JINSI ya KUTOKA NJE ya MWILI na kupaa Kwenda popote ULIMWENGUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • #kutokanjeyamwili #mafanikio #nguvuzauniverse Fahamu jinsi ya kutoka nje ya mwili na kupaa kwenda popote. Zoezi hili lina faida nyingi sana kiroho, tazama video hii mpaka mwisho uweze kujua ni hatua zipi Unatakiwa kuzifuata ili uweze kutoka nje ya mwili.
    Jinsi ya kutoka nje ya mwili
    Roho
    Mwili
    Nguvu ya universe
    This is original content created by the owner of this channel ‪@NGUVUZAUNIVERSE‬

ความคิดเห็น • 275

  • @saidikorongo5089
    @saidikorongo5089 10 หลายเดือนก่อน +18

    Hongera sana Sister kwa maelezo rahisi na yaliyonyooka kwa wanaoanza,kasoro Chizi tu hapa yoyote anakuelewa vizuri na kumshawishi na kila swali umelipatia Majibu On theSport..Nikupe Maua Yako…🌷💐🌷💐🌷Hili somo nimelifatilia muda mrefu sikuwahi kukutana na Maelezo na Lugha rahisi hv kote lugha ni Ngumu mpk unakata tamaa ya kujaribu.Aisee kama ni Lecture unawashinda hata Wenye PhD na Prof zao wanaokamata watu huko kwa Lugha Ngumu na kusababisha Ugumu wa Kozi
    kwa Wahusika.Ila Nahisi hili zoezi linaendana pia na sehemu mtu alipo kwa maana ya utamaduni wa sehemu ile.

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  10 หลายเดือนก่อน

      Asante sana 🙏 😊karibu

    • @niymaedwin4297
      @niymaedwin4297 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@NGUVUZAUNIVERSEHivi hakuna uwezekano wa kamba kupotea yenyewe bila ya mwili wako kuhamishwa na ikitokea huoni kamba na mwili upo palepale utaingiaje sasa kwa mwili wako?

    • @brianbaltazar6198
      @brianbaltazar6198 5 หลายเดือนก่อน

      @@niymaedwin4297ukishindwa kurudi kwenye mwili wako ndio unakua umekufa hivo

    • @NasrahMsiagi
      @NasrahMsiagi 22 วันที่ผ่านมา

      @NGUVUZAUNIVERSE
      He eee hiii ciwez kujaribuuuu

  • @AlphonceMathias-uy8jt
    @AlphonceMathias-uy8jt 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana dada kwa ufafanuzi huo na kwalugha thabiti tunayoifahamu vema. Mungu azidi kukuongezea marifa dada naomba dada kama inawezekana nipate mawasiliano Yako

  • @francismichael1258
    @francismichael1258 9 หลายเดือนก่อน +3

    Daa nimependa sana hii ya kutoka njeeya mwili, mi nishawai kufanya meditation naomba mawasiliano tafadhali. Asante

  • @AnnaMnange-ev9yc
    @AnnaMnange-ev9yc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn natamani kupata nguvu hizi nayapenda sn maisha ya nguvu za ulimwengu

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 3 หลายเดือนก่อน

      Tufanyeje my dear tuanzishe chama na mimi napenda sana kumiliki hii nguvu yani wachawi watanikoma

  • @PhilipoDaudDeus
    @PhilipoDaudDeus 10 หลายเดือนก่อน +3

    Somo zuri sana mwalimu, huwa natamani lakini sijawahi kufanikiwa, ila meditation huwa nafanya

    • @GamesTechnologyphk
      @GamesTechnologyphk 6 หลายเดือนก่อน +1

      uwa naona rahisi ukiwa umelala sio kukaa fanya ukiwa ume....relax viungo vyako vyote

  • @Setibobgwa
    @Setibobgwa 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nimependa sana hii lakini inatisha kdg. dada naomba niwe mwanafunzi ili nijue zaidi niwe nafanya hivyo asante sana

  • @claudekakule383
    @claudekakule383 10 หลายเดือนก่อน +1

    asante kwa vidio la leo sasa nakugeuza mawazo kuwa kweli.

  • @Spirtualperson
    @Spirtualperson 10 หลายเดือนก่อน +2

    Asante universe maana spell ya yai nimesafisha nyota yangu na kufanikiwa

  • @progressivemetallicmineral4601
    @progressivemetallicmineral4601 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante sana kwa maelekezo, Naomba niwe miongoni mwa wanafunzi wako.

  • @PriscarGodrick
    @PriscarGodrick 2 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana dada Kwa mafundisho nina imani nitaweza ❤❤❤❤❤❤

  • @marianaptarimitarimo1931
    @marianaptarimitarimo1931 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kipenzi ,sasa ukitoka ukakutana na wachawije hawawezi kukudhuru

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna atakayeweza kukudhuru

  • @JacklineKhaveza-n2z
    @JacklineKhaveza-n2z 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mi cwezi, naweza naogopa sana 😢😢

  • @theatemu8219
    @theatemu8219 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dada asanteeeee kw masomo mazuri. Tunaomba utuweke kw group la wasap

  • @NestorNiyuhire
    @NestorNiyuhire 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kudufundisha sasa mimi niliwahi kufanya hivo nikiwa nimelala mwili ukaanza kubadilika nilitegemea sana majini alianza kuongea

  • @LeonardNdelu
    @LeonardNdelu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mafudisho mazuri sana dada

  • @OmarVuru
    @OmarVuru 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada ubarikiwe mungu akupe san

  • @FAFANUOMEDIA
    @FAFANUOMEDIA 10 หลายเดือนก่อน +2

    Good

  • @Njile-Makonda444
    @Njile-Makonda444 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yes it so good

  • @registakimario8920
    @registakimario8920 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu... Nakupenda

  • @MasPromise
    @MasPromise 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mimi nilishafanya zoezi karibiya week tatu sasa lakini nikipata vibration ndo nakwama hapo hapo naomba msaada wako teacher

  • @piterkosimasi6348
    @piterkosimasi6348 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki zadi.,

  • @mahtygullam6399
    @mahtygullam6399 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tuliwahi kuongozwa na mwalimu mmoja tukatembelea future. Je ile ya kutembelea future ni sawa na hii au zina tofauti?

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน +1

      Hii ni kutoka nje ya mwili

  • @jescamnyao8927
    @jescamnyao8927 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa mafundisho mazuri naomba unisaidie namba yako pia naomba kuwa mwanafunzi wako dada

  • @josejosepg6601
    @josejosepg6601 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh sio kukufuru MUNGU hivi kweri wajameni

  • @antusajoseph9360
    @antusajoseph9360 9 หลายเดือนก่อน

    Asante mpenzi
    Hii kitu kama kinanipitiaga tena udingizini

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 13 วันที่ผ่านมา

    Aiseee Maya una ufahamu sana

  • @Omari-g8c
    @Omari-g8c 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwasomo

  • @EmanuellyLukindo
    @EmanuellyLukindo 9 หลายเดือนก่อน +2

    mm naomba unisaidie mazoezi ya kila siku nipate kuweza kujitoa kwa wepeesi

  • @makombejrmakombe5709
    @makombejrmakombe5709 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mmmmmmmh mchezo hatari sanaaaaaaaaaaa huu kuufanya tuendelee na somo lingine mwalimu😅😅😅😅

  • @RaheliPaskali
    @RaheliPaskali หลายเดือนก่อน

    dada nakukubali sana

  • @DeonatusManyama
    @DeonatusManyama 2 หลายเดือนก่อน

    samahan dada! Wewe ulitumia muda gani kujiunganisha kiroho, yani kufungua jicho la tatu??

  • @doreen_tz5921
    @doreen_tz5921 หลายเดือนก่อน +2

    Daah akuna mwanadamu yeyote yule ulimwenguni anaeweza kutoka nje ya mwili ukiona nafsi yako ipo nje ya mwili basi ww ni mfu ww unakua unatawaliwa na majini na ndio unaona upo nje ya mwili

  • @KostantiniDonati
    @KostantiniDonati 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwasomo zuri ila ninaswali mfano umeshatoka nje ya mwili ukitaka kurudi unasema nataka kurudi kwenye mwili wangu ndio unafuata iyo kamba?

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo,itakuongoza mpaka mwili wako ulipo

    • @semenijohn7455
      @semenijohn7455 4 หลายเดือนก่อน

      Mbona hii inaogopesha

  • @Mr.Movesibrah
    @Mr.Movesibrah 3 หลายเดือนก่อน +2

    Astro projection au sio

  • @EdgarLuoga-t5m
    @EdgarLuoga-t5m 23 วันที่ผ่านมา

    Mh naogopa sana siwez

  • @EMBROIDERY810
    @EMBROIDERY810 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri

  • @OnesmusMuendo-v3v
    @OnesmusMuendo-v3v 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi huwa najipata wakati nimefika tu kwa kitanda,,, nahisi hewa inapita juu yangu then boom,,,,naanza ku vibrate an siwezi soga aki....i feel as if my divine me is moving out,,,i once felt it and relaxed then nkiwa tu hivo life but my eyes closed if found my self in an watery vesel high in the air....i looked back and wondered where am i??? Kuwaza hivo nikaogopa i felt something slaming back to my body nikaamka mara moja

  • @Setibobgwa
    @Setibobgwa 10 หลายเดือนก่อน +1

    hizo faida zote nimezipenda dada sasa tutawasiliana je

  • @PhilipoDaudDeus
    @PhilipoDaudDeus 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kufanikiwa inatakiwa ufanye kila siku au vipi?

  • @ANAFISAIDI
    @ANAFISAIDI 7 หลายเดือนก่อน

    Mara yakwanza nampaka sasa haijanitokea tena nikiwa na umri mdogo nilijikuta nimepaa nikatua mbinguni nikakuta maisha yahuko nafsi huelea juu ya mabustan mazur na mioyo ya furaha isio na kinyongo, na nafsi za mbingunni hutambuana kwa hisia za uwepo wa nafs fulan chini ya mabustan mazur yaliojaa furaha bila mawazo yanayoleta machukizo, bali huwaza nisayari gan nafsi inataka kutua,

  • @harunsarafu508
    @harunsarafu508 10 หลายเดือนก่อน +2

    Naitaji namba yako kuna swali la praivet naitaji kukuuliza,,

  • @calisterpeter8159
    @calisterpeter8159 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @NasraMrisho-z4o
    @NasraMrisho-z4o 7 หลายเดือนก่อน +1

    Duhuuu natamani lakini sielewi jamani

  • @giftmed1a332
    @giftmed1a332 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi naomba huo uwezo niende bank kuchukua hela

  • @DeonatusManyama
    @DeonatusManyama 2 หลายเดือนก่อน

    samahan dada! Wewe ulitumia muda gani kujiunganisha kiroho, yan8 kufungua jicho la tatu??

  • @Spirtualperson
    @Spirtualperson 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi sijawahi kufanya hivyo ila nikilala tu kabla sijainzia najiona niko sehem mbalimbali

  • @rmond7231
    @rmond7231 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wah hii nzuri but nimeogopa

  • @JeanMulela
    @JeanMulela 4 หลายเดือนก่อน +1

    hili nizoezi nzuri sana lakini ni jambo lakufanya usiku sababu muchana unaweza uka hamushwa na unabaki bila kurudi,
    mimi nilikuwa nikijaribu zoezi hili nikaishiya kula lakini nitaendeleya kulifanya mara kazaa sababu zina mafaha sana

    • @thomasbilingi7048
      @thomasbilingi7048 5 วันที่ผ่านมา

      umeambiwa fanya kwenyew chumba cha pekeako funga na mlango

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 5 หลายเดือนก่อน +1

    Niko tayari kupokea Kazi

  • @ElinaMgaya-p8b
    @ElinaMgaya-p8b หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo inaitwa meditation kibiblia walio jifunza mafundisha ya maisha ya kiroho inaitwa kukaa ukimya, na tunajifunza sana hilo kuwa ukitaka kujiimalisha zaid na kuwa karb na mungu kiroho meditation n muhim tena muda wa medittion unapata maono makubwa kuliko usivozani, swala la kiroho linahitaji utayari mkubwa

  • @ValerioKiputa-be6vt
    @ValerioKiputa-be6vt 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa Sana naanza kupiga mazoezi

  • @ShabanAlly-c4x
    @ShabanAlly-c4x 2 หลายเดือนก่อน

    Duh unayosema niyakweli

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 21 วันที่ผ่านมา +1

    Niende nje ya mwili

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nilishawahi kufanya hilo zoezi nilifundishwa na mwalimu wangu tena alikua anatufundisha chuo ila anaujuz wa mambo hayo, Inaitwa Astra projection harafu kuna Lucid dream ndoto za maono yani hadi raha sema, iyo astra projection inatakiwa uwe makini sana na uwe sehem tulivu maana matokeo yake ni hapo kwa hapo na ukiwa na nguvu za kiroho ndan yako yaani kama wewe sio mchafu kiriho litafanikiwa vzr na utaona uhalisia wote mimi kabla ya kufanya ivyo mwalimu wangu aliniambia ili nione matokeo vzr na kuthibitisha kabla cjaanza kufanya ninuie nataka kwenda wapi...aiseee nilivyonuia tu dakika tano tu nikatoka aisee,, nilicho kiona yaani uhalisia kabisa...Daaa masomo haya ya kiroho ni mazuri ila uwe na utayari na uthubutu maana hata hawa manabii wanafanya sana mazoezi haya.

    • @OnesmusMuendo-v3v
      @OnesmusMuendo-v3v 2 หลายเดือนก่อน

      Yes Chenye utawaza ukiwa kwa vibration kinatokea mara hio hio....it might huwa naogopa sana hizo vibration but God has helped me overcome...we are more than we think

    • @diagaplatel2601
      @diagaplatel2601 หลายเดือนก่อน +1

      Mnamaanisha hili zoezi ni la ukweli na linawezekana, kwangu ni Mara ya kwanza kuskia jambo Kama hili kua linaweza fanyika

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako🤝❤️

    • @SheilahBenson-df9wh
      @SheilahBenson-df9wh หลายเดือนก่อน

      @@diagaplatel2601 ww nd mim

    • @OnesmusMuendo-v3v
      @OnesmusMuendo-v3v หลายเดือนก่อน

      ​@diagaplatel2601 yes it's true,,,lakini si kila mtu anawezafanya,,,kwa sababu mm sifanyi meditation lkn vibration hujileta zenyewe nkiwa kwa kitanda

  • @shayograce7193
    @shayograce7193 4 หลายเดือนก่อน +3

    Samahan dear Mimi niliwah kufanya ivi nilipigwa kibao na alie nipiga sioni😭😭😭mpaka sasa naogop

    • @HenryMachoni
      @HenryMachoni 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @Sameerambaga
      @Sameerambaga 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @Doreen-Nana
      @Doreen-Nana 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂pole😅😅

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 3 หลายเดือนก่อน

      Nacheka maana 😅😅😅😅

    • @khadijaacute
      @khadijaacute หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kwa sautiii mtakufa

  • @Sharifaliuma-gb3vt
    @Sharifaliuma-gb3vt 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri lakini naogopa

  • @felisterjoshuamollel3930
    @felisterjoshuamollel3930 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dada naomba no zako plz❤naitaji kua mwanafunz wko

  • @NicholausMdahilaa
    @NicholausMdahilaa 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuomba mama itisha mkutano laivu wa wanagrup hili ili utufundishe laivu maana nina maswali mengi lakini nashindwa kuuliza , au naomba namba yako ya simu ili tuongee laivu

  • @restitutalaurence6264
    @restitutalaurence6264 หลายเดือนก่อน

    Hataree

  • @GamesTechnologyphk
    @GamesTechnologyphk 6 หลายเดือนก่อน +1

    hapo kwenye kukatika kamba ndio kimbembe..... kwa wale wenye panya ndani mcjarbu ili zoez

    • @UpendoLazaro-n3e
      @UpendoLazaro-n3e 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @HalimaAl-b4u
      @HalimaAl-b4u 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @khadijaacute
      @khadijaacute หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣panya is typing and dereting😂😂😂

  • @jumannekamau3855
    @jumannekamau3855 9 หลายเดือนก่อน

    Nimependa somo zuri inakuwaje nikiludi nijiunganishaje

  • @nyansojuma
    @nyansojuma 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa natamani nifanye hivyo

  • @SwaleheChege-ss5lc
    @SwaleheChege-ss5lc 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kujua je Kuna madhala ikiwa Nina mke na watoto

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 13 วันที่ผ่านมา

    Sasa hiyo Roho inaenda wapi

  • @LenovatusRevelian
    @LenovatusRevelian 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana dada kiukwel nimekuelew sana ila ukisha Toka nje ya mwili unarudije??? Na kama ukikosa pumzi kama uyo mwenzetu kwenye comment unairudishaje

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  หลายเดือนก่อน

      Jinsi ya kurudi unafuata silver cord, ndo itakuongoza mpaka Kwenye mwili wako

  • @EmanuellyLukindo
    @EmanuellyLukindo 10 หลายเดือนก่อน +2

    mm naomba namba zako mana siku nyingi nazitafuta

    • @nervashonza587
      @nervashonza587 9 หลายเดือนก่อน

      Mwl wetu kwann hatoi namba za cm Kila anapoombwa??

  • @ANAFISAIDI
    @ANAFISAIDI 7 หลายเดือนก่อน

    Nikweli usemayo

  • @BenedictocPauline
    @BenedictocPauline หลายเดือนก่อน +1

    Dada samahani hapoutakuwaumefumba macho au

  • @pendoKassian-bi2th
    @pendoKassian-bi2th 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dada me nataka nifanye hilo zoez mpaka nifanikiwe

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  7 หลายเดือนก่อน

      Nakutakia Kila la kheri 🤝❤️

  • @Zubeda-fw1cg
    @Zubeda-fw1cg 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mim sijawahi kufanya hili ziezi lakin mara nyingi huwa natoka nje ya mwili nazunguka sehemu zote nazozitaka halafu narudi kulala lakin pia huwa nakutana na watu naowafahamu wakiwa wanafanya shughuli zao asa sijui kama huwa wananiona

  • @Princescynth
    @Princescynth 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenye atafanikisha aniambie ndo nijaribu😊

  • @ZuhuraMaiko
    @ZuhuraMaiko 18 วันที่ผ่านมา

    M najua wachawi et ndo wan sifa hz

  • @RehemaKidolezi-op2hh
    @RehemaKidolezi-op2hh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naendelea kupenda mafundisho yako

  • @SalhatB
    @SalhatB หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh jmn ukitoka kuna kurud kwel😂😂😂😂😂😂

  • @AidaAdam-xv6cw
    @AidaAdam-xv6cw 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako Dada nitajifunza mengi kutoka kwako

  • @RachelKessy
    @RachelKessy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii dunia ina mambo jaman

  • @PaulGadi-g7t
    @PaulGadi-g7t 3 หลายเดือนก่อน

    Naogopa ni atarr

  • @bmtv7790
    @bmtv7790 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sorry mi naswali kidogo kuna utofauti gani kati ya kifo na astral projection?
    Mana zote ni separation kati ya mwili na nafsi.

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  10 หลายเดือนก่อน

      Mtu akifa roho hairudi tena kwenye mwili

  • @NassibuAthumani
    @NassibuAthumani 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo umegusa

  • @Mr.A_Shark
    @Mr.A_Shark 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kama itakupendeza unipe number zako nina mengi yakukuuliza na pia nimevutiwa na mafundisho yako

  • @Njile-Makonda444
    @Njile-Makonda444 10 หลายเดือนก่อน +2

    nikitaka kurudi narudije Sasa mpendwa?

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  10 หลายเดือนก่อน

      Kila kitu nimeeleza kwenye video, nisikilize

  • @Sharifaliuma-gb3vt
    @Sharifaliuma-gb3vt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa ila naogopa nisije nikazima moja kwa moja

  • @YusuphbenedktoYusuphbene-ki6mq
    @YusuphbenedktoYusuphbene-ki6mq 10 หลายเดือนก่อน

    Dadae naomba unintume namba yaako nakuku bari ukovzuri

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dah kuna watu wana raha,,sister ungekuwa jirani yangu ungenichoka ningejifunza mengi zaid ya haya

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน

      🤝❤️ karibu sana

    • @LenovatusRevelian
      @LenovatusRevelian 3 หลายเดือนก่อน

      @NGUVUZAUNIVERSE ungenipa ata namba ya Whatsapp ukawa unanifundisha Kwa video call

  • @SharifuMohammed-z4e
    @SharifuMohammed-z4e หลายเดือนก่อน

    Samahani naomba kuuliz hap. Kama ukikutana na mtu ambae nae yupo katika mwili wa kiroho. wakati upo nje ya mwili wako. Je anaweza kukata hiy SILVER CODE. yak kutokea katika mwili wako wa kiroho

  • @VickyMinane
    @VickyMinane 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mutuhaezikufa

  • @hassanbinally7127
    @hassanbinally7127 10 วันที่ผ่านมา

    Mimi hua inanitokea yenyew tu hii hali

  • @mekutv9829
    @mekutv9829 4 หลายเดือนก่อน

    Je ukiwa nje ya mwiri utawaona wachawi..!! Na ninavyo sikia mchawi akigundua umemuona razima akujaribu..! Hii imekaaje sister

    • @sylivestermwasile4203
      @sylivestermwasile4203 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio unawaona na watakuogopa saanaa

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni wachawi ty nawaonaga na hua nawaambia nimewajua ila wanaficha sura

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  หลายเดือนก่อน +1

      Chochote utakacho kuona utaona

    • @thomasbilingi7048
      @thomasbilingi7048 5 วันที่ผ่านมา

      @@NGUVUZAUNIVERSE aloooo

    • @thomasbilingi7048
      @thomasbilingi7048 5 วันที่ผ่านมา

      sester we uliona nini zaidi kilicho kufutia uko nje

  • @joycekatangwa8263
    @joycekatangwa8263 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kurudi kwenye mwili nafanyaje? Baada ya kuifata ile kamba

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  6 หลายเดือนก่อน

      Itakuongoza mpaka mwili wako ulipo

  • @doreensamweli1900
    @doreensamweli1900 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii hali ilinitokeaga sana utotoni,kila kitu kinakuwa kizito mwalini basi mimi naogopa akili yangu inaniambia Doreen ndio unakufa sasa,basi huwa napambana sana kutoka Kwa iyo hali paka nikija kuamka naweza tumia lisaa.sikujua Kama maana yake ni hii .

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 3 หลายเดือนก่อน

      Yemwe yemwe mimi hya nafanikiwa usiku ila nguvu ninayotumia kutoka kule ni kubwa baada ya hapk nitaumwa siku 3😂😂😂😂😂

  • @SwaleheChege-ss5lc
    @SwaleheChege-ss5lc 9 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba kujua ikiwa na hitaji kua na pesa nitafanyaje

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  9 หลายเดือนก่อน

      Fanya spell ya pesa

    • @SwaleheChege-ss5lc
      @SwaleheChege-ss5lc 9 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo kutoka kwa mwili huwezi ukaenda kama bank ukachukua pesa

    • @someless
      @someless 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@SwaleheChege-ss5lc😂😂😂😂

    • @GamesTechnologyphk
      @GamesTechnologyphk 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@SwaleheChege-ss5lc huo utakuwa ni ujambazi

  • @karimmsham9469
    @karimmsham9469 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi hua inanitokea yenyewe hiyo Hali nimewasimulia watu wengi wanasema kuna wachawi ndo wananifanyi
    a hivyo

  • @sashamoud6314
    @sashamoud6314 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hili zoezi huwezi fuatiliwa na wachawi kweli 😂

  • @Sharifaliuma-gb3vt
    @Sharifaliuma-gb3vt 9 หลายเดือนก่อน +1

    Malanyingi uwa nikiamka najikuta siwezi kuinuka kuongeya wala kujigeuza ila mtu akiogeya namsikiya nanikijalibu kuongeya siwezi uwa naogopa sana

  • @JayWamama-hj5zg
    @JayWamama-hj5zg 5 หลายเดือนก่อน

    Yan mm Kila ninapo Fanya naishia kwenye vibration na mpaka vibration inapotea nikifumbua macho bdo najikuta nipo vile vile sasa kipi ninakosea hapo

    • @3leggedbird222
      @3leggedbird222 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi nikivibrate siwezi kurudi yani hua naogopa hadi napiga yowe ila sirudi hadi nipigwe tukio huko duniani ndo niweze kurudi kuna siku nilifanikiwa kuongea na mchawi ila sikumfahamu kabisa

    • @khadijaacute
      @khadijaacute หลายเดือนก่อน

      ​@@3leggedbird222🤣🤣🤣🤣jmn nasom comment za wat nafurahi mwenyew

  • @Mollinemusanyi
    @Mollinemusanyi 10 หลายเดือนก่อน

    Mm nilijaribu nikashindwa

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  10 หลายเดือนก่อน +2

      Endelea mpaka ufanikiwe

    • @Mollinemusanyi
      @Mollinemusanyi 10 หลายเดือนก่อน

      @@NGUVUZAUNIVERSE huwa najipata naota vitu viko halusia kabisa

  • @AbouSlaiser
    @AbouSlaiser 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakurudi tunarudi vip ?? Ao unataka tukufe😂

  • @Rashidisaidi004
    @Rashidisaidi004 หลายเดือนก่อน

    Kwani unaskia njaa nikiwa nje yamwili

  • @NoelChambo
    @NoelChambo หลายเดือนก่อน

    Matajiri wanaenda kufanyia hotelini.
    Nyumbani risk ni kubwa

  • @EsterMarco-xf5qk
    @EsterMarco-xf5qk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Umesema kwamba mtyu akitingisha mwili wako ndo bas tena we unapotelea huko uwezi rudy ko mwili wako ulioacha kitandani hauwezi kuamka tena yaan unakua umeshakufa???