3153 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri ongeleni Sana mungu awatie nguvu twende chapu

  • @AshaNzara
    @AshaNzara หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzuri sana kazi imetulia haina mbamba 🎉🎉🎉🎉❤

  • @Meterinenanjala
    @Meterinenanjala หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda sana wee baba shaja

  • @basimisemusafiri4856
    @basimisemusafiri4856 หลายเดือนก่อน +1

    Mange nimwana mke muzuri sana 🎉🎉🎉🎉

  • @faisalali8550
    @faisalali8550 หลายเดือนก่อน +8

    Yaleo motomoto kumbe mupochi mukali hivoo vigana bwana nimependa mimi😊

  • @Mudialli
    @Mudialli หลายเดือนก่อน

    pole sana mponji from zanzibar

  • @Saidesaideinacio
    @Saidesaideinacio หลายเดือนก่อน +21

    Ukifuga nyani utavuna mabuwa naomba like zangu hapa chini from Mozambique 🇲🇿

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 หลายเดือนก่อน +1

    Tajiri mponji hahahaaaa kapandisha mori,,,na wewe mama shady hakuna hata mwanamke mwenye hizo tabia zako chefuuuu

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t หลายเดือนก่อน +1

    Duuu amakwel ili ni funzo kwel mungu awabarik san mufike mbal muzid kutuelimisha

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂jamni

  • @JennyAkinyi
    @JennyAkinyi หลายเดือนก่อน

    Leo mponji ametoa sura yake ya pili aisei wee noma sana

  • @HenrietteUwimana-s8n
    @HenrietteUwimana-s8n หลายเดือนก่อน +2

    Pole san Mponji Na yalio kukuta Léo maana yamezid zingine Siku zote Ila usijali yatakwisha.Umeaanza vibaya InshaAllah utamalizia vizuli 🥰

  • @PuritySalama-yv6to
    @PuritySalama-yv6to หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂mashyad

  • @LeticiaCalderon-nr6hh
    @LeticiaCalderon-nr6hh หลายเดือนก่อน +2

    Kazi tamu hadi utamani iishe jmn hongereni sana

  • @StephanoWaindi
    @StephanoWaindi หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda mage💕💞💞

  • @NeemaMassawe-y7u
    @NeemaMassawe-y7u หลายเดือนก่อน +3

    Mama shadya umekiramba Leo jamani 😂😂😂😂😂

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr หลายเดือนก่อน +4

    Mama chadia leo umeyakanyaga kiukweli😂😂😂😂 amekupiga kidogo k1bisa angeongeza 😂😂😂ivi hati hupati tena watakufukza namutoto wako bila kitu pole😂😂

  • @focusmaghanga6143
    @focusmaghanga6143 หลายเดือนก่อน

    Tamu sana🎉🎉🎉

  • @ramadhanihot1945
    @ramadhanihot1945 หลายเดือนก่อน

    Ninoma sana jamaa wanajuwa sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei หลายเดือนก่อน +9

    Wakwanza leo jamani from Kenya 🇰🇪 🎉🎉🎉🎉

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 หลายเดือนก่อน +1

    mashallah kaz nzur allha awatangulizie kwa kila jambo leno

    • @darzone1020
      @darzone1020  หลายเดือนก่อน +1

      Amiin Inshaallah

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 หลายเดือนก่อน +1

    Mponji hana nguvuuu😂😂😂😂😂

  • @Winjoy-y2p
    @Winjoy-y2p หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana ❤❤

  • @SaidaAli-kr3bi
    @SaidaAli-kr3bi หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @MimaCharamila
    @MimaCharamila หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂ila magge ananguvu 😂😂😂

  • @ESTHERSILVIA-pj3dn
    @ESTHERSILVIA-pj3dn หลายเดือนก่อน +1

    Nku moto leo😊

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 หลายเดือนก่อน +2

    Da hajira kaingiaa mtumbwi wavibwengo daaa 😂😂 kimemlamba ilaa mponjii pole sanaa yatapita tu hayoooo😢😢😢

  • @zawadiabdallah8342
    @zawadiabdallah8342 หลายเดือนก่อน +2

    Leo mambo moto nimecheka wallah mpaka bas mage ulikuwa umuache ajira leo akione chamtema kuni kidg 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mponji leo ungeniuwa

  • @AminaNdugai
    @AminaNdugai หลายเดือนก่อน +6

    Kwa kazi bora tu za filamu hapa tz dar zone sina shaka kabisa kazi nzuri mno hakuna kuzungushana sana inaenda kwenye point

  • @RoseMeshack-c9x
    @RoseMeshack-c9x หลายเดือนก่อน +2

    Mama shadya leo kimekulamba, mponji pokea maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Lydiah-tg6mu
    @Lydiah-tg6mu หลายเดือนก่อน

    Nimewafatilia tangu mwanzo Hadi Sasa hivi,,,,,nimeenda hiki kipindi natokea Kenya 🇰🇪 na subiri 28 ikuje kwa mupigo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @agathashayo8907
    @agathashayo8907 หลายเดือนก่อน

    Eti mama Shadya njoooo wee aje kwenye kipigo😂😂😂

  • @Khadijah-p8v
    @Khadijah-p8v หลายเดือนก่อน +1

    Weeee hii ya leo ni kali mnoooooo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SharifaMombo-eh2bg
    @SharifaMombo-eh2bg หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mponji ila Leo khajira ameyakanyaga😢😢😢

  • @veronicaonchuru
    @veronicaonchuru หลายเดือนก่อน +5

    Tunawapenda sana kutoka Kenya 🎉🎉🎉

  • @UlenjeNyamvula
    @UlenjeNyamvula หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mponji hua nasubiri kwa hamu sana kazi nzuri sana

  • @olivamaziku8692
    @olivamaziku8692 หลายเดือนก่อน

    Like from Uk

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 congratulations mponji ushapevuka saii etii

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 หลายเดือนก่อน +3

    Wow pamoto 🔥🔥🔥sasa 👌👌👌🦸🦹💃🕺 I'm very interested with this movie from Kenya 🇰🇪 currently Qatar team kukaribisha ndowa oyeeeeeerr nipeni ata laki jamani 😂😂😂

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂Kimenuka leoo😄😄😄

  • @azizambise
    @azizambise หลายเดือนก่อน +1

    Mponji pole sana

  • @nurumichael-zq5dn
    @nurumichael-zq5dn หลายเดือนก่อน +1

    Ila Leo mmenifurahisha

  • @GyakieMariki-fe4zp
    @GyakieMariki-fe4zp หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉 Mee naendeleaaa kujifunzaa ❤❤❤❤ kazii nzuriii 💞 sanaa mbarikiweeeeeww

  • @AdelaNeema
    @AdelaNeema หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka Aya nimapito ata mimi nikipata mwanaume mwenye roho hiyo naolewa natulia ❤

  • @StellahJeremiah
    @StellahJeremiah หลายเดือนก่อน +13

    Naombeni like zang leo nimekuwa wakwanza😅

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp หลายเดือนก่อน +1

    Daah 🤔 true color ya Mponji imejitokeza,,,hii inauma sana,,kulea mtoto halaf uje uambiwe sio wako🤔

  • @hidayazuu
    @hidayazuu หลายเดือนก่อน

    ❤❤munaweza😘

  • @nicholauskessy6163
    @nicholauskessy6163 หลายเดือนก่อน +1

    Mkovizuri saaana❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akufanyie wepesi

  • @MuhadhiHassan
    @MuhadhiHassan หลายเดือนก่อน +1

    💥💥💥🔥🔥💥💥💥

  • @AhmadaabdouLatufa
    @AhmadaabdouLatufa หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂 leo hajra ame patikana

  • @BrendaAllice
    @BrendaAllice หลายเดือนก่อน +1

    Nikunoma leo😂😂😂😂😂

  • @joycemachibya4380
    @joycemachibya4380 หลายเดือนก่อน +1

    Mponji ungempiga na mage kofi ili akuachie 😂😂 piga uyo hajra hasira ziishe😂

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi หลายเดือนก่อน +1

    Kimeumana😂😂😂😂❤❤❤

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mponji 😢😢

  • @EveKaari-r7r
    @EveKaari-r7r หลายเดือนก่อน +4

    Weee Leo nikumoto ma shadya na mashoga wake wameyakanyanga😅😅😅😅😅😂😂😂 weee mpoji umefanya nikaogopa wanaume dah😢😢😢😢

  • @zzy-p8c
    @zzy-p8c หลายเดือนก่อน +2

    Waau inabamba😂

  • @Justinaombay
    @Justinaombay หลายเดือนก่อน +1

    Mhhhh. Hajra yamekukuta uliyoyatafuta

  • @CarolineImbwaga
    @CarolineImbwaga หลายเดือนก่อน +2

    Niku moto sana😊

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc หลายเดือนก่อน +1

    Waaaah kimeumana

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 หลายเดือนก่อน

    Jamani hongereni washiriki wote kwenye hii movie mage hongera hebu tuwe na moyo kama wa mage basi haya tuko pamoja nanyi japo tupo mbali kidogo pande za USA salamu sana

  • @NewNew-ep5dq
    @NewNew-ep5dq หลายเดือนก่อน +1

    Nimewsi leo

  • @SaniyaOthman
    @SaniyaOthman หลายเดือนก่อน +2

    Yaan mwanamke mbaya huyu😢😢

  • @AziziMfaume-p2d
    @AziziMfaume-p2d หลายเดือนก่อน +1

    Haha patamu hapo

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 หลายเดือนก่อน +1

    Maggy ananguvu kwel😂😂😂😂

  • @BVTV-nw2bs
    @BVTV-nw2bs หลายเดือนก่อน +1

    Nc yani nzuri sana

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni moto jaman kumbe mag ako na nguvu ivi

  • @Asma-e5m
    @Asma-e5m หลายเดือนก่อน

    Kakweli mnaweza❤

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr หลายเดือนก่อน +1

    Pole Baba. Shadia

  • @MamaGracious-r4b
    @MamaGracious-r4b หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hongereni sana

  • @jescamaselele8995
    @jescamaselele8995 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤ Mm mwenyewe nimewahiiiiii

  • @NelvineOnjomi
    @NelvineOnjomi หลายเดือนก่อน

    Leo mage kang'ara kweli kweli amependeza🥰🥰🥰🥰

  • @Clamvevotz2024
    @Clamvevotz2024 หลายเดือนก่อน +5

    Leo Mponji kawa mbogo safi sana ua huyo kabisa piga huyo 😂😂😂😂😂Mponji ana hasira kumbe alijifanya mpole tu ila kwa Shadya kuwa sio mtoto wake kawasha moto

    • @judithogaya9730
      @judithogaya9730 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂kala pilipili

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @nasraAl-b1w
    @nasraAl-b1w หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mamashadiya leo umeyakanyaga😂😂😂😂😂

  • @EvaKsrsiti
    @EvaKsrsiti หลายเดือนก่อน +1

    Pigaaaaa huyo ashike adabu

  • @gracesidika6912
    @gracesidika6912 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaa Mponji leo kawaka moto😂😂😂😂

  • @dautonmdodwe5700
    @dautonmdodwe5700 หลายเดือนก่อน

    Wapendwa kumbe mponji ni Moto eee