Namna Ya Kuhifadhi Contact zako/Majina /Namba za Simu Kwenye Account Ya Gmail
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025
- Google account ina faida nyingi sana ila moja wao ni ya kuhifadhi contact au majina na namba za simu,hata ikitokea simu imepotea au kuharibika basi kwa kutumia google kirahisi unayapata,hivyo anaglia hii video itakusaidia kufahamu jinsi ya kuhifadhi contact zako
Mara tatu kaka
Nimepoteza sanaa
Majina yangu yamefutika kwenye Google naweza kutapata tena
Mara nyingi
Kama umesahau paswed ya Google inakuwaj
Mimi nilibadili Cm nikapoteza majina yote na picha, nilikuwa natumia infinix kuyarudisha kwenye iphone imekuwa changamoto
Ok
Marakibao
Kinachosababisha majina kufutika majina kwenye email ni Nini mkuu
Na iphone inakuaje