Nashauri Emmanuel Mgogo mtoe huo wimbo na huyo kijana utafaa sana kumuinua Mungu Tanzania na nje ya Tanzania. Waimbe pamoja utolewe kabisa. USHAURI WANGU NI HUO
Luyha version of lwanda ni yesu,,, powerful song,can't get enough of this song,,,pastor mgogo am blessed,lift that talent,,mwamba ni yesu,listening from kenya,,
Where can I get a man of God like this powerful man❤️❤️❤️ Kenya ni pesa tu inaongoza wengi aki.... Ooh God I need your direction to have a connected powerful worship.... Thank you sir🙏
Bro mgogo wewe mungu kwely kakupa upako wa kwely kwa sababu whatever you sing anywhere regadless where you are mm huwa nabarikiwa toka ndan yaan na itapendeza sana kama utatoa hata wimbo wa live band bhas hata mmoja kaka mgogo mung akubarik san
Mungu akutunze Sana Mgogo. Aendelee kufanya chemchemi za sifa zitoke ndani yako daima. Akupatie ufunuo uendelee kutoa vitu vyema vyenye kubadilisha maisha ya watu. Barikiwa Sana
Keyboard Player ni Mtaalamu sana
Nashauri Emmanuel Mgogo mtoe huo wimbo na huyo kijana utafaa sana kumuinua Mungu Tanzania na nje ya Tanzania. Waimbe pamoja utolewe kabisa. USHAURI WANGU NI HUO
i too support You
Kweli kabisa
twangoja hiyo collabo hakii
Elizabeth Maige nakuunga mkono dada🤝🤝
Huyu kijana kashainuliwa, hahitaji msanii kumsaidia.
Whose here 2024, Yesu ndie mwamba❤
Men am from Kenya and really blessed with these song
Mwamba Ni Yesu kweli kabisa
Lamashakaaama telewa wow mungu ni mwamba hakika ..nimenguswaa na huu wimbo
Mgogo mtie moyo huyo Jamaa fanyeni record
Can someone appreciate how swiftly pastor is moving wow great
Just blessed with song ,,, God you are the Alpha and Omega
Luyha version of lwanda ni yesu,,, powerful song,can't get enough of this song,,,pastor mgogo am blessed,lift that talent,,mwamba ni yesu,listening from kenya,,
This guy is true gospel artist.. ametembea na wimbo as if aliifanyia mazoezi 3 months. Be blessed Mgogo
Hatari, mpaka mwili unasisimka
Nafiki hata Mungu akiwa kiti chake cha Enzi Anatabasamu jinzi unamwiimbia mtu wa Mungu.
Unapendeza sana
Wow wow wow sooo nce ata Mimi nmepata ufunuo mpya ,anatenda mambo makuu ,uyu Yesu
❤❤ kolabo please imenoga mlivyoshirikana
More grace Apostle mwaba ni Yesu
Nahitaji wimbo uliorekodiwa huo unaoimba Mtumishi Emmanuel mgogo
Wow Ni manzoni tena mwisho JEHOVAH
Utukufu Kwa Mungu
Mbarikiwe sana wimbo unafariji sana ko utolewe
Nimebugujika sana umenibarki huu wimbo mbarkiwe Mungu awainue Kwa viwango vya juu
Amen amen ubarikiwe zaidi nawe
1:53 b
Kweli ndio Yesu ndio mwamba mtumishi wa Yesu.
Mwamba ni yesu mm nilipona kifafa , nilio umwa kwa zaidi ya miaka5
Kweli mwmba ni yesu pekee nime furahi Sana mawazo ghafra yamenitoka barikiwa sana
Hakuna aliye Kama yesu mungu awabariki Sana waimbaji
Wimbi ni mtamu Sana Hadi nikatamani niwaliike Kenya kwa mkutano was injili bana
Yesu ni mwamba ujumbe mzuri sana
Emmanuel be blessed am Ev Dismas kukunenea Leo hii na uzima w milele Amen
Can't get enough of this song kweli mwamba ni yesu
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you
Aleluyia akuna mwamba mwingine Kama si yesu
Wimbo mzuri sana, mbarikiwe
Much.Mgogo umebarikiwa sauti ya radi radi radi
Mtumishi WA Mungu, huu wimbo una ni bariki sana, jMungu awawezeshe mtuo video
Amen Mungu hawabariki sana kweli watumishi wa Mungu🙏🙏👏👏🙏🙏
Had raha yaaan😍😍😍
Huuu wimbo unaguza moyo wangu sana
Jaman kaka ulieimba toa huu wimbo jaman hata kwa kuchanga tutachanga huu wimbo una kitu ndani yake tumebarikiwa saaaana
Iko poa sana
Haleluya Jehova mwili umesisimka
Mtunzi wa huu wimbo ni Mike kalambay kutoka Congo
LEZA WA MULU 2016
Find it on youtube 🙏🙏🙏🙏
Kama vipi tuombe kolabo
KWA kweri nasikia upako wa Hali ya Juuuu, Moyoni nina AMANI sana
Yesu kristo ni bwana wa mabwana
AMEN 🙏🏼 Mwamba ni Yesu,Alpha Omega,Mwanzo na Mwisho,Nimebarikiwa Sana na huu Wimbo
Amina ubarikiwe
Amen
Kwangu haki itoshe nami kusema Yesu n mwamba kwelkwel
Jina la BWANA YESU LIHIMIDIWE KWA KUKITUMIA CHOMBO CHAKE (EMANUEL MGOGO KUONA KUSIKIA NA KUSEMA)
Mmmm tam sanaaaa laa
Yesu wangu Yesu usiniache Yesu 😭
Wah hii wimbo imeninguza
Wow Mwamba ni Yesu🙏🙏🙏
Wakati wa shida kua mwamba wangu yesu
Amen 🙏🙏🙏 katika hali zote Yesu ndie mwamba👏👏👏
EMA KaKa angu we nifund nimekubali kwa amani zote moyoni, saf mazima
Amina sana watumishi wa baba mungu azid kuwafunulia zaidi
Namkubali sana mgogo
Ata mwarabu aseme ni keleke.. I cant get enough of this song
Mwarabu ni nani
Her boss
Ameeen hallelujah ameeen
Unanibarki sana wimbo hu
Kila Kitu ni safi kwa waliosafi
Hakika mwamba ni yesu love this song 😍
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you
Nice one,Yesu in Mwamba
Mtumishi wa Mungu mgogo dah sinachakusema itoshe kusema hakika Mungu yu ndan yako barkiwa bro
The song for me...record the song tunaingoja sana
Mungu ahimidiwe
Uhowimbo nibora sana
Oh yes Mwamba ni yesu,Alpha n omega, powerful worship, blessings and more grace
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you
Amen from Kenya much love
Huyo kijana ana sauti iliyojaa mafuta
ya upako
Ameni mungu awabarik watumishi
Hakika Mungu nakupenda sana
Lwanda ni yesu ( luhya) kenya
Where can I get a man of God like this powerful man❤️❤️❤️
Kenya ni pesa tu inaongoza wengi aki.... Ooh God I need your direction to have a connected powerful worship.... Thank you sir🙏
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you
Ukiwa na yesu upat shida yoyote
😭😭😭😭kiroho gonga like
Bro mgogo wewe mungu kwely kakupa upako wa kwely kwa sababu whatever you sing anywhere regadless where you are mm huwa nabarikiwa toka ndan yaan na itapendeza sana kama utatoa hata wimbo wa live band bhas hata mmoja kaka mgogo mung akubarik san
Ni tamu kumjua Yesu
Tunabarikiwa kupitia huduma zako mtumishi
Listening it from 🇰🇪🇰🇪 loving everything about this servant.. youre blessed
Likewise to me here in Kenya 🇰🇪
Emen
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you
@@danielmparanyi u
Amen
Amina kwa wimbo mzuri
Mwamba ni Yesu mwamba.
Mwamba ni Yesu hakika. Sema tu vyombo vimeniangusha haswa kiki ya dram
Mungu awainue
Barikiwa emanu
My mentor although you don't know me
Hakika wimbo huu umenibariki sana mbarikiwe sana watumishi
Wimbo nzuri saaaaana unaleta AMANI ndani aya Moyo unabariki
Kwa yeyote amwabudue Mungu amubariki
Amen amen
Amen am really blessed 🙏🙏
Wooow wonderful song. May the favour of the holy ghost keep you increasing
Am blessed with the song
Kweli Yesu ni slfa na omega
nyimbo zako zinani udumia Sana na kuniweka karibu na mungu kiwa wakati mungu akubariki Sana pastor mgogo
Mwamba ni yes u😘
Mwanzo na mwisho katika maisha yangu
Emanuel, I am very blessed with this song
Nc mung awabaliki
Hakika mwamba ni yesu
ngome ya yesu kristo
We mgogo wimbo wa watu umeubamiza namna hiyo? Duuuh Mungu akubariki , I really experienced goosebumps!
Mwanzo na mwishoo.... Oooh haleluyaa!!!! Im blessed
Nzuri sanaaa' chozi limenilenga kabisaaa...kuna upako hapo...Hallelujah
🤗🤗
Nakupenda sana mgogo mungu akuweke
Nimebarikiwa
Mungu akutunze Sana Mgogo.
Aendelee kufanya chemchemi za sifa zitoke ndani yako daima.
Akupatie ufunuo uendelee kutoa vitu vyema vyenye kubadilisha maisha ya watu.
Barikiwa Sana
Nimebarikiwa sanaaaa
I'm blessed also