Napokumbuka mama Ngina kenyatta alitusiwa na kijana Babu Owino na wakati huo Uhuru alikuwa President but haikufika hapo yaani kulawiti mtu. Haifai akhi si ni uchungu sana .... Huyu governor anafaa achikwe achomwe moto 🔥 kabisaa hana adabu kwamwe . Kwani jela za kazi gani? Ruto bona tabia kama hizi zinaendelea chini wa uongozi wako na unanyamaza tu ? Too bad akhi kenya hakuna leaders 😭😭😭
They are learning from their president Ruto. When Ruto and KK clan insulted Mama Ngina Kenyatta as well as Uhuru with no consequences. He insulted the wrong one this time. Pole!!!
Guess who will pay the price? The fools that were sent. Heard they are being detained In shimo la tewa' well I guess what goes around comes around. It's there turn now.
thanks mohammed Ali kindly pia kuna vijaana hapo malindi, wataamu , na gende wanpokonya watu vitu zao kwa nguvu bt the polisi hawafanyi chochote, wanashikia watu panga na visu
Just came across this Bruce case last week. It's indeed dispicable and outrageous. This is what we have turned into as a country... We need to watch our tongue, especially if you are leaders!!
Moha tangu uingie mbunge haki za watu zimekua abused at higher rate because your busy with government work. Kindly fanya jambo I used to be more relaxed having you infront line kutetea mnyonge. Sending hugs from Singapore mheshimiwa I Love you.
Assalam alykum warahmatuhlah wabarakatu Abdlsamatwa kama wewe umejagia haya yote mbele ya Allah Utakuja kujibu maswali mbele ya Allah. Kutwaibisha sisi waislam La
Uhurus mam was insulted,,, especially by Cosmo choy.. Moha didn't talk...That Mombasa Governor is Soo evil with those people he paid, he sleeps with men n he has a beautiful wife/s ...why not take the young man tto court. God I vomit on governor's a... Useless human being.,jehanamu direct. Thank God for whoever exposed this evil,,, how many have passed through this ???
It's so sad super sad that it has happened to more people that we can count : to people that did not even abuse anyone 😢 and the insanity is that people know and keep it zipped 🤐 What is above insanity is that most of this SA abusers example the paid chokora P Diddy "rappers" were also once victims of SA and carried evil forward ⏩! Mungu atulinde 🙆🏾♀️ 🆘
Ali jocho pevu thank you so much....kweli Bruce alifanya vibaya lakini si kwa malipo hayo kama Swamad alihusika achukuliwe hatua tena kali....hao vijana n wafirani inakaaa n tabia yao,,,makosa sana😢
Ulikuwa wapi siku zote wakenya wakiangamia?hatuja kusikia kwa finance bill,kwa wakenya walio toweka,wala shida yeyote nyingine tulipitia,una lengo Fulani Baba na wakenya si watoto.hivi unatuambia hiyo ndio tharura kwako kuliko walio potea? Afathali unge nyamaza
Wotee MashaAllaah ni waislaamuh waloishikaa mombasa shikamaneni kuwenii na uumojaa tengezeenenii nchi na watu wakee muweekeeeni mwenyezimngu mbelee muleekezaanenii..Alofanyiwa Aangalieeeneeni ni nani shakaak si nzuri .Amekoseeyaaa kwelii kijana na haoo watafutweee kwa utulivuu waulizweee ninanii Alowatumaaa muyasitiriii….mwenyezimngu halaaali walaa hasinziii Atawafadheeeeheshaaa waovu
Wewe pia unatamani hio kiti ya governor, Mombasa Kuna udhulumu mwingi sana mbona Huwa huongei ,but becoz governor ametajwa tuu basi umepata opportunity 😂
Serikali ya uhuni ni lazima mutimue haraka sana. Muna wadhuru watoto wakenya na inchi sasa hivi, inaka na viwango vya maadili vinavyowekwa na viongizi kwote, havionyeshi jamii inayoweza kumlea mtoto kwa heshima, kuna ukosefu mkubwa wa adabu kutokana na amri ya viongozi wahuni. Hilo kundi waliomfira Bruce Chawa, wakamatwe kulingana na sheria, kama sivyo ninge omba wanainch Mombasani wawa winde na wakiwapata wachomue ba gurudumu, wasiwachwe uhuru...
Mm kwanza tukikosana malizana na mm to ila usingilie familiar yangu hata kidogo but kijana alifanya vibaya sana pia Abuswamand ako na makosa kujukua sharia mkononi mwake
Mimi kitu najua, hata kama justice haitafanyika kwa huyu kijana, kuna Mungu aliye mbinguni na hukumu yake mtu yeyote hawezi epuka hata awe nani. They will pay dearly.
Thank you sir,,umesema vizuri sana.
Congratulations sir for your thoughts 👏👏👏
Waaa Mohaa Ali umenawiri kweli Mashallah ❤❤ kizaa zaa cha airport vipi mbona kimya.......
Mnyonge ana haki Kenya
Ana au hana?
*Hana
Jicho pevo you are a leader I have been following you since your Chijo pevu al the best kiongozi
Mo I agree as our leaders you must show us descent ways of coexisting in our societies
Thanks Mohammed Ali for looking into this Matter. Hawa viongozi wetu huku Mombasa huona ni kama waliununua huu mji
Well said💯the Kenya we live in impunity to the highest level.
The constitution & laws of Kenya ONLY protect the wealthy & powerful.
Sure but soon poor will have why they diserve
We fought for justice and a better Kenya this one was one of those who watered the efforts did he gain sense overnight
Napokumbuka mama Ngina kenyatta alitusiwa na kijana Babu Owino na wakati huo Uhuru alikuwa President but haikufika hapo yaani kulawiti mtu. Haifai akhi si ni uchungu sana .... Huyu governor anafaa achikwe achomwe moto 🔥 kabisaa hana adabu kwamwe . Kwani jela za kazi gani? Ruto bona tabia kama hizi zinaendelea chini wa uongozi wako na unanyamaza tu ? Too bad akhi kenya hakuna leaders 😭😭😭
Haha sasa hii surely 🥺 inahusu ruto na nini, let DCI do their job. Hakuna mahali Ruto ameongea akasema ame support
Hongera Mohamed Ali sema uko sawa sana.
They are learning from their president Ruto. When Ruto and KK clan insulted Mama Ngina Kenyatta as well as Uhuru with no consequences. He insulted the wrong one this time. Pole!!!
The most stupid man in Mombasa.
Guess who will pay the price? The fools that were sent. Heard they are being detained In shimo la tewa' well I guess what goes around comes around. It's there turn now.
@@akinyiodero4382 kawaida ukikubali kuwa scapegoat the end is not funny
Watu wamekuwa wanyama kenya
Ole wetu.
Congratulations mweshi hukulifumbia macho hili mungu akuongoze zaidi
Good quality speech
Why has SAMAD and JOHO' S GANG that attacked this young Luo Guy from BEHIND, not been arrested by the DCI!
Do uhave evidence for that ?
Thx our able MP..........
3:10 sasa ndo watokea? Ni sawa umenena ukweli but kwa finance bill ulikua wapi? Ufizadi serikalini kila mahali, alafu unadai eti haujakua nchini
thanks mohammed Ali kindly pia kuna vijaana hapo malindi, wataamu , na gende wanpokonya watu vitu zao kwa nguvu bt the polisi hawafanyi chochote, wanashikia watu panga na visu
Very wise man
You are a great leader Mr Ali
Just came across this Bruce case last week. It's indeed dispicable and outrageous. This is what we have turned into as a country... We need to watch our tongue, especially if you are leaders!!
Very true 😢😢😢it's so bad and thanks Jicho pevu kuongelelea hilo swala
Moha tangu uingie mbunge haki za watu zimekua abused at higher rate because your busy with government work. Kindly fanya jambo I used to be more relaxed having you infront line kutetea mnyonge. Sending hugs from Singapore mheshimiwa I Love you.
But Hakuna ulawiti uliofanyiwa wenye kutusiana😢
Jicho pevu is only one in this Kenya wengine photo copy 🔥
From Germany Respect you jicho Pevo
Jicho pevu my favorite
Assalam alykum warahmatuhlah wabarakatu Abdlsamatwa kama wewe umejagia haya yote mbele ya Allah Utakuja kujibu maswali mbele ya Allah. Kutwaibisha sisi waislam La
Uhurus mam was insulted,,, especially by Cosmo choy.. Moha didn't talk...That Mombasa Governor is Soo evil with those people he paid, he sleeps with men n he has a beautiful wife/s ...why not take the young man tto court. God I vomit on governor's a... Useless human being.,jehanamu direct. Thank God for whoever exposed this evil,,, how many have passed through this ???
It's so sad super sad that it has happened to more people that we can count : to people that did not even abuse anyone 😢 and the insanity is that people know and keep it zipped 🤐
What is above insanity is that most of this SA abusers example the paid chokora P Diddy "rappers" were also once victims of SA and carried evil forward ⏩! Mungu atulinde 🙆🏾♀️ 🆘
😭😭😭😭😭wish ningekuwa president hii sijui niseme nn😢😢😢😢
At last jicho pevu ameongea
Hata hivyo huo ni ujambazi wa hali ya juu
Be blessed you are man of God
Mbna finance bill hukuongea kma hvi... Airport yauzwa uko kimya ...kwenda hko
Ukweli kabisa ata kuna wengi kenya kwisha imeteka na kuua gens mbona hajaongwa ni ugavana anataka shenzi sanaaa
Kumbe ako hai😂😂
Nilifikiria ukinona kidogo utaacha vitina wewe mwanamke 😂😂😂
SO INGEKUWA NI MTOTO WAKO AMA NDUGU YAKO AMELAWITIWA HUNGETAKA IONGELELEWE?!
I hope wewe ni Muslim...otherwise nitakuombea
You right ✅
Be bleesed sir.
Strong point ,,nikweli alitukanana lkn airuhusiwi kuchukulia hatua mkonono even if Kuna nini en again nivibaya pia kutukana mama mzazi mzima
ata kiongozi wako NI jambazi any way justice4bruce
Washitakiwe.
Tulidhani huyu angekua tofauti kumbe bure
Kabisaa his fake very fake
Bure kabisa😂
You are talking like a wise leader.I salute you sir
Sheria ya kenya inamulika masikini kwa tajiri akuna Sheria😭😭😭😭mungu wa masikini tuonee huruma 🙏🙏🙏
Shukran
Hawa watu wanyongwe kabisa hapana kuwachiwa inasikitisha kwa kweli 😢😢😢😢😢
Ali jicho pevu umekua mkubwa mashalah❤
Muhammad thankyou for telling them what they should do than doing evil to others
Well said
Yap Alivu r right,wamefanya vibaya SANA aibu!!!
Ali jocho pevu thank you so much....kweli Bruce alifanya vibaya lakini si kwa malipo hayo kama Swamad alihusika achukuliwe hatua tena kali....hao vijana n wafirani inakaaa n tabia yao,,,makosa sana😢
Hii Ni huyawani Sana I condem it with the heavenly authority
Haya wanaopenda kutukanana tujifunze jamani weuh😢sio watu wote wa kutukanwa😢
Ulikuwa wapi siku zote wakenya wakiangamia?hatuja kusikia kwa finance bill,kwa wakenya walio toweka,wala shida yeyote nyingine tulipitia,una lengo Fulani Baba na wakenya si watoto.hivi unatuambia hiyo ndio tharura kwako kuliko walio potea? Afathali unge nyamaza
Tafakari sana haya maneno ambayo umeyaandika. Afadhali wewe mwenyewe ungenyamaza.
Acha ujinga
@@GhardesGh,Anza wewe kuacha ujinga.!!! ukweli unaumwa ndio maana unasema Halima aache ujinga.
@@kazungukakiyo ukweli Gani upumbavu
@@GhardesGhanayosema jicho pesa ni sawa na pia aliyoandika halima ni kweli. 2027 tukiwa hai....
Enyewe ni uchungu sana
Wacha election ifike.
Moha please fight for this boy.
We love you jicho pevu
God of heaven remember our country Kenya.
Daaaah aiseee tumeongea ukweli 🎉🎉🎉
Wotee MashaAllaah ni waislaamuh waloishikaa mombasa shikamaneni kuwenii na uumojaa tengezeenenii nchi na watu wakee muweekeeeni mwenyezimngu mbelee muleekezaanenii..Alofanyiwa Aangalieeeneeni ni nani shakaak si nzuri .Amekoseeyaaa kwelii kijana na haoo watafutweee kwa utulivuu waulizweee ninanii Alowatumaaa muyasitiriii….mwenyezimngu halaaali walaa hasinziii Atawafadheeeeheshaaa waovu
Hapo sawa ali. Sometimes unafanya vizuri
Poleni sana ndugu, sisi tumewafunga miaka yote jera
Inaonyesha watu wenye nafasi zao siku hizi wanadhdlilisha sana watu kwa ulawiti. Wamesahau kama Mungu yupo.
Jicho bevu jungeni asidungiwe sumu hospitalini😊
my thot tooo
Shukrani baba
At least he's alive to narrate the story Ruto is killing them
RUTO is killing CRIMINALS who want to Overthrow him.
Mungu atulindie watoto ..
Umenona sana Mzee
Ahky i was traumatized kuona hio video ata sijaheal we demand for justice 😭
Hii sio kitu geni kenya tuko wanyonge udhulumiwa, may God's Justice profile
Kenya hakuna haki jicho pevu😢
Jmn duuh mungu anawaona kwa kweli
Kweli kabisa jicho pevu kwanz izo simu zao ndio zitatoa ukweli wote inaonekan iyo tabia inafanyiwa watu wengi sana subuhanaallah
Hata hamuitaji kuinvestigate zaidi! Tayari mnajua nani alitembeza hela tendo hili afanyiwe bruce.
We said jicho pevu hongera sana wakomeshe sana na Kuna wengi venye wasema na ukomeshe
Kweli mhesh saidia Mombasa ni yetu soteni
❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤝
Wewe pia unatamani hio kiti ya governor, Mombasa Kuna udhulumu mwingi sana mbona Huwa huongei ,but becoz governor ametajwa tuu basi umepata opportunity 😂
Kwa hiyo hii mada asiiongee, ama wamaanisha nini?
umeongea kama kiongozi wa kweli kwa hili. Fuatilia kama ahadi yako.
Sio haki
Vile umesema jicho pevu najua uko macho na hii case, hongera mweshimiwa
Let’s see if justice will prevail cause hmmm pesa in Kenya can do anything
Mawaidha ya hekima. Governor!!!
Hakuna kitu awe na heshima huyo kijana watukana mama kwa nini na hata yeye sio mwanasiasa
Serikali ya uhuni ni lazima mutimue haraka sana. Muna wadhuru watoto wakenya na inchi sasa hivi, inaka na viwango vya maadili vinavyowekwa na viongizi kwote, havionyeshi jamii inayoweza kumlea mtoto kwa heshima, kuna ukosefu mkubwa wa adabu kutokana na amri ya viongozi wahuni. Hilo kundi waliomfira Bruce Chawa, wakamatwe kulingana na sheria, kama sivyo ninge omba wanainch Mombasani wawa winde na wakiwapata wachomue ba gurudumu, wasiwachwe uhuru...
Jicho pevu 🙏
It's painful
Inna lilahi waina ilehi rajicuun ! Amiin ya rabi
Mm kwanza tukikosana malizana na mm to ila usingilie familiar yangu hata kidogo but kijana alifanya vibaya sana pia Abuswamand ako na makosa kujukua sharia mkononi mwake
😢😢😢😢😢
Mnyonge hana haki ata siku moja 😢😢this is haram
Huyu governor asiejielewa ashitakiwe.
❤
Bt si hivo ndio njia ya ruto pia ,ukiongea unafinywa ama unadinywa adi kwa mdomo
Ili jambo linatisha kiukweli😢😢😢
Niko na hiyo video so painful
Hapo mumeupiga mwingi, Duh!
So sad
Washikwe
Jesus lord 💔😭
Curses from the most high loading!!!
Is ths jicho pevu ame change sana, woii u wr diffrnt,bunge inabadisha mtu sana eeh !l mss the old jicho pevu
Mungu atawalani walo mfanyia mwanaume mwenzao
Mimi kitu najua, hata kama justice haitafanyika kwa huyu kijana, kuna Mungu aliye mbinguni na hukumu yake mtu yeyote hawezi epuka hata awe nani. They will pay dearly.
Wewe !!!!! Nyani haoni kundule mbona waona hili zungumzia mengine pia ,mangapi wanyamazia?
Sahi Kenya hayina haki police wakuwa wanyama DCI pia nao ni kama kupewa pesa tutalilia nani