Taarab Zilipendwa- Makutano taarab- Siku yako ipo mwanangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @anusaady2890
    @anusaady2890 4 ปีที่แล้ว +4

    Makutano bar uzuri. Baa ya mzee Gazabu

  • @zarafimohammed5854
    @zarafimohammed5854 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah asema siku yako ipo, wadau zingatieni maneno hayo, msiyafanyie masihara hata kidogo

  • @fatmamohd5960
    @fatmamohd5960 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaviwe jumaa nyanya wa farheen&Faisal au bi urusula Allah akurehemu

  • @Kosmo4tanga
    @Kosmo4tanga 6 ปีที่แล้ว +9

    usidhani nyongo sina ewe swahiba pulika , utendayo nayaona lakini nayalimbika. iko siku iso jina zamu yako itafika.Siku yako iko mwanagutu nimekuwekea utapogeuka upepo usije kulia(cry not right)
    Siku hiyo utanuna kama hujapatacheka , na mafunda kukutuna lau kama utapasuka, mito(pillows not rivers) utaitafuna uzirarue na shuka. back to chorus

    • @Natureo-hr9xc
      @Natureo-hr9xc ปีที่แล้ว

      Nilifikiri ni " siku yako iko mwanangu" kumbe ni "mwanagutu" mwanagutu ndo nini?

    • @Kosmo4tanga
      @Kosmo4tanga ปีที่แล้ว

      "Mwanagutu" is a colloquial way to talk about someone without mentioning their name, especially in conflict(kupiga vijembe). Although in fact they know you are talking about them. It leaves you with a bit of a defense to say "oh I wasn't talking about you" if things escalates.🙃

  • @tambomikidadi129
    @tambomikidadi129 2 ปีที่แล้ว

    Hi nyimbo naipenda jmn siosiri kwakweli

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 3 ปีที่แล้ว

    Eidd bado mwbo mmoja unaitw ni moja katka dhiki

  • @dangrace4568
    @dangrace4568 2 ปีที่แล้ว

    Nice taarab

  • @dulaomar3115
    @dulaomar3115 ปีที่แล้ว

    mashallah...

  • @victoriageoffrey5926
    @victoriageoffrey5926 ปีที่แล้ว

    Wow nice song 💐🙏

  • @hussainalmandhari2288
    @hussainalmandhari2288 7 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kaka Eddie, naomba unitafutie mwimbo wa "asiekula nanasi hajala kitu kitamu"

  • @kibangalakibangala9577
    @kibangalakibangala9577 6 ปีที่แล้ว

    Hamira ukitia sana uwandazi utachusha maneno makali yana maana.Hongereni wahenga.

  • @wadhhaamohd6100
    @wadhhaamohd6100 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante umenikosha imfikie

  • @zarafimohammed5854
    @zarafimohammed5854 7 ปีที่แล้ว +2

    ni kweli wasanii wa zama hizo walikuwa wasanii, maana mpaka sasa vitu vyao bado vinaleta maana na vizuri pia hat a kwa kuvisikia

  • @matatasaid733
    @matatasaid733 3 ปีที่แล้ว

    Daaah!! Kitu cha ajabu huyu ni bibi yangu mzaa bab lakin huu wimboi sikuwa nao kabsa nausikiliza leo 2021

    • @maganaden4729
      @maganaden4729 2 ปีที่แล้ว

      Huyu muimbaji wa wimbo huu tuliishi nae Tanga Bara bara 6 anaitwa Bi lolita

  • @pascalmayalla6869
    @pascalmayalla6869 4 ปีที่แล้ว

    Eddie Nassor, asante kwa hii, nimeutafuta sana huu wimbo, jina lake unaitwa Mwanagutu

    • @crollinpatrick4964
      @crollinpatrick4964 4 ปีที่แล้ว

      Kumbe kaka upo hata huku pia?

    • @pascalmayalla6869
      @pascalmayalla6869 2 ปีที่แล้ว

      Leo nimeusikiliza tena huu wimbo ndipo nimelisikia neno Mwanagutu. Asante tena na tena

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 3 ปีที่แล้ว

    asanteeh!

  • @zarafimohammed5854
    @zarafimohammed5854 7 ปีที่แล้ว +1

    yaani kwa kweli inaleta raha na ukumbusho bila ya kusahau kwamba, wasanii wa enzi hizo kweli walikuwa wanavipaji na walikuwa na maana ktk yale yote waloyaimba.pia hata wasikilizaji wananasihika pasi na shaka

  • @hassanlibingai8811
    @hassanlibingai8811 8 ปีที่แล้ว

    Haya ndo mambo bhana, ahsante sana kaka Eddie

  • @luizalightfoot1011
    @luizalightfoot1011 8 ปีที่แล้ว +1

    Is mwanagutu!!

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 8 ปีที่แล้ว +2

    siku hazigandi kaka eddie

  • @ramakipepe8673
    @ramakipepe8673 6 ปีที่แล้ว

    Mashalaah old is gold

  • @alyshaanmadha9672
    @alyshaanmadha9672 5 ปีที่แล้ว

    Jamani Nani anajua ile taraab jina yake . Naona mambo yako huku tarabu imu weh utaumiza roho yakoo ???

  • @zainabumakame6743
    @zainabumakame6743 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah!!!

    • @ibrahimhinga3335
      @ibrahimhinga3335 5 ปีที่แล้ว

      Zainabu wajua vizuri vya taarab,wakale wanajua

  • @Kosmo4tanga
    @Kosmo4tanga 7 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana, MEMORIES lakini Jina naamini ni "SIKU YAKO IKO MWANAGUTU". Yaani kumsema mtu bila ya kumtaja jina ingawa anajua kwamba ujumbe unamhusu yeye

    • @Kosmo4tanga
      @Kosmo4tanga 6 ปีที่แล้ว

      Lyrics, usidhani nyongo sina ewe swahiba pulika, usidhani nyongo sina ewe swahiba pulika.utendayo nayaona lakini nayalimbika,. Iko siku iso(isio) jina zamu yangu itafika. Mito(pillows) utaitafuna uziraruwe na shuka. Siku yako iko "MWANAGUTU" nimekuwkea utapo(utakapo) geuka upepo usije kulia. Shukran...!

    • @zamdajuma7763
      @zamdajuma7763 5 ปีที่แล้ว +1

      mashallah za kale tam

  • @heriissagombera5168
    @heriissagombera5168 8 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka Eddie

    • @eddienassor480
      @eddienassor480  8 ปีที่แล้ว

      Kumbe na huku upo kaka?:) Hahahaa

    • @heriissagombera5168
      @heriissagombera5168 8 ปีที่แล้ว

      Eddie Nassor
      Nipo kote kaka burudani za zamani zilikuwa zimepangiliwa sana

    • @eddykonho5724
      @eddykonho5724 6 ปีที่แล้ว

      penda sana