Jinsi ya Kununa Na Kutumia Water Dispenser

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2022
  • Kabla hujanunua Water Dispenser yako kwa ajili ya kupoza kiu yako ya maji baridi, hakikisha unazingatia vitu hivi ili uweze kununua water dispenser sahihi inayokidhi mahitaji yako. Dispenser Zipo aina nyingi na zinatofautiana bei .
    Hakikisha unaangalia video hii mpaka mwisho ili kujua jinsi ya kununua na kutunza water dispenser yako ili idumu kwa muda mrefu.
    Pia kama una "ushauri" au swali yoyote, andika kwenye comment ili wengine pia wafaidike!
    kama umefurahishwa na video hii, hakikisha una like, share na kusubscribe kwenye channel yetu.
    Asanteni sana na karibuni wote.
    Instagram link: / fundi_dsm
    Facebook page link: / bombaywallla

ความคิดเห็น • 9

  • @maryamazani9519
    @maryamazani9519 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah nice teaching

  • @khamishamza6550
    @khamishamza6550 ปีที่แล้ว +2

    Je unatoboaje sas ili uweze kuweka hapo bira maj kumwagika???

  • @humoudali530
    @humoudali530 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza yangu mm ya maji barid haitoi yanatoka ya moto tu

  • @user-jr3nb9vj9w
    @user-jr3nb9vj9w 9 หลายเดือนก่อน

    Bei yk

  • @rithamalisa4636
    @rithamalisa4636 7 หลายเดือนก่อน

    Hz swich huko mbon haujasem sinawashwa au

  • @gracestewartmchaky6650
    @gracestewartmchaky6650 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo yenye compressor shilingi ngapi????

    • @cities-flavors
      @cities-flavors  ปีที่แล้ว

      Sisi hatuuzi boss wangu, jaribu kuulizia madukani 🙏

    • @jennynjeri
      @jennynjeri ปีที่แล้ว

      Niko nayo

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa ulionesha za Nini masifa hayo​@@cities-flavors