Bony Mwaitege - 'Hakuna Mwingine' (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2023
  • Duniani kote wa kuabudiwa niwewe kwa maana hakuna mwingine kama wewe....Wimbo huu wa Hakuna mwingine ni wimbo kuisifu kazi ya Bwana kwa matendo yake makuuu.
    Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    Bony Mwaitege - 'Hakuna Mwingine'
    MUNGU AKUBARIKI SANA.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 291

  • @user-mp1ep1en5q
    @user-mp1ep1en5q 4 หลายเดือนก่อน +5

    Oooh so amazing Sana tunao mfatilia 2024 naombeni like jameni🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jeanmariemuco1132
    @jeanmariemuco1132 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wakwanza kuitazama nikiwa Lusaka zambia nipe hizo like kama umebarikiwa kama mimi

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 8 หลายเดือนก่อน +52

    Nipeni like zangu jaman kama umewahi hapa

    • @Rebeccah-nz7bq
      @Rebeccah-nz7bq 8 หลายเดือนก่อน +2

      Congratulations 🎊 👏

    • @omodesigner
      @omodesigner 8 หลายเดือนก่อน +1

      Bravo ❤❤

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 8 หลายเดือนก่อน +6

    Barikiwa sana 🥰🥰💯💪💥🎸

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 8 หลายเดือนก่อน +13

    Wewe ni Mungu Tena ni bwana unaweza yote hakuna mwingine Kama wewe. Be blessed Man of God 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 8 หลายเดือนก่อน +4

    MUNGU wetu wa Bwana wetu Yesu kristo, akutende yaliyo mema.

  • @polynenkirote6007
    @polynenkirote6007 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wakenya kujeni huku ❤❤❤❤

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yalio shindikana kwa binadam kwako ya wezeka kwako Mungu ❤ barikiwa sana mtumishi wa Mungu Bonny

  • @frankndahana3679
    @frankndahana3679 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana mchungaji Boni Mungu akutunze hakuna mwingine hakuna Mungu mwingine

  • @shadrackosabil6354
    @shadrackosabil6354 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe mtumishi Bonny mwaitege 🔥🔥🙏🙏

  • @kavayairene4906
    @kavayairene4906 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna mwingine kama weweee😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @elizabethkibona9289
    @elizabethkibona9289 8 หลายเดือนก่อน +3

    AMEN AMEN HAKUNA MWINGINE KAMA JEHOVAH👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @blessingpriri6876
    @blessingpriri6876 8 หลายเดือนก่อน +8

    From Zambia. UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU. Amen amen

  • @user-kd6mc6ok6h
    @user-kd6mc6ok6h 8 หลายเดือนก่อน +6

    Shalom shalom shalom 🙏🙏🙏wimbo mzuri sana,unanibariki kwa hakika,,,,sending love❤❤❤from Kenua

  • @gracegasper8833
    @gracegasper8833 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hakuna mwingine kama wewe wimbo mzuri wa kumsifu Mungu.Barikiwa sana mtumishi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ENOCKSAM1015
    @ENOCKSAM1015 8 หลายเดือนก่อน +3

    Baba, Mungu akuzidishe sana na sana,nyimbo za za utukufu tu ❤+254

  • @user-id2yk6pi4n
    @user-id2yk6pi4n 8 หลายเดือนก่อน +17

    Kenya tumerauka tunakutana na kazi safi ya Bonny Mwaitege likes za Kenya.

    • @Misheckjimmy
      @Misheckjimmy 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa,hii ndio nimekutana nayo ya kwanza leo

    • @bonimwaitege4073
      @bonimwaitege4073 8 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana

  • @danielpatient5310
    @danielpatient5310 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani Kenya mkowapi kujeni tumuabudu mungu pamoja na bony mwaitege akuna mungu kama wewe

  • @bensonisaac7942
    @bensonisaac7942 8 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you brother , hakuna mwingine kama Mungu

  • @peterkemei5407
    @peterkemei5407 8 หลายเดือนก่อน +8

    Amen amen mungu akuongoze 🙏🙏🙏🙏kazi mzuri siwezi kulipa ila mungu aliye mbinguni akulipe kwa kazi

  • @TABBYHEAVEN-kg1qo
    @TABBYHEAVEN-kg1qo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ameen🙏wewe ni Mungu unaweza yote❤

  • @isaya.61
    @isaya.61 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen ..bwana unaweza yote

  • @mebokabugho7166
    @mebokabugho7166 8 หลายเดือนก่อน +2

    True no one like God may her name be praise

  • @MrJayRugaspel
    @MrJayRugaspel 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen kaka Mkubwa barikiwa sana

  • @moureenlydia1688
    @moureenlydia1688 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki saaana mtumishi wimbo❤️❤️❤️❤️

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mtumish wa mungu bony mwitenge wimbo wako humenibariki sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏👏👏👏

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi niskiliza wimbo nikifikiria kutoka wimbo ule "DUNIA DUNIA KILA KUNAPOKUCHA INABADILIKA" Hadi sasa bado Mungu anainiliwa sina la zaidi ila nawaombea Mungu wa neema awazidishie neema nyinyi zaidi hata dunia ikibadilika sisi tuzidi kumtukuza Mungu wa mbinguni mbarikiwe sana watumishi much love from 🇰🇪

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Amina sifa na utukufu ni kwako Mungu ❤ ahsante Mtumishi ubarikiwe sana 🙏

  • @Rumafrica
    @Rumafrica 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika unaweza Yote. Mch. Bony hujawahi kuniangusha Katika uimbaji wako

  • @user-qf9uj2oc1b
    @user-qf9uj2oc1b 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kudos sir For Glorifie how Creater and Redeemer 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo nzr 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🤲🤲🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @user-qk7pj6tn9g
    @user-qk7pj6tn9g 8 หลายเดือนก่อน +2

    I'love your muzuki I'm from Zambia

  • @djwoodruffkenya
    @djwoodruffkenya 8 หลายเดือนก่อน

    Mziki ni dawa.wapi likes za Bonnie Jamani 🇹🇿

  • @vematsky
    @vematsky 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuinue zaidi..nyimbo zako zinanipeanga nguvu zaidi ata nikiwa chini kimawazo ..barikiwa Sana Bonnee zinanibariki nikiwa kenya

  • @johnodori1488
    @johnodori1488 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna Mungu mwengine kama wewe, Jina lako ni kubwa sana kwa majina yote duniani

  • @enockpanja6597
    @enockpanja6597 8 หลายเดือนก่อน +3

    Good song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacklinenjeri2652
    @jacklinenjeri2652 8 หลายเดือนก่อน +2

    much love from kenya

  • @user-he1hx2lx2w
    @user-he1hx2lx2w 8 หลายเดือนก่อน +6

    Glory to God this morning,, thanks for your inspiration Bony

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hallelujah hallelujah 🙏 Wewe ni Kilakitu kwangu hakuna kama Wewe

  • @boazimaganga
    @boazimaganga 8 หลายเดือนก่อน

    Apewe maua yake mfalme wa nyimbo za dini bon mwaitege
    Wewe ni MUNGU Tena ni bwana hakuna mwingine love song

  • @NdugwaAngeline
    @NdugwaAngeline 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amen amen be blessed man of God...you were called by God alone

  • @user-xk3eq1cr5n
    @user-xk3eq1cr5n 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba yangu MUNGU wa mbinguni akukumbuke na kukulinda siku zote za maisha yako

  • @manassehogollah86
    @manassehogollah86 8 หลายเดือนก่อน +3

    lots of blessings and inspirational song... keep it up

  • @faidoninyondo
    @faidoninyondo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda sana

  • @bonventurendolo4946
    @bonventurendolo4946 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri nimebarikiwa , e mungu baba najua uneza yote naomba neema ya kukuimbia kama ii

  • @michaelmwakitosi4058
    @michaelmwakitosi4058 8 หลายเดือนก่อน +4

    This Bonny Mwaitege is the master, what a song

    • @paulnyambane3214
      @paulnyambane3214 8 หลายเดือนก่อน

      very interesting song brother bonny

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 7 หลายเดือนก่อน +1

    It's true that God is the one to be praised because no one like him

  • @thee_jimmie254
    @thee_jimmie254 8 หลายเดือนก่อน

    Kenya Naomba Muone Mziki wa ijili Sasa .......Na muache utani na Mungu Tafathali....Ndo Maana Tanzania imeaza kuwashida Kwa Kila kitu.Learn how worship God in truth and Spirit.Wacheni kucheza na Mungu Kenya ...Utamsifu Mungu aje na sheng..?? sio Kwamba Nachukua Inchi yangu Ila Napenda kusimamia kweli .♥️♥️♥️🙏.

  • @chombosamoo7958
    @chombosamoo7958 8 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo inanibariki saan ak Mungu ni mwema ni yye pekee Wa kuabudiwa

  • @hamusondebrowline
    @hamusondebrowline 8 หลายเดือนก่อน +8

    Sending love from Zambia 🇿🇲💯

  • @simiyumorgan986
    @simiyumorgan986 8 หลายเดือนก่อน +2

    Another one wow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eliandejeulaya7498
    @eliandejeulaya7498 8 หลายเดือนก่อน

    Powerful and deep insight song, hizi ndizo Mungu anapenda, hauchoshi upo rohoni hata watu wakifika stepu aloo ni raha tu kwa Mungu na wacha Mungu

  • @user-sn2rr1jl1d
    @user-sn2rr1jl1d 8 หลายเดือนก่อน +7

    Gloire à Dieu Éternel ❤🙏

    • @emmanuelhiiti5972
      @emmanuelhiiti5972 7 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe na Bwana kwa nyimbo nzuri very touchable.

  • @millicentneto1631
    @millicentneto1631 8 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you lord for give has amazing brother,God watch over you wherever you're my lovely people

  • @linetchebeni1372
    @linetchebeni1372 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mwingine kama Yeye....Yehova jina lako lihimidiwe

  • @maggymshay7666
    @maggymshay7666 8 หลายเดือนก่อน +3

    Legend in gospel music ❤❤❤❤❤❤

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Babaangu

  • @user-bn8gn6xq5h
    @user-bn8gn6xq5h 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyu mtumishi anatubarki Sana MUNGu amwinue zaida❤

  • @abroadmediatv8090
    @abroadmediatv8090 8 หลายเดือนก่อน +1

    bro this on another level. hii lazima nipige cover💯💯💯

  • @user-xk3eq1cr5n
    @user-xk3eq1cr5n 6 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana baba kweli hakuna kama wewe MUNGU wetu aliye hai

  • @salumsalumrobert
    @salumsalumrobert 8 หลายเดือนก่อน

    Amen nyimbo nzuri sana na ujumbe mzuri sana ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @lusungumgina
    @lusungumgina 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni MUNGU

  • @user-bn8gn6xq5h
    @user-bn8gn6xq5h 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman huyu mtumishi anatubarki Sana MUNGu amwinue zaida❤ 1:

  • @maserekajob6668
    @maserekajob6668 2 หลายเดือนก่อน

    Have listened to Bony's songs, but this one has taken all my mind, hongera sana kwa mwimbo wako hakuna mwingine, na ni kweli hakuna mwingine zaidi mungu wetu.

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 2 หลายเดือนก่อน

    Style za mtumishi wa Mungu Bony mwaitege is so amazing 🎉🎉❤

  • @harrietajiambo229
    @harrietajiambo229 8 หลายเดือนก่อน

    Enyewe hakuna mwingine kama ww Mungu mtumishi ubarikiwe sana

  • @KatanaKahindi-eo2jl
    @KatanaKahindi-eo2jl 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana aendelee kukutia nguvuu, bariwa kw kazi nzuri.

  • @ibragichukiofficial2035
    @ibragichukiofficial2035 6 หลายเดือนก่อน +1

    My favorite gospel artist who never disappoint

  • @user-oj3oo7vg7j
    @user-oj3oo7vg7j 4 หลายเดือนก่อน

    Honest simoni soka
    MUNGU akulinde. Akutunze nyimbo zako zlnaugusa moyo wangu sana ubarikiwe sana mwaitege

  • @AlphonceShija
    @AlphonceShija 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa Mungu yote yanawezekana,hakuna na hatatokea 🙏.

  • @mwalelivingstone9708
    @mwalelivingstone9708 8 หลายเดือนก่อน

    Duniani kote hakuna mwingine asifiwe muumba wetu 🙏❤️🥰

  • @BlanchardKilundu
    @BlanchardKilundu หลายเดือนก่อน +1

    mungu a sifiwe

  • @promisenkhoma9663
    @promisenkhoma9663 8 หลายเดือนก่อน

    Malawi tunakupenda sana bony mwaitege endelea kutubaliki❤

  • @modestkonga9318
    @modestkonga9318 8 หลายเดือนก่อน

    Amina, barikiwa sana babaangu,naona kushukiwa na nguvu za MUNGU

  • @dalmasnyaribo9569
    @dalmasnyaribo9569 8 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah Amen 🙏 sifa na utukufu ni kwako Mungu

  • @FelixBanda-yt2qw
    @FelixBanda-yt2qw 5 วันที่ผ่านมา

    Nice song Mr Bonny Mwaitege,🎉🎉❤

  • @JuniorSolgier
    @JuniorSolgier 6 หลายเดือนก่อน +1

    wow Grace to Grace.. halellujah, from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i congrats,you man of GOD👏💕

  • @PapaTheKingmusicTv
    @PapaTheKingmusicTv 8 หลายเดือนก่อน +3

    My mentor always 🔥🔥🔥🔥 love this brother in faith ministry

  • @regkim7758
    @regkim7758 8 หลายเดือนก่อน +1

    Glory to God unaweza yote hakuna mwingine kama wewe🙏🙏🙏

  • @pastoremanuelmdoe2213
    @pastoremanuelmdoe2213 8 หลายเดือนก่อน

    BARIKIWA sana KWA UJUMBE HUU wenye NEEMA KUBWA amen

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 8 หลายเดือนก่อน

    Upendo kutoka saudi arabia brother bony,Kenyans in Arabs countries we use to listen to your songs

  • @user-fb3jw8ug2e
    @user-fb3jw8ug2e 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana na Mungu akuzidishie talanta uzidi kumtukuza Mungu be blessed

  • @martinngowa9071
    @martinngowa9071 8 หลายเดือนก่อน

    God ni mwema Bonny tunakupenda❤❤❤❤ you so much brother

  • @joycethumbi5718
    @joycethumbi5718 8 หลายเดือนก่อน

    Yale yasiyowezekana yanawezwa na wewe Mungu

  • @user-vs7jx9wz7s
    @user-vs7jx9wz7s 8 หลายเดือนก่อน

    Mung akulinde daimaa mtumish was mun🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-kd1tz1rg3z
    @user-kd1tz1rg3z 8 หลายเดือนก่อน

    Congo R.D.C ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu Amèn Amen

  • @michaelkagoro9785
    @michaelkagoro9785 6 หลายเดือนก่อน

    Yes no one like Jesus the lord

  • @NevartNtagata-tj3nm
    @NevartNtagata-tj3nm 8 หลายเดือนก่อน

    Kwel nyimbo nzur ya kusifu big up

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz 8 หลายเดือนก่อน

    Amen hakuna mungu kama mungu wa mbinguni

  • @isayasangija8587
    @isayasangija8587 8 หลายเดือนก่อน

    Hakika mtumishi wa Mungu ubalikiwe sana

  • @thee_jimmie254
    @thee_jimmie254 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Bonny Mwaitenge .....BARIKIWA

  • @eliatobiasi6346
    @eliatobiasi6346 8 หลายเดือนก่อน

    Duuuuu aseeeee" "kweli MUNGU anavyumaaaa, naikubali mnooo kalama ya mungu aliyokupa bonn angalia Sasa usijeukajiinua,, mungu atakushusha vby mnooo"" piga Kaz broo tunamujua mungu wetu kupitia ww

  • @Innocentswai120
    @Innocentswai120 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi kaz nzuri mungu akupe nguvu

  • @KANTHULE
    @KANTHULE 8 หลายเดือนก่อน

    Akuna mwingine kama wewe yesu,,

  • @mercy7758
    @mercy7758 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kama mungu wetu.Amen Amen

  • @faithi7216
    @faithi7216 8 หลายเดือนก่อน

    None like you God Jehovah Hoseenu is your name

  • @PamboCharo
    @PamboCharo หลายเดือนก่อน

    Amina hakuna mwingine kama yesu amina

  • @MutuyimanaClaude
    @MutuyimanaClaude 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubari xna muzewakaz heshim kwabwan❤❤❤

  • @user-pr7lu4jx4s
    @user-pr7lu4jx4s 8 หลายเดือนก่อน +5

    Glória a Deus 🇦🇴

    • @princessfay8031
      @princessfay8031 8 หลายเดือนก่อน

      No one else like our God,,,,Thank You Lord for this far

  • @SimonWaweru-ux3lj
    @SimonWaweru-ux3lj 8 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mwingine kama Yesu