KUVUNJA MADHABAHU ZA GIZA NA KUPANDA MADHABAHU ZA MUNGU DAY 6(KUJENGA MADHABAHU)OCTOBER 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Bwana Yesu asifiwe,
    Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya siku ya sita ya maombi haya,
    Leo tunaenda KUJENGA madhabahu ya Mungu mwenye nyumba zetu na familia zetu,
    Sasa si mioyo yetu tu lakini na mahali tunapoishi patakua madhabahu ya Mungu na mahali pa Mungu kuwepo masaa 24..
    Hakikisha maombi haya unaomba kuanzia saa sita usiku mpaka saa tisa usiku,sawa sawa na maelekezo ya Roho Mtakatifu,
    Ikiwa hutakua na nafasi ndio uombe mchana,
    Na Yarudie mara kwa mara muda wowote upatapo nafasi
    Kwa jina la Yesu,kila madhabahu za giza za mambo BINAFSI ZIMEVUNJWA na za Mungu zinapandwa Kuanzia leo kwa jina la Yesu,AMEN
    Min Mocky

ความคิดเห็น • 9