Happy_ Mlinga_Full Bando(OfficailVideo)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 347

  • @lennoxmajimbo-k9p
    @lennoxmajimbo-k9p 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hii ngoma noma sana❤❤❤❤

  • @farajamusic9672
    @farajamusic9672 ปีที่แล้ว

    Ameen kwa kazi nzuri dada yangu Mungu akubariki

  • @agnesamos863
    @agnesamos863 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Dada happy

  • @buppyhumbo8104
    @buppyhumbo8104 2 ปีที่แล้ว

    Balikiwa dada happy nabalikiwa

  • @albertmuyenga7895
    @albertmuyenga7895 ปีที่แล้ว +1

    God u my sister

  • @eddahmwampagama2618
    @eddahmwampagama2618 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi ni fire

  • @davidcharles7619
    @davidcharles7619 ปีที่แล้ว

    Kweli bando la uzima

  • @KilimaWalwendo-t9j
    @KilimaWalwendo-t9j 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bundle la uzima in 2024 let's meet here guys and Jesus is on our side 🙌🙌🙏 welcome

  • @elizabethkavinya5706
    @elizabethkavinya5706 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you mama,good job

  • @ruthmwasomola655
    @ruthmwasomola655 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen dada mambo mazuli kwaa Yesu

  • @lariogerard3305
    @lariogerard3305 3 ปีที่แล้ว

    Sauti ya zahabu..😋🤩🤗 Nakukumbuka sana bibi

  • @masimangochakubuta3486
    @masimangochakubuta3486 3 ปีที่แล้ว

    Hikitu inakosha ataree barikiwe saana we mwanadada kitu aichokeshi maskioni

  • @StellaJohn-ek6wg
    @StellaJohn-ek6wg ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe dada happy mimi nipo kwa pasta James kilosa kimamba

  • @paulokayombo5638
    @paulokayombo5638 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umerudia maranyingi kutazama Kama mm sema Ameniiii

  • @safiilondelo3506
    @safiilondelo3506 2 ปีที่แล้ว +1

    Good job mama

  • @alexbahindolwa3921
    @alexbahindolwa3921 5 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa saan 👏💪...jpt

  • @rachelkaaya3716
    @rachelkaaya3716 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hazidi kukuinuwa katika viwango vikubwa mno

  • @tundalawokovu
    @tundalawokovu 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Kabisa Happy hii ume nifanya ni recomment

  • @annanyoni1981
    @annanyoni1981 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah hallelujah hallelujah

  • @joycemaregesi1642
    @joycemaregesi1642 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuko bwerere kwa Yesu🙏🏻😍😍💕💕🌹🌹🌹🌹🤳🏻🤳🏻🙏🏻

    • @joycemaregesi1642
      @joycemaregesi1642 3 ปีที่แล้ว

      Sema nina tatzo moja naidwnload inakataa et

  • @cesiliasanjah4119
    @cesiliasanjah4119 4 ปีที่แล้ว

    Amina sana my

  • @lennoxmajimbo
    @lennoxmajimbo ปีที่แล้ว +1

    When I listen to this song my pressure goes down to normal blessed my sister

  • @msaniiharry6760
    @msaniiharry6760 ปีที่แล้ว

    Weeeeeeeehhhh Happy wewe ni 🔥 please collaboration na ahusho ikam

  • @joshuapromise94
    @joshuapromise94 4 ปีที่แล้ว +2

    Kipigo tena kwa devil apumui mwaka huuu

  • @sangya24
    @sangya24 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Kwa Wimbo Nzuri Mlénga

    • @sangya24
      @sangya24 3 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana Na Bwelele Kwa Bando.🥰🥰🥰

  • @polynejanta2393
    @polynejanta2393 ปีที่แล้ว

    From TikTok 🙏🙏Be blessed 🥰🥰🥰

  • @likefather37
    @likefather37 4 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi ufike mbali zaidi kazi zuri

  • @elishajailosy8346
    @elishajailosy8346 2 ปีที่แล้ว +1

    Waooo nice

  • @jacksonakoyi2624
    @jacksonakoyi2624 ปีที่แล้ว +1

    Powerful song nimeipenda🔥🔥🔥💪kali hii

  • @uncledkglobaltv6721
    @uncledkglobaltv6721 ปีที่แล้ว

    Love the song 🎵 ❤ 💕 😍 from USA🇺🇸

  • @angeliquedebora6028
    @angeliquedebora6028 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen najitananga 😂😂 Kwa YESU Hkk maaa yy BW-MUNGU ndie EBENEZAER maishani mwngu ❤❤❤❤ 🎉🎉🎉.....🎉🎉🎉 ni. wako daima mille ELISHADAI ubarkiwe saaaaana Dada- ngu 😂😂 Wimbo huu mnapouimba wkt mwingine najifikiria kwamba. ....... pmj ilikusukuma injli / pata buridn Safiiiiiiiiiiiiiiii yo YEHV BWN wainue watumishi wako .

  • @joharindaki2669
    @joharindaki2669 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you happy,wimbo unanibariki mno❤️

  • @godfreynghwasa6467
    @godfreynghwasa6467 3 ปีที่แล้ว

    Full bando hongela kazi nzuri sana

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 ปีที่แล้ว

    Sawa.kabisa.kwayesu.bwelele👍

  • @maryemma5974
    @maryemma5974 4 ปีที่แล้ว +16

    Wow🥰 keep going don’t give up💕😍💓

  • @estershilla1221
    @estershilla1221 2 ปีที่แล้ว

    I love 💕 u so much my lovely sister bando bandoni

  • @rutimarlon
    @rutimarlon 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe uko mbondo dada wow

  • @Romainreign
    @Romainreign ปีที่แล้ว

    I love this song

  • @MloleWilondja
    @MloleWilondja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwimbaji wangu HAPPY MLINGA

  • @pasteurmwilambwe4096
    @pasteurmwilambwe4096 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mwimbaji maarufu,hapa Lubumbashi DRCongo tuna barikiwa n'a uduma yako

  • @niyonzimakengeye669
    @niyonzimakengeye669 2 ปีที่แล้ว +2

    My everyday song ❤❤❤❤MUNGU azidi kukupa zingine message kama hizi

  • @saraphinaenos1559
    @saraphinaenos1559 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwerwre kwa Yesu barikiwa sana Mtumishi bando la uzima

  • @lydiapaul4459
    @lydiapaul4459 4 ปีที่แล้ว +4

    Weuweee bonge la jiwe mama huu wimbo mtam balaaa hongera sanaaaa love

  • @estherjames3452
    @estherjames3452 2 ปีที่แล้ว +1

    Wowowowo

  • @ewaldantony8494
    @ewaldantony8494 4 ปีที่แล้ว +2

    Wooow jiran apa nime weka kwa sabufaaaaa

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina Barikiwa Sana

  • @kingdavid8800
    @kingdavid8800 4 หลายเดือนก่อน

    Hakika kwa Yesu ni full Shangweeeee 🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @NzwallaNzwalla-t9v
    @NzwallaNzwalla-t9v 5 วันที่ผ่านมา +1

    tulio letwa na JOAN MWAIPAJA KUJA HUKU TUFAMIANE 😂😂 ILA HUYU BINTI DAH!!🙌🙌

    • @HappyMlinga
      @HappyMlinga  5 วันที่ผ่านมา

      @@NzwallaNzwalla-t9v 🤣🤣🤣

  • @mwangazawangu1631
    @mwangazawangu1631 4 ปีที่แล้ว +6

    Wow keep it up mammy. Never give up i trust in you💞💕💗💖 you are my favorite💕💞

  • @alexmlinda9399
    @alexmlinda9399 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada uko sawa Sana kabisaaaaa

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mama, bonge la hit, bwelele kwa Yesu 😍💪

  • @abwevincent1438
    @abwevincent1438 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mama

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 3 ปีที่แล้ว +1

    Sister uko vzr Mungu akubariki sana kwa kz nzr

  • @aaronmailuofficial251
    @aaronmailuofficial251 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉

  • @entujaelmsangi9183
    @entujaelmsangi9183 4 ปีที่แล้ว +4

    BWELELE KWA YESU
    Mungu akubari kwa kazi nzuri

  • @EmmanuelassembliesChurch
    @EmmanuelassembliesChurch ปีที่แล้ว +1

    Hakika

  • @dorkasialimasi8175
    @dorkasialimasi8175 4 ปีที่แล้ว

    Kazi zuri san jmn

  • @isabellemufula4942
    @isabellemufula4942 10 หลายเดือนก่อน +1

    May God continue to increase the anointing upon you servant of God in Jesus Christ's name

  • @furahinimbwambo
    @furahinimbwambo 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana happy unanibariki mno nyimbo zako hazichoshi kuzitazama uinuliwe zaidi

  • @solomonbm1049
    @solomonbm1049 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana kamanda wa bwana bando lisilo na kikomo .umenibariki mungu akuinue zaidi

  • @mrplumtreeandfamily9899
    @mrplumtreeandfamily9899 3 หลายเดือนก่อน

    Nice song keep showing Us more video's

  • @musajulius3667
    @musajulius3667 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera dada happy

  • @happywilson8809
    @happywilson8809 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulodaniel3837
    @paulodaniel3837 4 ปีที่แล้ว

    waoooo happy umetisha sana kwa nyimbo hii nahis uendelee na hii staili kumtumikia mungu very nice.. naomba kolabo dada angu

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 4 ปีที่แล้ว +5

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire kwa ongera sana dada nimebarikiwa sana kabisa

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu.niorijino👍

  • @John_Msambya
    @John_Msambya 3 ปีที่แล้ว +2

    Unajuwa saaana Sister Yangu
    Keeping going will be there Best 🤙🤙

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani aiseee

  • @robertmakuukabwali9488
    @robertmakuukabwali9488 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana da happy kwa wimbo nzuri.

  • @augustinojonh600
    @augustinojonh600 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada huuuu wimbo ni fireeee mungu akubarikiii

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 4 ปีที่แล้ว +1

    Woooh😘😘😘 nilikuwa nausubiri kwa hamu huu wimbo

  • @Joycematenga
    @Joycematenga 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen
    Nice song
    Am blessed
    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @berthamichael9224
    @berthamichael9224 4 ปีที่แล้ว +1

    Wooow hongera sana

  • @lennoxmajimbo-k9p
    @lennoxmajimbo-k9p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Am still here ❤❤❤ nice song am addicted to it

  • @jacksonmalolage9476
    @jacksonmalolage9476 4 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo nliungoja kwa hamu kubwaaa
    Dada hongera mnoooo

    • @HappyMlinga
      @HappyMlinga  4 ปีที่แล้ว

      Asant sana

    • @jacksonmalolage9476
      @jacksonmalolage9476 4 ปีที่แล้ว +1

      @@HappyMlinga mara ya kwanza nlikusikia ulipokuwa unafanyiwa interview redion dares salam ndio ukachezwa huu wimb ni kma miez miwli sasa
      Mm shabik yako sana ,

  • @WANAMBUKO
    @WANAMBUKO 4 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah powrful song...tuko bwelele kwa yesu

  • @willyroggy1686
    @willyroggy1686 4 ปีที่แล้ว +3

    Bando limejaa mpaka linamwagika..🔥🔥🔥

  • @malkiawafizi2394
    @malkiawafizi2394 4 ปีที่แล้ว

    Mwakole manga.shetani anatetema sanaaaaaaa❤❤❤❤

  • @cesyken
    @cesyken 2 ปีที่แล้ว +2

    Waooo sister hii nyimbo ninzuri sana nimeipenda sana ♥️ inanibariki sana Asante

  • @alexseunice9170
    @alexseunice9170 หลายเดือนก่อน

    Where I was those days to miss this holy Sprit fire 🔥 ❤❤❤

  • @mansamunsa4202
    @mansamunsa4202 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ni nani asiye sikiliza ngoma hiyi yenye vibe na neno la bwana 🙌🏾🙌🏾❤️❤️

  • @nyambabazichantal3231
    @nyambabazichantal3231 4 ปีที่แล้ว +3

    Wow god bless you happy mlinga

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mtamuu, shetani anapata tabuu,tuko bwelele kwa YESU 💃💃💃💃💃🎺🎺🎷

  • @tullahtweve8852
    @tullahtweve8852 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Sana mtumishi barikiwa sana,.

  • @alinetuyisabe4044
    @alinetuyisabe4044 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheza Sana Full Bando 💃💃💃🔥🔥🔥

  • @mulendakigusile
    @mulendakigusile 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa kazi nzuri

  • @silasmanyenze7691
    @silasmanyenze7691 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mama Wimbo Mzuri

  • @batridapaul92
    @batridapaul92 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwake napata vyote,wimbo mzuri sana Mtumishi

  • @verroniccammbaga5894
    @verroniccammbaga5894 4 ปีที่แล้ว +1

    Woyooo nakupendaga jmn kuanzia sura ,sauti daaa Mungu akutunze kwa ajili yangu cctr

  • @sistajoy1
    @sistajoy1 4 ปีที่แล้ว +5

    Aww😇😇wimbo unabariki moyo vyakutosha Mungu akubariki sana mom!🙏😇

  • @komandowayesu3642
    @komandowayesu3642 4 ปีที่แล้ว +1

    Anatetema💪💪💪💪

  • @Marylimo
    @Marylimo 3 ปีที่แล้ว

    Wooow nimebarikiwa kwakweli

  • @lusajomwankusye3477
    @lusajomwankusye3477 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wimbo mzuri Sana sana. MUNGU akufungilie Zaid

  • @adammakongwa5758
    @adammakongwa5758 4 ปีที่แล้ว +1

    Full bando ni 💥💥💥💥💥

  • @fahizirama4296
    @fahizirama4296 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @scholastiquemuhindo6019
    @scholastiquemuhindo6019 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa dada unanibariki sana

  • @mawazokiloloma5529
    @mawazokiloloma5529 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli wimbohuu Unabariki sana Bariwa sana my dear

  • @dela78895
    @dela78895 4 ปีที่แล้ว

    Dada.... dada ubarikiwe kwa kazi saafi . hiki kibao ume kituliza poa sana. Mungu aku raisishie kazi zako na njia zako zote.

  • @georgemeshack3924
    @georgemeshack3924 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo Safi naukubali sana

  • @tazohuncho1187
    @tazohuncho1187 3 ปีที่แล้ว +2

    Love from 🔥🇺🇸 ..❤️