Steps to the Top
Steps to the Top
  • 29
  • 124 533
Njia Tano (5) Za Kugundua Kipaji Chako
Inawezekana wewe ni mmjoa ya watu wanaojiuliza kipi kipaji chako? ila pengine umekosa jibu la wazi nini kipaji chako .
Katika video ya leo nimekuletea njia tano za kugundua kipaji chako,fatilia hii video mpaka mwisho na uone vipi utagundua kipaji chako kirahisi na pengine ukaamua kukifanyia kazi na ukapiga hatua mbele.
มุมมอง: 636

วีดีโอ

Aina 5 Za Watu Wa Kuwaepuka Maishani Mwako
มุมมอง 2324 ปีที่แล้ว
Ili ufanikiwe katika maisha huna budi kuzungukwa na watu sahihi ndio maana leo nitakionyesha aina 5 za watu wa Kuwaepuka maishani karibu
Siri Za Kufanikiwa Katika Kila Jambo - Biashara Au Mradi
มุมมอง 1214 ปีที่แล้ว
Kuna watu wengi sana huwa ni wepesi wa kuanzisha biashara au mradi flani lakini hio biashara haichukui mwaka inakufa na hii husababishwa na mambo mbali mbali. Hivyo nimekuletea siri kuu za kufanikiwa katika jambo lolote lie kama ni biashara au mradi karibu sana.
JINSI YA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA
มุมมอง 3664 ปีที่แล้ว
Wazo la biashara ni moja ya mambo yanayowasumbua watu wengi sana hasa wajasiria mali wadogo wadogo kwani siku zote wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo bora lenye tija kwako na jamii nzima. Wakati mwengine inakuwa tofauti utasikia mtu mwenye wazo la biashara anasema hana pesa wakati mwengine mwenye pesa hana wazo ila mara nyingi watu huwa wana pesa ila wanaiona ndogo ans...
CORONA TANZANIA-JINSI YA KUNAWA MIKONO KWA UFASAHA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA
มุมมอง 424 ปีที่แล้ว
Kunawa mikono mara kwa mara ni moja ya njia kuu ya kujikinga na ugonjwa hatari wa corona.Ila watu wengi wamekuwa wakinawa kimakosa na hii kutokana na kutokuchukua tahadhari au kutokujua . Katika video ya leo nitakuonyesha njia sahihi ya kunawa mikono yako kwa maji yanayo tiririka karibu sana.
JINSI YA KUANZA BIASHARA-ANZA BIASHARA KWA MTAJI MDOGO
มุมมอง 21K4 ปีที่แล้ว
kuanza biashara lakini wanafikiria namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana hasa mtaji pesa na hii inatokana na kuaminishwa kwamba bila pesa ya kutosha huwezi kuanza biashara La hasha unaweza kuanza biashara hata kama huna mtaji au mtaji ulionao ni mdogo.
JINSI YA KUBAKI KATIKA MALENGO YAKO 2020
มุมมอง 204 ปีที่แล้ว
Bado mda unao wa kupambania malengo yako ya mwaka 2020 cha msingi ni kufata njia sahihi za kukusaidia kufikia malengo yako katika video ya leo nita kuonyesha jinsi gani ya kubaki katika malengo yako 2020.
Namna Ya Kuhifadhi Contact zako/Majina /Namba za Simu Kwenye Account Ya Gmail
มุมมอง 10K4 ปีที่แล้ว
Google account ina faida nyingi sana ila moja wao ni ya kuhifadhi contact au majina na namba za simu,hata ikitokea simu imepotea au kuharibika basi kwa kutumia google kirahisi unayapata,hivyo anaglia hii video itakusaidia kufahamu jinsi ya kuhifadhi contact zako
Jinsi Ya Kufungua Google account Kwa Kutumia Simu Yako ya Mkononi ( Smart phone)
มุมมอง 13K4 ปีที่แล้ว
Katika video ya leo nitakuonyesha jinsi ya kufungua Google account kwa kutumia simu yako ya mkononi yaani smart phone.Kumbuka google account ina faida nyingi sana moja wapo ni kukuunganisha vifaa vyako vyote kwa pass word moja tu.
JINSI YA KUBANA MATUMIZI YA PESA HATA KAMA KIPATO CHAKO NI KIDOGO -MSHAHARA HAUTOSHI
มุมมอง 10K4 ปีที่แล้ว
Kuwa na kipato kidogo au kulipwa mshahara mdogo haimaanishi ndio huwezi kujibana na ku save pesa ambayo itakusaidia baadae ,katika video hii nitakuonyesha njia kadhaa za kubana matumizi hatimae ujiweke hakiba itakayo kusaidia kuanzisha biashara au kuwekeza sehemu.
JINSI YA KUPANGA BAJETI - HATA KAMA MSHAHARA NI MDOGO
มุมมอง 2.3K4 ปีที่แล้ว
Katika video ya leo nitakuonyesha jinsi ya kupanga bajeti hata kama mshahara wako ni mdogo,watu wengi wamekuwa wakilalamika pesa wanazopata hawajui zimeishaje hii yote ni kwa sababu ya kutokupanga bajeti au kutokujua njia sahihi ya kupanga bajeti.
Jinsi Watu Waliofanikiwa kimaisha hufikiri na Mitazamo Yao
มุมมอง 824 ปีที่แล้ว
Ili ufanikiwe katika maisha kuna vitu vingi ambavyo unatakiwa kuiga kutoka kwa waliofanikiwa tayari ili na wewe ufike pale walipo na moja ya hayo mambo ni nini wanafikiria na kuwaza pamoja na mitazamo yao katika nyanja mbalimbali. Katika video ya leo nimekuwekea mawazo saba ya watu waliofanikiwa karibu.
Jinsi Ya Kuamka Mapema Hata Kama Hujisikii
มุมมอง 2.4K4 ปีที่แล้ว
Kuamka mapema sana sio jambo rahisi ila lina faida sana hasa kwa mtu mwenye malengo na mipango ya maendeleo kwani ukiweza kutumia vizuri hayo masaa ya alfajiri utafanikisha mambo mengi sana. Sasa katika video ya leo nitakufundisha njia kadhaa zitakazo kusaidia kuamka mapema hata kama hujisikii karibu.
JINSI YA KUNYWA MAJI MENGI KWA SIKU
มุมมอง 8654 ปีที่แล้ว
Maji ni uhai maana yana faida nyingi sana katika miili yetu,ila bahati mbaya sana wengu wetu hatunywi maji ya kutosha kwa siku na hii inatokakana na mambo mbali mbali ikiwemo mazingira na ghali ya hewa. Katika video ya leo nitakufundisha njia kadhaa zitakazo kusaidia kunywa maji mengi kwa siku nzima karibu. Hydration calculation:bit.ly/2nHGH2E
Jinsi Ya Kuondoa Sumu Mwilini Kwa Njia Rahisi
มุมมอง 60K5 ปีที่แล้ว
Utajiri wa kwanza duniani ni afya ,kama huna afya njema hata uwe na pesa vipi huwezi kuwa na amani wala kufurahia utajiri wako. Hivyo wakati tukiwa katika harakati za kutafuta mafanikio tusijisahau katika afya zetu, na moja ya jambo muhimu kabisa ni kuondoa au kupunguza sumu tunazo zipata mwilini mwetu.
Jinsi Ya Kukomaa na Malengo Yako Ya 2020 Mpaka Yatimie.
มุมมอง 285 ปีที่แล้ว
Jinsi Ya Kukomaa na Malengo Yako Ya 2020 Mpaka Yatimie.
Fahamu Mahusiano Yanavyoweza Kujenga Au Kuharibu Maisha Yako
มุมมอง 175 ปีที่แล้ว
Fahamu Mahusiano Yanavyoweza Kujenga Au Kuharibu Maisha Yako
Sio Kila Rafiki Ulie Nae ni Mwema.|| Epuka Aina Hizi Za Marafiki Kama Kweli Unataka Kufanikiwa
มุมมอง 4615 ปีที่แล้ว
Sio Kila Rafiki Ulie Nae ni Mwema.|| Epuka Aina Hizi Za Marafiki Kama Kweli Unataka Kufanikiwa
ZIJUE KANUNI ZA FEDHA
มุมมอง 1385 ปีที่แล้ว
ZIJUE KANUNI ZA FEDHA
SABABU 5 ZA ZITAKAZO KUFANYA UWE MASKINI
มุมมอง 185 ปีที่แล้ว
SABABU 5 ZA ZITAKAZO KUFANYA UWE MASKINI
Jinsi Ya Kupangilia Mwaka 2020-(part 2)
มุมมอง 105 ปีที่แล้ว
Jinsi Ya Kupangilia Mwaka 2020-(part 2)
JINSI YA KUPANGILIA MWAKA 2020-(PART 1)
มุมมอง 395 ปีที่แล้ว
JINSI YA KUPANGILIA MWAKA 2020-(PART 1)
Mambo 7 Ya kuyaepuka Ili Ufanikiwe 2020
มุมมอง 455 ปีที่แล้ว
Mambo 7 Ya kuyaepuka Ili Ufanikiwe 2020
Jinsi Ya Kutimiza Malengo Mwaka 2020:Hatua 5 Lazima Uzifate ili Malengo Yako Yatimie
มุมมอง 495 ปีที่แล้ว
Jinsi Ya Kutimiza Malengo Mwaka 2020:Hatua 5 Lazima Uzifate ili Malengo Yako Yatimie
Njia Rahisi Za Kupata Mtaji Wa Biashara
มุมมอง 1.4K5 ปีที่แล้ว
Njia Rahisi Za Kupata Mtaji Wa Biashara
Mambo 5 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe
มุมมอง 355 ปีที่แล้ว
Mambo 5 Ya Kuacha Ili Ufanikiwe
BIASHARA 7 ZA MTAJI MDOGO | WAKATI BADO UNASOMA
มุมมอง 6655 ปีที่แล้ว
BIASHARA 7 ZA MTAJI MDOGO | WAKATI BADO UNASOMA
UMEFULIA (BROKE) HUJUI LA KUFANYA? | MAMBO 4 YA KUFANYA KUJIKWAMUA
มุมมอง 165 ปีที่แล้ว
UMEFULIA (BROKE) HUJUI LA KUFANYA? | MAMBO 4 YA KUFANYA KUJIKWAMUA
MAMBO 3 YA KUYAJUA ILI UFANIKIWE | UNAISHI DUNIA IPI?
มุมมอง 165 ปีที่แล้ว
MAMBO 3 YA KUYAJUA ILI UFANIKIWE | UNAISHI DUNIA IPI?

ความคิดเห็น

  • @Frankfuluge-l2h
    @Frankfuluge-l2h วันที่ผ่านมา

    Inasaidiaa

  • @ndondeonlinetv9594
    @ndondeonlinetv9594 6 วันที่ผ่านมา

    Ndonde moses google inasaidia kujiendeleza maisha

  • @Naira8787-q9p
    @Naira8787-q9p 9 วันที่ผ่านมา

    Kuacha bia simchezo

  • @atondatunza
    @atondatunza 9 วันที่ผ่านมา

    Tumeshukuru kwa mafunzo

  • @moraisachacha6375
    @moraisachacha6375 17 วันที่ผ่านมา

    Mimi siyo mwanachuo

  • @YoelLufunga
    @YoelLufunga 20 วันที่ผ่านมา

    Hivi hizo njia za kuondoa sumu mwilini ama ni njia za kujikinga usipatwe na sumu mwilini ?

  • @Danielmwamwembe-g5d
    @Danielmwamwembe-g5d 24 วันที่ผ่านมา

    Inanipa

  • @GoodluckKirenga-j2d
    @GoodluckKirenga-j2d 29 วันที่ผ่านมา

    Je doctor utumiaji wa vipodozi hausababishi sumu nyingi mwilini?

  • @SamweliSamwel-q2b
    @SamweliSamwel-q2b 29 วันที่ผ่านมา

    Mim Kuna sm nafungua google akaunt lakini hanlei kod

  • @MariamAbdallah-q3l
    @MariamAbdallah-q3l หลายเดือนก่อน

    Shukran sana doctor tumekuelewa

  • @andreanjako7431
    @andreanjako7431 หลายเดือนก่อน

    Majina yangu yamefutika kwenye Google naweza kutapata tena

  • @CandrikCharles
    @CandrikCharles หลายเดือนก่อน

    Inanipa ninachokitaka

  • @novatheliasngaiza6246
    @novatheliasngaiza6246 หลายเดือนก่อน

    Umeleweka sana.

  • @EsperenceGilbert-w4y
    @EsperenceGilbert-w4y หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @MagesaKasoga
    @MagesaKasoga หลายเดือนก่อน

    Bro mi napenda sana kufanya mazoezi kwa mda mrefu bila kujali mda ninaotumia au kujari watu wanasemaje ebu nisaidie

    • @MagesaKasoga
      @MagesaKasoga หลายเดือนก่อน

      Mazoezi yenyewe ni ya kujenga mwili

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v หลายเดือนก่อน

    Mimi asubuyi napenda sana kutumiya maji ya moto ya vitungu swaumu

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v หลายเดือนก่อน

    Mimi nikiwa katika ndamu tumbo inauma sana,,pia kicwa chauma upande umoja

  • @BENOIT-h5c
    @BENOIT-h5c หลายเดือนก่อน

    nikweli doctor tunakushukuru

  • @MasaboSaada
    @MasaboSaada หลายเดือนก่อน

    Thanks doctor

  • @AlfredMapile-g9e
    @AlfredMapile-g9e หลายเดือนก่อน

    Upo sawaaaa sawaaaa sawa kabisa

  • @heavenlightmlay
    @heavenlightmlay หลายเดือนก่อน

    nakama unasumbuliwa na vumbi kifuan

  • @malikahiribae
    @malikahiribae หลายเดือนก่อน

    Asante kwa funzo lako doctor

  • @SelinaMwangoo
    @SelinaMwangoo หลายเดือนก่อน

    🎉daktari haya maisha ya sasa yalivyo magumu stress hazitaisha cause mapato ni kidogo kuliko mahitaji.Ni mungu tu asaidie waja wake.

    • @RahmhRr-d9v
      @RahmhRr-d9v หลายเดือนก่อน

      Kabisa 😢😢😢

    • @zainabrajab6092
      @zainabrajab6092 15 วันที่ผ่านมา

      Kupiga chuku,yaani kuumika

  • @KengaAliAli
    @KengaAliAli หลายเดือนก่อน

    Kaka mm nikikunywa maji mengi shida naipata niya kukojoa mara kwa mara kama dakika inne

    • @KIZIMYAMOTOMussa
      @KIZIMYAMOTOMussa หลายเดือนก่อน

      Hiyo ndio faida yake na Ni vizuri sana

    • @RahmhRr-d9v
      @RahmhRr-d9v หลายเดือนก่อน

      Hiyo haina shida ata mimi ivo nakunywa maji megi sana kwasiku ata pawe baridi nyigi nakunywa sijali kwenda kukujowa

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 หลายเดือนก่อน

    Umbarikiwe sana mungu azindi kukutuza❤❤

  • @JoyceChacha-i3w
    @JoyceChacha-i3w หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @AgnesPambani
    @AgnesPambani หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo mzur, Mungu akubariki

  • @asanterabindossi4289
    @asanterabindossi4289 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Doctor leo umenisaidia sanaa, Mungu akuzidishe zaidi.

  • @doricefrenk1543
    @doricefrenk1543 2 หลายเดือนก่อน

    asnte doctar kwa somo zuri

  • @IddMaula
    @IddMaula 2 หลายเดือนก่อน

    جزاءك الله خير الجزاء

  • @CosimasiMwazighe-z3b
    @CosimasiMwazighe-z3b 2 หลายเดือนก่อน

    asate dakitari Cosmasi Mwazighe taita taveta.

  • @mohammedabdullah5895
    @mohammedabdullah5895 2 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @josephnjellah280
    @josephnjellah280 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @karimwabocallixte6001
    @karimwabocallixte6001 2 หลายเดือนก่อน

    Asante,unasaidia maisha yetu. Waweza pya saidia watu myaka 70 nazaidi?

  • @NellyMkiwa
    @NellyMkiwa 2 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie no kaka nataka kuongea na ww nina hali mbaya sana ya pumu ya ngozi

  • @salmahamisi6236
    @salmahamisi6236 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Doctor kwa somo zuri MUNGU akulipee heri🤲❤

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 2 หลายเดือนก่อน

    Tunywe maji gani na haya ya dukani nayo tayri yameshatiwa sumu calcium ,megnesium portacium , chloride ,nitrate sodium Sumu kama hizi tinatokaje Sawa doctor tutajitahidi

  • @josephhhaikany-hr6mo
    @josephhhaikany-hr6mo 2 หลายเดือนก่อน

    Unachokisema ni kweli kabisa!, chichi kizazi cha kisasa wasipokula hivi vyakula vya kisasa anaona kunyanyasika!, vyakula vya asili watakwambia umeishiwa huna uwezo!

  • @RahmaLopa
    @RahmaLopa 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @LiberiaMsenga
    @LiberiaMsenga 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @anithamwagala8224
    @anithamwagala8224 2 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri Asante mwezeshaji

  • @GraceKomba-t4k
    @GraceKomba-t4k 2 หลายเดือนก่อน

    Napunguza kwenye usafiri pia kwenye Bando Na chakula ,ubarikiwe

  • @HassanNdarama
    @HassanNdarama 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks for your advice God bless you

  • @ShubiraCostac
    @ShubiraCostac 2 หลายเดือนก่อน

    ASANTE SANA🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @AmosStefano-e9o
    @AmosStefano-e9o 3 หลายเดือนก่อน

    I agree

  • @LUCASMBOKO-z3m
    @LUCASMBOKO-z3m 4 หลายเดือนก่อน

    Ndio inanipa

  • @GidflayGasto-g3k
    @GidflayGasto-g3k 5 หลายเดือนก่อน

    Hiv kuna watu ambao hawana kipaji

  • @eliudbeyanga8575
    @eliudbeyanga8575 6 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @BulamboMukalesondesdie
    @BulamboMukalesondesdie 6 หลายเดือนก่อน

    Napendakuimba,,nikuwemuimbajimukubwa

  • @bamasenyaelikaaya-f8f
    @bamasenyaelikaaya-f8f 7 หลายเดือนก่อน

    Bama senyaeli kaaya