KUVUNJA MADHABAHU ZA GIZA NA KUPANDA ZA MUNGU DAY 5(MADHABAHU BINAFSI)OCTOBER 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Bwana Yesu asifiwe,
    Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya siku ya tano ya maombi haya,
    Leo tutaendelea kuomba kwa ajili ya kuvunja madhabahu za giza kwenye maeneo BINAFSI,na kila kilichowekwa kinabomolewa kuanzia usiku huu wa leo,
    Hakikisha maombi haya unaomba kuanzia saa sita usiku mpaka saa tisa usiku,sawa sawa na maelekezo ya Roho Mtakatifu,
    Ikiwa hutakua na nafasi ndio uombe mchana,
    Na Yarudie mara kwa mara muda wowote upatapo nafasi
    Kwa jina la Yesu,kila madhabahu za giza za mambo BINAFSI Zinavunjwa na za Mungu zinapandwa kwa jina la Yesu,AMEN
    Min Mocky

ความคิดเห็น • 13