Kg kama baba ni mwizi na mtoto pia lasima awewizi hapo ni mungu tu asaindie hii nchi yatu ya Kenya. Thank you so much for your good program and important advices for free be blessed
Ni ukweli airport ya Kenya kuna wafanyakazi ni wezi,Mimi nlienda Kenya Dec tulikuwa 5 peoples Kwa hiyo ndege tulikwend nayo kutoka Seychelles,site mizigo yetu 2 bags site zilikuwa missing,tuli arrive 7 -45 hatukuoata mizigo yetu,mpaka tukachoka tukaendaku complain,wakauliziya nje wanasema hakuna mizigo,tunasubiri mpaka 10.30,likuwa tunaenda Mombasa,wakatuambiya tuendeku check in Kwa ndege ya Mombasa na huenda mizigo tutaioata Mombasa siku hiyo hiyo,ama next day itapelekwa Mombasa tutapigiwa Simi,but thankx Allah tulipofika Mombasa tukapata mizigo yetu 6 bag's,niliogopa na KQ Kwa hiyo siku
Hata mimi holder yangu ya kufunga kufuli ilikatwa na kufuli ipo hapo hapo. Nilipofika nyumbani nilikuta ndani kimevurugwa kweli. Nilikua nimebeba mabuyu yote temetupwa tupwa ndani na ya sanduku kuchanganywa na nguo. Sio lazima iwe Kenya Airways, hata kama ni ndege ndege yeyote unaitumia, maadamu wanaofanya kazi ni hao hao wakenya wanaiba tu vile. vile. Mwenye ezi Mungu atawakata mikono yao na kuwafanya vipofu. Amin.
Mimi jamani Piya nashkuru,nilipokuwa narudi wakati WA kupita Kwa body screen,nikavua saa,basi sikuiweka na vitu vyangu nyengine niliiweka peke Yake Kwa karai,maana nlisahau kuivua nikavua mwisho,nikaisahau nitaenda Kwa imagination section,bahati nikkapata staff mzuri na akaniketeya, Alhamdulillah
Kaka mm nko oman nmetuma mzigo kwenda Tanzania. Umeibiwa nikiwauliza wanasema utapatamzigowako. Mpaka saiv naona kimy kimezid. Miezi imepita 6 hadisaii nmezi 1. Kweliuizi Bado unaendelea 😢a😢😢😢😢
JKIA ARIPORT IN KENYA 🇰🇪 TOO SAD THOSE PEOPLE DOING STUPID THINGS SHAMEFUL TOO TAKE OUR SISTER FROM UGANDA 🇺🇬 THINGS FROM HER 🎒 IF KENYA ARIWAYS DO THIS JOB SO NO ONE WILL TRAVEL FROM UR ARILINE 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 WROSE PERSON THOSE GOODS 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Baba mwenye nyumba mzee kasongo ameambukiza lila secta theft and robbery...museveni juzi alifanya ruto akalia kwa jaramogi stadium now his kids are being paying their daddy's sin in kenya ...keep on
Boss wangu akona mission fulan kenya 🇰🇪 kusafiri kufika kwa nyumba alitafuta perfume nyumba mzima kumbe ziliimbiwa had nikitravel after my first contract alirapia bag zangu 2 times within nylon from ❤Lebanon 🙏
I also under went the same problem after travelling with KQ for the first time.I have been travelling for more than 10 years with other airlines but when i decided to travel with KQ my suitcase missed and they had to pay me.I am a Kenyan but never in my life shall i ever use KQ
My friend forgot her tablet in the last check coming back to Oman and we called n ikapatikana.Hiyo tutu ni bahati mbaya n again how sure that which proof ???
Hapa napo ni ukweli. Pia sisi tuliibiwa. Manugu sana. Na kuomba omba pesa kama njugu for nothing. Wanakudanganya wakusaidie na bags kama uko na watoto alafu wanakuambia uwalipe in dollars na hukuambiwa unalipishwa in the first place. Report them to the airlines washikishwe adabu😬😬😬
@@emmakicham4664 I think you have a big problem either you are mad 😠 or hauna school fee uko na stress zako infact this is not your channel you better mind your own business ghetto fluffy human 😉
Theft of valuable goods is common in almost all airports.Thats why u should avoid checking-in such expensive items or if u do wrap cases with plastics at the airport.l lost an expensive charger when plying paris-rome and my zip was intact.
I salute Saudia Arabia airlines the best nilifika na mizigo zote❤❤❤❤❤
Qatar airlines the best walahi
Exactly
It's true hata Mimi bag yangu ili katwa kufuli na baadhi ya nguo nzuri ziliibiwa .
Kama raisi nimwizi kwani wafanyi kazi wasiibe 😭😭😭
Kg kama baba ni mwizi na mtoto pia lasima awewizi hapo ni mungu tu asaindie hii nchi yatu ya Kenya. Thank you so much for your good program and important advices for free be blessed
Corruption is a talk of the day.they will destroy the hospitality to the customers.
Ile shida iko Kenya kila mtu ataiba.ruto told us 'kazi ni kazi
Ni ukweli airport ya Kenya kuna wafanyakazi ni wezi,Mimi nlienda Kenya Dec tulikuwa 5 peoples Kwa hiyo ndege tulikwend nayo kutoka Seychelles,site mizigo yetu 2 bags site zilikuwa missing,tuli arrive 7 -45 hatukuoata mizigo yetu,mpaka tukachoka tukaendaku complain,wakauliziya nje wanasema hakuna mizigo,tunasubiri mpaka 10.30,likuwa tunaenda Mombasa,wakatuambiya tuendeku check in Kwa ndege ya Mombasa na huenda mizigo tutaioata Mombasa siku hiyo hiyo,ama next day itapelekwa Mombasa tutapigiwa Simi,but thankx Allah tulipofika Mombasa tukapata mizigo yetu 6 bag's,niliogopa na KQ Kwa hiyo siku
What is wrong with this country have a big problem 😭😔😔😭😭😔😔😭😭😔😔😭
Hata mimi holder yangu ya kufunga kufuli ilikatwa na kufuli ipo hapo hapo. Nilipofika nyumbani nilikuta ndani kimevurugwa kweli. Nilikua nimebeba mabuyu yote temetupwa tupwa ndani na ya sanduku kuchanganywa na nguo.
Sio lazima iwe Kenya Airways, hata kama ni ndege ndege yeyote unaitumia, maadamu wanaofanya kazi ni hao hao wakenya wanaiba tu vile. vile.
Mwenye ezi Mungu atawakata mikono yao na kuwafanya vipofu. Amin.
It’s not Kenya airlines, that check the bags it’s the Kenya airports authority
Kama nicheke 😂 ila mtangazaji unavo tia chumvi😂😂😂😂 ila wakenya sio watu wazuri walisha wahi nifanyizia😂kitu mbaya sana lah wezi wakubwa😢
Njoo Kilimanjaro safi watanzania hawana uwezo ya kushenzi mungu baridi tanzania
KQ is crazy I lost my jewelry and perfume and all they could ask is if i had insured them. It's no longer the pride of Africa
Kenya airways siitumii niliwahi kusikia zamani sana kua wezi.
Naomba unisaidie mahal 🇰🇪🇱🇧
Jamani mungu anawaona hao watu wanafanya vibaya aky😢😢😢
Wanajiharibia kazi kwa Shirakawa lao kenya bwana wizi hautaisha😢
Love you jomba❤
Very shameful act..
From 🇧🇮ila aibu😂
ikiwa president kasongo ni mwizi na wananchi watakua nn
Mimi jamani Piya nashkuru,nilipokuwa narudi wakati WA kupita Kwa body screen,nikavua saa,basi sikuiweka na vitu vyangu nyengine niliiweka peke Yake Kwa karai,maana nlisahau kuivua nikavua mwisho,nikaisahau nitaenda Kwa imagination section,bahati nikkapata staff mzuri na akaniketeya, Alhamdulillah
Waudhi sana, waungwana wanateseka kuwa jobless wezi ndio wapewa kazi.
Tabia mbaya Sana kwa KQ
Kaka mm nko oman nmetuma mzigo kwenda Tanzania. Umeibiwa nikiwauliza wanasema utapatamzigowako. Mpaka saiv naona kimy kimezid. Miezi imepita 6 hadisaii nmezi 1. Kweliuizi Bado unaendelea 😢a😢😢😢😢
JKIA ARIPORT IN KENYA 🇰🇪 TOO SAD THOSE PEOPLE DOING STUPID THINGS SHAMEFUL TOO TAKE OUR SISTER FROM UGANDA 🇺🇬 THINGS FROM HER 🎒 IF KENYA ARIWAYS DO THIS JOB SO NO ONE WILL TRAVEL FROM UR ARILINE 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 WROSE PERSON THOSE GOODS 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Nawafunguwe camera mwizi ajulikane na mzigo upatikane , watched upuuzi
I THINK YATEGEMEA NA COMPANY YA NDEGE??? YOU MUST TO REQUEST THAT FROM KENYA AIRWAYS COMPANY!!!! THEY MUST TO PAY
Baba mwenye nyumba mzee kasongo ameambukiza lila secta theft and robbery...museveni juzi alifanya ruto akalia kwa jaramogi stadium now his kids are being paying their daddy's sin in kenya ...keep on
Mimi pia nili ibiwa perfume box tatu wakaniekea ma box matupu
Jamani tunaelekea wapi sasa, very painful ni ndege gani sasa iko safe na mizigo yetu
😢😢😢wanafunguanga bags na pen wengi utawaona na kalamu kwa mfuko
Mimi ndio bags zangu hufunga Ile plastick zoteee
Ukiwa Saudi ama hpo Kenya hebu niambie alfu ni pesa ngapi
Why only KQ?things are missing not Ethiopian or Qatar or emarat.
Naomba no yako
Duty-free goods are in carry on bags. How did she check them in? Explain to me
Swali zuri
Pia yeye ni mwiizi...hajalipia ushuru...how can she claim..
Kasongoo
Jamani waangaliweeee walookuwaa kwenye duties washikweee wazizoweeeeee kuwaaaibiyaaaaa wengineee,,waiyaaharibiya kampaaniy……Yaooo..na waweeekee cameraaa kwa wanaaao banga mabegi wakosee makaziiii wamejiharibiyaaa maishaaa zaooo kisha wasemee hakuna makazi.
Kama tunaongizwa na mwizi what do you expect..
Boss wangu akona mission fulan kenya 🇰🇪 kusafiri kufika kwa nyumba alitafuta perfume nyumba mzima kumbe ziliimbiwa had nikitravel after my first contract alirapia bag zangu 2 times within nylon from ❤Lebanon 🙏
I also under went the same problem after travelling with KQ for the first time.I have been travelling for more than 10 years with other airlines but when i decided to travel with KQ my suitcase missed and they had to pay me.I am a Kenyan but never in my life shall i ever use KQ
I have been travelling with Kenya Airways more then ten years uk Kenya 🇰🇪 note seen Enya problem maybe have started sorry guys
Pls
My friend forgot her tablet in the last check coming back to Oman and we called n ikapatikana.Hiyo tutu ni bahati mbaya n again how sure that which proof ???
I left my bag and I found it safely
Hao wazungumza kiingereza kumbe majizi?.
Hapa napo ni ukweli. Pia sisi tuliibiwa. Manugu sana. Na kuomba omba pesa kama njugu for nothing. Wanakudanganya wakusaidie na bags kama uko na watoto alafu wanakuambia uwalipe in dollars na hukuambiwa unalipishwa in the first place. Report them to the airlines washikishwe adabu😬😬😬
Aende awalipue kwa babu,sio vizuri kwa nini mnaiba.pole ya nini
Kurapu bag unairapu aje na unairapu ukifika au ukiwa bado uko inchi unatoka plz kg help.
True pia naomba kujua
Inastahili sheria ipitishwe kitu cha msafiri kikipotea Hilo Shirika la ndege.lilipie.wanashugulika tuu na ushuru na hawachungi mali ya wasafiri.
Ni kweli kabisa
Too bad 😢😢😢
Bro ku cover one medium bad na plastic pale airport ni how much.
Ksh.700 to ksh.1500 JKIA kama hawaja change that is😊
@kgchippy hapana ukitoka uku Saudi Arabia
Ujajipanga juu sai utalipia ukifika JKIA..watakurapia tu huku saudi airport nm@@catecate90
Kg ww ukishuka msa unacho baba zuia hukohuko nyumbani hakuaminiki
🙆🏽♂️🙆🏽♂️🫢
Ndio maana waafrica wakawa wanachukiwa kila mahali wanapoenda na kutokuaminiwa.
Tafuta daktari atibu hiyo bag 🎒
Wanataka kumreta Adani ndiyo maana wanaiba makusudi kabisa
This is a lame excuse. Walipe huyo mama vitu cake. I dont like the airways.
wanahaibisha nchi
Ata mm nishaibiwa saa yangu, moi airport mombsa, nikaulizia cctv naambiwa haifanyi kazi
shame shame
If it was "Duty-free" it was hand luggage! how was it stolen???
Kama kawa nko hapa but KQ sio poa kabisa nimeimbiwa two times nikipanda iyo flight ✈ mpka nimeichukia sana
Aty umeimbiwa 😂😂😂we ni fala nini😂😂...hio ni uwongo akuna ndege umepanda 😂😂😂😂
@emmakicham4664 I pity you 🤔🤔🤔
@Wfidelis we ni keyboard warrior tu🤣🤣🤣na huko kwenu akuna kitu inaendelea na story za Kenya tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@emmakicham4664 I think you have a big problem either you are mad 😠 or hauna school fee uko na stress zako infact this is not your channel you better mind your own business ghetto fluffy human 😉
Kg huyo mother atoe evidence, mathalan riceite
C mfuko uo kauonyesha umbakishwa kifuniko tu😅😅
Thieves 😮😮😮
KQ is expensive for nothing everything food etc is horrible
You're right. I wanted to fly direct to Kenya in March 2025 from the US using KQ but now I will fly KLM.
Ukisafiri kama bag yako hauiamini ni afadhaliu Rap plastic,.

Nwapi huku