😂😂😂mtunzi mwenyewe naliwaza sana yeye alikuwa anafikiria nini kutunga hiki kibao😢😂yaani wimbo mtamu aisee ,,,napenda Ninachomaanisha wimbo umekorogwa kikweli Ray and the team good job 👏 👏 👏
From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 jaman hongereni. Safi sana sana. ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 huu wimbo ni tamu sana sana. Even the way you project in the ground. Enyewe utaona mkombozi amezaliwa kweli jaman. Mkude 😅😅😅😅 supu ya kuku ni tam zaidi ila sijui hio ni gani jaman. Inaonekana ni damu ya yesu kristo na ni tamu zaidi unaenjoy hivyo 😅😅😅 It's soooo fantastic. ❤❤ nawapenda wote wote 🎉🎉🎉
Asante KMC Arusha, asante Ray Ufunguo asante Rajo .. hakika hii ni kazi njema nimebarikiwa na kufurahia bwana... Mungu mkuu akajipatie utukufu kupitia nyie na mkabarikiwe
Tasnia inadai creativity ya namna hii🙌🙌🙌🙌 Wimbo mzuri sana, kitu cha tofauti kabisa, inapendeza machoni na masikioni kwa kila atakayesikiliza na kutazama😊 Hakika UPENDO WAKE NI MKUU KWETU, AMEZALIWA!!!
❤ The song is amazing to the maximum, kila sololist anajua, everyone has an amazing peculiality, the composer alikuwa hana stress akiwa anatunga wimbo, waimbaji wote wakapita mulemule mali ikapikwa jikoni ikatoka kama ilivyo, very nice song... I love to listem this all time🎉🎉🎉🎉❤
🥳🥳🥳🥳 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 CHRISTMAS SONG OF THE YEAR na hakuna ubishi! Brilliant! Watching from Dallas, TX and I'm like damn! Hii nayo imeweza. Hongereni, Keep up the good job, guys.
Aiyaiiyaee❤❤❤❤❤ You've raised e the bar soooooo high... My best choir of all times ... With all the talent utilised 👌👌👌 Definition of perfect... I love this. Mkude👏👏👏
The elegance in this piece of music🎉🎉🎉🎉🎉🎉waooooh.. Very well executed. Nzuri sana amezaliwa kweli in all languages❤❤❤❤ great piece na kameja pale always amazing 🤡🤡🤡
KMC Jimbo Kuu Katoliki la Arusha linajivunia kuwa na kwaya Nzuri, kubwa yenye kutoa vyombo vitamu Kama hivi. Mbarikiwe sana
Asante sana. Ubarikiwe sana.
I Nominee This As Best Song Of Christmas 🎄 In 2024
If You Agree 👍 Piga Likes❤
Thank you so much. Asante pia kwa kutazama
Ray Ufunguo, my favourite 🎊🎊
Christmas song of the year,,
Doki,, powerful voice, commanding and soothing 🎊🎉💯
Thank you for watching. Be blessed
KMC 🔥🎶😊 kazi kuntu hii💯🔥❤️
Ray Mungu akulinde siku zote 😊
Asante sana kwa kutazama. Ubarikiwe sana
The solo's ❤❤
😂😂😂mtunzi mwenyewe naliwaza sana yeye alikuwa anafikiria nini kutunga hiki kibao😢😂yaani wimbo mtamu aisee ,,,napenda
Ninachomaanisha wimbo umekorogwa kikweli
Ray and the team good job 👏 👏 👏
Asante sana kwa kutazama wimbo huu. Tunakutakia Christmas njema.
Unacheza na lingala na kispanish wewe 😂😂 amah alianza kutunga September 😅
Tumalizeni kwa hii nyimbo hio kitu iwatoke bas😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe sana.
From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 jaman hongereni. Safi sana sana. ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 huu wimbo ni tamu sana sana. Even the way you project in the ground. Enyewe utaona mkombozi amezaliwa kweli jaman. Mkude 😅😅😅😅 supu ya kuku ni tam zaidi ila sijui hio ni gani jaman. Inaonekana ni damu ya yesu kristo na ni tamu zaidi unaenjoy hivyo 😅😅😅 It's soooo fantastic. ❤❤ nawapenda wote wote 🎉🎉🎉
Asante sana. Ubarikiwe sana. Tunawapenda wakenya
Asante KMC Arusha, asante Ray Ufunguo asante Rajo .. hakika hii ni kazi njema nimebarikiwa na kufurahia bwana... Mungu mkuu akajipatie utukufu kupitia nyie na mkabarikiwe
Asante kwa kutazama. Tunaendelea kukutakia Christmas njema.
Wueh! Nimependa venye huyo mrembo amechange key na solo🔥🔥. Sweet song guys😍
Asante sana kwa kutazama
The vibe on this song 😍😍
Wishing the composer the best in this life 😊😊😊
Thank you so much. Be blessed
Wimbo unaingia hadi kwenye mifupa yangu na kunifanya napata kiu ya kumwimbia Mungu❤❤❤Mbarikiwe sana wapendwa
Asante sana kwa kutazama.
Mungu awabarik sanaaaa t na pia awafikishe mbinguni
Amen. Ubarikiwe sana
Wameimba kama wasabato saut zimekaa vzr Mungu awabariki❤
Asante sana kwa kutazama
So wasabato tyu yaan wakatoliki wafia dini 🔥🔥🔥🔥
Tasnia inadai creativity ya namna hii🙌🙌🙌🙌
Wimbo mzuri sana, kitu cha tofauti kabisa, inapendeza machoni na masikioni kwa kila atakayesikiliza na kutazama😊
Hakika UPENDO WAKE NI MKUU KWETU, AMEZALIWA!!!
Asante sana. Ubarikiwe sana
Kweli kazi ya Mungu Hii...
Barikiwa sana wanaKMC na Ray mwenyewe
Asante sana. Endelea kuwa na Christmas njema
Combined forces. Tz home of talents, kameja...job well done ✅✅
Thank you for watching
Nice song i love it so much ❤ kameja nakuona ndugu
Be blessed
❤❤❤tamu sana
Such a lovely n blessing Xmas choral
From Kenya Kakamega Diocese Mukumu Parish Choir happy for this special gift to all xtians.
Thank you for watching. Be blessed
Wimbo mkali sana hongera mtunzi ila video iko poa mmechangamka mpaka so poa. well done
Asante sana. Endelea kuwa na Christmass njema
ii nayo iko next level...HITS DIFFERENT
Asante sana na ubarikiwe
Wimbo mzuri Sana na ufundi umekamilika kila kitengo❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana. Ubarikiwe
Aiseeeee imenitoa machozi ❤❤what a song ❤❤mbarikiwe sana
Barikiwa sana
Chalii na Ray mlaaniwe 😂😅🎉❤ siyo kwa kideo hiki wuuuueeeeeh
Haya majamaa🙌🙌🙌🙌
Hahahaaaa. Barikiwa sana ndugu yetu Shimanyi
Woooow 👏👏👏👏.
So beautifully done. Bravo
Uendelee kubarikiwa
Nyie jamaa 😅🙌🙌🙌🙌🙌🙌 ni nomaaaaa 🔥🔥🔥🔥💪
Barikiwa sana
Hongeren sn KMC Kwa wimbo mzuriii ,endelezeni utumeeeee
Asante sana. Ubarikiwe
Wow! Nice one.for sure hiii imeweza.congrats
Ghaiii❤❤❤🤸🤸🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌 hongereni mnoooo
Shukrani sana.
Gosh! amazing So beautiful and the melody Mix is so sweet well controlled sound. Congratulation Ray! congratulation KMC
Thank you for watching. Be blessed
Dahhhh hongereni sn hakika km nikipaji kinatumika vizuri namungu aendelee kuwatia nguvu kazi nzuri sn sn 4:38
Barikiwa sana. Asante kwa kutazama
Kazi nzuri mnoo KMC Family🤩🤩. Mungu atukuzwe🙏🙏
Ubarikiwe sana
Be blessed
safi sana KMC kazi imekaa
Asante sana.
❤ The song is amazing to the maximum, kila sololist anajua, everyone has an amazing peculiality, the composer alikuwa hana stress akiwa anatunga wimbo, waimbaji wote wakapita mulemule mali ikapikwa jikoni ikatoka kama ilivyo, very nice song... I love to listem this all time🎉🎉🎉🎉❤
Asante sana kwa kutazama. Tunaendelea kukutakia Christmas njema na heri ya mwaka mpya
Wonderful @evans🎉🔥
Be blessed
Masoloist more love aisee❤️❤️🙌, ila Kaka Lawrence kuna namna aiseee😅😅❤❤❤❤ venye unaimba aisee❤🙌🙌🔥🔥
Asante sana. Barikiwa sana
Waoooh that transition 👌 🙌 👏 oh God bless all their families
Thank you for watching
Hongereni kwa kazi nzuri
Asante sana. Ubarikiwe sana
Wow, I like this collabo. Much thanks to Mr Ray and his team
Asante sana kwa kutazama. Uwe na Christmas njema
A masterpiece! 🎉🎉🎉, kweli amezaliwa!
Asante sana
This is the best song of the year!! Be blessed
Be blessed
Wimbo umetulia atal ongereen san ❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana
Kaliii .....mbarikiwe. heri njema za krismasi Kwa Kila moja wetu ❤❤❤
Asante sana. Uwe na Christmas njema
Wimbo tamu sana ❤
Asante sana. Ubarikiwe sana
Vraiment Courage
Maravilhoso 👏👏🔥🔥🔥.... we're indeed blessed with this piece 🙏
Thank you. Be blessed
🎉🎉🎉🎉 wimbo mwema kabisaaaaa
Thank you for watching
From Kenya .... Hongera Sanna Mwalimu 🙏😊❣️
Asante sana. Tunawapenda wakenya
Hongereni sana Mungu awabariki sana kazi nzuri sana
Asante sana. Ubarikiwe sana
🥳🥳🥳🥳 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 CHRISTMAS SONG OF THE YEAR na hakuna ubishi! Brilliant! Watching from Dallas, TX and I'm like damn! Hii nayo imeweza. Hongereni, Keep up the good job, guys.
❤
Asante sana kwa comment nzuri. Tunakutakia Christmas njema
Aiyaiiyaee❤❤❤❤❤
You've raised e the bar soooooo high...
My best choir of all times ...
With all the talent utilised 👌👌👌
Definition of perfect...
I love this. Mkude👏👏👏
Thank you for watching. Tunakutakia Christmas njema
The best song of 2024❤
Thank you Magreth. Be blessed
This song👏👏👏👏👏👏much congrats 🎉 to you all
Thank you. Be blessed
Getting goosebumps. 🎉🎉
Thank you for watching
Ray Ufunguo you're something else out of the ordinary yawa. Excellent creativity
Be blessed.
❤❤❤ jamanii, i cant get enough of this song
Be blessed.
🎉🎉🎉❤❤❤ ni zaidi ya ubora uliotukuka kwa hii nyimbo.. Hongeren san watu wa Mungu.. Big up brother Ray 🎉💪
Thank you so much. Asante pia kwa kutazama
Wow! Awesome Christmas Carol.....Viva Ray Ufunguo
Thank you for watching. Be blessed
Amina sana kmc merry christmass🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Be blessed
Kazi nzuri wana KMC Mungu awatunze mmtangaze kupitia sauti zenu🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Asante sana Getrude. Ubarikiwe sana
Aloooo...creativity on point
Asante sana
Kazi Safi wakuu
Asante sana
Nyie nyie nyie
Catholic 🙌🙌🙌
Ubarikiwe sana
Kaka kameja na iris hongereni Sana ndugu zangu🎉
Barikiwa sana.
Maravilloso obra maestra 🔥 🔥 🥳🥳🥳
Thank you
Heheee 😂😅. Fantastic. Felicidades hemos oído. Unagusa mtima. Mungu awabariki sana. !!! Feliz Navidad a todos!!!! Cantemos Alleluia ❤❤❤
Asante sana kwa kutazama
Mnabalaaaaaa
Barikiwa sana
Hii syllabus mnakimbiza sana🎉
Ubarikiwe sana
I feel the rhythm kwa nerves jamani .....this is awesome ❤❤
Ubarikiwe sana. Tunakutakia Christmas njema
Hongera sana broh kaz safi
Asante sana
Hongereni kmc
Shukrani sana
Lawrence kameja and Ray ufunguo May God bless you
Thank you for watching. Be blessed
wooooow😯😯😯😯......i can really feel the vibe., its really wonderful and i love it.
Thank you for watching
Nice song guys Mungu awainue zaidi
Asante sana. Ubarikiwe sana
Daaaa. Ila KMC huu muzuki ni WA viwango vya juu sana. Mungu awatunze sana
Asante sana. Tunakutakia Christmas njema
Wow,,kazi safi sana merry Christmas from BRAYANSOUNDS ❤
Shukrani sana
@kmcarushacathedral karibu sana🙏
Kali sana🎉🎉
Shukrani sana. Ubarikiwe
Congrat nyingi kwenu wana KMC🎉binti Pantaleo umetisha kipenzi❤❤❤❤
Asante sana kwa kutazama
❤❤❤wow wow wow❤❤kazi freshi kabisa
Asante sana. Ubarikiwe
Alaaaaaa. They are here. Thank you watu Wa Mungu. Wimbo upo mahali pakeeeee❤. Indeed He is born.
Asante kwa kutazama. Uwe na Christmas njema
Kitu kimepikwa kikapikika❤❤ nikityaaaaamuu❤❤ pongezi kwenu nyote.
Asante sana. Uwe na Christmas njema
Hongereni sanaaa wana kmc, mzidi kupanda viwango kwa viwango nawapenyaaaaa❤❤❤
Asante sana kwa kutazama. Uwe na Christmas njema
Hii collabo jameni. .hongereni sanaaaa❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Barikiwa sana
Moto ndo unaleaaaaa❤❤❤ kwa Yesu kuna rahaaaa
Barikiwa sana
Ngoma kalii sanaaa zawadi ya X mass kwetu sotee🎉🎉
Shukrani sana
Wow its trully Christmass, i love it🎉🎉🎉🥰💃🏼💃🏼💃🏼👏🏼👏🏼👏🏼lovly n beutiful
Thank you so much.
🎉🎉🎉🎉🎉yaaani hii iko 🎶🔥🔥🔥
Asante sana. Ubarikiwe
Wimbo mzuri sana hongereni sana wana KMC ARUSHA
Asante sana. Ubarikiwe sana
Nuff respect kwa wimbo mzuri wa x-mass...✌✌
Barikiwa sana
Much l❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, Mungu awalinde sikua zote
Asante sana. Ubarikiwe sana
🥰😍🤩sending love from Burundi,this begining is something else. much respect to you all especially to Ray Ufunguo and Lawrence Kameja.
Thank you. Be blessed. Tunawapenda
Kazi safi Ray Ufunguo👏🏽👏🏽🎉
Ubarikiwe sana
Watching from 🇰🇪this what i call taking music to the next level the Audio the creativity in music the camera work is epic
Thank you so much. Be blessed
Ray hujawahi kufeli hongereni Sana waimbaji ❤
Ubarikiwe sana. Asante kwa kutazama
😍😍this song is so sweet wow 🎉
Thank you
Wow! The best song ever,,,,be blessed
Amen. Be blessed too
Hongereni. Wimbo ni 🔥🔥🔥🔥
Asante sana.
One of the best in our gen..🎉❤🖐🏽
Thank you for watching
The elegance in this piece of music🎉🎉🎉🎉🎉🎉waooooh.. Very well executed. Nzuri sana amezaliwa kweli in all languages❤❤❤❤ great piece na kameja pale always amazing 🤡🤡🤡
Asante sana na ubarikiwe sana
The creativity says it all
Marvelous ❤
Asante sana kwa kutazama
This is so wonderful👏👏🔥🔥💯
Thank you