Fido anatamba San ila sikuzote mtu mwoga anaongea San nakubali San kazi zake ila kupiga watu mabit uwo n umama anatamba Arusha mitaani kwao tu ila n mshambaa San mtoto wa mama Fido unakitu chakujifunza weh n fala mdogo Wacha makelele wahuni atunaga izo 😎
Kwani kuwa mlevi shida iko wapi ? Kwani kakuomba pombe .kwendraaa mfyuu ushamba tu .muache mtu ajinafas ale kitu roho yake inapenda .we live once .eti oh Jcb mlevi ? My drink my choice
Tafsiri ya hiphop Ni huyu jomba really really
Mshua Anatema Nondo ✊
Jcb r,Senegalese people we give yo man
Ukiskia paa ujue imekkosa mr jcb
Interview kali sana 🔥
#Ink Morano
#Jcb
Respect brother JCB hip hop nation
For sure Billnas hakustahili kupata hyo tuzo kwenye category ya hiphop
Napenda tu vile anavio jielezea brother
Really hiphop🎉
Furaha wa dar
Respect broo
Hahahaha etiii na mimi narudisha swali kwako
Siza 🔥🔥
Fido anatamba San ila sikuzote mtu mwoga anaongea San nakubali San kazi zake ila kupiga watu mabit uwo n umama anatamba Arusha mitaani kwao tu ila n mshambaa San mtoto wa mama Fido unakitu chakujifunza weh n fala mdogo Wacha makelele wahuni atunaga izo 😎
Jcb nahitaji kununua albam zako ili kukusapot nakukubali sanaaaa mwamba
Jesus come back
Tunapiga interview mimi na wewe 😂😂
Hip hop tanzania kitambo sasa hivi upumbavu
Jcb makala
Kaka kipaji ninacho cha utangazaji nipe kazi
Mlevi uyo sasa hana ishu
Kwani kuwa mlevi shida iko wapi ? Kwani kakuomba pombe .kwendraaa mfyuu ushamba tu .muache mtu ajinafas ale kitu roho yake inapenda .we live once .eti oh Jcb mlevi ? My drink my choice