@@csato9415 Saa zingine ukisikia uzembe ndio huo,maana anaweza kupata maradhi yenye kugharimu gharama zaidi ya anachokifanya.Ila hatukawii kusema ni mipango ya Mungu kumbe mambo mengine ni uzembe wetu wenyewe
Mnakanyaga maji machafu kufatilia watu wanao beep kifo kwa kungoja maji yawasombe .ila kiuharisia mchanga umejaa serikali ifanye action kuokoa raia vifo vilivyotokea vimetosha.wahamisheni jamani hata waishi kambini nyumba zote zivunjwe muwalipe wakiwa kambini na wakiwa na sehemu mlizowatengea wajijengee
Hivi wawekezaji wanalipa nini nchi yetu ?tumebinafsisha vyanzo vingi vya mapato hivi nchi yangu inashindwa kuimarisha hii sehemu ambayo ni ya muhimu sana na ni kiungo kikubwa cha barabara za kwenda Mikoani .Hii ni aibu sana kwa Serekali iliyopo madarakani
Mwandishi habari kihiyo. Hiki si kipindi cha masika, ni vuli hii ,
Hiyo suruwari umevaaje ,ndiyo mafuriko ya mto msimbazi.😊
Mtangazaji mwenyewe mzee lakini unavaa suruali kama ndio kwanza umebalee
Huyo ni gharika ya Nuhu.
Mtangazaji kwa kulinda afya yako nunua mabuti ya mvua kuna maradhi mengi kwenye hayo maji usidharau
Ni kweli alijua anaenda maeneo yenye maji tena yatakuwa na uchafu mwingi na chupa zilizovunjika.
@@csato9415 Saa zingine ukisikia uzembe ndio huo,maana anaweza kupata maradhi yenye kugharimu gharama zaidi ya anachokifanya.Ila hatukawii kusema ni mipango ya Mungu kumbe mambo mengine ni uzembe wetu wenyewe
Hawa watu walipewa maeneo Mabwepande wakauza wakariudi TENA HAWATAKI kuhama mjini hapo NI SERIKALI kufanya maamuzi magumu tu
Mnakanyaga maji machafu kufatilia watu wanao beep kifo kwa kungoja maji yawasombe .ila kiuharisia mchanga umejaa serikali ifanye action kuokoa raia vifo vilivyotokea vimetosha.wahamisheni jamani hata waishi kambini nyumba zote zivunjwe muwalipe wakiwa kambini na wakiwa na sehemu mlizowatengea wajijengee
Hivi wawekezaji wanalipa nini nchi yetu ?tumebinafsisha vyanzo vingi vya mapato hivi nchi yangu inashindwa kuimarisha hii sehemu ambayo ni ya muhimu sana na ni kiungo kikubwa cha barabara za kwenda Mikoani .Hii ni aibu sana kwa Serekali iliyopo madarakani
Wananchi Wana akili kuliko viongozi