Mungu ambaye ndiye muumba Wetu apewe sofa na utukufu! Niliahidi kuomba na kukabidhi maombi yangu kwenye adhimisho la misa siku ifuatayo, Na kweli parokiani kwetu Mt.Yohana WA Mungu Vituka nilitolea misa Kama kawaida nikaomba waamini tusali Kwa namna ya pekee Kwa ajili ya familia ya MelikzedekiSostenas ili Mungu amlinde Mtoto na uovu WA huyo Ibilisi, Leo yupo hai mikononi salama ,Tumshukuru Mungu!! Mimi padre Hubert Mroso Vituka.
@@Happizo. Mungu akusamehe na kukuponya, Padri ameelewekq vizuri, Mungu akubariki sana Padri, Mbingu inashangilia upendo wako na una taji inakusubiri Mbinguni❤
Haleluyaaaaa, Jina la Bwana lihimidiwe Hongera sana kamanda, Mungu awabariki sana Tuliomba sana juu ya huyu mtoto, mmbarikuwe wote mlioomba kwa ajili ya Jambo hili, Mungu wa Mbingu na nchi awakumbuke na akutane na haja za mioyo yenu
Namshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa mtoto kupatikana Mungu wewe ni mwema sana uinuliwe milele. Hongera sana Jeshi letu la police kwa kazi nzuri mlofanya
Asante MUNGU kwa MTOTO mdogo kupatikana akiwa salama ,sasa kazi iliyobakia ni majambazi kupata wanacho stahili , ni vijana hawataki kulima kwa jembe is mkono wana waachia wazee kilimo wao wanataka kuvuna wasicho panda,, vijana Limeni jembe is mkono acheni Ukora. 😂😂😂 pia big up polisi kibaha.
Waacheni watoto wadogo waje kwangu Kwa maana ufalme wa mbingu ni wao,Mungu ni mwema Kwa hilo Kwa kweli mtoto kupatikana.Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri
Kongole bwana afande na team yote nzima ni furaha iliyoje kwa kazi nzuri mulio ifanya ya kumurudisha malayika huo kwa wazazi na familia yake kwa ujumla. Mungu awape mnacho stahiri kama watumishi wake kwa jami. Nguvu zate na uwezo awajalie🙏🙏🙏
Hongereni sana Jeshi la Polisi. Halika mmefuatilia suala hili kwa umalini na weledi mkubwa. Kila wakati nasema Jeshi letu lina imahiri mkubwa pale tu ukiwapa ushirikiano wale wachache wanaoliharibu waone aibu wabadilike.
Mungu awabaliki sana jeshi la polisi pamoja na wananchi wote mlioshilikiana hadi mtoto amepatikana nimefurahi sana kusikia mtoto amepatikana najua hata wazazi wa mtoto furaha imerejea nda ya mioyo yao.
Jeshi la police mungu awabariki sana mmefanya kitu kikubwa mno❤ hao watu wallah wauwaji wafungwe maisha huwezi kumtumbukiza binadamu mwenzio kwenye shimo la maji taka
Eee Mungu wewe hulala Wala huchok umewapa nguvu jeshi la polisi. Na hatimae mtoto tuliyekuwa tunamuombea kapatikana akiwa hai Asante sana Mungu wetu kwa huu muujiza. Mungu awabarik woote mliopambania jambo hili. Muinuliwe nyota zenu zipandishwe .
Ili taarifa fiche zibaki siri na aliye zitoa abaki kuwa,salama ,Jeshi la polisi liandae mfumo wa kupokea taarifa kwa namna ya siri na mhusika awe mcha Mungu kweli kweli.
Nikiongeza ninampa Mama Samia na jeshi lake HONGERA kwa Uwezo wa Allah akawapa imani hakulala usiku na mchana mpaka wakampata mtoto si kazi ndogo Mama Samia huyo Kamanda mtizàma anafaa kupandishwa cheo ana moyo wa kazi na kuongoza. Nawe Mama Samia nivile sisi waKenya hatufai kupiga kura Tz kwa.mujibu wa sheria ninģekuletea karibu soote tukupigie kura Mola yuko nawe Inshaalah Utapita Unafaa. Miaka MITANO TENAA NA TENAA.
Hongera jeshi la polisi kazi.nzuri sana wanachi wote tuheshimu sana jeshi hili linatufanyia kazi nzuri sana
Kweli
Mungu ambaye ndiye muumba Wetu apewe sofa na utukufu!
Niliahidi kuomba na kukabidhi maombi yangu kwenye adhimisho la misa siku ifuatayo,
Na kweli parokiani kwetu Mt.Yohana WA Mungu Vituka nilitolea misa Kama kawaida nikaomba waamini tusali Kwa namna ya pekee Kwa ajili ya familia ya MelikzedekiSostenas ili Mungu amlinde Mtoto na uovu WA huyo Ibilisi,
Leo yupo hai mikononi salama ,Tumshukuru Mungu!!
Mimi padre Hubert Mroso Vituka.
Mungu hakaliagi sofa....ungeandika taratibu ungeeleweka
Comment yako imenichekesha sana jaman yaan ww mbinguni utapasikia tu😂😂😂😂😂😂 @@Happizo
@@Happizo. Mungu akusamehe na kukuponya, Padri ameelewekq vizuri, Mungu akubariki sana Padri, Mbingu inashangilia upendo wako na una taji inakusubiri Mbinguni❤
Umenifanya nicheke ila mungu ni mwema mtoto amepayikana@@Happizo
Mungu wetu ni mwema sana. Mtoto amepatikana akiwa salama.
Haleluyaaaaa, Jina la Bwana lihimidiwe
Hongera sana kamanda, Mungu awabariki sana
Tuliomba sana juu ya huyu mtoto, mmbarikuwe wote mlioomba kwa ajili ya Jambo hili, Mungu wa Mbingu na nchi awakumbuke na akutane na haja za mioyo yenu
From Kenya but I congratulate the Tanzanian police service.
Good job.
Thank God the baby is safe and the family members are ok now.
From Kenya good job,, Tz police you made me glad
Asante Mungu, sifa kwa Mungu. Hongera sana Jeshi, great job, you deserve awards & God continues to do that to you. Appreciation.
Afande Mungu akuzidishie afya na nyota zipande ju umefanya kazi kubwa mno.
Allah kareem ❤
Mungu akubarikiii
Amina
Mungu apewe utukufu Jaman 🙏🏽🙏🏽hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri
Namshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa mtoto kupatikana Mungu wewe ni mwema sana uinuliwe milele. Hongera sana Jeshi letu la police kwa kazi nzuri mlofanya
Hongera to the police of Tanzania you did a great job may the heavenly Lord bless you Police of Tanzania
Asante MUNGU kwa MTOTO mdogo kupatikana akiwa salama ,sasa kazi iliyobakia ni majambazi kupata wanacho stahili , ni vijana hawataki kulima kwa jembe is mkono wana waachia wazee kilimo wao wanataka kuvuna wasicho panda,, vijana Limeni jembe is mkono acheni Ukora. 😂😂😂 pia big up polisi kibaha.
Nisiwe mhukumu ila wanastahili kuuliwa ili wasije wakarudi tena,,, yarabbi niswamehe kwa hili
❤❤nimepend jesh lilivyo fanya uchunguz na kukamilixha kumpa mtto
Waacheni watoto wadogo waje kwangu Kwa maana ufalme wa mbingu ni wao,Mungu ni mwema Kwa hilo Kwa kweli mtoto kupatikana.Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri
Asante mungu Kwa mtoto kupatikana sifana utukufu zikurudie wewe mungu
Hongereni sana sana sana kwa Kazi hii nzuri, Hii ni Ibada, tendeni yaliyo mema daima kwa ajili ya Utukufu wa Mungu na si kitu kingine AMINA
Hongeren sana police kanda ya kibaha naomba police wote muwe mnapambana hivi kupata waalifu
Mbarikiwe sana Askari wetu kwa kazi nzuri!
Hongera sana Vijana, MUNGU Naomba Awainue juu zaidi, tuliona ktk mtandao, wengi tulikatatamaa, kwa hili tunaimani mpya
Mungu asant katika hili tunakushuru sana…hongeren jesh la polis kwa kazi nzuri mliyoifanya
Jeshi la Polisi nawapongeza sana jamani huyo mtoto tumeomba sana Mungu amlinde Mungu ametujalia tumsifu Mungu milele
Naam tuliomba sana bila kuchoka Alhamdulilah Rabilaalamin Allaah Kareem
Hasbunallah Waniimal Wakiil Allah awashinde na shari za waja waovu
Hongereni jeshi la polisi na poleni kwa kazi kubwa mungu awabariki sana
Kongole bwana afande na team yote nzima ni furaha iliyoje kwa kazi nzuri mulio ifanya ya kumurudisha malayika huo kwa wazazi na familia yake kwa ujumla.
Mungu awape mnacho stahiri kama watumishi wake kwa jami.
Nguvu zate na uwezo awajalie🙏🙏🙏
Ni Mungu👐,,kazi nzuri jeshi la polisi, hamkulala kupeleleza jambo hili. Mungu awabariki
Congratulations 🎉 jeshi la polisi💪
Alhamdulilah Rabilaalamin Allaah tunakushukuru ametutaqabalia dua zetu
Glory to God 🙏🙏🙏 Congratulations Tanzania police 🚓🚓
Amina kazi yenu ni njema Mungu awe nanyi
Asante Bwana yesu kristo kwaajili ya watumishi wako hawa ambao umewaweka kwaajili yakuangalia uwasalam wa tanzania mungu barikiwa tanzania amina
Asante mungu tumeuona mkono wako Aminaaa❤❤
CongratulatioTz police service am glad the baby is safe God is great all the time
Tumshukur mungu pia hongeren jesh la polisi kwa kazi nzuri ccm oyee
Vipi baba wa familia yuko hai? Sijaelewa vizuri
Mengine umeandika vzr ila ccm oyee haifai. Ccm ndio wameliharibu jeshi letu zuri. Wamelifanya liache mising ya kazi yao
Amina. Mungu ashukuriwe sana Kwa Jina la Yesu Kristo.Amen
Asante MUNGU mtoto amepatikana,pia Asante police Kwa kazi nzuri mlofanya MUNGU awabariki
Kamanda hongera sana,Unaelezea vizuri sana kwa utulivu mkubwa sana,Pia hongera sana kwa kazi njema sana
ALHAMDULILLAH🤲🤲🤲🤲
Asante Mungu.kamanda mpo vizuri wapandishwe vyeo
Hongereni sana jeshi la police.
Mungu azidi kuwapa nguvu!
Hongereni sana Jeshi la Polisi. Halika mmefuatilia suala hili kwa umalini na weledi mkubwa. Kila wakati nasema Jeshi letu lina imahiri mkubwa pale tu ukiwapa ushirikiano wale wachache wanaoliharibu waone aibu wabadilike.
Asante mungu Kwa uzima uliomjalia mtoto mdogo akapatikana akiwa hai
Jeshi letu I mara ALLAH azidi kuwaongoza InshaAllah hongereni sana❤
Hongera kamanda kwa kazi nzur
Hongera jeshi la polisi kwa kazi nzuri
Huyu mtt tutamweka kwenye historia kwa kweli
Amen
Hongereni sanaaaa Jeshi la Polisi mnafanya kazi vizuri na ushirikiano mzuri na wananchi Viongozi wa Vijiji Mitaa nk
Jeshi letu la polisi liko vizuri hasa likiamua kufuatilia jambo lolote utapenda mwenyewe.
Kamanda na vikosi vyako Ongera sana kwa kazi hii njema .
Sifa na utukufu tunakurudishia ee Mungu wetu kwa muujiza huu mkubwa🙏🙏
Asante utukufu n kw bwana mtt n malaika..,mbarikiwe viongoz kwa ushirikiano
Hongelani sana keshi la police mungu awabaliki sana kwa kazi nzuli, hao watuhumiwa sio kuwaachia wanyongwe kabisa
Kwa kazi hiyo Mungu awatangulie .
Habari njema kuzisikia kwa mwaka huu..hongera sana
Mungu awabaliki sana jeshi la polisi pamoja na wananchi wote mlioshilikiana hadi mtoto amepatikana nimefurahi sana kusikia mtoto amepatikana najua hata wazazi wa mtoto furaha imerejea nda ya mioyo yao.
Jeshi la police mungu awabariki sana mmefanya kitu kikubwa mno❤ hao watu wallah wauwaji wafungwe maisha huwezi kumtumbukiza binadamu mwenzio kwenye shimo la maji taka
Mungu akubariki sana afande kwa kazi nzuri
Hongereni sana Mungu awalipe
Asante kwa ajili ya mtoto kuwa hai😢😢
Hongera Sana police kwa kazi poa unafanya
Hongera jeshi la polis tz kwa umakini... Ila katoto kamefanana na Ally Kamwe😂
Asante mngu. Kupatikana. Kwa. Mtoto. Pamoja na jeshi la police
👍 good job police
Eee Mungu wewe hulala Wala huchok umewapa nguvu jeshi la polisi. Na hatimae mtoto tuliyekuwa tunamuombea kapatikana akiwa hai Asante sana Mungu wetu kwa huu muujiza.
Mungu awabarik woote mliopambania jambo hili. Muinuliwe nyota zenu zipandishwe .
Ongereni jeshi raporisi mtoto amepatikana.asanteni.sana
Hongera. sana Jeshi la. polce. wapelelezi haho niwahuwaji kbsa wafinyeni vya kutosha hatimae wanyongwe
Mungu awabarik saaan police kwa kazi nzuri hakika Mpo vizuri mno kwa kazi zenu🙏
MUNGU Asante kwa kumlinda mtoto na kupatikana akiwa salama pia Asante jeshi la polisi hongereni sana ❤❤❤
Mungu awa baliri jeshi la polic awape afanyema ❤❤❤❤
Asante yes’s kwa muujiza huu. Asante police kwa juhudi kubwa hii.
Tunamshukr Mungu kwa ajili ya mtoto huyu ama kweli ana kusudi la Mungu ndani yakee na tunmtukuze Mungu kwaajili yake
Hii ni roho mbaya zaidi hata ya Mnyamaa... Yaaani mmeshamwibia... Bado muwatupe chooni??? Yaani Huyo mtoto aliwakosea nini jamani 😢😢😢😢
Hongera sana jeshi la polisi mungu azi kuwatia nguvu na moyo ama kweli imani na jeshi letu nikubwa mungu atawalipa kwa kazi zenu.
Ili taarifa fiche zibaki siri na aliye zitoa abaki kuwa,salama ,Jeshi la polisi liandae mfumo wa kupokea taarifa kwa namna ya siri na mhusika awe mcha Mungu kweli kweli.
KAZINJEMA POLICE YA TANZANIA MUNGU AWABARIKI JESHI KIKOSI I'M WATCHING FROM CANADA 💋💋💋💋💋
Tunamtukuza Mungu aliye hai kupitia jeshi la police,hongereni Sana.
Hongera sana kwa jeshi letu la polisi pamoja na wote mlioshirikiana nao.
Alhamdulilaah nliumia sana ..mungu yuu mwema🙏🙏
Subhana llah lailaha illa Allah ALLAH AKBAR
Asanteni sana polic,kazi nzuri
Mungu ni mkubwa sifa na utukufu kwake. Hongera sana jeshi la polisi kazi njema.
Pongezi nyingisana kamanda na jeshi la polisi Tanzania mkoani Pwani hongereni sana
Kweli ukimwamini mungu kwake yote yanawezekana tuwe na Imani
Mungu ni mwema nimefurahi mtoto kupatikana
Tena wakiuliwa hao wanaonewa shetani wakumbwa hao Asante mungu kwa maadui hao
Asante sana Kwa utumishi wenu....hao majambazi hawakipata Cha mtema kuni!!!!Mungu yupo!!!!!!
Mungu wambinguni awabariki jeshi ra porisi na kuwaongoza kira hatywa
Mungu n mkali sana,,usifikiri unafanya kitu sirini kwamba autajulikana vitu vinamwisho aseee,,,wapewe adhabu kalii mno
All Glory be to God🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Hongereni sana kwa bidii zote mlizofanya. Mungu ni mwema.
Polisi Mungu awabariki sana kwa juhudi zenu aiseee
Asante Mungu kwa matendo yako makuu.
Ahsante Bwana Yesu Kristo kwa ulinzi wako kwenye maisha ya huyu malaika
Hongereni sana polisi!
Mungu mwema jmn 🥰🥰🥰hajawahi acha watu wake, thank you God for this
Polic mpo vizuri xana,ila jitahidin na hao wengine walio potea waoneka
Mungu asante leo nimefurahi sana kusikia hii habari nimeifatiia mno kila siku
Hongera Sana commander . Mmelitendea haki taifa letu.
Good work congratulations to u police
Hongera Jeshi la police kàzi yenu ni njema kabisaaa.
Polisi Mungu awalipe awape maisha marefu
Nikiongeza ninampa Mama Samia na jeshi lake HONGERA kwa Uwezo wa Allah akawapa imani hakulala usiku na mchana mpaka wakampata mtoto si kazi ndogo Mama Samia huyo Kamanda mtizàma anafaa kupandishwa cheo ana moyo wa kazi na kuongoza. Nawe Mama Samia nivile sisi waKenya hatufai kupiga kura Tz kwa.mujibu wa sheria ninģekuletea karibu soote tukupigie kura Mola yuko nawe Inshaalah Utapita Unafaa. Miaka MITANO TENAA NA TENAA.
Hatari sana mungu atusaidie
Wanadamu wanadamu wanataka nini kwa ukatili huu?. Poleni sana ndugu zetu. Hongereni polisi kwa hili. Amen.
Praise the almighty God 🙏 muhimu mtoto amepatikana, vitu si kitu ... nimefarijika mno kumpata mtoto ewe Mwenyezi Mungu endelea kumlinda mtoto .. Amen