Mungu nipe subra niepushie na tamaa, nikae kwa kutulia na kuridhika na hali yangu, nutafanya kazi kwa bidii zamu yangu ukifika nitainuliwa, kwa wakati wake Mungu atafungua, asante MTU wa Mungu kwa kazi njema.
Hii song niliona TikTok ikabidi nikimbie you tube niangalie aki inabariki sana .tujifunze kuishi na chenye tunachopata mengine mungu atatuongeza tukiwa na Imani . Amen 🙏🏿🙏🏿
Audio yako niliipenda sana umepambana sana nyimbo zako audio nimezi penda sana nyimbo kubwa sana hizo ila sinautalamu kwenye video ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
Amen huu wimbo una mafunzo makubwa saana.mtumishi wa mungu chilolo acha ubarikiwe mm n muimbaji wa injili pia toka Kenya 🇰🇪 natamani siku moja nifanye kazi nawe.huu vedio ni🔥🔥🔥🔥lazima imchome shetani pahali🙏🙏
Tangu nijoin TH-cam sijawahi kupewa likes zaidi ya mbili jamani😢😢
Next nitag nikupee😂😂😂❤
Ucjali pole pole tuu utafika kiwango kingne
Tuko wengi
Mbona ukipewa zaidi hushukuru
@@KaitaniEdimundi-lm9yz nimeshukuru😂😂😂😂
Mm wa Kwanza naomben like nying
Ubarikiwe
Hongera sana mtmishi wa MUNGU wimbo mzuri sana akunuwe viwango vya juu zaidi❤❤❤❤
Ameen
apo sawa wimbo wako uko sawa kambisa mungu akubariki
Mungu nipe subra niepushie na tamaa, nikae kwa kutulia na kuridhika na hali yangu, nutafanya kazi kwa bidii zamu yangu ukifika nitainuliwa, kwa wakati wake Mungu atafungua, asante MTU wa Mungu kwa kazi njema.
Ameen
Napenda nyimbo zako sanaa next time nataka niwe kwa video zako more love from kenya
Karibu
HUYU NI CHAMELEON MWINGINE 🙏🙏🙏🙏ubarikiwe Sana ndugu
Ameen😂😂😂
Wow nice one good song, and nice video Mungu azidi kukuinua viwango vingine ubalikiwe saaaana kwa ujumbe mzuri mtumishi ❤🙏🙏🙏🙏
Ameen
Hii song niliona TikTok ikabidi nikimbie you tube niangalie aki inabariki sana .tujifunze kuishi na chenye tunachopata mengine mungu atatuongeza tukiwa na Imani . Amen 🙏🏿🙏🏿
Ameen
Very true mom niliamua kuachana nafamilia yangu home ili niokoe maisha ya mu
Kaz nzur mtumish nabarikiwa sana na nyimbo zako
Good song chilolo my thr lord bless you
Nice song❤
Amen nimekubali kuridhika na nilicho nacho mungu akiamua ataniongezea
Unaimba fiti bro more love from Kenya..❤ Ile ahadi ya uongo nayo ni ya WAKENYA kinaturamba na president wetu
😂😂😂😊
Keep going my friend ,,,, still Rihanna all the way from TikTok ,,, God bless you to shine all over the world ❤❤
Wakati wa Mungu utafika tu 🙌🙌🙌👏👏👏
Audio yako niliipenda sana umepambana sana nyimbo zako audio nimezi penda sana nyimbo kubwa sana hizo ila sinautalamu kwenye video ubarikiwe kwa ujumbe mzuri
Ameen
jamn huyu brother anaimba vizr san.napenda San nyimb zake.
Bwanayesu apewe sifa kwahuyu mtumishi mngu anamtumikia atakavyo yy mngu tuu siwanadam atakavyo tushukuru mngu nasi atufungu akilizetu 🤲🤲🙏🇰🇪
Ubalikiwe mtumishi sio kwa ujumbe mzito kama uu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana unabariki sana! Hongera sana Chilolo
i cant have enough of this song. Very emotional
Am blessed 🙏 May Almighty God bless you too!!
Ameen
Amina .ubarikiwe na mungu kwa hizi nyimbo zako za viwango na kuelimisha kimaisha ya mtu.❤❤❤❤❤❤
Kweli tamaa mbaya ni kher uvumilivi ma kula tembele kwa amani❤❤❤❤❤❤
Amen 🙏🙏 kweli tamaa ni mbaya Sasa mungu akubariki
All the way from TikTok to TH-cam
just be patient enough to wait for the blessing you deserve
Nice song... Amen...... It's remind me homeland where i come from... Be blessed 🙏🙏
Mungu niepush tamaa mbaya
Kamanda myimbo zako ziko 🔥 barikiwa kwa ujumbe mzuri 💪
Asante Sana
Mtumishi wa Mungu NAOMBA WIMBO WAKO WA DINI YANGU NIWAGE NAUIMBA🙏🙏
Naomba unijibu
Good and touching song
Ameen
❤❤❤ from Burkina Faso 🇧🇫🇧🇫🇧🇫
Ameen
The video I have been waiting for 💃💃💃💃💃💃💃💃💃
I love this song wan tason taems plas❤❤ God bless you chilolo🙏🙏
Wooow wimbo muzuri sana ubarikiwe 🙏🏻🙏🏻
Ameen
Amen huu wimbo una mafunzo makubwa saana.mtumishi wa mungu chilolo acha ubarikiwe mm n muimbaji wa injili pia toka Kenya 🇰🇪 natamani siku moja nifanye kazi nawe.huu vedio ni🔥🔥🔥🔥lazima imchome shetani pahali🙏🙏
Ameen 🙏🙏🙏🙏
🎉 this is a nice warning and at the same time inspiration to us and our youngsters ❤❤❤
Mtumishi barikiwa sanaaa
Ameen
LOVE FROM KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen amen amen .........
Tamaa mbaya heri nivumilie .
🎉my favorite ❣️, i love this song so much , keep going chilolo
Fantastic video! Mungu akubariki mtumishi
Ameen
Nice inspiring and touching song bro keep going
Ameen
What a nice song ❤❤❤ I have watched more than 5 time
hongera kaka mungu akuongezee kipaj🎉🎉
Inabariki Sana HII nyimbo
Muguu akubariki kwa ajili ya wimbo huu
Mungu akubariki sana mtumishi Yona utafika mbali🙌
Naupenda wimbo huu Kwa sana
Wacha weeeee so amazing congratulations
kwa kweli nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka yona mungu aendelee kuku bariki ❤❤❤
Ameen
I can play this songs from morning to evening very impressive God is taking you far
Sure,patience pays and God's time is the best🎉
Barikiwa sana mtumishi kwa huu wimbo mzuri nitavumilia kwa Mungu mpaka anibariki
Ameen
Mungu tusaidie Amen
Napenda nyimbo zako mr chilolo,,,God bless you,,,
Tunakupenda sana mtumishi
Wow wow Taama mbaya does it mean craving?
Good message ubarikiwe sana🙏🙏
Ameen
Wow tamaa mbaya ukweli,nice Iko sawa naipenda🔥👏♥️
Asante Sana
Nice I love it ❤❤
Aiseee hatimae nmempa anayeimba nyimbo nazozipenda jmn jmn nmefurahiiiii
Am blessed 🙏 Many Almighty God bless you too🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli Tama ni mbaya, just continue to be patient, your blessings will come from God
Ameen
Hallelujah hallelujah barikiwa sana na bwana baba mtumishi ❤❤❤❤
Ameen
Nice song.kila kitu kiko nawakati wake
Barikiwa mtumishi ukomkoa gani
Mungu awabariki sana wapenzi katika kristooo... Endeleeni kunisaport katika huduma hii naamini tutafanya makubwa... Usiache ku subscribe na ku share🙏🙏
Mungu yupo, azidi kuficha adui asikuone kibali kiwe nawe popote uendapo baraka tele na tele
Ameeen man of God we are together🙏
@@KarenKeturaAmeen ❤
@@LangolaBarakaChurchAmeen❤
Ameen we are together Roho Wa Mungu Akuongoze Kwa kilaJambo
Kweli kaka Tamaa Mbaya salute
Wimbo mzuri wa maarifa.
Nice song🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mungu wangu ananitetea🙏🙏🙏🙏🙏
I do watch watch this song every day❤napenda sana
Much❤❤❤ from Kenya
Bigup brathee
Mungu akubariki kwa kusimama na ukweli love ftom Kenya
Ameen
barikiwa kwa kazi yako kaka
Wimbo mzur wenye ujumbe mzuri sana
New subscriber from kenya,nice one
Amen and Amen God bless you 🙏🙏🙏🙏
Wow..... kazi nzuri sana nimependa 🥰🥰🥰🥰
Asante Sana
Really good ,be blessed abandantly
Gud work
Ameni nakwako muimbaji Kaka angu
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu🙏🙏
Ameen
Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Ameen
Barikiwa San mtumishi chuma
Ameen
Wauh fantastic song,stay blessed pastor 🙏
For sure I lack an appropriate vocabulary to describe this touching and motivating song,,,, anyway thanks for such a great message ♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏
Mwana wa ukayaaaa
Tamaa mbaya kweli heri nifumilie Mungu yupo
nice bro keep up tusonge mbele
Much 💕 from Kenya
Wow amazing
Barikiwa mno 🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Nakukubali mungu abariki kazi yako
Ameen
Woooow this really made mie love you❤❤❤
❤❤glory to God
Honger saana mkuu