MATOLA NA WENZAKE MBARONI KWA TUHUMA ZA WIZI WA SHABA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • DAR ES SALAAM: JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linamshikilia Daud Matola dereva, miaka 50 mkazi wa Kimara Dar es Salaam na wenzake wawili kwa tuhuma za wizi wa madini aina ya Copper cathode yaliyokuwa yakisafirishwa kutoka nchini Congo kwenda Bandari ya Dar es salaam.
    Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es sa Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, SACP. Jumanne Muliro amesema tukio hilo lilitokea tarehe 07 Agost, 2024 wakiwa na gari namba T. 882 DQK aina ya Benz na Tela T.884 EEE Mali ya kampuni ya FAA Trucks.
    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutoa taarifa na kuahidi kutokuwa na huruma kwa wahalifu na kuendelea kuwashughulikia vikali lakini kwa mujibu wa sheria.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น •